PART1:KIJANA ALIEPELEKWA MAKKAH NA FREEMASON NA KUCHUKULIWA VITU MWILINI/NIMEJICHUA MIAKA 19

  Рет қаралды 13,451

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 162
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Karibu kijana wa kupanda mnazi Kwa mkono mmoja hii atari sana
@isakamwambenja7397
@isakamwambenja7397 Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Davista
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 жыл бұрын
Hayo macho yake tu Yy mwenyewe ni shetani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shukrimusa528
@shukrimusa528 2 жыл бұрын
Watanzania bana.wanapenda kuskiliza stori za uongo
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 жыл бұрын
Hautaki kukubali ukweli.
@briandeflugel9055
@briandeflugel9055 2 жыл бұрын
Hata hapa jirani 🇰🇪 tunapenda story za ukweli... Shuhuda za kweli... Mr Facts endelea vivo hivo.....
@isakamwambenja7397
@isakamwambenja7397 Ай бұрын
Mungu akuinue na azidi kukulinda sana
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 2 жыл бұрын
Nimegundua kuwa hiki kipindi kinaupotoshaji mkubwa kwenye Iman hasa dini ya kiislam mwanzo nlikuwa najifunza sana kwa story za kweli lakini nimekuja kugunduwa hii online tv ni ya dini flani na inatumika kuchafua iman flani na kuitukuza imani nyingine kuwa ndio sahii !
@dcobrafitness11
@dcobrafitness11 2 жыл бұрын
That’s True Bro Kwa muda mrefu Nilikua Nafatilia Hiki Kipindi Kilikua Kizuri But Now Inaonekana Zahir Kua Jamaa wanapondea Dini Fulani Kueka Dini Fulani Juu Ingawa yeye mwenyewe anasema Hazungumzii Dini Ya mtu Lakini Sio Kweli Davista Stop Doing This Shit Bro Utapoteza Baadhi Ya mashabiki
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 2 жыл бұрын
@@dcobrafitness11 kabisa bro jamaa mnafki sana binafsi mi nimeshampoteza !unapoitaja makkha inaamana kubwa sana kwa historia ya waislam,ni mji takatifu alafu wee unakuja kuichafua kirahisi hivyo kwa story za uongo
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 2 жыл бұрын
Me nlilona ilo mda mref kias mapenz yang kwa kipindi yame pungua
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Hata mimi zamani nilikua addicted na hiki kipindi ila nimegundua kuna upotoshaji na ukandamizani wa dini ya kiislam ila nawambia tu mkikubali mukikataa kuwa hakuna atakae fanikiwa kuuchafua uislam hata mkijaribu vipi kwani wameshindwa mapadri wa rome na nchi kubwakubwa waliotangulia karne za nyuma kila wakijaribu kutia dosari uislam ndio zaidi makafiri wanafatilia na kujua ukweli mwisho wake wanasilimu . Kwahio dini ya haki ni uislam na haki itabaki kuwa haki hata mukifanyaje nikuhangaika bure na kujipalia makaa mbele ya mola wa haki nae ni Allah huo ndio ukweli usiopingika mkikubali mukikataa.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Unafata nn kuskliza apa we vp lkn Adam hukui tu? Skia nkwambie kitu uislam Ni ushilikna kwan wemwenyewe sishahd wamambo hayo? Au ulipo biashala yako iyo unaiendeshaje? Acha unafk ukguswa unalukaluka
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 жыл бұрын
Ahsante Davista hii inaonekana ni ya kipekee sana, tufunuliwe siri za arabia.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
😹
@officialczeey9619
@officialczeey9619 Жыл бұрын
Tukisambaza story kuwaaminisha watu, tukumbuke Mungu hapendezwi na Uongo. Mungu amsamehe
@bluebrown5566
@bluebrown5566 2 жыл бұрын
Hio nguvu ambayo aliyopata akiwa kwenye hatari inatwa adrenaline rush na kilamtu anayo wakati wowote wa hatari.
@JamallyHMlela
@JamallyHMlela 2 жыл бұрын
Story za huyu Davista ukizikiliza vizuri kwa sikio la story za Kweli hakuna ukweli wowote
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 жыл бұрын
Mara nyingi nyie mnaobisha bisha ukweli ndiyo wachawi wenyewe.
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 2 жыл бұрын
Achana nazo tuachie tuojua maandiko na namna Mungu aishivyo
@JamallyHMlela
@JamallyHMlela 2 жыл бұрын
@@austorb.nyondo2708 Sawa bwana maandiko kujua
@JamallyHMlela
@JamallyHMlela 2 жыл бұрын
@@noelbernard6390 Sawa mtabiri
@acimamalingano8556
@acimamalingano8556 2 жыл бұрын
Pamoja saana Mr everything 💪
@newtonrobert9525
@newtonrobert9525 2 жыл бұрын
Wa kwanz kucomment tuko pamoj san davista
@tydookoh2146
@tydookoh2146 Жыл бұрын
Nice
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 2 жыл бұрын
Kwanza msimuliaj yuko vzr anaonekana katulia hapa katikat wasimuliaj wengine walikua wanatia uvivu ad umuulize maswal
@kimjey0012
@kimjey0012 2 жыл бұрын
URONGO MTUPU HAPA STORY ZA KUTUNGA
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Maisha ya watu washirikina hayapendezi. Waongo wanahadaa watu ati wanajua madawa ya kuishi mtu asidhurike na wanyama wakali kama vile viboko, kwa nini hawana dawa ya kuepuka mauti? Heri kuacha mila potofu na kuwa Muislamu, kwa kuwa Allah ndiye mwenye uwezo wa kila Jambo.
@ciikuthemillennial.3082
@ciikuthemillennial.3082 2 жыл бұрын
Jina la Yesu!
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Yesu kuku tu
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 жыл бұрын
Amina 🙏🤔
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
@@husseingabo5497 usijaribu kumtukana yesu kwani Yesu sio kuku , yesu ni mtume wa mmungu na biblia imethibitisha hivo ila wanakosea kusema yesu ni mungu.
@hope_402
@hope_402 2 жыл бұрын
@@husseingabo5497 Ipo cku utatamani ubadili hayo maneno...Mungu akurehemu!!
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
@@hope_402 Mimi siwez kuabudu kiumbe kama Mimi
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Kwanz ifahamike Makkah ni wapiiii.....msihusishe dini na mji ni vtu tofaut cos huko makah pia kuna wat waovu maan ni binadam hakuna aliyekamilika ......
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 2 жыл бұрын
Relax dawa ikuingie... Dunia hii n zaidi uijuavyo
@mamananga2849
@mamananga2849 2 жыл бұрын
Umeongea sahihi
@DWAYNEKI
@DWAYNEKI 2 жыл бұрын
@@lutufyodixon9997 hua mpo wepesi na haraka kujibu mkiskia tuu hata ukucha ukitajwa Uislam faham kwamba kila dini inawatu wakuipinga na lazima DINI YA HAKI IPIGWE VITA NAMAADUI...
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 2 жыл бұрын
@@DWAYNEKI wewe ukiwa mchafu na ukiambiwa kuwa n mchafu yamaanisha unapigwa vita? Panua uwezo wako wa kufikiri mzee
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 2 жыл бұрын
@@DWAYNEKI 1. Unajua kuwa Makkah ya Saudi Arabia siyo Makkah ya kwenye Koran? 2. Kibla ya misikiti ya kale ilikuwa haielekei Saudi Arabia na hata ile misikiti ya yerusalem ilikuwa haielekei huko? Wajua n kwanini? Mitandao ya kijamii n mahali pa kutoa tongotongo na si mahali pa kutaka kila kitu kiwe vile unavyotaka wewe. Ukiambiwa jambo ambalo hujawahi kusikia au lenye kuleta ukakasi basi tumia muda kujifunza zaidi na usiwe mtu wa kujihami kuwa watu wanakashfu. Hiyo n tabia ya mtu asiyetaka elimu na maarifa
@suzanadeimamo7726
@suzanadeimamo7726 2 жыл бұрын
Sawa
@tatuluanda6581
@tatuluanda6581 2 жыл бұрын
Pelekeni na story zenu za michongo hizo mim huwa siamini mambo ya kishirikina hizo
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 жыл бұрын
Mara nyingi wanaojidai hawaamini ushirikina ndiyo mnakuwaga wachawi na washirikina
@valerieobanya5172
@valerieobanya5172 2 жыл бұрын
Everyone's body releases adrenaline especially when in danger.
@juliusmushi6428
@juliusmushi6428 2 жыл бұрын
Sauti imepita hiviiiii
@nyawebabu5644
@nyawebabu5644 2 жыл бұрын
Nyie chafueni usilamu lkn wasomi wa ulaya na wamerika wasilimu nyiny tafuteni kiki
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Umeona eee Waache na kiki hao, wakristo wenzao wamejikita kutafuta uislam huko ulaya na wanaingia ktk uislam makundi kwa makundi wache wa tz wapige kiki wasitafute haki na wala Allah hahitaji chochote ila sisi ndio tunamhitaji Allah so nyie makafiri endeleeni na kiki mkp mutiwe kaburini mkifika huko hakuna yesu mlokua mkisema km kafa kwa dhambi zenu ila yesu mwenyewe kasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hio ikifikaaaaaaa.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Unachobisha Ni nn sasa
@jkkim3848
@jkkim3848 2 жыл бұрын
Hakupenda kuoga ,🤣🤣🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
😹
@ANITHASTEPHEN-bs1ee
@ANITHASTEPHEN-bs1ee 11 ай бұрын
izi ndio story sasa
@ANITHASTEPHEN-bs1ee
@ANITHASTEPHEN-bs1ee 11 ай бұрын
izi ndio story
@husseinkiruta1712
@husseinkiruta1712 2 жыл бұрын
8:2 Quran Waislam wa kweli hawaamini mizimu,shetani ,mapango ,nk Note:shetan Ni sifa anaweza kuwa binadamu au jini . Uislam Ni dini Kuna tabia za mtu Fulani na dini Ni vitu viwili tofauti Mfano kisu unaweza kukutmia vizur au vibaya inategemeana na matumizi yako Wenye akili ndyo wanaelewa 5:90 Quran Bila shaka ulevi,kamari ,kupiga ramli (uganga )Ni kazi chafu ya shetani jiupeshe navyo ili upate kufanikiwa Note.huo Ni ushirikina wa familia zenu
@aiahadoha4550
@aiahadoha4550 2 жыл бұрын
Hawamini mizimu na muko nayo misikitini majini mashetani heeeeeeee hebu nicheke kidogo kwa maana hujui usemacho soma vizuri hiyo karatasi yenu ya mashairi mlopewa na majini ndio utajua aliambiwa nni na hao miungu yenu ndio ujiekewa wasema nni pimbi mkubwa shetani aletubwa duniani akapokekewa na huyo shetani mwenzake kuwapotosha nyinyi eti dini ya haki nyoo toka huko kuzimu wwee ukarithi ufalume wa MUNGU mbinguni milele Kisha mkadanganywa kua mumewekewa wanawake wa saizi yenu mukaoe duuh makubwa
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Said well bro I hope wataelewa wenye akili na wenye kutaka kujua haki sio wenye kupenda kiki na ushindani.
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Kweli umefafanua kwa upeo mkubwa sana juu ya kuijua kweli kwa upande wa uislam, ila mi nna viswali kidogo. Katika kuzungumzia (Fildaus) kama sijakosea huko wanasema kutakua na Mito ya Pombe yaaniau mnamaanisha mmekatazwa kunywa duniani ili mkanywee huko, je hii imekaaje? Pili huko (Fidaus) huko mmeandaliwa mabinti Mabikra kila anafanikiwa kufika huko anakabidhiwa mabinti 82 na wana utamu zaidi ya mara 2 na wahuku duniani, lakini wanawake wa kiislam hapa duniani pepo yao ipo hapahapa Duniani yaani ni kumuudumia mumeo hapahapa, kwanini hii Dini imemdharau mwanamke kiivyo? Hayo ni maagizo ya Mungu au Muhammad mtume wa waislam?
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 жыл бұрын
Mtume alisema majini wengine ni waislamu
@ahmadlitwe7190
@ahmadlitwe7190 2 жыл бұрын
Na Majini wengine ni wakristo pia lakini wapo mabudha mayaudi na dini nyinginezo kama ilivyo kwa binadamu
@vitalisonyango6708
@vitalisonyango6708 2 жыл бұрын
Kagera ituma ni wachawi wengi wanakaa huko
@mkukistore2816
@mkukistore2816 2 жыл бұрын
kijana alikua anajikulia sheria mkononi sijajua, yani alikua anakamua nyoka au?😃😃
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 2 жыл бұрын
Mr facts!God bless you bro
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Natafuta mchumba mimi nimwanamke nahitaji mwanaume mwenye malengo anaejua kufikiri vzr asiwe wakupnda starehe asiwe. Mlevi awe na mapenzi ya dhati. Mimi umri akiwa miaka 28..hadi kuendelea
@khadijahassan3761
@khadijahassan3761 2 жыл бұрын
Zaituni mamy wanaume kweli maweisha mpk uanze kuwatafuta mitandaoni ok Allah akuongoze kipenz
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
@@khadijahassan3761 🙏🤣
@acimamalingano8556
@acimamalingano8556 2 жыл бұрын
Gs
@isayamichael4085
@isayamichael4085 2 ай бұрын
Mtu makinii
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
davista wameni maji hawa waelezaji jamani mbona mnafeli
@ramadhanisalum3548
@ramadhanisalum3548 28 күн бұрын
Muongo tu huyu kibaka
@tututz100
@tututz100 2 жыл бұрын
ANAPENDA NYU
@shaloboy3861
@shaloboy3861 2 жыл бұрын
Macca akuiingi viumbe wachafu awache unafiki nimechunguza mtu akitaka kujitangaza kua askofu anaanza na propaganda za kisenge
@aprilking8250
@aprilking8250 2 жыл бұрын
Maca sio mbinguni
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
makkah si ndio majini walimuita Muhhamad akawafundishe Quran?? si ndio kunamsikiti unaitwa al jinn??
