PART44:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 15,108

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 286
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Wakenya twakupenda sana Dav na Zab❤️💓🇰🇪🇧🇭 Mia Mia kitabu nakihitaji kijana yangu anapenda mastori sana
@babymkuya359
@babymkuya359 3 жыл бұрын
Wa60 naomba like nimejitahid
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Twende kz
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣
@faifidelis3041
@faifidelis3041 3 жыл бұрын
Nimetokea kukupenda zabron mm nitakununulia camera nipo india kwa sasa nitakucheki whtsup mungu akujalie kwa kira unachokifanya
@jameskamwaji244
@jameskamwaji244 3 жыл бұрын
mh
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Zablon ni talented sana
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Dav tunakesha sababu ya Zabron ok tuendelee
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
😀 Zabron utata ulikusumbuwa wakati Wa nyuma lakini ulifanikisha ukaongoza maneno kwa Angel akakufaham hongera na pole nyingi kwa msiba Wa Angel
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 жыл бұрын
Katika watu waliopendwa kweny Chanel NI HUYU CHIEF ZABRON.....yan tumekukubali mwanetu
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
Ata Sisi pia tumempenda
@rebeccapmashauli2648
@rebeccapmashauli2648 3 жыл бұрын
Kabisa
@rahemahassan3015
@rahemahassan3015 3 жыл бұрын
Hatariiiiiiiiiii na nusu hakuna kulala wa kwanza leo💃
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Lakn mm nakushaur umtafute Zaid Mungu Jehovah,kwa kua msaada wa Shetan hayafiki mbali,usimtegemee malasta kwa kua naye ni mwanadam tu,
@mayaalmahrooqi1345
@mayaalmahrooqi1345 3 жыл бұрын
Kumbe bado tunaendelea ok pamoja
@janendzadze7179
@janendzadze7179 3 жыл бұрын
Number ya marastar Davistar
@igurusitv6553
@igurusitv6553 3 жыл бұрын
Hilo Basi halikuungua manyoni singida, liliungua maeneo ya singida mjini nyuma kidogo na ilipo stend kuu sasa hivi. Kipindi linaungua mimi nilikuwepo maeneo hayo coz tulikua tunajenga ile barabara na kampuni ya kichina ya cietco. Kutoka raundi about ya mkoani mpaka ikungi. Nakukumbuka Sana hii ajali watu waliungua mnoo
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Safii sana tupo pamojaa tena sanaa
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Jamaaa katesek kwl
@djmack768
@djmack768 3 жыл бұрын
First one gonga like hapa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@user-vh7ry4ip8r
@user-vh7ry4ip8r 3 жыл бұрын
Pole kaka utafanikiwa kwa uwezo wa allah.tunataka kumuona mpenzi wako aliyefariki toto la kiyarabu
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Fb Zabron c mwita utamuona Angel
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Nenda fb utamuona toto LA kiarabu
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Pole sana kwa matatizo mkulungwa
@remigjohn4843
@remigjohn4843 3 жыл бұрын
Jiwe juu ya jiwe
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Si chakula Mr Davistar . Angepakua mzigo yani ngozi manyoya I say .
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Dunia inamambo walah...duuu Mungu tusaidie peke yetu hatuwezii
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Asante kwakujifunza vitu
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Duuu Zabron umepitia mengi dooo AISSEH mungu ni mwema sana
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Leo nimekutime Davi😂😂👯💃🏾
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 жыл бұрын
Halowwww ! Dv my. Son part 45..plzzzzzz !
@ddumba2815
@ddumba2815 3 жыл бұрын
WAKURYA HUWA NI MAGENIUS AISEEE.🦸🦸🦸🦸🦸
@davidkizito6900
@davidkizito6900 3 жыл бұрын
Dumba nawe eno bulijo olumbisayo, duh
@douglasorina9314
@douglasorina9314 3 жыл бұрын
Leo number one
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Masharti kibao waaa lkn shukuru Mungu kivuli kimerudii uko chonjo
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Halloo number 1 kwa mpigo like yangu jameni
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Aysha leo uwapiii shoga angu pili njoo dear mambo tayar....
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ndiyo numefikaa shoga angu kipenzi. Asante
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Npo 💃💓💓💓💓💓💓💓
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Shkuran 😍😍😍😍😍😍😍
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
ooh Angel wetu jamanii,akafa na sura yote ile bana
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Team kuchelewa 💃
@evelyneakech2677
@evelyneakech2677 3 жыл бұрын
Nmbr 1 representing 254💃💃💃💃💃🥂
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
Maskini Angel 😭😭. Pole sana bwana misosi aka Srila
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Yes mwamba shukran umetupa namba
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
Pole Sana mr zablon chifu kikalo kwakweli umepitia mangumu Sana sisi tupo uarabuni tutakuwezesha tu usjl inshallah tumepara ni ya wsap tutaongea
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Zablon imani yako umeijenga ktk Mizizi, lkn kufanya biashara bila ndumba inawezekana. Pia kutoa zaka na Sadaka ni lazima utoe, kwani usipotoa kanisani utapeleka tu lazima kwa Waganga.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Duuu kivuliweeeeeee yani mitihani kwahiyo sahii uko full shadow😄😄😂😂😂😂
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Duu hiki kivuli navyo kichunga kila nikiamka lazima nikasimame juani nikicheki kama kipo japo hiki cha kawaida kisije kusepa,😂😂😂😂😂
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wallah unanivunja mbavu chakawaida kiko ila hicho chamwilini ndounakuta mtu anaambiwa kaekwaa kwanywe chupa ndohiyo hiyo hali sasa kikitoka ndokinakutokea mwenyekivuli🤣🤣🤣hadi kieudishwee sahii ako full
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Leo imecheleawa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Pia mie
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Davistar tupewe no ya marastar
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Duuu pole sana kupigwaa nasufuria kwamali yako wanawake wengine bn Ndomm sipendi nikieka sim kwamtu charger bila kuifungaa mana wengine hata hela huibaa nasasa walikutumia SMS iliuonekane wwe jambazi waaa
@bisunmwamini6993
@bisunmwamini6993 3 жыл бұрын
Jamaa story yake nzuri lakini hualisia wake mdogo!mambo mengi amejiongeza!!!
@halimaabduli562
@halimaabduli562 3 жыл бұрын
Dah story nzuri sanaa nafatilia mwanzo mwisho Davista plz naomba namba
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
26:19 jamaa hataki kuzungumzia misosi!!!!!!!!🌟
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mambo yakubuni huwa sio xuri huyo mama nawanae yani afungwee tuu buree kisa Mali zako waaa pole sana mzee babaz
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Mimi sikulaum Zabron, ila nalaumu wazazi,make ukizaliwa na mzazi akiwa ktk kitu anachokiamini na kukiweka mbele zaidi ya vingine na ww ni lazima utakuwa hvyo.
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 жыл бұрын
Davister ujue usiwe mzito kuelewa....kula kula imoo
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@violethnatai7890
@violethnatai7890 3 жыл бұрын
Marasta oyeeeeeeee Zabron unamfanyia marasta promo
@reaper5534
@reaper5534 3 жыл бұрын
Damu ya Yesu ndio kinga ya kila kitu diniani ndugu zangu. Tumpokee Yesu na tumtegemee yeye na sio wanadamu jamani. Zabron Yesu anakuita. OKOKA SASA🤲
@g.d.d1481
@g.d.d1481 3 жыл бұрын
La nibala kabisa ulimwengu unamengi
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
insha'Allah
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Hay sasaaa njoo wapenzi🔥
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Tumefikaa. Asante
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Nimefika pamoja sana Dr sule
@angeljasson4376
@angeljasson4376 3 жыл бұрын
43 please
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Hii project editor wako ameislow ndy maana jamaa anaongea Kama amelewa...
@success-ly9ik
@success-ly9ik 3 жыл бұрын
Una kumbukumbu ajabu. Nakukubali aisee
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Wa kwanzaaa💃🏾💃🏾💃🏾
@chauligemeka7840
@chauligemeka7840 3 жыл бұрын
Nalala ntaidamkia kesho Inshaallah
@user-bj5tm3ne8g
@user-bj5tm3ne8g Жыл бұрын
Mungu peke yake anatosha hakuna cha mganga wala nini usherani mtupu baraka njema inatokankwa Mungu peke yake
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
😰😇 hayo mambo ya kivuli inaogopesha,zabron umepata misuko suko mpaka ushakua sugu naona huna uoga tena walaah.🤔😔
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Mbona hamuji mambo teri uwanjan mm ndio wa kwanza karibuni
@stivenmgonja5908
@stivenmgonja5908 3 жыл бұрын
In the building
@mshua337
@mshua337 3 жыл бұрын
RIP ANGEL
@faifidelis3041
@faifidelis3041 3 жыл бұрын
Unajua devista ww unae unapenda kumchokoza zabron eti unakula nini ahahah jamani nawapenda nyinyi
@husnaharuna5480
@husnaharuna5480 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣utajua mwenyewe bwana davistar umezidi kuuliza
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@YOHANAALOYCE-sr3yg
@YOHANAALOYCE-sr3yg 5 ай бұрын
So nice
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Kwa maelezo ya Zabron,nahisi hata mimi sina kivuli.Naziona dalili😲😲😲
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Yaani nimecheka huku naogopa
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
@@happyoshea Malasta ananihusu😲😲😲
@happylife349
@happylife349 3 жыл бұрын
😅😅😅😅umenichekesha sana, japo ckujui! Huenda kivuli unacho lkn upo broke tuu hahahah Et dalil naziona
@josephmassae2117
@josephmassae2117 3 жыл бұрын
Zabron niambie mzee wa misosi!🤣🤣
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@happylife349 😂😂😂😂😂😂
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Dah mohed trans iliua watu wengi sana pole.. Hema pia wakwetu singida
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Hongereni mulio wahi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Tena bila coment😄😄😂😂🤣🤣🤣🤣
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Duh!! Mohammed Trans iliua 25 kipindi hicho, maskin enjoy kumbe ni miongoni mwao. Allah ampe kauli thabiti
@rappertinno4184
@rappertinno4184 3 жыл бұрын
Dah! Ila fup knoma 26dk 2
@ezekiaandrew8420
@ezekiaandrew8420 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
21 seconds 😍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 3 жыл бұрын
Hahahahahahh ahhh unaharibu ss unatudanganya kuusu movie
@rappertinno4184
@rappertinno4184 3 жыл бұрын
Wanji wanji 2nasololea mastory
@joyt3549
@joyt3549 3 жыл бұрын
Zabron niko single Yaaaani sijui nisemeje nimekupenda nataka unioe naomba unijibu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Kwahiyo hayo makaburi wachawi wanasababisa yapasuke mana hayo mchana yako poa usiku ndowanatoka kulipixaa
@obedmwakipesile3048
@obedmwakipesile3048 3 жыл бұрын
Naona umerudiaa kipande kirefu jmn au mm ndio ninawenge jmn Mr fact
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 3 жыл бұрын
Hicho kwakweli unatudanganya pls tuhadhisie ila usiongeze Keanu mm mojawapo ktk mambo ya filam nikiwahapa nje
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Leo wakwanza
@stivenmgonja5908
@stivenmgonja5908 3 жыл бұрын
Wote wanao dislike ni wachawi 😂😂
@aminamrope1797
@aminamrope1797 3 жыл бұрын
No 1 ya kibabe hii✌️✌️😍😍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongeraa😍😍😍
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asante my💕
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Davistar ety yani kula chakula chake wew unapenda kumchokoz zabron unatoa namba ya whatsap lkn haujibu sms wtatsap zabron
@mgalulamatongo4079
@mgalulamatongo4079 3 жыл бұрын
Nisaidie namba ya marastaaaa ....
@rebeccapmashauli2648
@rebeccapmashauli2648 3 жыл бұрын
Kulala makuburi bora nisiwe na hicho kivuri😂😂😂🤣Haki siwezi Mie nyumbani kukiwa na msiba Naogopa hata ndani sa itakuwaje makaburini ila watu wanamoyo
@hildaernest1090
@hildaernest1090 3 жыл бұрын
Mambo ni fire
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
@saidingozi1534
@saidingozi1534 3 жыл бұрын
Daah hapo ndo nilikuwa nakusubiria huyo mganga anafaa kuwa mwalimu wangu nitakutafuta zabloni big apu kaka mkubwa
@didasrichard3068
@didasrichard3068 3 жыл бұрын
Dope
@geraldtarimo9960
@geraldtarimo9960 3 жыл бұрын
Wewe zera mshamba anatudanganya wewe ulikuwepo akiwa gamboshi,pumbavu ,muache zabron
@jamalyhassan7019
@jamalyhassan7019 3 жыл бұрын
kaliii
@kimchi-91
@kimchi-91 3 жыл бұрын
Thriller
@dearlaviee4051
@dearlaviee4051 3 жыл бұрын
Ok
@reaper5534
@reaper5534 3 жыл бұрын
Sasa acha waganga rudi kwa Yesu ndio anauekuponya na kukukinga na hayo yote
@antoniokanga4703
@antoniokanga4703 3 жыл бұрын
bicko mwenye namba moja yangu
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 3 жыл бұрын
Ugumu na mitihani ya maisha umemfanya zabron kuwa na kipaji cha kuhadithia na uandishi wa vitabu
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
Hamlali humu
@mariajili6319
@mariajili6319 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@aysherkitoi1845
@aysherkitoi1845 3 жыл бұрын
Kuna kitu cjaelewa kwenye hiyo no ya what's up hiyo ya halotel mwishoni kataja 4 mara ya kwanza alivyorudia akataja 8 embu mniweke sawa hapo
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Du noma
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 3 жыл бұрын
GONGA LIKE
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@joycejoseph8863
@joycejoseph8863 3 жыл бұрын
Leo nimewahi pamoja sana
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mmb
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
How a sexual assault case unmasked the Malayalam film industry| Dileep
22:21
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 22 МЛН
貓咪 小鬼當家🎮🔫🚑 #aicat #shorts #cute
0:41
Cat Cat Cat
Рет қаралды 27 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 20 МЛН