Part 21a_MTU ALIYEOKOKA ANAWEZAJE KUISHI CHINI YA LAANA!?|USHUHUDA WA MCH.AMIEL KATEKELLA

  Рет қаралды 20,603

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 75
@geoffreynguma
@geoffreynguma Жыл бұрын
Mtumishi ninakufatilia vizuri sana na ninakubaliana na injili yako na ninabarikiwa
@godfreymollec8206
@godfreymollec8206 Жыл бұрын
Pole kwa changamoto maans wanadamu ni walewale hawaeleweki ila baba wa mbinguni anweza
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amina
@AnnaNgobola-pm7fz
@AnnaNgobola-pm7fz 2 ай бұрын
Mtumishi wa mungu fundisha watu watakao wajulisha malibu wale wanaokutumia pesa ili wapate a Mani kuwa umepokea ubarikiwe sana
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 7 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo akubariki kwa ufunuo huo
@etoabwe3451
@etoabwe3451 Жыл бұрын
Mungu aendelee kuibariki kazi yake unayoifanya na akupe siku nyingi za maisha ili uendelee kuifanya
@noxxete
@noxxete 25 күн бұрын
Sijafurahia hapo kwenye uisilamu, Yesu pekee ndiye njia, ukweli na uzima.
@fei3668
@fei3668 Жыл бұрын
Mungu tutunzie katekera wetu anatufungua🙌
@emelivaly1720
@emelivaly1720 Жыл бұрын
Amen muchungaji katekera be blessed thanks for telling as the truth bwana yesu akulinde na adui wanao kutafuta
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Жыл бұрын
Amen! we are together our preacher, God bless you!
@restitutawilliam455
@restitutawilliam455 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi
@user-nu9ww9ly6q
@user-nu9ww9ly6q Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu mtumishi Amen Amen 🙏
@amishambar3418
@amishambar3418 Жыл бұрын
Amina ni
@user-ms1ew1fj5o
@user-ms1ew1fj5o 10 ай бұрын
Kwasasa makanisa wanawaombea watu kupata mali na kukemea umaskini ila haowaombei watu wakombolewe katika hizi laana je itawezekana je
@etoabwe3451
@etoabwe3451 Жыл бұрын
Mungu abariki kazi zote za Mungu unazozifanya
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Baba mm nimekuelewa na umenifundsha na namshukuru Mungu sana huu ufunuo ni km niliupatq kitambo pale nilipolikqtqa jina la babu yangu laukoo maana ilibidi niitwe; GOSBERT GIDEON MWASI, MAANA BABU ALIITWA MWASI. LKN WAKAT NAJITAMBUA NILIKATAA NA HATA SHULENI NILIITWA GOSBERT GIDEON BAAAASIIIIII SASA KIFKA CHUO NKATAKIWA JINA LA3 NKAWAZA MWASI AKILI IKAGOMA NKAWEKA MUTASHOBERWA AMBALO NI KWANGU MPK LEO NA WATT WANGU MMOJA ANAITWA HAPPNESS GOSBERT MUTASHOBERWA NA WAPILI ANAITWA JANETH GOSBERT MUTASHOBERWA YANI NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA SOMO HILI LILIKOJA KWA WAKAT SAHH KWA AJILI YA MAISHA YANGU MAANA MAMBO YA BABU NKISIMULIWAGA NACHOKAGA ASE,,,,,, SO KATEKELA WW NI JIWE LA KUSAGIA NAKUITA HVO
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 Жыл бұрын
Hiyo ni kweli mtumishi, ila mm naomba Mungu akulete Mombasa Kenya tu tukuone pia
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Jamani Uwiiiiiiii wazaziwamejua kutukomesha
@EmanuelyjumaTimbula-hf7zu
@EmanuelyjumaTimbula-hf7zu Жыл бұрын
Akika Mungu amexhakubariki
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
Nimekulewa sana MWINJILISTI wa MUNGU Amen Amen 🙏 🙌
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@FloridaSyombua
@FloridaSyombua Жыл бұрын
Hakika mungu akubariki
@fedytemba7541
@fedytemba7541 Жыл бұрын
Amen nafwatilia
@KHATIBUSENYE-ss3ok
@KHATIBUSENYE-ss3ok 3 ай бұрын
Nimukuelewa mtumishi mimi mmojawapo nilie kupgie sana Jana
@nyasabatubae2875
@nyasabatubae2875 Жыл бұрын
Ubarikie sana mtumishi
@KHATIBUSENYE-ss3ok
@KHATIBUSENYE-ss3ok 3 ай бұрын
Mchungaji naomba ufike tukuyu mungu akujalie na kukupigania
@musaondieki2493
@musaondieki2493 Жыл бұрын
Hata mmi mchu ngaji nakuitji sana mno you have to balance people
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 Жыл бұрын
Niko hapa naingoja
@angelalex8727
@angelalex8727 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi nimeelewa viziri sana
@marionoti5760
@marionoti5760 Жыл бұрын
Acha kuwalisha watu wa Mungu matangopori kwa manufaa ya tumbo lako. Yale ya yuda eskarioti sasa yafanywa wazi. Kumbuka pazia la kanisa lilipasuka katikati, wote tu huru kujongea kwake.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Pole na hakujibu na sisi hatukuelewi acha tuyale matangopori unaumiann apo
@fedytemba7541
@fedytemba7541 Жыл бұрын
True niliona Mtumishi but our God is in control
@JeremiaShimba-cq8mq
@JeremiaShimba-cq8mq Жыл бұрын
Mtu wa Mungu Bwana ni mwema? naomba kuuliza je kazi ya uanajeshi ni nzuri katika kuishi yampendezayo Mungu?
