PUTIN ASAINI MKATABA WA KUISHUGHULIKIA MAREKANI KWENYE UKANDA WA BAHARI

  Рет қаралды 114,863

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

2 жыл бұрын

Пікірлер: 219
@omaryiddimonna4236
@omaryiddimonna4236 Жыл бұрын
Kiukweli mpo vizuri sana SIASA ZA KWELI, taarifa safi za uhakika zinazosomwa kwa ufasaha sana, lugha yetu ya kiswahili ikitamkwa kwa ufasaha kabisa. Kichwa cha habari kikiambatana vyema na taarifa husika, Kongole siasa za kwetu.
@maximumtvonline
@maximumtvonline Жыл бұрын
Asante sana Mr ovary iddi
@ramosfally2318
@ramosfally2318 2 жыл бұрын
leo mi kwanza from mozambique nahomba ka 20 zinatosha..mbona putin anawachelewsha awo mbuwa ushoga ufike mwisho..si tushakimbiya sana uku msumbiji cabo delgado kisa awo washenzi gas yetu mafuta yetu na wamitiuwa kwa lazima na viongozi wetu wabovu ....one africa stamos juntos yani tuko pamoja...kazi kazi bwana adamu...muito obrigado. asante sana
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 Жыл бұрын
Sasa hivo ndo umeongea nini swali moja mtetezi wa africa niputin
@Dizzolee1993
@Dizzolee1993 24 күн бұрын
Vivo Putin
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 2 ай бұрын
Vita dhid ya Ukren February 2022 had Leo 2024 may MAREKAN WAKO KIMYA HAWASEM AJARIBU ITAKUWA MZIKI MZITO
@matukiomedia191
@matukiomedia191 Жыл бұрын
Achen uongo ...na acheni ....kudanganya watu....... hawezi kuifanya lolote Marekani .....ajichanganye aone
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh Ай бұрын
Safi sana puting piga wasenge haoooo...
@EmanuelelisaGidion
@EmanuelelisaGidion 3 күн бұрын
Safi sana urusi goooood goood😂😂😂😂❤❤❤❤
@kassimmurji632
@kassimmurji632 2 жыл бұрын
Putin mwanaume pambana na mashoga hao wanaoitawala dunia kwa nguvu na ulaghai wa umagharibi dhini ya Africa na dunia nzim
@braveboy4249
@braveboy4249 Жыл бұрын
Haya yote ni dalili ya siku za mwisho acha maneno ya Mungu yatimie tu maana yeye sio muongo kamwe. Ila Russia anajigamba sana hajui kuwa kuna mwisho wa ke.
@jamessiame5169
@jamessiame5169 2 жыл бұрын
Kelele za chura azumuzuwii tembo kunywa maji
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 7 күн бұрын
Urusi anadhoofishwa kiuchumi nk anawekewa vikwazo sana yéyé hawezi weeks vikwazo marekani
@alexjackson5960
@alexjackson5960 Жыл бұрын
Dah nashangaa Sana wanaoishabikia marekani ?? SOMALIA sudani Libya Iraq AFUGHANISTAN, idi Amin alivamia tz nato marekani walikaa kimya urusi na uchina wakatusaidia vifaa Iraq ikatusaidia mafuta. Haki ya MUNGU Kama hujui historia utabaki kuwa shabiki maandazi
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
We unataka wakikosa adabu wasishuhulikiwe? Tangu kuumbwa Dunia Mungu alichagua taifa moja kuwatiisha wengine na kuwatia adabu hiyo ni kanuni haitakoma Hadi ajapo Yesu Kristo siku ya kiama ,mataifa yenye viongozi wenye kiburi ,na kuua raia wake hovyo na kuwatesa kwa kuwanyima haki stahili ,kufunga watu magerezani hovyo kwa ubabe Ili kuwatiisha watu ,kutesa nk we unafikiri hayo mataifa na watu kama hao hawastahili kuadhibiwa? Ziko nchi duniani ni katili haswa na hazifai kuishi hata raia wao wanakimbia kwenye nchi zao kutokana na utawala mbaya, wewe kama kwako Kuna amani usidhani ndivyo ilivyo Kila mahali.
