FINANCIAL TRANSFORMATION (DAY 2 ARUSHA) - Pastor Sunbella Kyando

  Рет қаралды 12,124

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

2 жыл бұрын

Ibada ya Financial Transformation (Arusha) inayo ongozwa na Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando Tokea Huduma ya The Reality of Christ Ministry Dar es Salaam
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando KZfaq
/ @pastorsunbellakyando

Пікірлер: 36
@joyceantony2693
@joyceantony2693 2 жыл бұрын
Nimesikiliza semina ya day one nimejiona kabisa !! Ninapitia kipindi kigumu sana kwenye mausiano na kiuchumi!! Nimeomba sana na nilikuwa naona ndoto nipo makaburini!! Na makaburi yamesongana sana yaani sehemu ya kupitisha miguu ni shida !! Yaani razima ukanyage juu ya makaburi!! Sikujua maana ya hii ndoto ila leo nimesikiliza semina nimejua !! Sasa ninajua ndo muda wa kutoka kwenye hayo makaburini!! Kwa damu ta yesu na damu mpya ya MUNGU BABA
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 2 жыл бұрын
Davies, Mkenya Niko USA. Pastor Sunbella mungu akupake mafuta zaidi . A good teacher of the word and God is using you to teach and deliver captives . Amen
@linahliz2130
@linahliz2130 3 ай бұрын
Thanks Man of God, watching from Gulf
@jacintasyombua7512
@jacintasyombua7512 2 жыл бұрын
Pastor be blessed for your encouragement mungu akupe ekima na maisha marefu Amen Amen 🙏 🙏 🙏 Am from kenya
@eliyalucas2188
@eliyalucas2188 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na neno. Mungu akubariki Pastor
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
AMEN Asante Sana Dad Sanbella kyando.. barikiwa Sana bishop.naendelea kupiga atua nying zaidi..at kma nmeshindwa kufika Arushaa.hapa hapa nilpo naamni YESU atanigusaa.Amen
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@florahmwasaru2310
@florahmwasaru2310 2 жыл бұрын
Ameen natoka kenya, kwa sasa nk saudia namshukuru sana , mungu akubari sn
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 2 жыл бұрын
Florence. Kwasinda maana. Habari ya Saudia? Mwamachi USA. Nidumie namba aha didedanye
@makejaffar8119
@makejaffar8119 2 жыл бұрын
Mwasinda .ana wadawida
@eminaelykazungu9946
@eminaelykazungu9946 2 жыл бұрын
Nafuatia kupitia youtube kile unachofundisha nakiptia Mungu nikumbuke kupitia Mtumishi wako huyu, natamani sana Mwanza nasi kupata neema hii
@muhamedmlulu4943
@muhamedmlulu4943 2 жыл бұрын
Pastor lin unarudi dar
@joycesanga6951
@joycesanga6951 2 жыл бұрын
Asante Mingu kwa kuiona cku ya pili kwa Pastor Sunbella Amina.
@eugenmswena6508
@eugenmswena6508 2 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako toka arusha monduli
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 жыл бұрын
Na tamani kuokokaa maana ni mejikuta na amani na furaha kumsikiliza uyu mtu wa Mungu
@josephmwangi5758
@josephmwangi5758 2 жыл бұрын
Amen pastor
@sabrinajuma3253
@sabrinajuma3253 2 жыл бұрын
Mungu naomba unifungue na vifugo vyote vya kishetan
@fatmamajid7613
@fatmamajid7613 2 жыл бұрын
Baba naitaji kukuona natatizo gumu sana nipo tayar kufunga safar kuja dar nisaidie jinsi ya kukupata
@Mariah_1293
@Mariah_1293 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@blaisekingobed120
@blaisekingobed120 2 жыл бұрын
Amen
@sifasylvie3941
@sifasylvie3941 2 жыл бұрын
amen
@jacintasyombua7512
@jacintasyombua7512 2 жыл бұрын
Somo la leo niyakwangu biashara ninayo but there is no any profit any more in a end a chini day by day naota dreams za mfanikio bwana wangu anaota akifukuzwa na majoka yamaanisha nini pator.
@joyceantony2693
@joyceantony2693 2 жыл бұрын
Nimesikiliza day one ! Nimejiona kabisa maana Ninapitia kipindi kigumu sana kwenye mausiano na nimeomba sana ila nikawa naota ndoto nipo kwenye makaburi na hayo makaburi yamesongana sana yani ni ngumu kutembea bila kukanyaga makaburi !! Nilikuwa sielewi ile ndoto ilikuwa ina maanisha nn?? Ila leo nimejua kupitia semina ya jana ya day one!! Naona ni muda wa kufunguliwa!! MUNGU BABA nisaidie
@joyceantony2693
@joyceantony2693 2 жыл бұрын
Najifunza sana
@deoelias841
@deoelias841 2 жыл бұрын
Amen n amen...🙏🙏🙏
@magievuriva4775
@magievuriva4775 2 жыл бұрын
Since nimeanz kukufatilia yani najiona kwanini nakutana na hizi chngamoto pastor. Ni makaburi ila damu Ya Yesu itanivusha. Nitakuja nitakuona nahitji deliverence . Familia yng pia
@lucyshedrack1532
@lucyshedrack1532 2 жыл бұрын
Mpo wap arusha
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 2 жыл бұрын
Arusha tupo ukumbi wa CARMATEC NJIRO/LIFE FITNESS HALL ARUSHA na ibada leo itakuwepo kuanzia saa kumi kamili jioni. Karibu sana.
@blaisekingobed120
@blaisekingobed120 2 жыл бұрын
Can someone help me with the pastor’s number please
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 2 жыл бұрын
+255 657 173 322 you can use this number here
@blaisekingobed120
@blaisekingobed120 2 жыл бұрын
@@realityofchristchurch thank you be blessed 🙏
@mercykambe601
@mercykambe601 2 жыл бұрын
@@realityofchristchurch Thanks for the sermon. Am delivered in Jesus Name # Kenya.
@stevenchusi2961
@stevenchusi2961 Жыл бұрын
Natafuta kanisa hili la Reality of Christ kwa hapa Arusha linapatikana wapi, naombeni mnisaidie tafadhali. Au mawasiliano ya wahudu wa hilo kanisa.
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch Жыл бұрын
Kanisa la reality of christ Arusha lipo Eden garden nanenane Njiro. Abada zipo kila ijumaa saa 10:00 jioni na Jumapili 09:00 Asubuhi
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 жыл бұрын
Ninafutiia youtube najiona nimimi kabisa maana napta kweli hela ila hatanyumba ninayoishi Mungu naomba unifungue kupitia neno hili
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 жыл бұрын
Amen
FINANCIAL TRANSFORMATION (DAY 3 ARUSHA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:17:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 6 М.
FINANCIAL TRANSFORMATION  (DAY 1 ARUSHA) - Pastor Sunbella Kyando
59:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 16 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 193 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
NDOTO KATIKA UHALISIA (ROHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 2,1 М.
NAVUKA   PASTOR JOHN SEMBATWA MWANZA
1:24:51
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 190
JE MTU ALIYEOKOKA ANAHITAJI KUFUNGULIWA? BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:49
Reality of Christ Church
Рет қаралды 16 М.
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 141 М.
#LIVE: KUONDOA ROHO YA KUJIDHARAU // Friday 05,2024
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 295
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:52
JINSI YA KUSHINDA HILA ZA SHETANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:41
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 12 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00