*Mapacha wanaweza kufanana kila kitu lakini sio Sauti, sauti lazima ziwe tofauti* *umejifunza kitu kipya gonga like 👇*
@aishaallyaishaally32209 ай бұрын
Nakuaminia movie zako kelvin huboeshi❤ Yan Raha kazi nzuri kipenzi ❤❤❤❤
@user-ky8ns5hf9w7 ай бұрын
Kelvin napenda sana movie zako
@davidoj668911 ай бұрын
Kevin me nakuita we ni master plans noma sana kaka
@mwanasitijuma-gg9rf Жыл бұрын
Leo nimekua wa kwanza kazi nzuri sn nawapenda 🥰mungu abarik kipaji chenu 🙏
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante sana 🙌
@Latifa-is5bj Жыл бұрын
Ongera sana
@johnsukumba72638 ай бұрын
Asante sana
@DennisMulei-dl4ts7 ай бұрын
@@Latifa-is5bj11111aq
@user-ne6qt9us8h6 ай бұрын
Good kbx mzee baba najifunza mengi saana
@user-oo4ms3qk6t6 ай бұрын
Jaman move zenu Zina fundisha sana hongera sana
@LoiceMwaringa8 ай бұрын
mimi nikiangalia movie yenye kelvin hayuko huwa siimalizi haki huyu kijana haboeshi kabisa nampenda tena sana
@sharonemsungu21568 ай бұрын
Walai hii ingekwa na part two.tamu sana nawapenda❤
@Elizakilisipinilikolika19969 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ naomba mungu azidi kuwafikisha mbali zaidi
@user-ji1su1ie5l5 ай бұрын
Very nice movie for twin sisters.Kelvin kaa rada usije ukarudia kosa tena.nawapenda Bure from Kenya watching you guys
@irakoze93210 ай бұрын
Kevin kanumba mwenyew love from Burundi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-rk8yt1lh9w8 ай бұрын
Nawapenda san na najifunza mambo mengi xan kutoka kwenu❤❤❤
@Faines-qj1nt10 ай бұрын
Napenda sana movie zinazomhusu kelvin love you so much
@user-ub3sx8ke4t Жыл бұрын
KeVin nakupena sana❤❤❤ kwagisi unavyo cheza
@eminadanieli54739 ай бұрын
Leo nimejua 2 kazi nzuri mungu awabariki❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@nudydastan8722 Жыл бұрын
Daah yani hadi mm huwa sielewag kuwatofautisha kwa mlivyofanana 😪😜😂😂 daah mnaendana sana
@Dontatv255 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@aggreylikhubi5814 Жыл бұрын
254 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-si2uz3zg2m10 ай бұрын
kusema ukweli jamani kelvin mzuri sana uko vizuri yaan🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍😄😍😍🤩
@user-fd6sk1jp9w7 ай бұрын
Pacha wa chuo anatamaaaa hafai kuigwa ktk jamiii
@davidoj668911 ай бұрын
Naenjoy
@user-by7sr1yj3l9 ай бұрын
Naipenda kazi yenu mm ni mashabiki wenu naomba mzidi kupambana zaidi
@MwaniaWilson-my1nk7 ай бұрын
Kevin ,brown . ,loveness kendy nawapendaaa
@danielmbugua4227 ай бұрын
Woe ongera kelvin kwa kweli umeweza
@clementhamis425 Жыл бұрын
Nimeikubali kinoma🍎🍎❤️🌹
@user-ce6ob6zh7k9 ай бұрын
Utafika mbaali sana ila dumu sana na mungu
@yusuphlulex3174 Жыл бұрын
Daa Kevin ume tisha bba hhha mmi niko na dota tv milele mna wana weza asante kwa cinema zenye eleimu na busara mola azidi kuwa bariki na yake mema ameen..naku tazama sna kk God bless you and your friends
@user-gt7jn9wy4e8 ай бұрын
Jaman keven nakpenda sana unavo cheza nilikua na . Mm naomba nijiunge kwenye kikundi cha kuigiza❤❤❤❤❤
@omarihamadi2414 Жыл бұрын
Napenda sana party ya maula na kevin..i really love that couple
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante sana
@appsplay4324 Жыл бұрын
Woooow movie zenu nzuri much love from Kenya ❤❤❤
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante sana
@user-cl7mu8mz6p Жыл бұрын
Wow ni mependa sana
@dorcaschepkorir31710 ай бұрын
Tunakupenda sana kevin
@johansabimana1902 Жыл бұрын
Nzuri sana nafurai kutoka burundi❤
@user-ig3bq3lb4b6 ай бұрын
Wow nice movies good work keep it up ❤❤❤
@saidshatta827 Жыл бұрын
Nawapenda sanaa tz ndugu yenu kutoka kenya bongo za nibamba sanaa jmaa mzid kwa kipaji hichi kazi yenu smart sanaa❤
@MIRACLESTEVEN-lp2iuКүн бұрын
Hongela broo huna baya👍👍👍👍💚💚💚💛💛💛💛💛
@mercylinemongeri5729 Жыл бұрын
Good job...hongera sana kaka
@user-tw9ig4lj3r6 ай бұрын
❤❤🎉🎉 maua yak chukua
@fabricemjanja Жыл бұрын
You are the best actors I've ever seen and I can't wait watching your performances❤
Twangoja baba kijacho sehemu ya 7 yaani mmetukata steam baba kelvin somoo baba twaisubiri Sana iyo
@harosicharo2736 Жыл бұрын
❤ naipenda tu sana hii mvi
@EmmanuerWerema-or4zs8 күн бұрын
Gudy movie chukua maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉
@hamisihamso1882 Жыл бұрын
Much love maura kipaji unacho dada
@agnespeter2157 Жыл бұрын
So nice and enjoyable
@user-fd6sk1jp9w7 ай бұрын
Mabinti wakisoma wajikuta dunia Ni yao
@HappyHappy-uo8hj Жыл бұрын
Oh my gosh 😂😂😂 kelvin Sasa hapo utajua nani ndio nani jamani😂😂 kelvin kimekuramba 🤣🤣🤣 nawapenda Sana 🌹🌹🌹🌹♥️♥️♥️♥️ from 🇰🇪 kelvin 🤝🤝😂😂😂
@joshuamzungu-qb5oi Жыл бұрын
Safi Sana nmeipenda ,,, congrats ❤️
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante sana
@vanerhobi3882 Жыл бұрын
Nilipomwona katokea chuo nljua hamna ndoa tena 😢😢😢😢😢😢
@user-bx9ow6xz2p7 ай бұрын
Kwel kelvin dactor
@Onino-ew4gi5 ай бұрын
Kelvin u are the best actor may I join u plz nakuomba tu
@sharifahemed6328 Жыл бұрын
Mnajitahid sana ndugu zangu mungu awafikishe malengo yenu
@AmosyMgahe-bz7vo Жыл бұрын
Much appreciate kaz zenu ni nzr sana movie zenu zinaelimisha mungu azid kupanua vipaj vyenu
@nudydastan8722 Жыл бұрын
Kazi nzuri ❤ one day yes
@Dontatv255 Жыл бұрын
Kabisaa
@user-tj3yt2se7w Жыл бұрын
Daaah Kelvin kakaaa upo vzr jmn mnatishaa jmn
@maryd1538 Жыл бұрын
Kaz nzur san nawapenda saw mung awabariki kipaji cheny amen❤
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante sana
@adammasanja27 Жыл бұрын
More love ❤ from U.S.A
@ZakaboyMusa5 ай бұрын
One love from arusha
@furahakenga6619 Жыл бұрын
Much love from saud❤
@husseinbakromar5865 Жыл бұрын
shida yetu wafrika hatujiamini kimaadil kwani hatuezi igiza filamu mpka mabinti wakae uchii kumbuka kuna wazazi na jamii kwa jumla tusiwe wapumbavu wafikra heshima kitu cha bure i say
@FauziaSalim-in3nd13 күн бұрын
Mbon😢hukutumalizia siku moja kabila ya doa yangu.je uliowa boss wako
@Anitha-yq6dx9 ай бұрын
Movi kali sana
@immamshanga87376 ай бұрын
hv ni mapacha kweli au wanaigiza tuu
@irene-pw4dw8 ай бұрын
Lov U Kelvin Kaz zako nazielewa Sana
@KanezaGlany6 күн бұрын
Kutoka burundi🇧🇮 mupo?gonga hapa tuendelee
@dollar105 Жыл бұрын
❤daaah iI kali🎉mashallah
@RachelThomas-ox3jr10 ай бұрын
Good job nmefrahi pale Kelvin kasamehewa maana hakujua
@user-lo2zq4fy6j6 ай бұрын
Mnajua sana❤
@sfiaalanazi547910 ай бұрын
Mzee wq huba leo kapatikana
@davidoj668911 ай бұрын
Nyie wapumbavu kwel😂😂😂😂😂😂😂😂😂 et nyumba ikiwaka moto......
@sidemjapan-1941 Жыл бұрын
Kiukwl vijana mpo sw ongezen bidii bt glad
@user-nx3ps9lt3s6 ай бұрын
Kevin unapenda Sana kutongoza
@salomeadam193211 ай бұрын
Mwenyez mungu akufkishe mbali zaid
@HadijaMuhammad-ii9tz Жыл бұрын
Aki hiyo yenu ni kali I love it
@user-mk9vd5lx1e10 ай бұрын
Mmh kevin hatali unakipaji san daa hongera
@Waarith2show Жыл бұрын
Much love from Australia
@petermhigira64458 ай бұрын
Sema nn mwanangu mnajituma ety
@joshuanyaulingo4109 Жыл бұрын
wanachuo nd wengi wako hvo hvooo 😂
@user-jz6vc2qg4i6 ай бұрын
Good jobu
@mtanganyika-films Жыл бұрын
💯🙏 kiukwel tunaburudika na kuelimika heko sana Khan
@Dontatv255 Жыл бұрын
Pamoja sana
@EllyKisioki7 ай бұрын
Hivyi kweli huyo mpenz wake kelvin ana pacha wake make siamini mpaka sasa
@allymwashambwa59207 ай бұрын
Mpira unaubonda mwanangu kevi na unanikumbusha mbali kichiz mwanangu 😂😂😂😂😂😂
@khadijaumazi3308 Жыл бұрын
Yani Kevin ww move zako nzr woooh
@sylvanjosam3402 Жыл бұрын
Safi sana
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante
@Jeff-rl8rf Жыл бұрын
Mungu 🎉awazidishie alili anamarifa
@TeddyMayco-pl1ju Жыл бұрын
❤❤❤❤
@Faithmtati-gl6sp11 ай бұрын
Doreen unabusar sana ep nyingine bas
@jamillahassan3405 Жыл бұрын
Nzuri zaidi❤❤
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante sana
@HappyJilala-li8wi Жыл бұрын
Chiff wetu mmetunyima sawa Donta mungu anawaona
@carolinegalaxy7188 Жыл бұрын
Nzuri sana inaendelea ama imeisha
@Dontatv255 Жыл бұрын
Itaendelea
@immanueljahazi2627 Жыл бұрын
Ujue Kelvin unajua sana kijana mwenzangu nataka namba ya lavnes
@user-wb9tg9vq4j Жыл бұрын
😂😂😂
@user-rx8uv9ig9k11 ай бұрын
Nawakubali kbx kuroko burundi
@user-ko4in4uy1u8 ай бұрын
Nice Movie ❤❤❤🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
@user-wk4gi4xl3i Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ mashallah 🙏
@user-nc8du9ll8e Жыл бұрын
Safi sana keivoh
@MwajuAbed-gj2ys Жыл бұрын
Kwel kev unamanen mazur ww huy mkeo anaenjoy akiwa na ww
@user-hb1vc1rm4i8 ай бұрын
在中国观看❤❤
@emmanuel-jl5td Жыл бұрын
Kelvin nduguangu,na penda sana movie zako
@kanisiusastery67511 ай бұрын
Kazi nzuri san mungu azidi kuwatia nguvu🎉🎉🎉🎉🎉
@saidsalehe10079 ай бұрын
Kervini nyie mnakuja kazi sema nierekeze jinsi ya kuripa iyo elfu kumi napenda taree sita nijumuike pamoja nanyi