@nelsondioniz4212
@nelsondioniz4212 Жыл бұрын
Niko pamoja nawe mtumishi
@AgnesKarara
@AgnesKarara 2 ай бұрын
Mtumishi naomba niombee ninataka maombi yako maana nitapona tu hata kama uko mbali naumwa ganzi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Katekela m1 tu mitume wa Tanzania hii wenye marenjiii wanaingia 77
@raelnangila3006
@raelnangila3006 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana muchungaji wamungu
@roidayoab9918
@roidayoab9918 Жыл бұрын
Wewe ni mtumishi wa Mungu kweli Yesu akubariki sana
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Mtumishi,ubarikiwe! ila binafsi napata shida sana kuelewa.Nasumbuka.
@daphine8229
@daphine8229 Жыл бұрын
Mchungaji weka wasaidizi wa kukusaidia na record za calls, labda itasaidia
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Uwe na Amani tuu
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Nikweli mtumishi nakuelewa
@saradavirginia-kd7tn
@saradavirginia-kd7tn Жыл бұрын
Mungu akubariki ila umekuwa adimu kweli kweli
@thomasmmoka4884
@thomasmmoka4884 Жыл бұрын
Kwa Wakatoliki: Mch. Amiel Katekela anafundisha Dhambi ya Asili na Laana zake.Sakramenti ya Ubatizo,Ekaristi na Kipaimara huondoa Laana hizo.
@evermayala5817
@evermayala5817 2 ай бұрын
Sema masakramenti hayo hayatoshi maana dhambi inazoofisha utukufu. Hivo lazima kupokea masakramenti kutubu na kuacha dhambi.
@noxxete
@noxxete 25 күн бұрын
Uwongo mtupu huu. Damu ya Yesu pekee ndo huondoa laana zote.
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Жыл бұрын
Sawa sasa mchungaji ukiongea hivi umuhimu sikuyajua tu haya unayoyaongea bali tunahitaji suluhisho. Baada yakutueleza hivyo je suluhisho nilipi? Tufanyeje ili tujiondoe katika laana hizi?
@apostlezizi
@apostlezizi Жыл бұрын
Yani haya maagano yamenisumbua sana, sikuwa naelewa wakati tunashiriki kufanya ila matokeo ndio saa hizi yanaonekana,kizazi kimeisha tumebaki wachache mno
@FloridaSyombua
@FloridaSyombua Жыл бұрын
Huduma yako ni kubwa , wacha neema ya Mungu ikubariki
@FloridaSyombua
@FloridaSyombua Жыл бұрын
Neema ikutoshe
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 Жыл бұрын
🙏🙏🙏💪👍
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ndo mjue kuwa watumishi huko nyuma walifanya uzembe
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Agano Jipya la Neema na Kweli lilikuja na lipo kwa ajili ya watu wote. Ktk Agano Jipya tunapata Neema ya Wokovu bure kwa njia ya Imani, tofauti na Agano la Kale ambapo wana wa Israel walipata Wokovu kwa njia ya Sheria. Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel, ambapo mwisrael akivunja sheria anakuwa chini ya laana. Ktk Agano Jipya mtu anaingia kwenye Agano kwa KUOKOKA. Ukiisha Okoka unakuwa umetoka ktk Laana. Laana zote zinafutwa kwa Damu ya Bwana Yesu Kristo. Unafutiwa dhambi zote. Unakuwa kiumbe kipya. Haya mafundisho ya kuwa mtu aliyeokoka anaweza bado kuwa chini ya laana, yanatoka wapi jamani. Hii ya Mkristo aliyeokoka kuiita quran kuwa ni tukufu; roho inayoukiri uislamu kuwa ni imani ya kweli ina asili kutoka wapi jamani? Kama mtu aliyeokoka anaweza kuwa chini ya laana, basi, Biblia inajipinga yenyewe juu ya kusudi na matokeo ya kazi kubwa na ngumu aliyoifanya na kuikamilisha pale Msalabani. Ndugu zangu tuwe na tahadhari, hizi ni siku za mwisho, kutakuja walimu wengi. Watadai walikuwa Kuzimu; walikuwa Mbinguni, n.k. Shetani-ibilisi ameanza kutumia mbinu mpya, amewaingiza watu ndani ya Kanisa la BWANA kwa sura ya kuwa ni watumishi wa Mungu. Tuwapime sana kwa Neno na kumwomba Roho Mtakatifu atafunulie, vinginevyo, tumekwisha. Ukishaokoka, huwezi kuendelea kuwa chini ya laana ya aina yoyote ile.
@georgettadavid6826
@georgettadavid6826 7 ай бұрын
Ukisha hokoka unatika katika laana ya dhambi lakini zile laana na agano ulizo wekewa wewe wakati ulikuwa katika dhambi no lazima uzivunje ndio zinavunjika hata kama ukiwa umeokoka na aujavunja agano na laana izo bado tu zitaendelea kukusumbuwa na kuzuiya mafanikiyo yako
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 6 ай бұрын
Ukiokoka huwi chini ya laana laana zipo umeokoka ili uziondoe laana mfalme daudi anatubu mpaka zambi ya mama yake kuwa alichukua dhambi hatiani
@uwasedative-ol4eo
@uwasedative-ol4eo 27 күн бұрын
Ubalikiwe muncungaji
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Жыл бұрын
Sasa tufanyeje mchungaji ili tujitoe katika laana hizi
@user-dd9fc1vt4p
@user-dd9fc1vt4p 5 ай бұрын
Sasa mchumgaji tufanyeje?tuna haja na wewe
@Priska247
@Priska247 Жыл бұрын
Baba watu hawataki kuelewa tu ju umeeleza vizuri kuusu Kanumba ila watu hawasikiyi na kuelewa na shida ni hawa wasiojuwa ulimwengu wa roho uko
@josephshuma1975
@josephshuma1975 Жыл бұрын
Tusaidie ufumbuzi sasa tufanyeje mtumishi ?
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Жыл бұрын
acha kufananisha biblia na kuruhani biblia inajitoshereza
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Hujielew ww
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 Жыл бұрын
wew mchungaji alafu mgumu kuelewa
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Жыл бұрын
@@joshuabartonpolelaab4985 huwezi kuiita kuruhani tukufu ina utukufugani kunashirika gani
@SalimuLusingu
@SalimuLusingu 2 ай бұрын
,) 7:27
@Lucykagz
@Lucykagz Жыл бұрын
Naam mtumishi nimekuskia ila sijakuelewa kuhusu dini ya uislamu kuwa ya kweli vp hapo? 🤔🤔🤔🤔
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Uislam manake ni utakatifu, yani NENO UISLAM KISWAHILI CHAKE UTAKATIFU SO WAISLAM WANAPOJIITA WAISLAM MANAKE NI WATAKATIFU, MM NDO NILIPOELEWA
@Lucykagz
@Lucykagz Жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 NAOMBA JIBU FROM KATEKELA HIMSELF KINDLY PLEASE 🙏🙏
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
@@Lucykagz basi nisamehe please
@Lucykagz
@Lucykagz Жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 It's okay
@KHATIBUSENYE-ss3ok
@KHATIBUSENYE-ss3ok 3 ай бұрын
Jibu dogo tu wenzio waislamu wanafuga majini wanaita malaika ni kweli lakini ni malaika walio muasi mungu nasisi tunakemea majini na mapepo kwani yanatesa watu kupitia Hilo huwezi elewa sasa kuwa kumbe kunawatu Wana abudu shetani Moja kwa Moja na wakiomba hela wanapewa kwa ufupi mtumishi mshikilie Yesu ndo jibu
@njockjanes3897
@njockjanes3897 Жыл бұрын
Amina
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 Жыл бұрын
Enyewe ni kweli kabisa hupokei simu wala hujibu massage Niko Kenya hata nilifuta hiyo watsup...namuona Tu promover tv
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 67 МЛН
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 7 М.
VUNJA NGUVU YA UISLAMU NA MAJINI | Sikiliza Ushuhuda wa Shekhe Aliyeokoka.
1:38:46
Neno la Ufunuo Ministry
Рет қаралды 9 М.
UTENDAJI WA MALAIKA TUNAPO OMBA USHUHUDA WA ELIZABETH
16:09
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 3 М.
KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024
1:24:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 72 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН