No video

PART 2: AGIZO la MAGUFULI kwa MFANYABIASHARA BABU RAMA wa KARIAKOO MWENYE MGOGORO na TRA....

  Рет қаралды 321,833

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

PART 2: AGIZO la MAGUFULI kwa MFANYABIASHARA BABU RAMA wa KARIAKOO MWENYE MGOGORO na TRA....
GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi kwa jina la RAMADHAN HAMISSI NTUNZWE, au Babu Rama, ambaye mwaka 2016 aliingia katika mgogoro na mamlaka ya mapato nchini (TRA) ambao ulishatolewa maamuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa mara ya kwanza na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho kuwa alipwe fidia, lakini agizo hilo Ramadhani amedai halijatelekezwa hadi leo....
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 739 750910)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 484
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@johnchiponde316
@johnchiponde316 4 жыл бұрын
Aiseee,,All the best,,Mungu akulinde Ramadhan Hamis Ntunzwe..Amen
@reyonceramadhan9486
@reyonceramadhan9486 4 жыл бұрын
Amen
@williamibrahim2823
@williamibrahim2823 4 жыл бұрын
Kaka Ramadhani baba kichwa kizuri hongera sana
@adamkabila7113
@adamkabila7113 4 жыл бұрын
William Ibrahim umeona nimempenda anakichwa kweli anaelezwa kwa utulivyu
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 жыл бұрын
IQ yake ya kumbukumbu iko juu sana ,, japokuwa umri umeenda.. Haki haipotei mzee wangu.
@ahmadnassor7375
@ahmadnassor7375 4 жыл бұрын
He is very smart
@estheradriel9829
@estheradriel9829 4 жыл бұрын
Sana yani
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Mwinuka Rabbitkeeper, ana 45
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 жыл бұрын
@@nahyialetomia9284 sawa mkuu
@aminaam281
@aminaam281 2 жыл бұрын
Jaman kwa umri huu apoteze kumbukumbu kaah
@tumainicareen5282
@tumainicareen5282 4 жыл бұрын
Mungu hatokuacha mtangulize MUNGU mbele kweli wanadam hatuna huruma Hongera Rais wetu mtetezi wa wanyonge
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 5 ай бұрын
Amejipiga risasi baada ya kuona hakuna msaada nadhani kesho tarehe 15/ 03/2024
@nestor384
@nestor384 4 жыл бұрын
Kamishna Mpya naye kamezwa na mfumo tuongeze kui-share hii video mpaka Mhe. Rais na Mhe. W/Mkuu iwafikie kwa mara nyingine ikiwezekana kamishna mpya naye awe sacked keshasahau wajibu wake na kiapo chake! My motherland watu wanasota kiasi hiki kupata haki zao japo wakiwa na maelekezo ya Rais vipi wale ambao hawana na masuala yao hayajafikia kule ambako swala la Ramadhan lilifikia!!! Mungu endelea kumsaidia Ramadhan mpaka siku moja apate haki yake na wadharimu wote wawajibishwe🙏🏻
@ustadhyassir3460
@ustadhyassir3460 4 жыл бұрын
Yatupasa tuwenae bega kwa bega kupaza sauti zetu zimfikie mueshimiwa raisi hawa tra wanataka kumletea dhuma huyu mwenye haki yake
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
Kabisa yani kweli
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 жыл бұрын
Bonge la story ya kutisha, na jamaa anajua kuongea 👍
@aminaam281
@aminaam281 2 жыл бұрын
Ningejaliwa Mimi ningeringa
@nelsonpharles8556
@nelsonpharles8556 4 жыл бұрын
Pole sana mzee kwa imani utalipwa haki yako Mungu aksaidie ktk hilo.
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 4 жыл бұрын
Anaeona mzee IQ yake zaid ya flyer over, Allah akufanyie wepesi Inshaallah
@dicksonmwanyambo5314
@dicksonmwanyambo5314 4 жыл бұрын
Shube Bunyesi Mimi mzigo wangu umekaa Border ya Mutukula kwa miaka 3 sasa Nasubiri Commissioner TRA atoe kibali cha kuteketeza madawa yaliyoexpire,
@dicksonmwanyambo5314
@dicksonmwanyambo5314 4 жыл бұрын
TRA ni issue kwa kweli
@tafsiriyaqurantukufukwakis966
@tafsiriyaqurantukufukwakis966 4 жыл бұрын
Ameen
@zuberimasoud5728
@zuberimasoud5728 4 жыл бұрын
Very sad! Pole sana Mzee na hongera sana kwa kuonesha subra kubwa!
@msuyaherbalresearcher7184
@msuyaherbalresearcher7184 4 жыл бұрын
Watanzania hebu tuvae vazi la Mh.Raisi wetu,tukitenda haki kwa wenzetu.TRA mmezoea kuzulumu na kula pesa za zuluma.Mshindwe
@subirajohn728
@subirajohn728 4 жыл бұрын
Naamini hii taarifa utawafikia Vuongozi wetu haki itatendeka! Pole sana kaka Mwenyezimungu atatenda jambo!
@jobmoffat7844
@jobmoffat7844 4 жыл бұрын
Pole sana mzee,,, TRA hawana namna ya kufanya zaidi ya kumpa haki yake huyu mzee
@justinegabriel5854
@justinegabriel5854 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba Magufuli tunakupenda watanzania Ongoza nchi mpk utakapo amua ww kuachia kiti we love you much much much much Dadyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy Very Be blessed
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 жыл бұрын
Hawa TRA wanarudisha Sana uchumi wa nchi
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 4 жыл бұрын
Sasa nimeamin viongoz wa ccm ndo wanao fanya wApinzan kupata kura nying Nilitaman MH Rais angeongoza tena hata miaka 10 ila najua zipo changamoto lakin hongera Rais wetu
@KASWIZAOnlineTV8933
@KASWIZAOnlineTV8933 4 жыл бұрын
Uyu ni ndugu wa brother k
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 4 жыл бұрын
Kiupande wangu nimejifunza mengi sanaaaa ambayo sikuwa na yajua namshukuru huyu mfanya bishara
@geofreybalyobalyo4538
@geofreybalyobalyo4538 Жыл бұрын
Hata mimi aiseee...kwel nilikuwa gizani duh😮😮😮😮😮
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 жыл бұрын
Mungu akusaidie kwa kweli, watu wanadhambi sana, Mungu yupo nawe. Nakuombea upate haki yako.
@jamesassanga9220
@jamesassanga9220 4 жыл бұрын
Big up kwa waha!!! Wanajiamin sana
@endruwguzula5993
@endruwguzula5993 4 жыл бұрын
yani huwa tunaonekana wabishi ila tunatetea haki ye2 mpaka mwisho
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amlinde Raisi wetu wa wanyonge Magufuli, pole ndugu yetu Ramadan pia wewe ni smart sana
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
sijaelewa why mtu aliyekabidhiwa kumlinda mtu hapokei simu. something is not right we need to dig more
@eliaalex8118
@eliaalex8118 4 жыл бұрын
Ezekiel Leonidas ina wezekana lakn angalia usi tafutwe
@Amani715
@Amani715 4 жыл бұрын
Exactly my point. And when he is out there he is busy saying how he is helping a common mwananchi, hypocrite. The fact that Mr. Ntunzwe sent him a message he was in a position to see how important it is given the fact that he was delegated by His Excellence President Magufuli to make sure this issue is closed. Why can’t people do one simple thing? I would record each and every meeting so as they don’t deny the day His Excellence gets to know this. There is a need for a reshuffle at TRA. Total madness 😡
@amosurio8045
@amosurio8045 4 жыл бұрын
nakuomba Sana mzee wangu uwe makini na awo watu
@faridakhamis7994
@faridakhamis7994 4 жыл бұрын
Asalam aleykum kaka pole sana kwa msuko msuku uliyo kufika wallah unavyo ongea mpka iman
@mwitikageofrey6175
@mwitikageofrey6175 4 жыл бұрын
Mungu akupe ujasir na uvumilivu na akuzidishie maarifa zaid
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Kumbe wafanyabiashara wakubwa ndio wanavyo pata hela. Kuna na TRA kukandamiza wafanya biashara wadogo na wananchi wa kawaida. Alafu huyo mkurungezi wa TRA juzi tu alikataa rushwa ya wachina wale wa Tabora kumbe angechukua kama wangempanga vizuri. Hii nchi badooo Sana rushwa ni ulemavu tunao. Kaka Ramadhani pole kwa yote, endelea kupambana nauona haki hiyo inakuja🤗💪💪👌👍👍
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 4 жыл бұрын
Kukataa rushwa ya Wachina ilikuwa geresha tu. Shida ni kuwa walimletea mzigo Ofisini moja kwa moja.Walipaswa kupitia kwa "mshikaji" wake
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 жыл бұрын
Very smart guy
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Siku nyingine usipande magari yao watakuua hata kwa sumu ya hewa.tumia magar yako
@lucymtui8680
@lucymtui8680 4 жыл бұрын
Mungu akiwa upande wako utapitishwa ktk misukosuko nakutoka dhahabu safi....
@issamichoro.5278
@issamichoro.5278 4 жыл бұрын
Safari xote kuanzia leo uwe na watatu kila ulipo
@just_this_way
@just_this_way 4 жыл бұрын
Comment imeendana na jina lako, wajina wako, SAITOTI wa kenya aliuwawa kwa sumu ya hewa (cyanide)
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Hii comment iweke kichwani mwako.....iko hivyo sumu ziko aina nyingi Sana......kuwa makini sana
@hopesesilius6104
@hopesesilius6104 Жыл бұрын
Sahihi
@changboy5658
@changboy5658 4 жыл бұрын
Story ya Mzee unatengenezea movies nzuri mno. Mzee Ana akili sana na ni mjanja mno. Naomba Waziri na raisi au watendaji wake wasaidie aione hii taarifa maana wanamuonea sana huyu mzee. Pole sana mzee Uko vizuri.
@mariuscyprian1235
@mariuscyprian1235 4 жыл бұрын
Kwa hiyo mpaka wakati huu mzee baba ajaiona au ndio anajipanga ila watanyonyoka wengi manyoya hasa TRA
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 4 жыл бұрын
Chezea muha wewe
@issakawaya8315
@issakawaya8315 4 жыл бұрын
Haki yako ni ya lalih
@alicelucas4082
@alicelucas4082 4 жыл бұрын
Huyo baba lazima atakuwa muha, hatunaga ujinga.
@jannathibrahim9589
@jannathibrahim9589 4 жыл бұрын
Ogopa MTU alietoka kigoma kwa baiskel na Sasa hivi anamiliki mamilioni
@neemajoseph3823
@neemajoseph3823 4 жыл бұрын
alice lucas kabisaa wahaa hatunagaa ujingaa kabisaa
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 жыл бұрын
alice lucas unauliza embe kibada asilimia mia ni mha
@buguzajemedar3631
@buguzajemedar3631 4 жыл бұрын
allah akusimamie kwenye kuipigania haki.yako
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
Hatunaga ndio nini???
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 4 жыл бұрын
Wamemtekenya Magu kubaya Kama namwona mzee baba akila watu vichwa
@lucymtui8680
@lucymtui8680 4 жыл бұрын
Nataman awaleee....Hawa wanyanyasaji
@stevenkatina968
@stevenkatina968 4 жыл бұрын
Mko vizuli jmn ushauri wangu mtafuteni waziri mkuu direct in box mmtumie hiyo clip jmn mzee huyu kaumizwa sana jmn
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 4 жыл бұрын
Mmm kazi iko. Pole sana.
@emanuelandedela2771
@emanuelandedela2771 4 жыл бұрын
Yaani ni Kama move yakutafsiriwa. Ahsante mzee wetu nimejifunza zaidi ya kwenda chuo kikuu.
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 4 жыл бұрын
Muheshimiwa 2naombaa ulifanyiee kazii ilii uyu nimoja kati ya watanzaniaa milion48 wanao nyanyaswa Na TRA Na Askarii
@bahatimayala6494
@bahatimayala6494 4 жыл бұрын
Pole sana mtanzania harisi uliye jawa na uzarendo pambana mzee mungu yu pamoja nawe haki ya mtu haipotei bali hucheliweshwa tu serikali yetu tukufu ipo haki yako utaipata
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
TRA hamuendi mbinguni,mtachomwa moto na hizo pesa za dhuluma kama mnasomeshea watoto wenu mnatengeneza kizazi cha laana.vizazi vyenu vitalaaniwa shenzi nyie
@reyonceramadhan9486
@reyonceramadhan9486 4 жыл бұрын
Na mungu awalaani kabisa kunyanyasa wanyonge ili hali wanajaza matumbo kwa dhuluma
@smarty1064
@smarty1064 4 жыл бұрын
saitoti saitoti unadhani wanaamini kama kuna mbinguni?
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 4 жыл бұрын
Pesa ya dhulma hakuna itako wapeleka, watajibiwa hapa hapa duniani
@hosenimwelekwa6200
@hosenimwelekwa6200 4 жыл бұрын
Hahaaaa kweli
@samsonmathew7562
@samsonmathew7562 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@zuhurajuma1528
@zuhurajuma1528 4 жыл бұрын
Hiyo nihaki yako inshaallah utaipata namungu atawaadhibu kwa aina yoyote ile🙏
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 4 жыл бұрын
Hivi kwa maagizo yote haya YA MH, Bado Watu wana fanya danadana, Kweli Hao wasaidizi pasua kichwa,
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 жыл бұрын
Fortunata Angelo Hela za kumlipa watatoa wapi, washalipa ada za vyuo Malaysia na nyingine nyumba ndogo, nyingine jaza jedwali mwenyewe 😏, pagumu hapo, lazima atafutwe bwege mmoja wa kuchapwa ili huyu alipwe 😖
@dr_godfrey
@dr_godfrey 4 жыл бұрын
Da! TRA ni matapeli uwiiiiiiii inaumiza sana
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Hawa TRA. Ni nguruwe kabisaaaa
@msuyaherbalresearcher7184
@msuyaherbalresearcher7184 4 жыл бұрын
Hao wafilisiwe na kufukuzwa kazi
@annahayasanday7174
@annahayasanday7174 4 жыл бұрын
Nimekupenda baba, uko makini sana Mungu azidi kukulinda.Haki yako haitapotea kamwe,una msimamo sana Mungu hawezi kukuacha.Hili ni funzo kubwa sana kwetu
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Pole sana mzee duuh Ni hataree sana
@barryryoba1489
@barryryoba1489 4 жыл бұрын
TRA Mnanyanyasa Sana Na Kuzulumu Wanyonge, Hata Kama Mnajiona Mnafanikiwa Sana Kimaisha Na Hii Zuluma Bado Mtateseka Sana Na Ngono Zembe Hatimae Kufa Kwa Ukimwi.. Na Pia Hata Kama Watoto Wenu Wanasoma Shule Za Juu Bado Wataishia Ulevi, Anasa Na Hatimae Kifo Kwasababu Watu Mnaowazulumu Wanatoa Kilio Kikubwa Sana Kinachofika Mbinguni Na Hamtabaki Salama Hata Kama Mmejaza Hizo Pesa Za Zuluma Kwenye Magunia.
@allythabit5175
@allythabit5175 4 жыл бұрын
Duh hatreee sana
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 5 ай бұрын
Allahuma Amiiiiiiin
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 5 ай бұрын
Allahuma Amiiiiiiin
@fabianmilanga4980
@fabianmilanga4980 4 жыл бұрын
TRA wezi aisee
@hassankasigwa477
@hassankasigwa477 4 жыл бұрын
Yaani watanzania wahaogopi maagizo ya raisi bado walitaka kufanya magumashi tu Sasa CORONA tutaiogopaje bana mpaka ituue kwanza
@catherinebassanga2252
@catherinebassanga2252 4 жыл бұрын
Mbona kama wanafanana na mh raisi
@samsonmathew7562
@samsonmathew7562 4 жыл бұрын
TRA nu takataka sana hawa nguruwe
@emiliamulaki3600
@emiliamulaki3600 4 жыл бұрын
Baba una akili nyingi. Mungu akulinde sana.
@makepoundbemillionire9688
@makepoundbemillionire9688 4 жыл бұрын
Babu rama pole nakujua wew muha
@kwilasangwala201
@kwilasangwala201 4 жыл бұрын
Hongereni global Tv, kwa ufuatiliaji mzuri.
@salminmabrouk9567
@salminmabrouk9567 4 жыл бұрын
Du mtihani babu kubwa kuliko wote
@hmk..
@hmk.. 4 жыл бұрын
Pole. Global TV good interview
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 4 жыл бұрын
Huyu Mwanahabari aidha hajui kuuliza maswali, au ni mwoga. Bw, Kayombo wa TRA alipaswa kuulizwa moja kwa moja ni kwa nini TRA imekaidi kwa miezi 9 kutekeleza amri ya Rais ya kumlipa Ramadan. Alipaswa kujibu ni nani ktk TRA anazuia malipo hayo, na kwa nini. Alipaswa aulizwe wale wafanyakazi watatu wa TRA Rais aliosemaa wafukuzwe kazi walishafukuzwa au la, na walishapelekwa mahakamani. Kayombo ajibu ni kwa nini wafanyakazi wawili wa TRA wanaohusika na sakata hili walihamishwa kinyemela kwenda mikoani badala ya kuchukuliwa hatua. Alipaswa kujibu hizo milioni 900+ ambazo TRA iliagizwa kulipa zitatoka fungu gani au zitalipwa na nani. Mwandishi ulipaswa kumwuliza Kayombo ni utaratibu gani TRA ilitumia kumkadiria kodi ya kumwumiza Ramadhan, na ni kwa nini ilifunga duka lake na kutumia polisi kumweka mahabusi. Kayombo atwambie ni kwa vipi maafisa wa TRA walishirikiana na wafanyabiashara wawili ili hao wafanyabiashara wamlipe Ramadhan badala ya wao TRA kumlipa. Kayombo ajibu ni kwa nini wafanyakazi waandamizi wa TRA kila mara wanamsihi Ramadhan asimwambie Waziri MKuu au Rais jinsi sakata hili linavyokwenda. Kayombo aseme kwa kukataa kumlipa Ramadhan, na kupenda kufanya vitu kisirisiri, watendaji wakuu wa TRA, akiwemo yeye mwenyewe, wana interest gani katika sakata lote hili nk. nk. Na mwisho Kayombo atwambie kwa nini watendaji wakuu wa TRA, akiwemo yeye mwenyewe, wasifukuzwe kazi kwa utovu wa nidhamu wa kumdhalilisha Rais. kayombo aseme ni kwa nini ydeye na watendaji wakuu wa TRA wasifilisiwe mali zao na kupelekwa mahakamani kwa uhujumu uchumi (kama TRA inavyofanyaga mara nyingine) kwa kuisababishia TRA na Ramadhan hasara. Haya ndo maswali ambayo waandishi wa habari wa kimataifa (kama CNN,BBC na ALJAZEERA) huwa wanauliza. Naomba mwandishi wa habari umtembelee Ofisini Mkurugenzi Mkuu wa TRA na Bwana Kayombo ili waweze kujibu maswali haya. Aidha wasiliana na Ofisi ya Waziri Mkuu na Rais kupata habari zaidi. Wananchi tunangoja kuona haki ikitendeka.
