RAIS DKT. MAGUFULI AZNGUMZA NA WANANCHI WA KISAKI MOROGORO KABLA YA KUELEKEA MTO RUFIJI

  Рет қаралды 25,614

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

5 жыл бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali na kuzungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji

Пікірлер: 50
@edwardisack1890
@edwardisack1890 5 жыл бұрын
chato ya kisaki hiyo,haahaaaa,hongera watumishi wangu kazi yenu nzuri
@martinngonyani5494
@martinngonyani5494 5 жыл бұрын
Mungu akubariki Rais wetu na akulinde siku zote,Tanzania yetu sawa ni raha tupu
@athumanomary1171
@athumanomary1171 5 жыл бұрын
Watanzania wenzangu kwa umoja wetu kwa mshikamano wetu kwa pamoja tuzidi kumuombea raisi wetu kwa imani zetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nasi
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
DAAAA NAMKUBALI SANAAA COMMANDO JPM
@hassanabdu6862
@hassanabdu6862 5 жыл бұрын
Tuendelee kumuombea Rais wetu Mungu azidi Kumlinda
@kuluthumkalonga4757
@kuluthumkalonga4757 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa tumuombee
@richardndumbaro3566
@richardndumbaro3566 5 жыл бұрын
Mh. Rais Tunakupenda
@kemmymuhandiki5243
@kemmymuhandiki5243 5 жыл бұрын
Huyu raisi 2020 wala asihangaike kupiga kampeni ni hatari sana jmn!!!!!!
@nyangetaissa4916
@nyangetaissa4916 5 жыл бұрын
Hongera xana Rais wetu mpendwa mh Dr John Pombe Joseph Magufuli; kwa uchapakaz uliotukuka
@petergebo8198
@petergebo8198 5 жыл бұрын
Wewe ni rais wa wanyoge daima tutaendelea kukuombea rais wetu
@petergebo8198
@petergebo8198 5 жыл бұрын
Safi snaa uncle magu
@shijasagali5161
@shijasagali5161 5 жыл бұрын
Hongera jembe letu ,kwa hizo shs400 milioni ni heshima kubwa na wajibu wa kiongozi wetu kututendea haki hii ya kujenga hicho kituo cha afya.
@samwelmfinanga4769
@samwelmfinanga4769 5 жыл бұрын
Ongera jembe ltu Mungu awe upande wko pmja nasi
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
JPM BW. KAONA AMTOE KBS KWENYE GARI MAMA WA TAIFA HONGERA SANA MH
@mtakimjinja2328
@mtakimjinja2328 5 жыл бұрын
Mungu akubariki
@tamiymabubakar3665
@tamiymabubakar3665 5 жыл бұрын
Aisee safar hii tume mpata rais wakwel Mungu ashukuliwe
@bedamichael7103
@bedamichael7103 5 жыл бұрын
Kwenye ziara ya mh Rais ujipange usiende kifisadifisadi!
@april7teen
@april7teen 5 жыл бұрын
Hii style mpya ya kuchangisha inanikosha sana 😅 endelea kuwachangisha mzee baba.. 🤣🤣🤣🤣🤣 Angalau waweke kumbukumbu kwenye maisha yao 😊
@ahmadnassor7375
@ahmadnassor7375 5 жыл бұрын
Kabisaaaaaa labda watakuwa na uchungu . Maana ukiwa kwenye msafara wake ujipange na kibunda cha michango Kama waenda msibani
@rajabuseleman4515
@rajabuseleman4515 5 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wetu hakika ww nikiongozi mchapakaz
@abdulabass5808
@abdulabass5808 5 жыл бұрын
Eti huyu 2020 asishinde sio bure
@williamngazija7284
@williamngazija7284 5 жыл бұрын
Ooo! Haleluya mangufuli Rais wetu rais wa wanyonge mungu azidi kukutunza milele daima.....
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 5 жыл бұрын
Nani kama Rais wangu Magufuli. 2020√√√√√√
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Raisi wetu itabaki historia tu Tuta kusimulia kwa wototo wetu
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
Sanaaaa
@famitoissanawanda7011
@famitoissanawanda7011 5 жыл бұрын
Kkkkkk mbavu zangu mie Mungu yu nawe mzee jpm
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
hii sela ya hapa kazi Kazi yaonekana magu
@khamiskidiko3827
@khamiskidiko3827 5 жыл бұрын
Fantastic Mr president
@kambiibrahim415
@kambiibrahim415 5 жыл бұрын
HAPA KAZI TU!
@chidboychichalo9201
@chidboychichalo9201 5 жыл бұрын
Safi sana kiongoz wetu
@deodatusdeogratias6332
@deodatusdeogratias6332 5 жыл бұрын
Asnte sana baba
@isayaerasto7550
@isayaerasto7550 5 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu
@nassoronkelanza6161
@nassoronkelanza6161 5 жыл бұрын
Pamoja Mkuu
@mpondaahamida2146
@mpondaahamida2146 5 жыл бұрын
Safi rais wetu, kanyaga twende mzee
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo 3 ай бұрын
Mungu akiwa anakuongoza siku zote utafanya kazi Kwa kujiamini utawala mzuri wa haki kukamilika Kwa muda bila watu kuchukia ukiona wale wachache wanakuchukia ujue hata mambo wanayoyafikiria ni mabaya ndo maana ni wachache God bless you doctor magufuli
@mohamedkassimu8789
@mohamedkassimu8789 5 жыл бұрын
Na sisi tutachangiaje! Mfungue akaunti ya wadau wa mitandao ili tushiriki wote kuijenga nchi yetu.✍️
@richardaron8797
@richardaron8797 5 жыл бұрын
Muwe na kazalika ntakuja kununua
@MpayOnlineTv4696
@MpayOnlineTv4696 5 жыл бұрын
Diwani wa Chadema nachangia laki 2 🤣🤣🤣, halafu mnataka nchi😜😜
@burhanrashidhussein6037
@burhanrashidhussein6037 5 жыл бұрын
Hhhhhh umeniacha hoi
@abdulabdul6370
@abdulabdul6370 5 жыл бұрын
Duh! 😂 😂 😂 😂
@MpayOnlineTv4696
@MpayOnlineTv4696 5 жыл бұрын
ukisikia nchi inajengwa kwa fedha za wananchi ndio hivi, leo ww unakuja na laki moja,kuleta maendeleo
@corrolesscps
@corrolesscps 5 жыл бұрын
Elias Mpay . Ndio maana yake nchi inajengwa na mwananchi, Sio kwamba atakuja mchina kujenga, ni kujidanganya, mchina atakuja na stayle zake ili apate faida au kukomba, si mmeshidwa kujenga wenyewe nchi yenu alafu mwisho wa siku manaendelea kubaki na umasikini wenu,si mmelala mnasubiria mpka furani aje kutujengea. Wnakwambia usimwamshe alie lala, usije ukalala wewe
@mathiasnsegenelo7598
@mathiasnsegenelo7598 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anawapenzi hatar,watu wananjaa c kawaida
@luluamri370
@luluamri370 5 жыл бұрын
Nchi inajengwa na wananchi yao
@luluamri370
@luluamri370 5 жыл бұрын
Rais mgawa thawabu
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 8 ай бұрын
Rest in peace jpm
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 5 жыл бұрын
Raisi anachangia milioni tano. Alafu we unatoa laki tano ndo nini asa hamuoni aibu
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 5 жыл бұрын
Mnaulizwa umeme utakuja lini mnaanza kumuimbia raisi ngonjera. Hekaya za abunuwas
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@charlesmatofali2850
@charlesmatofali2850 5 жыл бұрын
Kweli tunaye Rais wa watu anayejali wananchi wake
RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU DAR ES SALAAM
59:08
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT  MAGUFULI AKIWA CHATO MARCH 29,2016
52:42
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 81 М.
HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI / HUYU NDIYE ALIYEJENGA!
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 176 М.
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
33:26
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 17 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН