Rais mstaafu Jakaya Kikwete atekeleza kwa vitendo sera ya kilimo kwanza katika eneo la Kiwangwa Bagamoyo Mkoa wa Pwani kwa kulima Nanasi na Papai
Пікірлер: 32
@AmerdaKavishe-pu3cf4 ай бұрын
Ongera raisi wangu
@othmanikilaya68992 жыл бұрын
Upo vzr San rais msitaafu
@jonaskabonda7416 жыл бұрын
Ni nzuriii sana,,wengi wanatamani Sana Kuwa hivyo tatizo mtaji
@m.mmarckus62986 жыл бұрын
Jonas Kabonda umeonae,aliwekeza
@ntibashimadicksonyingo7908 Жыл бұрын
Jamaa alijimilikisha sana mashamba ya mananasi hapo Kiwangwa duuu
@inocentbaba76025 жыл бұрын
safi sana raising wetu waukweli maisha safi hata Mimi nimekuiga
@josephatkimbavala19883 жыл бұрын
Hongera sana mstafu wetu
@anzurunishaha13725 жыл бұрын
Safi sana mzee baba jakaya nakukubali sana
@raziahhassan7506 жыл бұрын
kilimo kwanza,inspires me than ever..lets fight Watanzania
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
raziah hassan ...Kilimo kwanza ilikuwa ya Maana sana sema tumeiweka kando tungekuwa na Akili Tungeshafika Mbali ila tukubali tukatae Viwanda bila kilimo ni sawa na Bure tuuu.. Mzee wee Piga Kazii
@peterbayo46776 жыл бұрын
Kumbe!! Hongera sana Jakaya
@superangeltv46153 ай бұрын
Kwann watu wanaujumu selekali wakati fursa ipo
@immamtaki66536 жыл бұрын
Mzee uko vizuri.
@wazirihamisi64843 ай бұрын
Watu wana mapesa NABADO awaridhiki ww huna chochote alafu hutaki kujituma