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 4 жыл бұрын
Inaumiza Sana pole
@bwerumaster6691
@bwerumaster6691 4 жыл бұрын
Dah bonge la movie!! Kanumba RIP angekuwepo angefanya bonge la movie!
@hosenimwelekwa6200
@hosenimwelekwa6200 4 жыл бұрын
Hahahaaaa kweli ndugu
@joshualukumay5667
@joshualukumay5667 4 жыл бұрын
mi nkisikia ivi nakata tamaa ya biashara .ila pia waziri mkuu na raisi nimewapenda. mungu awabariki.
@johnsnip1563
@johnsnip1563 4 жыл бұрын
Watu watata da yani mtu anapewa maagizo na rais lakini bado hayatekelezi
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Binadamu tuna roho chafu hata hofu ya muumba wetu hatuna tumejisahau sana
@saadomari7150
@saadomari7150 4 жыл бұрын
Haki inayocheleweshwa ni sawa na haki inayodhulumiwa,wote wanaofanya hii dhuluma wanastahili kumalizia maisha yao gerezani.
@allyabdulatif934
@allyabdulatif934 4 жыл бұрын
Mkuu was nchi anakuona mnyonge wa mungu anazulumiwa da futa wate hawa kazi
@madeintanzania2995
@madeintanzania2995 4 жыл бұрын
This is another covid-19, Mr. Presedent please make your decissions!!
@gladysalbinus7646
@gladysalbinus7646 4 жыл бұрын
Kweli hii ndio Covid
@enessamramba5542
@enessamramba5542 4 жыл бұрын
Jaman unapokuwa na shida za kiofisi kama hizi ndo utajua kama rais bado anakaz kubwa sio TRA tu Tanzania 🇹🇿 watu wa chini tunaumia sana basi tu
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 4 жыл бұрын
Maaana nakumbuka ulisema kua kesi zot uleshinda ulizo mbakiziwa na TRA nakusubili tu uon utapewa kesi ipi tena na mwanzo wa yot ni mzgo kukamatwa kutok south na kuvunjiwa maduka yako ya thamn ya milon 800 na chanzo kuvunjww ni chen tu ya shiling miatano tena usio iuza ww asant mungu allah ww ndie kila kitu
@layannalcis4789
@layannalcis4789 4 жыл бұрын
Kamabado fanya kukinukisha uende TBC
@eliaalex8118
@eliaalex8118 4 жыл бұрын
Layan Nalcis kwel
@samsonmathew7562
@samsonmathew7562 4 жыл бұрын
TBC ni kama kupeleka kesi ya nyani kwa ngedere........ Huyu anatakiwa kupata mtu kama mange kimambi ampigie kelele
@abdallaanton5210
@abdallaanton5210 4 жыл бұрын
Duuu watamuuahuyu ee mwenyezi MUNGU msaidie mjawako anatetea hakiyake kamaulivyotuagiza tusidhurumu wala tusikubali kudhulumiwa
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 4 жыл бұрын
Rais alishawambia wao wenyewe wamlinde.
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 4 жыл бұрын
Kelli mwerevu kama mayahudi👍👏
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 жыл бұрын
Muandishi unaongea kama unaogopa jamani😆😆😆 Mpigieni Rais 🤣🤣🤣🤣
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 4 жыл бұрын
Rais siyo sawa na makonda wewe
@happymaiga4963
@happymaiga4963 4 жыл бұрын
Wana movie mwende kwa Ramadhani mkafanye movie stories take itapendeza sana.
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 жыл бұрын
Sidhani kama baadhi ya maofisa wa TRA wanaamini katika MUNGU.
@benysprian3143
@benysprian3143 4 жыл бұрын
Uta shinda tuu
@masiyomasiyo
@masiyomasiyo 4 жыл бұрын
Pesa ndio mungu wao
@mariambuhanza5953
@mariambuhanza5953 4 жыл бұрын
duuuh! hii kubwa kuliko kwa Imani utapata haki yako mzee
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 4 жыл бұрын
Global is the best we want enclusive part3
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 4 жыл бұрын
Nenda pia Tanzanite KZfaq channel. Wao ndio wameanza kutoa stori hii na ipo kamili kabisa!
@bahatisejua9944
@bahatisejua9944 4 жыл бұрын
Huyu niusalama wa Taifa hawaTRA huwahawajui kwambawengine siowafanyabiashara wapokwaajili yakuchunguza hatahizo hela zamtaji zaserikali.
@mariuscyprian1235
@mariuscyprian1235 4 жыл бұрын
Sasa mjomba naanza kukuelewa
@pashcompomongo3347
@pashcompomongo3347 4 жыл бұрын
Haki haipotei.. haki yako utaipata japo kwakuchelewa mungu yupo
@mamaamourtamba7801
@mamaamourtamba7801 4 жыл бұрын
IQ yako kubwa sana big up baba
@chrissg4026
@chrissg4026 4 жыл бұрын
Mungu akusaidie, You are rl at big risk!!
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 4 жыл бұрын
Hizi ndio habari za kutuletea watanzania kwakua tunajifunza mambo muhimu mnaboa sana pale mnapotuletea upuuzi wakina amba ruti!nimependa sana hii story mungu mkubwa atamsaidia huyu baba
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 4 жыл бұрын
MADUDU YA TRA HAYO NA YAPO MENGI SANA
@isihakazombokooo1647
@isihakazombokooo1647 4 жыл бұрын
Mtafute waziri mkuu naimani utampata hao ni wezi mnooo.
@annkim2690
@annkim2690 4 жыл бұрын
😭😭😭mpaka dadake alikufa jamani Mungu anawaona vile mmemfanyie huyu mwanaume
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 5 ай бұрын
Nayeye mwenyew leo amekufa kw kujipiga risas😢
@annkim2690
@annkim2690 5 ай бұрын
@@imamuhamisi4421 waa ameruka mikojo akaangukia mavini
@moshaomary4304
@moshaomary4304 4 жыл бұрын
Waziri wa fedha mbona yuko kimya kwa swala hili nawakati nimaagizo kutoka juu ,waziri msaidie huyu mzee,
@nyangarojumanne3034
@nyangarojumanne3034 4 жыл бұрын
Nindugu wa bro k
@jamallysayd3886
@jamallysayd3886 4 жыл бұрын
Allah atakulinda mzee wetu
@mulebamnaku4130
@mulebamnaku4130 Жыл бұрын
Hizio siasa kayombo funguka mpe ni ela yake, mbona mnamishahara mono njaa gani hiyo,
@agustinokagoroba6116
@agustinokagoroba6116 4 жыл бұрын
Wakupe hiyo haki yako.
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
Kweli hyu Mha ni kiboko na ana akili za Waisirael kweli.
@user-tz9ic7jn4j
@user-tz9ic7jn4j 4 жыл бұрын
Asante sana
@enockadam887
@enockadam887 4 жыл бұрын
Never give up keep going
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 4 жыл бұрын
Haki iitapatikana
@bahatisejua9944
@bahatisejua9944 4 жыл бұрын
Niusalama waTaifa huyu yupo kazini hawakumjua
@jrayim
@jrayim 4 жыл бұрын
Mwana habari, mbona mpole... uliza maaswali nawe. Kwa mfano, hawa askari kesi zao ziko mahakama gani ili ufuatilie?
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 4 жыл бұрын
huyu mwanahabari naona ni mwoga au bado hajakomaa.
@flaviankato1697
@flaviankato1697 4 жыл бұрын
Duh kwa hili naona kuna watu watapoza vibarua vyake nimependa uyu tajir kwa maelezo yake
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 2 жыл бұрын
Duh, jamanii kufarik kwa Mzee magu, ni pengo kubwa sana,
@danielvitus8903
@danielvitus8903 3 жыл бұрын
Shikamoo mzee Wewe noma Sana, unaweza kujielezea mno ambae hakuelewi kamloge kigoma mzee nakuomba uwendelee kukaza mzee Wewe nizaidi ya chuma kunawatu kibao unaweza kuwapa ujasiri zaidi kupitia Wewe km utalipwa Mungu atakusimamia.
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema atakushindia
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
BWANA RAMADHAN hongera kwanza kwa ujasili na uzalendo, ila kuwa makini kwa kila hatuwa na kwenye harakati zako zote nina imani MUNGU atakulinda ww na family yako, usikate tamaa
@mtumishimathias7762
@mtumishimathias7762 4 жыл бұрын
Watu kama hawa kwenye hospital za Umma hawahitajiki kabisa, wapo wengi wanataka Kaza.
@sarahmwansile6007
@sarahmwansile6007 4 жыл бұрын
Magufuri ukuje huku
@sirajibakari8150
@sirajibakari8150 4 жыл бұрын
Da hii ndio nchi ya zambi da inauma sana
@ndundetommasz9158
@ndundetommasz9158 4 жыл бұрын
It's so painful, I thought this nonsense only happens in Kenya, kumbe it's all in Africa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
Afrika imeoza....sio kenya tu.
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 4 жыл бұрын
NDUNDE TOMMASZ Kenya is worse
@augustuss4503
@augustuss4503 4 жыл бұрын
This is exactly why I don't want to invest in Tanzania or Africa in general, so much injustice and corruption, na sisi Watanzania ambao tuko nnje tunakuombea ulipwe haki yako
@auxibiusmagambo7828
@auxibiusmagambo7828 4 жыл бұрын
pole sana mkuu ila angalau hata ss tumeion h
@mjige9088
@mjige9088 4 жыл бұрын
Na huyo makonda vipi asipokee simu ya huyu bwana na aliambiwa amlinde na hata SMS yake hajibu something is cooking on here
@aishakhatib3107
@aishakhatib3107 4 жыл бұрын
Huyo makonda amehucka sana tu , mafya wacjemuua
@ireneassey3685
@ireneassey3685 4 жыл бұрын
Kudadek wanavimba matumbo kwa pesaa zetu wajinga hawaa
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Hawa ni nguruwee kabisaaa
@tafsiriyaqurantukufukwakis966
@tafsiriyaqurantukufukwakis966 4 жыл бұрын
Asalam alaikum, namshauri ndugu Ramadhani Hamisi afanye video au Audio clip rasmi Kwenda kwa Mheshimiwa Raisi Magufuli, kisha aitume clip hiyo kwa njia ya whatsapp (aelezee kila kitu Kwenye clip hiyo) In Sha Allah itamfikia Raisi Magufuli, Raisi ndio atayekusaidia In Sha Allah, inavyo onyesha TRA hawana nia ya kukulipa kitu kwa njia ya kihalali (wanakuzungusha tu)
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 35 МЛН
JKLIVE | Lee Njiru: Ears of Power [Part 1]
35:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
TAJIRI WA KITUO CHA MAFUTA VICTORIA AINGIZWA MKENGE NA MWARABU
18:20
Global TV Online
Рет қаралды 272 М.
TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE
29:07
Global TV Online
Рет қаралды 510 М.
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 108 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН