HOTUBA YA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA 11 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA 19 MARCH 2018
Пікірлер: 29
@stevenmjenga12566 жыл бұрын
Daaaaa wa Tanzania kwa maneno haya asielewa ni mpumbavu respect raisi wangu
@juliuskatemi68166 жыл бұрын
natamani niwe mfanya biashara mkubwa dunian..GOD GONNA OPEN DOOR am sure the president will provide the best direction in this country
@benedictmwakabungu69466 жыл бұрын
Magufuli is full of public inteterest, his speech with TSPF shows light to the industrial prosperity let support him in his dream for our own advantage. God bless our nation and its people
@saidalisuleiman37316 жыл бұрын
Nakukubali mh rais hongera sana
@mutokatalks...44386 жыл бұрын
hakika tuna Rais Tz,,, ipo cku watakuelewa.
@nyanda4276 жыл бұрын
Good Job Mr. President Dr John Pombe Magufuli
@stephenntinginya10626 жыл бұрын
Hata wazungu wasemeje sisi ni Magufuli tu,Rais anataka kuwathibitishia wananchi wake kwanini Tanzania ni tajiri mno,Ili tuache kuwa ombaomba na kusaini mikataba mibovu.
@abelsabibi61926 жыл бұрын
long live Mr.president, JPM,we are proud of you,this country is really in safe hands!!!!
@rehemamponji33646 жыл бұрын
hongera sana .MAGUFULI, Tunakuomnbea sana endelea
@flavianmwageni58596 жыл бұрын
hakika mungu akutangulie katika kuyajenga na unasikilza shida zetu
@maligisajames43706 жыл бұрын
Mungu akubariki, akulinde na akutunze Mhe. Rais wetu. Changamoto kwenye nchi yetu ni nyingi lakini Mungu yu pamoja nasi atatusaidia kufikia malengo maendeleo yetu kwa manufaa ya watanzania wote. Amina
@t1910j6 жыл бұрын
I'm proud of you mr president
@lifeonearth946 жыл бұрын
Hakuna rais alie na akili pamoja na maono kama Magufuli Taifa liko mikono salama
@husseinlutambi92476 жыл бұрын
lavian wanjara Kabisa umenena na ninaunga mkono
@carlosn_tz6 жыл бұрын
Komaa baba,tunakuamini sana
@lifeonearth946 жыл бұрын
Best president ever
@rashidsleman55456 жыл бұрын
Kama wanatakiwa wawekezaji kutoka nje kwanini hawaiti watanzania diaspora waje kusaidia kuleta maendeleo wala msifikiri kama hao mnawaita wanakuja kuchuma tu waondoke lakini diaspora wanachuma nje wanaleta kwao lakini hawatakiwi kwasababu maslahi ya vigogo hawana pacent lakini wakiwaleta wao wanapata pacent mkishtuka wanaondoka na ndio mfumo uliopo waite diaspora uone maendeleo
@amanichomola66966 жыл бұрын
Nampongeza Mh. Rais katika hili.
@mayagilajr6 жыл бұрын
Nmpongeza kwa hili aiseeee
@athumanomary14386 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU enderea kumuongoz kumrinda na kuimarisha afya yeke raisi wetu
@lukomyamatalu34256 жыл бұрын
Baba ww ni jembeeee le2 la Tz % zote zako mzeèeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤
@jamesngundateresia26006 жыл бұрын
Kipenzi cha mengi
@melkizedeckkimaro20946 жыл бұрын
Daaaaa!!
@fafa12196 жыл бұрын
safi sana baba etu
@rashidsleman55456 жыл бұрын
Katika historia watu wanaoishi nje diaspora ndio watasaidia kuleta maendeleo kwasababu tayari wana elimu na uzoefu na vile vile wana uzalendo kwasababu wamefanya kazi Katika mfumo wa kimaendeleo lakini hao mnao waleta ni dili tu la vigogo ambao wana pacent zao wewe uko sawa lakini unao mafisadi huwezi kuwaona bila vyama vya upinzani ndio watangudua madudu ya watendaji wako
@philemon-mz2fv10 ай бұрын
Alikua msomi anayeendana na mazingira na hali za watu pia ameongea kikemia kibiologia kifizikia geographia n.k.