RAIS MAGUFULI 'ASHTUKIZA' KUKAGUA UJENZI WA FLYOVER UBUNGO LEO

  Рет қаралды 222,010

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

RAIS MAGUFULI 'ASHTUKIZA' KUKAGUA UJENZI WA FLYOVER UBUNGO LEO
RAIS Dkt John Magufuli, leo Machi 16, ameanza safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwenda kutazama daraja la Kiegea ambalo limekatika tena jana ikiwa ni siku chache baada ya kufanyiwa ukarabati..
Akiwa njiani kuelekea Moro, Rais Magufuli amesimama barabarani katika maeneo mbalimbali na kuzungumza na wananchi pamoja na kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa na serikali.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 218
@diamondswahidia5416
@diamondswahidia5416 4 жыл бұрын
miaka kama25 iliyipita niliwahi kumwambia kaka yangu kuwa ingekuwa nchi za nje maeneo kama tazara ingekuwa nchi za ulaya pangekuwa na flyover lkn hapa kwetu haiwezekani,tulikuwa tunaamini mambo haya hayawezekani.kha!!!! kumbe hata ssi tunaweza dah,tulilishwa matango pori tukaamini aisee
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Utadhani wanjenga meli duuuuuh muda mrefu saana
@caseyzayne8987
@caseyzayne8987 2 жыл бұрын
Sorry to be so offtopic but does anyone know a method to log back into an Instagram account? I somehow lost my login password. I would love any assistance you can offer me!
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Hapa tumekuelewa wanaojifanya vipofu watakuelewa ukistafu,hongera rais
@user-mw4wk4qu7i
@user-mw4wk4qu7i 4 жыл бұрын
NAKUKUBALI RAIS CHAPA KAZI
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Huyu mtu anaweka alama isiyofutika Miaka zaidi ya 100 ijayo tutamkubuka na ataandikwa kwenye vitabu vingi za history ya Maendeleo ya Tz
@eliakimchaiikobellah358
@eliakimchaiikobellah358 4 жыл бұрын
Wanaokukataa wewe wakatae tu Ila hawawezi kukataa kazi zako Mh, Rais. Endelea kupiga kazi watakuelewa tu.
@kulwapaul2721
@kulwapaul2721 4 жыл бұрын
Hizo raba sizani Kama zinafka 15000 huyu rahsi nampenda Hana makuu
@drshytonagen2357
@drshytonagen2357 4 жыл бұрын
haha,nimeziona
@selector728
@selector728 3 жыл бұрын
Siyo rahisi ni raisi
@kadaskarim5175
@kadaskarim5175 4 жыл бұрын
Macho yang au baba Leo umeamua kuvaa laba kwel nimekukubali nakupenda San rais wang
@muhsinmwambule9435
@muhsinmwambule9435 4 жыл бұрын
Si laba bali ni raba kama ukiitamka tamko lake ukiliazima kama lilivyo kwenye lugha yake ya asili.
@deusrobert1343
@deusrobert1343 3 жыл бұрын
raba za tsh 7500
@abdulkarimhamissi3755
@abdulkarimhamissi3755 4 жыл бұрын
Embu mumtag awa watu waje waone labda wataingiwa na aibu wataacha unafki 🤣🤣🤣🤣@zito @mbowe @tundulisu
@innocentrushambya1671
@innocentrushambya1671 4 жыл бұрын
Umesaau na mange kimambi mratibu wa kigogo 2014 Twitter
@blenfikru5012
@blenfikru5012 4 жыл бұрын
@@innocentrushambya1671 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@jamilasaid2718
@jamilasaid2718 4 жыл бұрын
asante baba kwa kuijali nchi yetu kwanza starehe baadae
@mathiasmikongoti5798
@mathiasmikongoti5798 4 жыл бұрын
tujuane wasoma comments! 🥰
@adamkasasa4290
@adamkasasa4290 4 жыл бұрын
Tuko pamoja
@halimakari9558
@halimakari9558 4 жыл бұрын
Asante mh rais usipoteze hata sekunde kuwa wazia wasanii wa siasa,Iwazie tanzania yako tu najua huna muda huo ila wanaweza kukuloga hao.Kwakweli wengi tunakupenda sana kazi yako imeonekana.
@leandrowilliam7956
@leandrowilliam7956 4 жыл бұрын
Namkubari sana rais wetu big up
@amosimichael208
@amosimichael208 4 жыл бұрын
Jpm Mungu azidi kumlinda duh huyu president is so fire nikiwa India nafurah kuona maendeleo ya nchi yangu I love Tz
@dr.tumainiandrea6957
@dr.tumainiandrea6957 4 жыл бұрын
Safi sana comrade...tuwadiliane mkuu
@omarymohamedi3490
@omarymohamedi3490 4 жыл бұрын
Jamani tuombe cana mungu atuondolee ugonjwa mbaya wakorona
@wilsonjohn1919
@wilsonjohn1919 4 жыл бұрын
Nakubali sana president wewe siku zote unawaza maendeleo tu
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 жыл бұрын
Hongera sana Mh. Rais JPM nazani wakuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wakurugenzi wanatakiwa kumsaidia kazi Rais sio mpaka Rais afike eneo husika mfno soko la machinga ambalo halijajengwa ilihali ilikua maelekezo ya Mh .JPM
@pastoreliamsika9355
@pastoreliamsika9355 4 жыл бұрын
Sichokagi kumsikiliza huyu baba aisee❤️
@manmachomaasai1095
@manmachomaasai1095 4 жыл бұрын
oya utamgonga na icho kichuma chako rais wetu bwana walinz mko wapi nyinyi
@mosallah4907
@mosallah4907 4 жыл бұрын
Magufuli baba lao
@elizabethdismas7660
@elizabethdismas7660 4 жыл бұрын
Huyu raisi Noma Sana, hataki ujinga anatak mambo yaende kwa uhalali
@muksinimkahakala4383
@muksinimkahakala4383 4 жыл бұрын
Nakpenda saana JPM kwa Kaz nzur, MW/Mung akurinde na mabaya, mazuri yakufie. Amin
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Corona 😭😭😭😭 Ewe Allah lilinde Taifa Letu na Huu Ugonjwa Hatari.
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
Usijali utaisha soon. Wala hautatudhuru
@kinyemkira5623
@kinyemkira5623 4 жыл бұрын
Kazi nzuri Mh Rais, maendeleo kwanza, nchi yetu isonge mbele!
@mbwanaseif404
@mbwanaseif404 4 жыл бұрын
Kweli watz tunamtaka raisi gani zaidi ya huyu
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 4 жыл бұрын
My President mimi Mushy ila ndio hivyo wote hatufanani,keep it up our prayers always 🤲
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 4 жыл бұрын
Allah ametupa wewe hakukosea utakuwa salama nchi yako bado inakuhiji my President ❤
@barikimwakajumba2627
@barikimwakajumba2627 4 жыл бұрын
Yaan magu sijui tulikupata wapi maana hukuwepo before
@thetycoon8799
@thetycoon8799 4 жыл бұрын
@Bariki Mwakajumba hakuwepo na wakati huyu alikuwa ni waziri wa miundombinu ya barabara kipindi cha Kikwete au hukumbuki?? Watu mnajifanya mmesahau duhhh juzi tu
@user-fc8xe2sc3w
@user-fc8xe2sc3w 4 жыл бұрын
Love you Tz,
@mwalimumatunda8742
@mwalimumatunda8742 4 жыл бұрын
And tz people's love every contries tz no war no miss understand
@manuelhealth100channel7
@manuelhealth100channel7 4 жыл бұрын
Nakukubali sana JPM pigakazi tukopamoja na wewe kaziyako inaongea yenyewe
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 4 жыл бұрын
Kaz nzur baba. Songa mbele
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Magu oyeeeeeeeeeee
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 4 жыл бұрын
Oyeeeee
@swahilipoetry8781
@swahilipoetry8781 4 жыл бұрын
Go go go Mr President JPM....🙏👌
@pendomathaw6829
@pendomathaw6829 4 жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu kwa mapenzi yako,ikiwezekana KIKOMBE HIKI CHA CORONA KITUEPUKE AMINA
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
Hahahaha Dogo unaogopa kufa
@douglashaule6371
@douglashaule6371 4 жыл бұрын
Piga kazi mzee
@joashandhoga4019
@joashandhoga4019 4 жыл бұрын
Hongera Mr President John Pombe
@lucasbarabara7303
@lucasbarabara7303 4 жыл бұрын
Hongera Rais magufuli ,tz kwanza
@andrewmgoyo8008
@andrewmgoyo8008 4 жыл бұрын
Jamani si mikusanyiko isiyokuwa lazima imezuiliwa inawezekana kukawa na ulazima kutembelea hiyo miradi lakini kipaumbele hasa katika hiki kipindi cha korona virus ndo maana director general wa WHO amesema dunia inafanya uzembe wa kuzuia maambukizi ya virusi hivi,kwa maoni yangu namshauri mh Rais aende direct mpaka kwny destination yake.
@godfreymbambe6834
@godfreymbambe6834 4 жыл бұрын
Mtaumia sana. Mwaka.
@branconguvila4639
@branconguvila4639 4 жыл бұрын
Kabla hujawaza Tanzania itakufanyia nini, waza wewe utaifanyia nini Tanzania...asante JPM kwa kujitoa kwako juu ya nchi hii
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 4 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza kumrinda kumsimamia na kuzidi kuimalisha afya yeke raisi wetu
@sammotv6920
@sammotv6920 4 жыл бұрын
Waoooooh
@devidpanja115
@devidpanja115 4 жыл бұрын
Rais wang mpendwa najiskia vibaya sn unaposema ipo siku tutakukumbuka naomba Mungu akupe maisha na umri mrefu uiongoze Tanzania hata kwa miaka 30 ndio useme hivo..Mungu akulinde my president
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 4 жыл бұрын
This president is a world symbol
@kamanyile
@kamanyile 4 жыл бұрын
huyu Rais ninampenda sana
@pendomathaw6829
@pendomathaw6829 4 жыл бұрын
Hata Kama kila mtanzania angetoa billion moja,Kama cyo maamuzi ya john pombe magufuli,hakungefanyika lolote,FUMBUA MACHO YAKO
@thetycoon8799
@thetycoon8799 4 жыл бұрын
Pendo Mathaw Maamuzi gani?? Mbona hiyo mambo ilianza kipindi cha kikwete, hata ile ya tazara ilikuwa kipindi cha kikwete muwe mnakumbuka lakini , hata airport ilikuwa imeanza kipindi cha kikwete so muwe mnakumbuka tu
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 жыл бұрын
Mtu wa nguvu hongera!
@edsonmbwate612
@edsonmbwate612 4 жыл бұрын
Rabaaa
@hamadamabali2895
@hamadamabali2895 4 жыл бұрын
Ndugu zenu kutoka Kenya tunaikubali sana Kaz anayoifanya Raisi Magufuli, we need to see him again for the next five years, thanks alot!
@suzannnko5055
@suzannnko5055 4 жыл бұрын
Nguvu yetu Rais wetu tunakuunga mkono na MS Forum 🇹🇿💪💪🤝
@violethmtalemwa5190
@violethmtalemwa5190 4 жыл бұрын
tunaomba ufunge mipaka hakuna kuingia wala kutoka corona ni tishio mkuu
@enockbenson4969
@enockbenson4969 4 жыл бұрын
Corona imeshaingia toka jana soma habali
@saidiyusuph964
@saidiyusuph964 4 жыл бұрын
Hongera! Sasa kazi tunaiona
@taufiqyahya324
@taufiqyahya324 4 жыл бұрын
pamoja sana Mr jpm nakukubali
@jumadea6899
@jumadea6899 4 жыл бұрын
Umesomeka mkuu piga kazi
@lyimoshopingbag5374
@lyimoshopingbag5374 4 жыл бұрын
Nakuelewa
@evarestmathew9040
@evarestmathew9040 4 жыл бұрын
Nakk balisana jpm salot kwako miaka10000
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 4 жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾mkubwa we ni fire Mashaallah. 👍🏾
@williamkeita1519
@williamkeita1519 4 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa jpm
@SEMANKA97
@SEMANKA97 4 жыл бұрын
Watu nawamba JPM kuwin kura hahitaji nguvu kubwa mnapiga kelele, huyu baba anaijua nchi ndani nje na alijua itaendeleaje
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 4 жыл бұрын
❤❤👏👏🙏
@paulpaul8825
@paulpaul8825 4 жыл бұрын
💪
@victoria5839
@victoria5839 4 жыл бұрын
I love you magufuli ❤️❤️
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 4 жыл бұрын
Safi sana serekali ya awamu ya tano
@geraldkishenyi5786
@geraldkishenyi5786 4 жыл бұрын
Kaka nakukibali sana katika watu wanao iunga mkono serikali ya awamu ya tano nawewe upo
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 4 жыл бұрын
Tunaunga mkono kwa sababu maendeleo yanaonekana
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 жыл бұрын
"Tuko pamoja kwenye Raha na shida"🤔sawa Mr Ila Mmmh mtaan vyuma ni balaaaa MzeeBaba. sijui huko uliko mwenzetu Hali ni gan?
@muhammadabdulhakam4848
@muhammadabdulhakam4848 4 жыл бұрын
Salehe Innocent unakwama
@yusuphwella9651
@yusuphwella9651 4 жыл бұрын
Nawapa pongez japo kwa hatua iliyofikiwa sema tuu mim nilitarajia ukiwa unatokea kimara ukiwa kwenye Moro road unanaweza kuingia kwenye samnujoma ukiwa kwa juu lakini imekuwa Zina crossover pekee bila kutawanyika
@sammotv6920
@sammotv6920 4 жыл бұрын
This. Is magufuli
@mwalimumatunda8742
@mwalimumatunda8742 4 жыл бұрын
Anaitwa mwalimu salum matunda anauliza viongoz mmefungamipaka.
@mwalimumatunda8742
@mwalimumatunda8742 4 жыл бұрын
Magufuli watafute wafanya kazi apo ccecc kwa mchina uwasikie kele zao
@jamilasaid2718
@jamilasaid2718 4 жыл бұрын
mwl matunda hakuna mpaka ulofungwa juzi tren kutoka zambia imejaa wazungu imeingia dar kupitia reli ya tazara. tuombe dua ugonjwa mbaya sana huu kuliko ukimwi
@abuuhudhaify5195
@abuuhudhaify5195 4 жыл бұрын
hhh
@asiasuedy4880
@asiasuedy4880 4 жыл бұрын
Big up magufuli tupo pamoja nawe
@tanzaniamemorialtv6771
@tanzaniamemorialtv6771 4 жыл бұрын
respect dear Greatest world President
@sammotv6920
@sammotv6920 4 жыл бұрын
Mchina anateteemeka maskin
@muhsinmwambule9435
@muhsinmwambule9435 4 жыл бұрын
Mchina hatetemeki! Ana uzoefu wa kukutana na viongozi wa aina tofauti tofauti. Isipokuwa tuache ulimbukeni. Kumshikia mtu kipaza sauti ama akihitaji kukishika mwenyewe hamna tatizo. Siyo mtu anataka kushika kipaza sauti wao wanafanya kama kukwepesha au kutoa mkono wake. Huo si uwerevu! Kwani rais na huyo mzungumzaji wapo mbali kama suala likiwa ni ulinzi. Na sijui muktadha wao ni upi! yaani ni utovu wa nidhamu kiukweli.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
Muhsin Mwambule ndio wale wale kila kitu mnakosoa hakuna jema Tanzania 🇹🇿 kwanza Mchina katetemeka keli na lazima atetemeke ana ongea na Boss
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
@@muhsinmwambule9435 watu weusi ni shida sana 😢😢
@eliaskajiru1206
@eliaskajiru1206 4 жыл бұрын
Cn
@muhsinmwambule9435
@muhsinmwambule9435 4 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 Ni tafsiri ipi inayokuambia kukosoa ni hakuna jema? Kukosoa ni kuonyesha dosari. Dosari haina tofauti na mapungufu. Tangu lini anayekuambia mapungufu yako anakutakia shari? Anayetaka uharibikiwe hakuambii bali atakulamba kisogo kwa unalotenda kwa sababu anajua unapoelekea unajiangamiza. Bongo Zozo aliulizwa kama mali anazo kwa nini asinunue magari makubwa ya kifahari? Akajibu, kutembea/kusafiri ni kujifunza! Unapata maarifa Dunia ina mengi. Nakusihi tembea angalau kwa kutumia smart phone yako uone wasaidizi wa rais wa wenzetu wakishika kipaza sauti kama anayezungumza akihitaji kukishika wanafanyaje? Tatizo letu tunaona ule ni umadhubuti ni ungangari. Mambo hayakwendi hivyo! Inabidi tutoke kwenye fikra ya kila kutanguliza mabavu, panapo usalama hekima itawale.
@abdallahngohe8346
@abdallahngohe8346 4 жыл бұрын
Hapo sawa wewe ndie laisi bola kuliko wrote salio pita pia unamsimamo
@davidmunduwi5962
@davidmunduwi5962 4 жыл бұрын
namuona mchina hapo
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 4 жыл бұрын
eti shikamoni! Huyu rais kazi kweli kweli! Mungu azidi kumlinda, kumuongoza, na kumbariki rais wetu huyu pendwa Mh. Dr. JJPM na serikali yetu yote! Mungu azidi kuibariki nchi yetu Tz!
@cosmasmasolwa1811
@cosmasmasolwa1811 4 жыл бұрын
Hata watoto wadogo wameamkiwa duh kuta bana
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 4 жыл бұрын
Dah huyu rais Wetu yuko vizuri sana namkubali kinoma anamsimamo sana hata ange ongoza miaka 20 sawa tu.
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Haya Mambo Ni ya ulaya uko
@salmajuma4015
@salmajuma4015 4 жыл бұрын
Hiii kumbe ubungo nako kunajegwa hivo duhhh
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 жыл бұрын
Nmepita Jana. Karbu wanamalizia. Kubwa kuliko ya tazara
@salmajuma4015
@salmajuma4015 4 жыл бұрын
@@dastanfussy4898 duhhh mashallah mm sipo tz mda kidogo ndo maana sijui kinacho endelea
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 жыл бұрын
Poapoa Dada. Pande zp huko?
@hassanabdalla2741
@hassanabdalla2741 4 жыл бұрын
Kwetu sisi hapa ni kazi tu ila wale wanaosema kazi na bata watasubiri Karne ya 22 tukijaaliwa
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 4 жыл бұрын
Mimi sijapenda maelekezo ya engenear kwaupande wa libakora lake kwa RAISI kuliinua inuwa sijapenda"
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 4 жыл бұрын
Hahaaaa
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 4 жыл бұрын
Umeona màaskari hawakuona sijui. Wawe makini
@ericmashulano8769
@ericmashulano8769 4 жыл бұрын
ulitaka ainue nn? wakati unaona hiyo ndio support yake
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 4 жыл бұрын
@@ericmashulano8769 hahaaa apo chacha
@drshytonagen2357
@drshytonagen2357 4 жыл бұрын
mkutano gafla watu nyoni eti magu hapendwi
@alexsimon4345
@alexsimon4345 4 жыл бұрын
Ila nimemkubali sana mfugale kuna raha sana katika kuelezea kitu unachokielewa vizuri na kitaauluma zaidi.
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg Ай бұрын
Huyo mzee ni mtaalamu haswa. RIP kwake
@SEMANKA97
@SEMANKA97 4 жыл бұрын
Watu ni mtaji hiyo ni kweli
@merinaemanuel8100
@merinaemanuel8100 4 жыл бұрын
Nakupenda sana baba angu mungu akulinde na akubarik zaid kipenz. Cha Tanzania
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 4 жыл бұрын
Kiukweli baba mungu ndie pekee ajuae jisi gani ulivyo tujaamoyoni mweni kiukweli mungu akupe afya njema uwendelee kukutumikia baba...
@neemalambo9790
@neemalambo9790 4 жыл бұрын
Piga kazi baba
@moturithevictor2522
@moturithevictor2522 4 жыл бұрын
Watanzania ndio sasa mwatumia barabara za juu kwa juu,,,huku Kenya tumechoka nazo miaka kumi sasa,,lakini hata hivyo hongereni
@abdulmayombo3355
@abdulmayombo3355 4 жыл бұрын
Nice works
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 2 жыл бұрын
Tutalia kila siku magufuri kila tuonapo yale ulikuwa ukiyatenda kwa vitendo kwa ajiri yetu sisi watanzania mungu akusamehe upumzike kwa aman baba
@tophousecommunication570
@tophousecommunication570 4 жыл бұрын
ZUNGUMZA LUGHA YA TAIFA,,,JAMAA AMBIWA HIVYO..KINGEREZA SI LUGHA YA TAIFA HILI...hongera tanzania,,,hapa KENYA vingereza tupu
@chuimnyama9074
@chuimnyama9074 4 жыл бұрын
Chuma cha pua V12 petrol engine 💡
@mwlmazingira8705
@mwlmazingira8705 4 жыл бұрын
SMG au macho yangu
@diamondswahidia5416
@diamondswahidia5416 4 жыл бұрын
sehemu moja ambayo pengine huko baadae inatakiwa ifanyiwe kazi ni makazi ya watu.Nina maanisha serikali ichukuwe usukani katika kujenga makazi ya watu wa kawaida katika miji mikubwa,maeneo kama temeke mikoroshini,manzese tandale na maeneo mengine kuwe na nyumba za flats ambazo watu wa hali ya chini watakaa kulipa kodi ambayo ni ya chini ili waweze ku afford kulipia,sasa hapo tanzania ita change completetly
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
Bonge la point hilo
@gasperkanje8930
@gasperkanje8930 4 жыл бұрын
Hayo ongeeni na raisi wenu wa manzese madii
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
@@gasperkanje8930 ww c hujatembea fala ww uone miji mingine ilivyopangika
@gasperkanje8930
@gasperkanje8930 4 жыл бұрын
@@abubakarihamissi4178 sasa unamaind nini?si mna raisi wenu wa manzese?alishughulikie hilo
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
@@gasperkanje8930 🤣🤣🤣🤣 we jamaa ww una jokes sana, raisi wa mateja yule...
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand 4 жыл бұрын
Uwe unabaki na MAVI nyumbani kwako....hahaaaaa nani kasikiaa hiyooo
@jovinikihongosi7707
@jovinikihongosi7707 4 жыл бұрын
Very nice
@mapesamale3379
@mapesamale3379 4 жыл бұрын
Piga kazi Rais wangu
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 Жыл бұрын
R.I.P Baba ni miaka 2 sasa tangu ulipotuacha M/Mungu akuweke mahali patakatifu Amen😭😭😭 🙏🙏🙏
@NdageKitahama
@NdageKitahama 4 ай бұрын
Umatuachia maumivu makali Sana nikiangalia hotuba zako nalia ufisadi umerudi Tena hawana hata uoga wanazichota tu
@faustinkakule2728
@faustinkakule2728 4 жыл бұрын
Nice
@victormtani7170
@victormtani7170 4 жыл бұрын
Daaaaah......nilikuwa km ninaota vile nikiangalia miguuni kwa Mh. Ni nini kinawaka km mwanga vile kumbe bhana Ni Raba kavaa Rais wetu. Sijawahi kuona Rais kavaa ila kwa huyu jamaa nilikuwa sijamuelewa hizo Raba Sidhani km zinafika hata 20,000 ninaona Huyu Mzee Mungu wetu Mlinde na wabaya wote wasio na nia mbaya na kiongozi wetu.
@drshytonagen2357
@drshytonagen2357 4 жыл бұрын
tanzania wako na best president ,unacheka na watu wa kawaida hadi utani hizi. dont to fake and dopey politicians who are trying to teach you how to hate and not how to love
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 4 жыл бұрын
Koti la buku jero mzee umetisha
@djumaasaidi7575
@djumaasaidi7575 4 жыл бұрын
Nnakubali Mze wetu
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 8 ай бұрын
Nilikuwa naitafuta Sana hotuba hii
@NdageKitahama
@NdageKitahama 4 ай бұрын
Jembe umeondoka umatuachia maumivu nikiona hotuba zako naumia Sana ungekuwepo Leo najua tren ya kutokea dar kwenda Moro ingekuwa imeanza kazi mwendo Kasi mbagala ingekuwa imeanza kazi tunaumia Sana tuna maumivu ya nauli zimepanda mfumko wa bei uko juu mafisadi wamerudi upya wanaitafuna nchi yaani hatuelewi
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 4 жыл бұрын
Mzee hilo Gongo vipi usije ukatuumizia raisi wetu mpaka ulinyanyue wakati unaongea
@martinekallimbu661
@martinekallimbu661 4 жыл бұрын
Mchina amenyimwa mike kwasababu ya hofu ya Covid 19
@mashaelieazer6120
@mashaelieazer6120 4 жыл бұрын
Eti bora ungempa mpare angekutunzia hahaaa
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Leo mzee wangu kavaa raba
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 4 жыл бұрын
Uwe unabaki na mavi nyumbani kwako kama hutaki kupia choo😂😂😂😂😂😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Hands on Prez,hapendi mambo ya kusimuliwa,mambo ni kujionea bana!mzee mzigoni,wengine kwenye makelele wakitafuta huruma!
@mashaelieazer6120
@mashaelieazer6120 4 жыл бұрын
Jamaa yupo Bwiiiiiiiiii
TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE
29:07
Global TV Online
Рет қаралды 509 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 179 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 22 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
MAGUFULI AKATAA HADHARANI WANAJESHI WASIKATWE - "CHUKUA PESA KALIPE"
40:00
RAIS MAGUFULI UBUNGO,  AMCHANGIA MLEMAVU PESA YA BAJAJI
11:16
barmedastv
Рет қаралды 8 М.
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4
34:13
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 179 МЛН