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
@@jesusislord9190 Km huna elimu usiongee pumba acha chuki za kidin ww unadin yako na waislam wanain yao ko acha tupumue ukwel nipale tu pumzi itakapofunga utajua ujui mbuzi ww
@habibadaudi8242
@habibadaudi8242 2 жыл бұрын
Hatari watu wanafuta ela
@fatumakhamisi1002
@fatumakhamisi1002 2 жыл бұрын
Hapo ndipo waamini wa Dini za Ibrahim mnaponichoshaaa ,na hapo ndipo nilipozikataaa maana kimsingi haziwasaidii zaidi ya kuwagawa na kuwapandikiza chuki tu zisizo na msingiii ,haya heri yenuuu
@mhabimina4023
@mhabimina4023 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👌
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
sikia kiboko jamaa kanikumbusha madhira yaliyonikuta ziwa Rukwa..daaa...ebana eee..
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
Mimba mwaka na miezi Sita so angekufa
@rahmanassor5898
@rahmanassor5898 2 жыл бұрын
Muendelezo wake
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 жыл бұрын
Acheni ujinga
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 2 жыл бұрын
Uongo
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
Are Siri za freemason wamuache huru...wengi wao ni waongo .wachache sana story zao za kqeli
@jkkim3848
@jkkim3848 2 жыл бұрын
Unahiari ya kutoskiza
@habibadaudi8242
@habibadaudi8242 2 жыл бұрын
@@benjathekingofficialshows mm nipo arabu mbona sjasika baya lolote Jamani Ila Dunia Ina mambo Wallahi
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
@@habibadaudi8242 Kwani we unamacho yakuona kila kilichopo mbele yako? Au una masikio yakusikia kila lisemwalo ndani ya huo mji? Basi jua hata hao manabii ulio wahi kuwasikia kila mmoja alikua na Karama zake za kilichotokea na kuendelea kipindi cha utume wao, hivyo we upo tuu na macho na masikio ya nyama sio kibinadamu hivyo huwezi jua chochote.
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
@@benjathekingofficialshows Siri gani za uarabuni ungependa kutoa? So utoe za uko unakoishi kama unadhani watu wana haja ya kujua? Siri ni za mambo mema au mabaya. Kama ni mema basi Waarabu wako na kiuyfhhh
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 2 жыл бұрын
Mi sijaelewa wabura ni jina la baba yake na mama yake ba babu 🤣🤣🤣
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
🤣🤣
@aprilking8250
@aprilking8250 2 жыл бұрын
Jamaa anaongea vizuri sana
@acimamalingano8556
@acimamalingano8556 2 жыл бұрын
Fg
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 жыл бұрын
Nyie waislamu msikimbilie kukataa tu hapa wakati Dini yenu inaamini ushirikina, mtume anasema majini wengine ni waislamu. Masheikh wengi nyuma ya pazia ni.....
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Majini ni viumbe kama wanadamu ila hawaonekani. Shetwani ni miongoni mwa Majini. Na wapo wa kila kabila na kila Dini. Wapo wachawi wapo wanaomuamini Mwenyezi Mungu. Waislamu wanawajua kwa kusoma Qur'an. Wa ni viumbe. Haifai kuwaabudu wala kufuata ushirikiano na wale wabaya ili kuwadhuru watu. Hata Isa (Jesus) yasemekana aliwatoa wale evil spirits waliokuwa wameingia ndani ya mtu.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 15 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 9 МЛН
ШУНДАЙ ЯХШИ ВИДЕОГА ХЕЧ КИМ ЛАЙК БОСМАЙДИ
0:15
Муниса Азизжонова
Рет қаралды 3,5 МЛН
I Can't Believe We Did This...
0:38
Stokes Twins
Рет қаралды 23 МЛН
He has no power to use all tomato 🍅 🤣
0:15
LikvoFam
Рет қаралды 4,4 МЛН
He has no power to use all tomato 🍅 🤣
0:15
LikvoFam
Рет қаралды 4,4 МЛН
Когда Нашёл Нового Друга в Диснейленде ❤️
0:18
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,1 МЛН
Vampire Girls FIGHT Over Boy 😈
0:32
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 8 МЛН