#PADRE

  Рет қаралды 1,754

Katoliki Moshi Online Tv

Katoliki Moshi Online Tv

Ай бұрын

Padre William Rwaichi Padre wa jimbo katoliki moshi anae adhimisha jubilei ya miaka ishirini na tano (25) ya upadre
#katolikimoshionlinetv #kanisakatoliki #jubilei ‪@katolikimoshionlinetv‬

Пікірлер: 7
@romanaolomi2997
@romanaolomi2997 18 күн бұрын
Hongera sana kwa kutimiza miaka 25 ya Upadre.Umechagua fungu lililo bora Padri William kazi unaiweza endelea kumtumainia Mungu. Asante sana kwa Mwaliko Mungu akipenda tutakuwa wote hiyo mwezi wa nane. Mungu akupe furaha na Amani wakati wote wa kumbukumbu hiyo nzuri. 🎉
@germanabernardswai6162
@germanabernardswai6162 Ай бұрын
Hongera sana Baba Padre. Tunamshukuru pamoja nawe. Azidi kukutunza katika wako Mtakatifu.
@judithmboya9476
@judithmboya9476 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuimarisha baba
@OscarJekapo-cu5rz
@OscarJekapo-cu5rz Ай бұрын
Ongera sana padri mungu aendelelee kukulinda
@Emmagmayemba
@Emmagmayemba Ай бұрын
Mungu akutangulie uendelee kututunza Baba.
@Cathyson469
@Cathyson469 Ай бұрын
Hongera classmate wangu Kibosho na Kip
@Cathyson469
@Cathyson469 Ай бұрын
Mbege ipo😂
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
GIANT umbrella by Tsuriki Show
00:15
Tsuriki Show
Рет қаралды 7 МЛН
#ZIARA YA BABA MTAKATIFU YOHANE PAUL WA PILI TANZANIA MWAKA 1990
4:32
Katoliki Moshi Online Tv
Рет қаралды 587
BABA ASKOFU NA KARISMATIKI KATOLIKI JIMBO LA NJOMBE
7:43
Mahubiri Karismatiki Katoliki Njombe Tv
Рет қаралды 8 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
0:34
Micky Makeover
Рет қаралды 13 МЛН
Когда ты младший в семье
1:00
Ерболат Жанабылов
Рет қаралды 4,5 МЛН