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
We unaweza kishi Afghanistan?? Au unajisemea tuu kwa kua hujui madhila watu wanapata,Kila siku watu wanauaw na kupigwa Risasi kwa amri ya viongozi ,sijui Kama unajua au umewahi kutembea nchi mbalimbali ,hebu we nenda somalia Leo uone kama utaishi,alshabab Leo wanaua waislamu wenzao kwa kisingizio eti wanapigania dini we unaona ni akili hiyo ?? Dini ya nani wanapigania ilhali Mungu anao malaika kibao wakutosha ,kwanza upiganie dini kwaajili Gani ? Kama mtu ameamua kuingia jehanam si nimapenzi yake? Wewe unae ua watu mbona hata wewe tayari umemwaga damu na moto unakusubiri?? Ujinga unatawala watu ,haiwezekani watu waachwe wafanye wanavyopenda Kisha mataifa yenye nguvu wapenda amani eti wanyamaze Ili kufurahisha watu no no no haitawezekana ,lazima marekani na nchi za magharibi ulaya ziingilie kati na hiyo ni sawa kabisa, huwezi kuelewa haya mambo wengi wanamaisha ya vijiweni na story za ushabiki pasipo uhalisia wa mambo ,Kaishi urusi wewe mwafrika uone huo ubaguzi ndio ujue ,hata kazi hawataki mgenk afanye labda uwe umepelekwa na serekali ya nchi yako.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Acha uongo wako.Ile vita ya Idd amini na Tanzania waliotusaidia sana ni Israel ambao walikuwa nyuma ya Marekani.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
​@@nicksonlyimo1562hongera sana kwa kumuelimisha huyo mjinga asiejua kitu.
@alexjackson5960
@alexjackson5960 Ай бұрын
@@nicksonlyimo1562 ni haki yako kwa uliyosema. Na mimi ni haki yangu kwa niliyosema
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Marekani hamwezi Russia!! Nimeshajua. Putin ana huruma sana!! Hataki kuwaua watu wasio na hatia!! Anapigana kwa akili sana!! Pale ukrein wanajeshi wamejificha nyuma ya raia. Sasa inakuwa ni vigumu kidogo kushambulia kwa mara mmoja. Watu wengi sana wasio na hatia watateketea. Lkn kinachokuja kipo!! Itafikia sehemu sasa ataanza kuwaangamiza. Russia ina nguvu kubwa sana!!
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Жыл бұрын
Acha unafiki
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
@@paschalmartin9598 wa nini aise
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 Жыл бұрын
@@paschalmartin9598 we malaya unafki uko wapi apo sasa ebu tujuze
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 2 жыл бұрын
Maximum TV mko vizuri kwa habari za kimataifa.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu
@StellaCharles-zk4kb
@StellaCharles-zk4kb Ай бұрын
Ajaribu ukutane na mwamerika bomu la nyuklia lenyewe ameiga kwa marekan
@jumakitutu4062
@jumakitutu4062 2 жыл бұрын
🤲🤲🙏🙏
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 2 жыл бұрын
Ni muhimu sanacvita kuisha kwa sasa ucjumi was dunia no bwya sana
@emanuelmsigwa1927
@emanuelmsigwa1927 Жыл бұрын
Mashoga wameenea nchi zote dunian Africa mashoga wapo nchi za kiarabu wapo magaribi wapo mashariki wapo hii vita nikitu cha kina bii lazima itimie taifa kubwa kupigana na taifa dogo nataifa kubwa kupigwa
@samuelngogo5572
@samuelngogo5572 Жыл бұрын
USSR mchumba tu mbele ya USA
@musakihama7205
@musakihama7205 Жыл бұрын
Amka wewe usinziaye.
@jambiajumayagwa5129
@jambiajumayagwa5129 2 жыл бұрын
Safi sana
@georgenzioki
@georgenzioki Жыл бұрын
Safi Urusi wewe ndio watchman wa.dunia dhidi ya marekani
@bakarinassoro5513
@bakarinassoro5513 Жыл бұрын
Wewe unapenda kumsfu Putin na kumuongelea Sana Ila utakujapata aibu chezea NATO na putn wako muda utaongea
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Leta hiyo nato yako hapa nimtwange.
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 Жыл бұрын
Nadhani huijuwi russia ndugu soma historia ya Putin uone
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 Жыл бұрын
Ata bujuskii vibaya kuongea ivyo ....washirika kupambana na kijamaa kimoja,ndio unatitambia ???
@rizikimshindo2177
@rizikimshindo2177 Жыл бұрын
NATO alishindwa kupiga Syria ndo ataweza kumpiga Urudi bro unachekesha.
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 Жыл бұрын
Putin ni shoga tu, kwanza kashaanza kuchemka Ukraine
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Ай бұрын
Huyu anacheza kasahau urusi ilisambalatika kupitia marekani
@user-ci4el6vw3d
@user-ci4el6vw3d Ай бұрын
Mbona habari ni tangu mwaka mmoja nyuma acheni kuupotosha ulimwengu.
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 Жыл бұрын
Unashabikia km vile ushakagua silaha za urusi
@ATHUMANIHUSSEINI-te6xx
@ATHUMANIHUSSEINI-te6xx Ай бұрын
Duu kazi ipo watu wafaa njaa wengine watumia matirioni kutengeneza silaha
@emanuelmsigwa1927
@emanuelmsigwa1927 Жыл бұрын
Hahaaaa Ukreni imemshinda ndo ataiweza Marekani Bebelu lenye pembe mashuhuri
@user-yb9cl6fr6l
@user-yb9cl6fr6l Ай бұрын
Wewe unawashabikia mashoga pole shee huyo ukraini si anasaidiwa na ulaya nzima au huoni hatakusikia kua NATO namarekani ufaransa,uingereza,ujerumani,NATO wote wanamsaidia nakama sihiyvo murusi alikua kashamaliza uperesheni yake lakina pia pamoja nakumsaidia lakini bado majeshi yaurrusi yanazidi kuchukua maeneo naidadi kubwa yamajeshi ya ukreni yaliyouliwa nikubwa Sana
@taylorminton228
@taylorminton228 Жыл бұрын
Congratulations niwewakwanza kupata
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 Жыл бұрын
Yaani hiyo button ya Nuclear si atuletee sisi waafrika tubonyeze tu Fasta maana tumechoka
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Жыл бұрын
Urusi sasa itaangamizwa kupitia Putin
@iddykitundu7767
@iddykitundu7767 Жыл бұрын
Acha uoga dogo mwogope muumba mbingu na ardhi tu
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Kifo cha Putin hakitakuwa kizuri na wale wanao msapoti nawapa pole Sana.
@ezekielkandonga9238
@ezekielkandonga9238 Жыл бұрын
Ufahamu wako bado mdogo Sana,Sio Libya au Iraq hile ni Russia
@bertrandniyonkuru8523
@bertrandniyonkuru8523 Жыл бұрын
Putin kwandaa.hata sadam aliropoka na kujigmba hatimae slinyongwa
@bertrandniyonkuru8523
@bertrandniyonkuru8523 Жыл бұрын
@@ezekielkandonga9238 q
@bertrandniyonkuru8523
@bertrandniyonkuru8523 Жыл бұрын
Nahs historia ya irak huijui umezaliwa miaka 20 ilyopita.huwez kushindana na marekan na tunaiombea putin ni mama wa jehanamu
@petermutuku1289
@petermutuku1289 Жыл бұрын
Wanaosapoti Putin wajiandae kumsaidia kuomboleza hahaha!!!!!!
@abdallahmasaga3067
@abdallahmasaga3067 Жыл бұрын
Mwalimu Pumzika Kwa amani ungekuwepo Hadi leo Rafiki yetu angekuwa Russia na China. uliowaacha ndo wametupeleka kwenye democrasia uchwara ya Marekani
@JamesYohana-p6i
@JamesYohana-p6i 13 күн бұрын
Kiukwelinimependa vizulisana
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Baba nampenda huyu anawapamba tu
@salimwanga
@salimwanga Ай бұрын
Good news❤❤
@dennyosellison4846
@dennyosellison4846 2 жыл бұрын
mwaka huu litakufa jitu
@Adamshaban-ww7pz
@Adamshaban-ww7pz Жыл бұрын
Msishabikie marekan kwani dunia imeharibiwa maadili na marekan ushoga ndio ajenda muungen Putin ashinde dunia itulie
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
​@@Adamshaban-ww7pzulaya na marekani kuna maadili sana.Afrika ndio hakuna maadili kabisa.
@emanuelkenethkanyela9137
@emanuelkenethkanyela9137 2 жыл бұрын
Urusi piga hao mashoga mimi simpendi américain
@revocatuskalumuna5789
@revocatuskalumuna5789 2 жыл бұрын
kuichukia marekan ni sawa na kuichukia ccm maana mpaka uje umtoe kwenye ubabe sio leop
@ezekielkandonga9238
@ezekielkandonga9238 Жыл бұрын
Usimfananishe Marekani na CCM Upuuzi huo,Unaiona rangi nyekundu wewe kwenye bendera ya CCM
@revocatuskalumuna5789
@revocatuskalumuna5789 Жыл бұрын
@@ezekielkandonga9238 uspanik bro hapa tunacompere nje na ndan hapa hatuangalii rang hapa tunaangalia nguvu siasa kimataifa na kitaifa sasa ww usilete mawazo yoko ya ovyo kwenye coment yangu
@musakihama7205
@musakihama7205 Жыл бұрын
@@revocatuskalumuna5789 inawezekana huna taarifa sahihi kwa yanayoendelea duniani.
@revocatuskalumuna5789
@revocatuskalumuna5789 Жыл бұрын
@@musakihama7205 kwahiyo unatakaje nikusaidie
@hamisikisiwa721
@hamisikisiwa721 Жыл бұрын
Jamani chondechonde vita jamani malizeni vita jamani
@MauaLucas-st6be
@MauaLucas-st6be Ай бұрын
Unaongopa kufa
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁❤️Putin
@KizitoAnthony-tv3fl
@KizitoAnthony-tv3fl 28 күн бұрын
ila mnajua kupumbaza watu
@bertrandniyonkuru8523
@bertrandniyonkuru8523 Жыл бұрын
Ww ni chocolate hujui lolote nyamaza
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
Tupe yako pia sisi tukusikilize, kila mtu ana fursa ya kutoa ya moyoni ama vipi
@JoyceWiliam-jj6zj
@JoyceWiliam-jj6zj 28 күн бұрын
Gaza
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 жыл бұрын
Russia 🇷🇺 msulimoto
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Putin piga hao mashoga yalomwasi mungu hadi yajutie uovu wao.
@stivutitus963
@stivutitus963 Жыл бұрын
falaww mwambie ajarbu uyobwanaako alafu ataona kitakacho mtokea
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
@@stivutitus963 pumbavu shoga wewe
@user-wg2jr8vw4m
@user-wg2jr8vw4m 4 ай бұрын
Ok
@snoopyundwoodstock8275
@snoopyundwoodstock8275 Жыл бұрын
Putin tumeshsmzowea abspenda kujisifu Hana lolote
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 Жыл бұрын
Marekani hata technologyia ya kumshinda murusi hata siku moja hajisifu hivyo ndivyo ilivyo
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 Жыл бұрын
mbona mabwana zako hawamvamii kama iraq
@sogolamwishekhe5667
@sogolamwishekhe5667 Жыл бұрын
Wasenge mna Maneno!!
@majutomwakibibi5550
@majutomwakibibi5550 Жыл бұрын
Kweri anajifanya yeye anaguvu amnakitu apo
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Жыл бұрын
Mweye hii sini vita ya dunia lakini?
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Patamu hapo😏😏😏😏😏
@user-xl7yv7hr3z
@user-xl7yv7hr3z 3 ай бұрын
apaa putinn mpaka kifo
@saidmngana5263
@saidmngana5263 Жыл бұрын
Atakama iweje putn tunamuamini na tunampanda Kwanza anahuruma na watu hapigi silaha ovyo
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Ww ndio una mpenda kwa sababu umejaa ujinga.Ila sie wenye akili zetu timamu hatumpendi putin
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Жыл бұрын
Nduguzangu msijidanganye,Putin anatoavitisho tu,mm nawaambia,ukimwa wamarekani unajambo,pia ikumbukwe,marekani inakambi zaidi ya 800 dunianikote,nakilakambi inajeshi kamili na vifaa vyahaliyajuu,huundiomwisho was putin
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
Pia hao walitoa vitisho kwamba Putin asiingie Ukraine lakini aliingia, Kama wanajali Sana Ukraine mbona wasiingie wote wapigane na urusi, ukimya wa Urusi pia so wa kuchukuliwa hivi hivi, watu si wajinga as you think, kama sanctions walivyoekewa Urusi utasemaje?
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
Wacha waendelee kujaribu labda watafaulu huku Ukraine, maybe hawatashindwa tena Kama huko kwengine
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Unajidanganya.
@musakihama7205
@musakihama7205 Жыл бұрын
@@sharonnyabuto8091 nimefuatilia sana comment zako bro uko vizuri sana,muongeze tu kuwa watu hawapati taarifa sahihi,vilevile hawaoni kabisa kwamba putin anaenda kuifanya dunia iwe na mifumo ya kujiendesha,kuanzia mifumo ya fedha,siasa,biashara n,k.utabiri au wachunguzi wa mambo wanasema ifikapo 2040_2050 Marekani na ulaya magharibi itakuwa sio stori tena.mataifa yatakayokuwa na nguvu za kiuchumi itakuwa ni china na india,huku mastermind akiwa ni urusi mwenyewe.
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
@@musakihama7205 tatizo ni wanalishwa habari kila mara na kuzimezea bila hata kuuliza maswali yoyote, bundles pia wanazo lakini hawawezi kutafuta habari pia hata tuseme ni wapuuzi yote hayo wanayo, ukweli tu ndio usemwe hata kama ni mchungu kiaje kwa mashabiki flani, wanasema Putin ni mbaya, hivi wamejiuliza hao viongozi wao wanaowashabikia ni wema kweli?
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 2 ай бұрын
Wapige hao wamarekani kwani nisawa na mashoga tuu
@JohariJuma-r1o
@JohariJuma-r1o 10 күн бұрын
Malekani. Anaubavu. Wakupana. Napuni
@DuniadjumaKatanangwajr-yh2dl
@DuniadjumaKatanangwajr-yh2dl 28 күн бұрын
Mkombozi wetu putin
@hassanabdalla2741
@hassanabdalla2741 Жыл бұрын
Z
@mwitabestmhukovizuripigaka5464
@mwitabestmhukovizuripigaka5464 Жыл бұрын
Usijichanganye
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 4 ай бұрын
Kwa wale wanao ushabikia ushoga lazima wamsapoti marekani na wambeze urus ila kaeni na mjue mrusi ndie kiboko ya mashoga
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
Urusi Hana la zaidi msifie tuu utaona ,Hana ubavu mmekariri jina la Enzi za Soviet union likiwa taifa kubwa ,kwa Sasa Hana lolote ,hata uchumi wake una haha tuu na wenzie wamemtenda kwa akili ajitie vitani na Ukraine Kisha wamtende baada ya kudhoofika , Kuna muda utafika mtanyamaza kimya na hamtasubutu ku coment Tena kwa atakacho fanyiwa kama ataendeleza kiburi nakutishia nchi nyingine kua atatumia nuclea kwani nani Hana nuclear ni nani asieweza kutumia ? Nani atakae subiri atumie Ili ajifurahishe ,nani ambae anamuogopa? Mbona anajidanganya tuu ,silaha zake zimeshindwa vita na marekani ndizo zimeharibiwa ,Afghani Stan ,Ukraine ,Libya ,Irak ,Iran mmeona zilivyozuilika zisilete madhara hiyo yote tecnolojia ya urusi Sasa kifua Cha Nini? Ngoja aonyeshwe mchaka mchana na anao waona wajinga ,
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Ndio ujinga na upumbavu wenu timu urusi ,kuingiza hoja ushoga.ww kama huishabikii marekani mbona unatumia hii you tube yao na intanet yao ina maana na ww ni shoga.Serikali yetu inakopa huko huko ina maana hawa viongozi wetu wanaokwenda kukopa huko ni mashoga?Acha ujinga ww.
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz ujue tuu kua sodoma na gomoras ni uarabuni ,nenda miji yote ya pwani na visiwani uone vile walivyojaa humu
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 Жыл бұрын
Abari zawa Tanzania bwana niatari kabisa tumewachoka sana nawongo wenu
@mwadhinjuma7370
@mwadhinjuma7370 2 жыл бұрын
Kelele za chura putini kaishiwa
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 2 жыл бұрын
Wajinga wanamuna putini mkubwa anawanajeshi milioni3 Ukrainian wanajeshi laki 3 ila ameshindwa kuikamata kwasabaabu wanasapotiwa namarekani
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 2 жыл бұрын
Ewe Mola wetu wewe pekee ndio unaemjua Nani mwema na Nani mwovu? inshaAllah Mungu wajaalie ushindii mkubwa wanaopenda haki na wadhalilishe na wape hasara kubwa wanaodhalilisha watu, wanaodhulumu watu na wanaotakabar katika dunia, kwani hakuna nguvu Wala uwezo isipokuwa kutoka kwako.
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 2 жыл бұрын
@@shodristvtv6121 Putin hayuko vitani anafanya operesheni ila urusi inapigana na nato co uklein uklein ni km kimvuli tu km ni uklein kwann wakamatwe wanajeshi kutoka mataifa tofauti na vifaa vya nato ? hapo ndio utajua mziki w urusi alishindwa hitla waingeleza walimuogopa akaangushwa na urusi watakua hao nato? Nato kila siku wanapigwa na kukamatwa jeshi la urusi
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
@@shodristvtv6121 hao wanaolipwa kupigania Ukraine na silaha zinazotumwa kila mara je utasemaje, wacha Putin apigane peke yake kwa nguvu anazo either nguvu kubwa au ndogo ili kulinda security ya nchi yake, ila si wangejiingiza wapigane na Putin tuone nani mbabe, wameshindwa Aghanistan na Libya na wanajaribu Urusi, anyways ninachokisema ni don't be a bully to someone else, walidhani Putin atakaa kimya bila kufanya chochote,,,,,,,
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
@@ndizindeleti761 hawaelewi na yu can't force anyone to reason with yu, wacha wabweke tu na wanadhani hao ni marafiki zao, laiti wangalijua wasingeongea chochote
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r Ай бұрын
Kila siku anatishia tuu kuwa atawashambulia wamarekani Ukraine bado anahangaika miaka miwili itakuwa Marekani ? Hayo ni manenono yakanga tuu kila mtuayasome, Ajjarbu aone Wamarkani kwa sasa hapigani vita kubwa ya silah bali ni ya kisaikolojio kumdhofisha adauli kiuchmii . Mrashia alitishia kumaaliza Ukraine siku moja mbona sasa mika miwli.. wasoma nyakati waache kulipukalika kama moto wa gas.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 27 күн бұрын
Kwa akili yako ww urus anapambana na Ukraine?
@samuelmeley5664
@samuelmeley5664 Жыл бұрын
Acheni umbea hajui3 marekani kashamuua putin?
@filipoboazi1618
@filipoboazi1618 Жыл бұрын
Leta jambo
@mayengaharun4265
@mayengaharun4265 Жыл бұрын
Vh
@nahimanaereneste6149
@nahimanaereneste6149 Жыл бұрын
..me
@jamesmwansa3385
@jamesmwansa3385 2 жыл бұрын
Don't play with America atakumaliza Putin
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Ngumu sana!! Russia wako gudiii sana bby
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Mpaka. Leoo. Putin. Domo. Jingiiii. Kwa. Marekani.
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Kwani. Marekani. Hakuna. Izoo. Manuwati. We. Mtangazaji. Unasifia. Warusi. Kijinga. Tuu
@JohariJuma-r1o
@JohariJuma-r1o 10 күн бұрын
Malekani. Inaubavu. Kupana. Naputini
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 Жыл бұрын
Urusi nimdomo tu mbona ajawapiga watu wanaho saidiya ukrene tumechoka na wongo wenu akuna kitu kwa urusi maneno tu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Putin kama anataka maangamizi kwenye nchi yake aiguse Marekani aone cha mtema kuni.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 27 күн бұрын
Iv ww unaweza kupigwa na shoga?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 27 күн бұрын
@@msafirimaulidi5054 kwa hiyo ww unavyotumia huu mtandao wao hao unaowaita mashoga huwa unafiwa mknd wako kwanza ndio unaruhusiwa uutimie.
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Жыл бұрын
Vita ni pesa, marekani wanapesa,mrusi hanakitu
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Kupigana haihitaji pesa!! Ni matumizi ya akili tu!! Na marekani atapigwa na Russia.
@atrick.
@atrick. Жыл бұрын
Time is tell,Russia is fell down unakariri ww
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 Жыл бұрын
amekariri nini sasa ebu wewe na mashoga wenzako tujuze bas
@furahafrank8267
@furahafrank8267 2 жыл бұрын
Huu ameshindwa na Ukraine. eti ataweza Marekani. Putin kila siku kelele. lakini Marekani huwezi kumuskia hovyo.
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Puttin hajatangaza vita na marekani hamuezi mrusi kwa kivita fata historia ya geografie endelea kua kibaraka, urusi sio Africa imezoea kupigwa na marekani,
@furahafrank8267
@furahafrank8267 2 жыл бұрын
@@uwimanauwimana7692 Hujui kitu.urusi ameshindwa na Ukraine akitumia kila aina ya siraha hataweza Marekani. Africa inauawa na waafrica wenyewe. Putin hatabadilisha chochote Africa.
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
@@furahafrank8267 puttin hapigani na urkain anapigana na marekani , na puttin hajatangaza vita ,ni opereshen ndio anayo tumia fata habari mwanzo na sasa
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
@@furahafrank8267 akitangaza vita urkain angechukua kwa siku tatu , na kwa nini marekani haingii uwanjani kupigana nae kaka nyuma ya mgongo mwenye nguvu hua anaingia uwanjani kupambana sio kuka nyuma ya uwanja kuagiza silaha, yemwenye anajua akingia uwanjani atakiona cha moto kwani yeye nimjinga anajua dunia nzima hatakiwi utawala wake na watu wanasubiria angie uwanjani kama vile machale yanamcheza atakalia kuagiza silaha urkain kila siku hatoingia kivita fata maelezo usingalie ushabiki
@furahafrank8267
@furahafrank8267 2 жыл бұрын
@@uwimanauwimana7692 mjinga ndio tu anakubari kwamba ni opereshini hata na Putin anajua hapigana na Marekani. Ingekuwa hari nyingine. Putin alionea tu Ukraine.
@petermutuku1289
@petermutuku1289 2 жыл бұрын
Vita sio kitu cha kujisifia, Putin atapata anachokitafuta
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Жыл бұрын
Magharibi wanafaa kufunzwa adabu
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
Kama gani, hebu tufunze kidogo pia sisi tujue atakalolipata,,,,,,,,,
@petermutuku1289
@petermutuku1289 Жыл бұрын
@@sharonnyabuto8091 chuma chake ki motoni.
@sharonnyabuto8091
@sharonnyabuto8091 Жыл бұрын
Putin hakupi usingizi au vipi, toa ya moyoni yote
@petermutuku1289
@petermutuku1289 Жыл бұрын
@@sharonnyabuto8091 nami nitakuuliza,unafurahia watu wakifa kwa vita?hata wwe toa ya moyoni.
@StellaCharles-zk4kb
@StellaCharles-zk4kb Ай бұрын
Marekan hoyeeeeee
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Ай бұрын
Marekani hawaongei wanateKeleza yeye ndiyo anashituka kushakucha
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Putin. Huna. Uwezo. Wa. Kuipiga. Us. Ulijitamba. Sanna. Kwamba. Utawapiga. Wamarekani. Mbona. Mpaka. Leoo. Manenoo. Kama. Koko. Jaribu. Uone
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 2 ай бұрын
Vita dhid ya Ukren February 2022 had Leo 2024 may MAREKAN WAKO KIMYA HAWASEM AJARIBU ITAKUWA MZIKI MZITO
@stivutitus963
@stivutitus963 Жыл бұрын
maviyake anauwezo ukren yamshnd atamuez us
@jambiajuma7199
@jambiajuma7199 Жыл бұрын
Safi sana
@emanuelipeter2923
@emanuelipeter2923 Жыл бұрын
Yani hao wanajeshi watakua Awana akili au waambiwe fanyeni hiki wafanye tu anaesema yupo uko nchi mbali mbali akiangalia wanafanya nin punda mzigo wa bwana ufike kwa namna hiyo tutafuka kweli
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,6 МЛН