ROHO MTAKATIFU II (FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 47,491

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Kunena kwa lugha ni karama mojawapo anayoiachilia Roho Mtakatifu kwenye maisha ya wakristo, ila sio kila kunena kwa lugha kwatoka kwa Mungu, adui nae siku hizi anatengeneza lugha yake inayofanana na ya Roho Mtakatifu.
Unaposikiliza sehemu ya hili somo, Mungu akupe ufahamu zaidi.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...

Пікірлер: 96
@INOCENTPHALES
@INOCENTPHALES Ай бұрын
Speaking in tone can also destroy the power of darkness.
@happychonde3451
@happychonde3451 3 жыл бұрын
Huyu pastor imetokea nimempenda sana
@editharosewilfred6485
@editharosewilfred6485 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu , hakika nimebarikiwa sana siku ya leo, najisikia amani sana moyoni , nimejifunza vitu vingi pia ambavyo vimekua vikinisumbua kwa muda mrefu🙏 Namshukuru Mungu kwa ajili ya uwepo wako, Mungu akujalie maisha marefu na wengine wajifunze neno la Mungu kupitia wewe . Amina🙏
@linnetkatama9867
@linnetkatama9867 2 жыл бұрын
I believe one day tutakutana Tanzania,. From kenya tunakupenda Sana
@user-cq8vr4uk4m
@user-cq8vr4uk4m 7 күн бұрын
Baba Asante kwa maombi yako
@user-lp2tz3zn5g
@user-lp2tz3zn5g 5 ай бұрын
Nimeeelewa bariki mtumishi
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 5 ай бұрын
Sijawahi jazwa na roho mtakatifu lakini kupitia kwa mafunzo hii niko na Imani nitajazwa. Asante Mungu kwa mtumishi wako.
@eveotiato2210
@eveotiato2210 2 жыл бұрын
More love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Through listening to you, my life has changed, I know CHRIST from a different point of view. Be blessed servant of God
@jesusislord3199
@jesusislord3199 11 ай бұрын
Mukenya mwenzangu upo
@scholafelix7167
@scholafelix7167 9 күн бұрын
Baba ubarikiwe,, samahan .. mm nkikusikia sauti iliniambia omba.. nikaomba wakati ule,,,asubuh nmenda kanisan nkaambiwa niwaambie kanisa waombe.. .Sikufanya hvyo... Kumbe mume wangu alikuwa hocptalin anaumwa n sikufahamu kutokana na mazingira aliyokuwepo ,,. Bada ya siku moja nikapata taarifa ya kuugua kwake nkaenda kumwona alafu baada y siku 7 akafa. Je baba mm ndye niliyesababisha akafa kwa kwa kutotii saut ya roho mtakatifu.? Naomba unisaidie baba. Huwa inaniumiza sana babangu..
@vicentkilonzo924
@vicentkilonzo924 Жыл бұрын
Amen
@pastorchico6388
@pastorchico6388 3 жыл бұрын
Siku nilipoangalia sehemu ya kwanza nikatamani ndani yangu na ikaja shauku ya kusikia hii subject sababu nimewahi fundisha mahali flani but I was facing all of rejection Thanks for this Pastor Kyando.
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi Sunbella. Nafatilia huduma yako kutoka Ujerumani. Ulipokua unaomba nimelia sana halafu masikio yalikua Yanawaka moto.
@farajamkuchu8458
@farajamkuchu8458 3 жыл бұрын
Asante Yesu kwa mtumishi wako Leo nimenena kwalugha nilikua nikitamani sana kunena kwa lugha leo nimepokea namimi jina la Bwana Yesu litukuzwe sanaaa
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
Hongera sana 😊
@user-ww4zb7uc1b
@user-ww4zb7uc1b 2 жыл бұрын
Amina holy spirit is working now in me Amina
@scholafelix7167
@scholafelix7167 9 күн бұрын
Naomba namna ya kuonana na wewe baba..
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@suzansuzzan5344
@suzansuzzan5344 2 жыл бұрын
I really enjoy your teaching's from your own experience...🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@niwaelmono3184
@niwaelmono3184 3 жыл бұрын
Nimepata package kubwa sanaa kuanzia mwanzo wa somo hadi mwisho; Mungu akubariki Mtumishi Sunbella kwa kutufundisha haya yote. I always call Holy spirit my Best friend and sweet friend !
@wanjikuthamana6101
@wanjikuthamana6101 Жыл бұрын
🙋🏾‍♀️🇰🇪 Very powerful Teachings 🙏
@amissikisombe2169
@amissikisombe2169 3 жыл бұрын
Baba Mungu wambinguni akubariki na akupe umri mrefu ili roho zingine zimpokeye Mungu hakika unanibariki Bujumbura burundi
@rensonpatrick5869
@rensonpatrick5869 Жыл бұрын
Listening from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Pastor you have changed and pulled closer to my God. You are true servant of God's humanity. Barikiwa as I also be blessed mchungaji.
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
pastor sunbella hili somo limenivusha.barikiwa sana
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 жыл бұрын
Wakat unahubiri hapa machoz yananitoka sababu mungu wangu leo amejibu maombi yangu kupitia ww
@frolidamwaikololo83
@frolidamwaikololo83 Жыл бұрын
Namshukuru MUNGU Kwa ajili ya somo hili la ROHO MTAKATIFU kwa kweli nimezaliwa mara ya pili; Ni maombi yangu MUNGU akupe umri wa kheri Mtumishi ili uzidi kutufundisha hizo siri za MUNGU....
@suzansuzzan5344
@suzansuzzan5344 2 жыл бұрын
Learning more about HOLY SPIRIT....Man Of GOD 🙏🙏 be blessed 🙏🙏
@graceoisso3238
@graceoisso3238 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua katika huduma yake. Pastor Sunbella Mimi pia namtamani Roho mtakatifu aniongoze.
@lucymushy6205
@lucymushy6205 3 жыл бұрын
Amina, Amina, Aminaaaaaaaaaa, nimebarikiwa mnooo, Mungu akubariki mtumishi, nimekuelewa
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 8 ай бұрын
Napokea katika Jina la Yesu, Amen
@enocksafari5426
@enocksafari5426 Жыл бұрын
Amen amen pastor, tuna shukuru kwa neno la kutusaidiya katika Safari ya kwenda mbinguni.
@williammathias1230
@williammathias1230 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu wa mbinguni.....
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Amina🙏 umenielimisha vitu ambavio nilikua nahitaji kujua, naomba unisaidie nijue dalili kaunyesha umejazwa,🇰🇪🇰🇪 barikiwa sana 🙏.
@madammesatalks6913
@madammesatalks6913 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa mtumishi wa Mungu, hata mimi hiyo hali uwa inanitokea ya kuwa na mzigo mzito moyoni nakujisikia kuomba, hakika umenipa kitu kipya cha rohoni Mungu azidi kukuinua zaidi asante sana🙏
@joannelson1137
@joannelson1137 2 жыл бұрын
Waoh holy Spirit is wonderful,ur good teacher p sunbela ur blessed
@aisiamkonyi4977
@aisiamkonyi4977 Жыл бұрын
Ameen, unanibariki sana Mtumishi wa Mungu jinsi unavyoelewesha faida za kunena kwa lugha
@aliceahali9368
@aliceahali9368 2 жыл бұрын
Pastor Sunbella umenibariki kwa mafundisho yako
@irenedawson3302
@irenedawson3302 2 жыл бұрын
I really love the word of God . Thank you pastor 🙌
@antonymind3504
@antonymind3504 3 жыл бұрын
Watching from Kenya Nairobi
@nathanielmkuki3048
@nathanielmkuki3048 2 жыл бұрын
Nakutakia mafanikio zaidi katika huduma hiyo ili wana wa Mungu wawe salama ki Mungu katika Kristo Yesu. Amee
@marymgore6714
@marymgore6714 2 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo,kwa somo hili zuri mno,Bwana azidi kukutumia
@cathelnemeddy7863
@cathelnemeddy7863 Жыл бұрын
Asante sana,namshukuru Mungu nami nimenena kwa lugha japo sijayaelewa maana yake
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 жыл бұрын
Hii kitu ni kweli lakn mungu wetu ni mwaminifu sana
@bimeliali1304
@bimeliali1304 3 жыл бұрын
Amen nimepokea.ubarikiwe sana Mtu wa Mungu
@deborageophrey5899
@deborageophrey5899 3 жыл бұрын
Asante Roho mtakatifu kumipa nafas ya kukuaikia na kujifuna kuhusu lugha yako lkupitia mtumihi wako
@divinehopeandsmile
@divinehopeandsmile Жыл бұрын
Thank you dady Mungu azid kukuinua kwa viwango vikubwa
@elizabethrabanus3990
@elizabethrabanus3990 3 жыл бұрын
Mungu akutumie vema Mtumishi wa Mungu nabarikiwa sanaaa na mafundisho haya ya Mungu nabarikiwa sanaaa,, kuwa na roho Mt Kuna faida maana atujulisha mengne ambayo atuyajui
@winnyrocha1361
@winnyrocha1361 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu nimepata ufunuo somo zuri sana
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Amina amina ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwakweli nmepata kitu kikubwa sana 🔥🔥🔥🔥
@jesusislord3199
@jesusislord3199 11 ай бұрын
Amen and Amen from Kenya 🇰🇪
@felestinekwamboka2873
@felestinekwamboka2873 2 жыл бұрын
Napokea kwa jina la Yesu aminaa
@aramudaudinkeyemba2574
@aramudaudinkeyemba2574 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu sanaaaaaa
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
mmmh! i fill it.oh Lord
@hwenys
@hwenys Жыл бұрын
ASANTE ROHO MTAKATIFU, YESU ATAWALE
@imanijohn8147
@imanijohn8147 3 жыл бұрын
Mungu akupe Neema ya kuja tabora...Nimebarikiwa na hii huduma
@priscaprisca3548
@priscaprisca3548 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa neno,nimebarikiwa sana.
@dionicyndelwa663
@dionicyndelwa663 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako mtumishi
@miriamlihinda7816
@miriamlihinda7816 3 жыл бұрын
Ahsnte Roho mtakatifuuu 🙏🙏
@gemamwakyusa6100
@gemamwakyusa6100 10 ай бұрын
Mungu hatetewi
@ellymwasalemba4874
@ellymwasalemba4874 2 жыл бұрын
Negative mindset......be blessed mtumish 🕊️🔥
@everlynewandolo3820
@everlynewandolo3820 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana hata mimi naona roho mtakatifu anisaidie ni nene kwa lugha maana natamani sana
@gilbertwanje
@gilbertwanje 2 жыл бұрын
Amen amen 🇰🇪 🇰🇪 👏👏👏
@gameswithgodiandjeannetteg1116
@gameswithgodiandjeannetteg1116 2 жыл бұрын
Thanks for the teaching pastor. I really enjoy the teaching. Be blessed man of God.
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
I love this message
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Yani Mimi Huwa nalike kabla hata sijaagalia maana Huwa naamini mtumishi sunbella haniangushi
@amosjeremiar8006
@amosjeremiar8006 3 жыл бұрын
Ameen
@elizabethrabanus3990
@elizabethrabanus3990 3 жыл бұрын
Moyo wangu unaguswa Sanaa na mafundisho haya
@yasintamagulyati4550
@yasintamagulyati4550 Жыл бұрын
AMEN
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Glory to God
@paulomaona9714
@paulomaona9714 2 жыл бұрын
Mungu akubariki
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
Yeah!
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 жыл бұрын
AMEN 🙏
@saidakessy3175
@saidakessy3175 2 жыл бұрын
Thank you for the teaching
@therealvoicechurch6855
@therealvoicechurch6855 2 жыл бұрын
Barikiwaa
@jamesmhagale8794
@jamesmhagale8794 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho
@lucyhaule5779
@lucyhaule5779 Ай бұрын
Mungu aliyonitendea kupitia kwa ww mchungungaji kwangu ni ushuhuda, niliumwa, nilikata tamaa, nilichukiwa kazini hata kutaka kufukuzwa kazi kupitia masomo yako tena kufustilia hapa utube yale yote kwangu sasa imekuwa historia kupitia ww nimemuona Mungu hakika nina mengi ya kumshuhududia Mungu kupitia wewe mchungaji
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
I really love this message.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Yes P M Its a very important message to be taught and preached to this generation. Mungu azidi kumbariki Mtumishi Mtumishi huyu na wengine wa aina yake..tuendelee kupata "dozi" nzuri za kuufurahia wokovu. Amina..
@marysayi8466
@marysayi8466 Жыл бұрын
🙏
@linnetkatama9867
@linnetkatama9867 2 жыл бұрын
Mm nisipomskiza huyu mtumishi japo hata siku moja nahisi siko sawa
@jannifferhosea6600
@jannifferhosea6600 2 жыл бұрын
Kanisa la mchungaji sunbella lipo wapi?
@leonardsr8994
@leonardsr8994 2 жыл бұрын
Kuna kitu nimepokea sio cha kawaida
@everlynewandolo3820
@everlynewandolo3820 2 жыл бұрын
Mchungaji ni vipi unaweza Kuja kunena kwa lugha
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Anza kuitazama tena upya hii video na moyoni mwako uwe unatamani sana kunena kwa lugha nawe utanena kwa lugha
@everlynewandolo3820
@everlynewandolo3820 2 жыл бұрын
@@husseinchea5524 Asante
@i.gconnectiontztv8972
@i.gconnectiontztv8972 3 жыл бұрын
mimi huwa na nena tatatatatatatatatatatatatatatatat lakin sibadilishagi
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 жыл бұрын
Poleee endelea kumsih mungu akufundishe kuomba
@siamoye4549
@siamoye4549 3 жыл бұрын
Niliwah kusikia hiyo Hal ila sikuelew kwann ila sasa nimejua roho mtakatifu anaongea kwa namna nying
@i.gconnectiontztv8972
@i.gconnectiontztv8972 3 жыл бұрын
Bwana ni mwema
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Endelea kutamani kutaka kunena kwa lugha zaidi na zaidi na umuombe Roho Mtakatifu akusaidie...pia mm nlianza km ww saa hii ninaomba kwa lugha ile sana
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 Жыл бұрын
Hivyo hivyo ndivyo Roho Mtakatifu anavyotaka uombe kwa sasa. Akitaka ubadilishe, utabadilisha tu taratibu hata mimi nilikuwaga hivyo ila sasa Roho Mtakatifu amenibadilishia.
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
Pastor fundisha hao watu waje na biblia
@scholafelix7167
@scholafelix7167 9 күн бұрын
Naomba namna ya kuonana na wewe baba..
@vicentkilonzo924
@vicentkilonzo924 Жыл бұрын
Amen
@lucyanyango6758
@lucyanyango6758 2 жыл бұрын
Amen
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
48:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
MAMLAKA YA KI MUNGU KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:16:47
Reality of Christ Church
Рет қаралды 48 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 145 МЛН
UTAJIJUAJE KUA UNA ROHO MTAKATIFU? JIBU NI HILI. - Pastor Myamba.
1:10:21
JE, UNAJUA KWANINI VITU VYAKO VINAKWAMA?
55:30
Reality of Christ Church
Рет қаралды 118 М.
Faida za kujazwa Roho Mtakatifu - Askofu Sylvester Gamanywa
30:06
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 36 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
UMUHIMU WA KUONGOZWA NA ROHO || PASTOR GEORGE MUKABWA
1:17:28
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 52 М.
FAIDA 8 ZA KUNENA KWA LUGHA Part1 || NABII DEO L. NJENI
27:58
Prophet DL Njeni Mwasambamba
Рет қаралды 3,7 М.
KUPAMBANUA ROHO(NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:37:34
Reality of Christ Church
Рет қаралды 50 М.
UMUHIMU WA KUIFAHAMU VITA UNAYOPIGANA NAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
45:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 45 М.