CHEKECHE: Kukutana kwa Rais Kim Jong Un na Putin ni tishio kwa mataifa ya Magharibi?

  Рет қаралды 60,881

Azam TV

Azam TV

10 ай бұрын

Macho na masikio ya mataifa ya Magharibi yalikuwa mjini Vladivostok nchini Urusi ambako mwenyeji Rais Vladimir Putin alimkaribisha mgeni wake kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
Sehemu kubwa ya mazungumzo yao hayajawekwa wazi, hali ambayo imeibua mitazamo mbalimbali na ubashiri wa masuala ambayo pengine ni ya msingi yamezungumzwa na wawili hao.
Wasiwasi mkubwa ni hisia za mazungumzo ya siri kwenye suala la silaha ambazo pengine zikatumika kwenye vita vya Ukraine, hilo linawezekana? Na je, kukutana kwa wawili hao ni tishio kwa mataifa ya Magharibi?

Пікірлер: 123
@deusisindwa616
@deusisindwa616 9 ай бұрын
Uko vzr dhabit huwa napenda kukufatilia
@kenochieng3098
@kenochieng3098 15 күн бұрын
Uko vizuri sana
@GeorgeUsele-kr6qk
@GeorgeUsele-kr6qk 10 ай бұрын
Urusi piga mbwa hao😂😂😂😂
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 10 ай бұрын
Wachambuzi mpo vizuri mkiwa hivo mtawasaidia Watanzania
@OmarOmar-vf9dv
@OmarOmar-vf9dv 10 ай бұрын
Asanten sanaa kikubwa mchambuzi kwa asikimia kubwa amejitahid sanaa kutumia lugha ya taifa pasi na kuweka misamiati mingi yakigeni. Natumai wengi waliofatilia wamepata kuelewa zaid
@yassinmashautymashaury2734
@yassinmashautymashaury2734 10 ай бұрын
Upo vzury mchambuzi BW. Thabiti🎉🎉🎉🤝
@othumanomari1589
@othumanomari1589 9 ай бұрын
Nitafurai sana marecan akipigwa kwani simpendi sana anaizurumu Africa bado anatuuria watuwetu kama Gaddafi sadamu husein😢😢
@user-xg2wb9ye2g
@user-xg2wb9ye2g 9 ай бұрын
Yesu ndio yupo nyuma ya Marekani atashinda ndio baba wa dunia❤
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 9 ай бұрын
marecan ndiyo nini???
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w 6 күн бұрын
​@@user-xg2wb9ye2g yule yesu wa kizungu au?
@user-co7jf2zo2m
@user-co7jf2zo2m 10 ай бұрын
Jama yuko vizuri sana
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 10 ай бұрын
Pamoja sana
@Mosessssss
@Mosessssss 10 ай бұрын
Mchambuzi Upo vizuri sn
@chidiomari.65
@chidiomari.65 10 ай бұрын
Thabith mrangi anachambua vzr sana Maua yake hayo🎉🤝🙌🇫🇮
@allahisone6386
@allahisone6386 8 ай бұрын
🎉🤝🙌
@emmanuelenock6310
@emmanuelenock6310 10 ай бұрын
Thabit mrangi ni zaidi ya mchambuziiiiiiiii.....brilliant 🎉
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 10 ай бұрын
Hakuna tishio maana wao wameongea na kuungana na mataifa zaidi hamsini kupeleke siraha Ukraine na majeshi kwanini mataifa mengine wasimuunge mkono mrusi Marekani ni waoga kuingia vitani direct bali wanatumia njia za mkato kuibua migogoro ili wauze siraha, madawa, n.k kwahiyo wanaona endapo Urusi itakuwa imara sera zao zitakuwa si kitu, maberi hili swala kwao pasua kichwa ila muda utazungumza
@masungadutta3823
@masungadutta3823 10 ай бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri sana kwenye uchambuzi
@anthonykiula6321
@anthonykiula6321 9 ай бұрын
Sanaa
@user-hz4by6ff5i
@user-hz4by6ff5i 24 күн бұрын
Sana sana
@josephkostans9128
@josephkostans9128 9 ай бұрын
Bigup mchambuzi uko vizuli sana
@evaristbamfu7149
@evaristbamfu7149 9 ай бұрын
Huyu jamaa ni mchambuzi kweli kweli. Lugha simple, no mbwembwe. Big up brother
@allahisone6386
@allahisone6386 8 ай бұрын
🙌🎉🙌
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 10 ай бұрын
Ni hatari mlangi salute kwako
@ibba8082
@ibba8082 10 ай бұрын
Pamoja kutoka FIZI D R Congo🎉
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 3 ай бұрын
dugu umemsikia huyo jamaa anavo poromosha madini ....congo mnawatu kama Hawa ao ni wale wasomi wakujisifia bila kusaidia raia kifikra, kielimu ,kistoria na mambo kazalika
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 10 ай бұрын
Exarent very geneus boy🤝🇿🇦
@farusaimon3490
@farusaimon3490 10 ай бұрын
Hongera sana AZAM TV kwa kimtambua huyu Mwamba. Good job!
@GeorgeUsele-kr6qk
@GeorgeUsele-kr6qk 10 ай бұрын
Hii sio TBC hii ni Azam Tv mwanzon walikuwa wanaleta unafiki saiv wameanza kuongea ukweli
@farusaimon3490
@farusaimon3490 9 ай бұрын
@@GeorgeUsele-kr6qk Asante sana kwa masahihisho ndugu! Sikuchunguza vizuri.
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 9 ай бұрын
@@GeorgeUsele-kr6qk kivipi
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 ай бұрын
​@@GeorgeUsele-kr6qk hujui kitu dogo tulia
@shabantelack5716
@shabantelack5716 10 ай бұрын
Thabit unajua sana , nmerudia mara 10 umetoa kama summury flani inayoeleweka
@finiasfidelis1475
@finiasfidelis1475 10 ай бұрын
Kongore sana kwa Thabiti Mrangi mchambuzi wa mambo ya kimataifa na mikakati
@akhanntahena2544
@akhanntahena2544 10 ай бұрын
Safi Sana Thabit huo ndiyo uchambuzi makini
@jafariHabibu-jc9zf
@jafariHabibu-jc9zf 10 ай бұрын
Tumewapata asanteni
@jkifutu7936
@jkifutu7936 10 ай бұрын
Nawakubali sana
@donizzo9570
@donizzo9570 17 күн бұрын
Usiseme Urussi na Ukraine bali sema Urussi na marekani.. Alafu mwenzio mwambie marekani amejivisha ukilanja ila hawezi kuwa kiranja wa Dunia
@venancembwaga-uw6kb
@venancembwaga-uw6kb 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 marekani anaumwa ugonjwa wa geopolitics nimekuelewa
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 10 ай бұрын
Nilikua nikiusubiri kwa hamu huu mjadala.
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 20 күн бұрын
Nampenda sn
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 10 ай бұрын
Mlangi 🎉🎉nimaua yako hayo
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 10 ай бұрын
Najua America inaprint tu pesa na kuzitumia vibaya
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 9 ай бұрын
Huyu jamaa nimchambuzi mzuri sana alifelri tu kwenye swala bandari alijishushia eshima sana CCM hawabebeki hata Kwa mna yoyote ile
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 9 ай бұрын
Mchambuzi uko vizuri
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 10 ай бұрын
Bro mlangi juzi tu nilikuwa namuuliza Bro Gangana juu ya hizi chambuzi,,,
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 10 ай бұрын
Nimekukubali Sana mchambuzi
@abuubakarhaji2078
@abuubakarhaji2078 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rajabuathumani1586
@rajabuathumani1586 9 ай бұрын
Mrangi iko vzr mno
@eliasndomba7937
@eliasndomba7937 10 ай бұрын
Watu 14 awapendani ...wakielewana ni hatali mno Nimejifunza kitu kikubwa sana
@angelamwewe1948
@angelamwewe1948 9 ай бұрын
Mchambuzi thabiti..... Namkubali Sana jamaa.. mzee wa mikakati
@hamzahuseni2555
@hamzahuseni2555 10 ай бұрын
Mchambuzi huyu anaviwango vya hali yajuu honger
@jkifutu7936
@jkifutu7936 9 ай бұрын
Nakukubali sana mdogo wangu
@user-ni9gx1ho6c
@user-ni9gx1ho6c 9 ай бұрын
Hongera sana broo sabit upo poa sanaaa
@shabantelack5716
@shabantelack5716 10 ай бұрын
Apo japan Taifa linazeeka sijaelewa kabisaa😂😂😂
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 10 ай бұрын
😂😂😂Japan miaka ya nyuma ilikua taifa lenye nguvu kubwa Duniani but kwasasa amna kitu Ndio maana kasema hivo ni taifa lililozeeka ( Yaani limezeeka kijeshi )
@josephmwita6012
@josephmwita6012 10 ай бұрын
ni taifa ambalo lina wazee wengi kuliko vijana
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 10 ай бұрын
Tunashkuru
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 10 ай бұрын
Viva Putin viva African ❤❤ 🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DevyMtanza-fc2nn
@DevyMtanza-fc2nn 10 ай бұрын
Tupo pamoja
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 9 ай бұрын
Thabit, hakika wewe ni gwiji wa siasa za kikanda, hongera sana.
@yonathanbanyikwa1813
@yonathanbanyikwa1813 8 ай бұрын
Mrusi anamfaham vizuri mmarekani, anamheshim Sana ndio maana ataishia Ukraine hawezi kugusa mwingine.
@JanenyirambonaJanenyiram-sc7lv
@JanenyirambonaJanenyiram-sc7lv 8 ай бұрын
Huyu kama ana uelewa mkubwa kuhusu siasa, inasikika wazi.
@daudimabumba2887
@daudimabumba2887 9 ай бұрын
Wewe nimchambuzi acha hao wengine kusifia2 magharibi
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 10 ай бұрын
Uraaa 😂
@rajabuhamisi2769
@rajabuhamisi2769 10 ай бұрын
Uraaaaaaaass
@jumambarale699
@jumambarale699 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gstone830
@gstone830 9 ай бұрын
Putin👍🏻
@fikirininasoro5272
@fikirininasoro5272 2 ай бұрын
Muwe mnachambua na mgogoro wa Irani na marekani pamoja na Israel
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 ай бұрын
Africa tunatakiwa kuwa makini sana hawa maghalibi wana nia mbaya na Africa tusilale maanake viongozi wetu wamalizika sanaa wakati wao roho zipo juu wanajua uchumi wao upo hoi mali asiri wanazotegemea zimetiwa mchanga.
@victorsanga2229
@victorsanga2229 10 ай бұрын
Akili ndogo ya kufikiri, leo mnashindwa kuigiza mafuta kwa kuwa hamna dola ya Marekani., haya hao warusi, korea kusini, china wapo wapi kuwasaidia? Maisha ya warusi, china, north korea wengi ni ya kawaida tu. Mapato yetu kwenye utalii tunawategea ulaya na Marekani
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 9 ай бұрын
@@victorsanga2229 kivipi
@user-jq7dy4iy7y
@user-jq7dy4iy7y 10 ай бұрын
So nice ❤️
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 10 ай бұрын
Hivi vijombo vya vihabari vya 'tenzeniye' vinatoa wapi uthubutu wa kujadili ishi ya Urusi na Korea. Marekani hakuna kijiji hayupo duniani. Mfatilieni Edward Snowden mtaelewa.
@Linsha1993-hw9kl
@Linsha1993-hw9kl 10 ай бұрын
Wamemfanya nn mpaka leo na yupo urusi na amepewa mpaka uraia na haja fanya lolote
@eliasndomba7937
@eliasndomba7937 10 ай бұрын
Jamaa anajua sana
@husseinmanyanga1587
@husseinmanyanga1587 9 ай бұрын
Mchambuzi yuko zvizur sana tuko pa1
@othumanomari1589
@othumanomari1589 22 күн бұрын
Hao wanaurafiki waundugu
@BernadPeter-zy8tv
@BernadPeter-zy8tv 9 ай бұрын
Mdanganya uma
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 9 ай бұрын
Mpuuzi wewe, jamaa masters kachukia Israel
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 10 ай бұрын
Hahahahaha makofi kwko jembe
@shijamohamed369
@shijamohamed369 9 ай бұрын
Je N. KOREA HAFIKIRII KUIVSMIA KOREA
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 9 ай бұрын
Acha uboya ujui kbsa historia ya Korea yaani baada ya bomu la Hiroshima Japan Korea ilikuwa chini ya Japan ukasainiwa mkataba wa kutokuwa nakoloni lolote so ili usssr Soviet na USA wasipigane wakagwana Korea north ikapewa Russia na south ikapewa Marekani na Russia ikaipa marekani Alaska desert marekani kukwepa vita chini y
@lucasalbertomseti1578
@lucasalbertomseti1578 9 ай бұрын
Hebu kosoa kiungwana basi
@josephkostans9128
@josephkostans9128 9 ай бұрын
Ukikisoa kiungwana utaeleweka vizuli zaidi wakati mwingine. Huyu mchambuzi yupo vizuli sana ila kumbuka mwanadamu hakosi kasoro ama kupitiwa hiyo ni makosa ya kibinadamu so lazima tujali ktk hilo
@annurmohamedi9824
@annurmohamedi9824 9 ай бұрын
Russia "aliipa" marekani Alaska?? Historia umejifunzia wap?? Na lini hilo jambo lilitokea ?? Google bas ili ikusaidie ilikuwaje Alaska iwe Marekan jambo gan lilifanyika
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 9 ай бұрын
Wewe mjinga sana huyu, mwamba Masters kachukia Israel na kafundishwa maprofesa bobezi wa mikakati dunia na mfuatilie kuanzia sasa, ndio maana wengi wamekupinga mpuuzu wewe
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 9 ай бұрын
Sasa wewe unajitamba kujua historia za watu? 🙄Vipi kuhusu historia yako sasa turudi apo
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 20 күн бұрын
Zabit namkubali sn
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 9 ай бұрын
Thabiti Mrangi kwa kweli ni kichwa sana
@godfreydavid6267
@godfreydavid6267 9 ай бұрын
Drone kutoka Iran ilikuaje? Urusi hahitaji silaha kutoka Korea Kaskazini!!! Sijaelewa
@albertbissaga1425
@albertbissaga1425 9 ай бұрын
Madhumuni ya kuiangusha marekani ni nini? Na hatima ya dunia hapo baadae?
@MiriamMwalukisa-oy4xl
@MiriamMwalukisa-oy4xl 10 ай бұрын
Leo saa mbovu inaongea ukweli
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 10 ай бұрын
Saa mbovu unamaana Gani?
@Pedeshee01
@Pedeshee01 10 ай бұрын
Habib miriam hujambo
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 9 ай бұрын
Kivipi
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 9 ай бұрын
Chambueni jambo Kwa ufsaha sio mchambue kama ushabiki wa mpira
@MouriceNdomba-zr5hx
@MouriceNdomba-zr5hx 9 ай бұрын
Hata warusi wengi wanaasili ya kiyahudi ndomaana mwizraeli amekaa kimya kwenye huu mzozo
@mussaminogapegeitapigaasow9165
@mussaminogapegeitapigaasow9165 9 ай бұрын
Huyo ndoomchambuz wakwel kuliko yule mwingine
@IbrahimlyenjeNtupwa-ju4ej
@IbrahimlyenjeNtupwa-ju4ej 9 ай бұрын
Hamuelimarekani haishindanishwi nataifaloloteduniani
@charlesmagahi-rr6wl
@charlesmagahi-rr6wl 10 ай бұрын
Hiko hiko ni kiswahili gani? Sahihi ni hicho hicho.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 10 ай бұрын
Acha kudeal na vitu vidogo angalia mambo ya msingi
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 9 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474hiyo ndio sifa ya watu wenye wenye ubongo mdogo kutafuta Vitu vidogo
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474Hivyo vitu visigo ndivyo vibavyotakiwa Ili mtu aongee kiswahili sahihi. Au na wew ndio wale ambao wanaongea kama wanatafuna makande. Sehemu ya kuweka R wanaweka L na sehemu y L mnaweka R
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 4 ай бұрын
@@miltonjohn9779 soma ulichoandika basi maana naona hata kuandika kwako mtihani "visigo" ndio nini mbona unaandika kama umekula nyanja chungu
@juliusdonard933
@juliusdonard933 9 ай бұрын
Putin n mwamba
@albertbissaga1425
@albertbissaga1425 9 ай бұрын
We mshabiki wa upande wa urusi, maana yake unajipa matumaini ya ushindi, kumbuka hata warusi wameuwawa wengi vitani, harafu usidanganye nyukilia za mchina hafuati za USA, pia mrusi hana submarine Kama za USA .
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 24 күн бұрын
Wewe unaweweseka tu utafikiri una maradhi ya kifafa,kwani hata hujui unachokisema
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 10 ай бұрын
Marekani ndio israeli hawezekani
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 10 ай бұрын
Atapigwa tu. Israel anapewa kichwa tu. Anapigika. Mbona Hitler aliwatandika
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 10 ай бұрын
Yes american kwanza is the land of honey and milk
@eliasndomba7937
@eliasndomba7937 10 ай бұрын
Ujielewi Bado....Duniani imebadirika mno
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 9 ай бұрын
​@@tekashisixtynin9threewithd727American is a land of Murderers and sodomised
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 9 ай бұрын
​@@tekashisixtynin9threewithd727nani kasema hayo nchi ya mashoga na usagaji
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 4 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 97 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
Georgina & Ronaldo Rare Moments ❤️ #3
0:31
Score 90 Shorts
Рет қаралды 113 МЛН
Tournament of the best. Who do you think won? 🏆🐐😍
0:43
Max VS Football
Рет қаралды 4,6 МЛН
Controversial Referee Decisions ❌
0:27
TIKI-TAKA
Рет қаралды 5 МЛН