MAADUI TUNAO PAMBANA NAO

  Рет қаралды 61,836

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Pastor Sunbella Kyando amefundisha somo hili la hawa ndio maadui tunao pambana nao, Muendelezo wa masomo yahusuyu sana Ulimwengu wa Roho namna ambavyo unaweza kushinda na kuishi kwa ushindi kama ukijua kanuni za kwenye ulimwengu wa Roho.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...

Пікірлер: 85
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 3 ай бұрын
Siku moja nitakutana na pastor 😊
@user-mf5ww2gj6b
@user-mf5ww2gj6b Жыл бұрын
Amen
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 2 ай бұрын
I learn a lot from your teaching!!
@nehemiahsima1389
@nehemiahsima1389 Жыл бұрын
Libarikiwe jia la Yesu Kristo, sio kwa maarifa haya ambayo yanaendelea kuishi, nimejifunza kitu kipya leo sikuwa nakijua, najua sio mm niliyeamua kufungua somo hili bali ni kwa msaada wa Roho Mtakatifu, lipo jambo ananifundisha na anatamani niwe mmojawapo kuijua kweli ambayo itanisaidia kuwa huru. AMEN
@usaniwaboclaire2190
@usaniwaboclaire2190 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@user-hl8bp7ym8r
@user-hl8bp7ym8r Жыл бұрын
Ameni
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeen
@peteroderobarasa5205
@peteroderobarasa5205 8 ай бұрын
Powerful teaching
@millyaketch4968
@millyaketch4968 2 жыл бұрын
Napenda sana mahubiri ya pastor ubarikiwe wanibariki sana nikiwa Saudia umtaratibu wafafanua Mambo vilivyo MUNGU akulinde mpaka nijee nikuone naanilinde pia mimi
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 Жыл бұрын
One of best pastor I never knew it God forgive me for judging
@agnessissaya9418
@agnessissaya9418 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua viwango vya juu mtumishi wa Mungu
@tibajiukarenatus9089
@tibajiukarenatus9089 2 жыл бұрын
Napokea ushindi kwa jina la yesu kristo, Amen
@happinessakim2889
@happinessakim2889 3 жыл бұрын
Umenifungua Sana ufahamu Wang,,,,,,,Roho Mtakatifu azidishe mafuta juu yako🙏🙏🙏
@rachaealsimbasimba9398
@rachaealsimbasimba9398 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa somo zuri umetufungua wengi mtumishi wa Mungu.
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 Жыл бұрын
Mungu naomba niguse maana maadui wengi Sana wameinuka kwenye maisha yangu, mungu niponye na kunipigania Ameni mungu naomba wafungue Emanueli mnyogele pamoja na ukoo wake
@neemashabani5860
@neemashabani5860 Жыл бұрын
Najiungamanisha na ibadha hii tena leo sintatoka kama nilivyo kuja ameen
@agnessissaya9418
@agnessissaya9418 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia viwango vya juu kwa utukufu wake
@rossemrope5715
@rossemrope5715 2 жыл бұрын
asante sana pasta umenifunua nimeona live unayofundisha
@davidmuthama2643
@davidmuthama2643 2 жыл бұрын
Leo nimejifunza jambo jipya ...Kumbe mtu anaweza kujiingiza katika hatari kwa sababu ya kujihusiha na vita visivyo mhusu
@vincentnamunga979
@vincentnamunga979 2 жыл бұрын
I invoke the mercy of God and the blood of Jesus Christ to cancel any ancestral covenants and demonic spirits that are ruining and speaking over my destiny.I connect to this powerful altar and.preachings to scatter any entity that is holding on my blessings and destiny in Jesus name.All evil altars be exposed and broken by the blood of Jesus Christ.
@agnesschirstian9226
@agnesschirstian9226 3 жыл бұрын
Hasante sana Baba unachofundisha nikweli binafs yamenikuta hila namshukuru Mungu kupitia watumishi wake nimefunguliwa, hilasomo lako linaniweka hatua nyingine.
@joycejohn9585
@joycejohn9585 2 жыл бұрын
Asante baba kwa mafundisho tangu nilivyoanza kufata mafundisho yako nimekuwa si mtu wa kawaida
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 3 жыл бұрын
Daaaah ngedere kama ngedere 🤣🤣🤣kiukweli Daddy unanibariki sana. Aisee Mungu akutunze.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Ahsante YESU WANGU
@felestinekwamboka2873
@felestinekwamboka2873 2 жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi niliona ndugu yangu alipokuwa anasumbuliwa n pepo chafu mungu azidi kukuinua Nahitaji maombi zaidi mungu akubariki
@deborahogega4600
@deborahogega4600 2 жыл бұрын
Ahsante yesu good teachings.
@esmilykipele4008
@esmilykipele4008 2 жыл бұрын
Powerful. Teachings
@agneskainga143
@agneskainga143 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana 🇰🇪
@petersaoli3942
@petersaoli3942 3 жыл бұрын
A good teacher of Ward of God
@bonfacekuria9659
@bonfacekuria9659 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa kutoka kenya
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 жыл бұрын
Lord Jesus
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@yeremiarichard4755
@yeremiarichard4755 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@chrispusmotto4813
@chrispusmotto4813 3 жыл бұрын
Washidww kwa jina la YESU
@frankmshana1331
@frankmshana1331 2 жыл бұрын
ameeeen mwalimu
@Jensinesammy
@Jensinesammy Жыл бұрын
Powerful teaching 🇰🇪 🇰🇪 💕
@kelemakelema3705
@kelemakelema3705 3 жыл бұрын
Mubarikiwe Pasta Mungu akutiye tena
@doreenmkongwa1010
@doreenmkongwa1010 2 жыл бұрын
Shalom.... shalom....
@marthamgemela9560
@marthamgemela9560 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi. Nakuelewa sana
@happymajapa1351
@happymajapa1351 Жыл бұрын
Shallom
@salomekyomo2307
@salomekyomo2307 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi. Nikihitaji huduma ya maombi nifanyeje,,?
@samwelmomanyi1857
@samwelmomanyi1857 3 жыл бұрын
Powerful massages I joy to listen Be blessed Man of God
@annstersianganga6772
@annstersianganga6772 2 жыл бұрын
WOOOEEYE MIMI SASA HUYO HAPO NAOTA NA NYOKA KILAAAAA WAKATI JAMENI MUNGU WANGUUU SASA NIMEPATA HUU UKWELI JEHOVAH NIFUNGUE NAOMBA
@maryhaule8792
@maryhaule8792 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi.
@bartondidas849
@bartondidas849 3 жыл бұрын
Nice preacher's
@josephezekielmasolwa8283
@josephezekielmasolwa8283 3 жыл бұрын
Powerful teachings
@sarahmbanzendole9422
@sarahmbanzendole9422 3 жыл бұрын
Najikuta nahama kabisa viwango vingine vya kroho kila ninapo yasikiliza mafundisho yako Baba
@gloriaayo32
@gloriaayo32 3 жыл бұрын
Amen 🙏
@doryomary732
@doryomary732 2 жыл бұрын
Àmina
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 жыл бұрын
Amin
@givengaby6067
@givengaby6067 3 жыл бұрын
Ahsante kwa somo
@linetayuma202
@linetayuma202 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🤲🤲
@angumbwikeanangisye9766
@angumbwikeanangisye9766 3 жыл бұрын
Amina
@gradypeter7123
@gradypeter7123 3 жыл бұрын
Kweli Mume wangu huota yupo Kijijini
@nuruduma4954
@nuruduma4954 3 жыл бұрын
Amen!
@magdalenamshana2003
@magdalenamshana2003 3 жыл бұрын
Shalom,Niko morogoro kwenye TV mnarusha vipind vyenu kwenye chanel gani
@marydaniel1121
@marydaniel1121 3 жыл бұрын
Amen mtumish kwa ufunuo huu
@dollamtui5849
@dollamtui5849 3 жыл бұрын
Yesu usiniache Amen
@maryhaule8792
@maryhaule8792 3 жыл бұрын
Amina mtumishi. Asante kwa kutufungua.
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
Mizimwi Majini Roho za wanyama Roho zinazobeba tabia
@merclynekasaya5984
@merclynekasaya5984 3 жыл бұрын
Mafunzo mazuri ,amen
@janenzilani3063
@janenzilani3063 2 жыл бұрын
Nimejielewa kabisaa.Mungu nisaindie
@annamuta4178
@annamuta4178 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu naomba na yenye watsap lili niweze kuwasiliana na wewe Bwana Yesu asifiwe
@sandrakibur2756
@sandrakibur2756 3 жыл бұрын
AMEN!
@moramora4414
@moramora4414 3 жыл бұрын
pastor miombee nipate kukumbuka ndoto zangu
@stellabitanyi918
@stellabitanyi918 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, Dodoma huwa mnaendesha ibada za.maombi wapi?
@MrSunbella
@MrSunbella 3 жыл бұрын
Ukumbi unaitwa dear mama pale njiapanda ya area c
@stellabitanyi918
@stellabitanyi918 3 жыл бұрын
@@MrSunbella Asante sana Mtumishi, huwa nakuja Sana Dodoma kikazi. Nitakuwa nahudhuria sasa. Ubarikiwe sana sana
@evlynmwiks5398
@evlynmwiks5398 3 жыл бұрын
Barikiwa sana baba
@kumbukatuja5064
@kumbukatuja5064 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 Жыл бұрын
He is talking to me 😞😞😕
@yusuphotieno3631
@yusuphotieno3631 3 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa MUNGU, naomba msaada wa namba yako nashida ya kuwasiliana na wewe. Kuna vitu naamini utanisaidia maana nahisi kuchoka .
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
0657173322
@yusuphotieno3631
@yusuphotieno3631 3 жыл бұрын
Received with thanks mtumishi.
@renatusdeogratias2108
@renatusdeogratias2108 2 жыл бұрын
@@realityofchristchurch thank you My spiritual dad
@user-hl8bp7ym8r
@user-hl8bp7ym8r Жыл бұрын
Ameni
@agnesschirstian9226
@agnesschirstian9226 3 жыл бұрын
Hasante sana Baba unachofundisha nikweli binafs yamenikuta hila namshukuru Mungu kupitia watumishi wake nimefunguliwa, hilasomo lako linaniweka hatua nyingine.
@sindanikalala472
@sindanikalala472 2 жыл бұрын
Amen
@leahkalekwa7592
@leahkalekwa7592 3 жыл бұрын
Amen🙏
@apostlemekai274
@apostlemekai274 3 жыл бұрын
Amen
@atubruno7870
@atubruno7870 3 жыл бұрын
Amen
@atubruno7870
@atubruno7870 3 жыл бұрын
Amen
@gfsh717
@gfsh717 3 жыл бұрын
Amen
@desderiafrancis1404
@desderiafrancis1404 3 жыл бұрын
Amen
@kalidjokitokololoofficielt3500
@kalidjokitokololoofficielt3500 3 жыл бұрын
Amen
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA (ROHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 2,6 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 50 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 46 МЛН
KUTEGUA YALIYOPANGWA NA SHETANI (DODOMA)
1:05:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 100 М.
NAMNA YA KUONDOA MADHABAHU ZINAZOTESA MAISHA SEHEMU YA 1
51:14
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 58 М.
NURU KATIKATI YA GIZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
49:27
Reality of Christ Church
Рет қаралды 8 М.
MTAZAMO WAKO NDIO MPAKA WAKO
1:02:20
Reality of Christ Church
Рет қаралды 68 М.
NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU (Mungu anapoongea na wewe)
50:12
JE, UNAJUA KWANINI VITU VYAKO VINAKWAMA?
55:30
Reality of Christ Church
Рет қаралды 118 М.
NAMNA YA KUFANYA KAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO  ( I ) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:11:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 27 М.
CHUPA YA MAFUTA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:18
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 11 М.
MEDITATION - PASTOR SUNBELLA KYANDO
11:54
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 3 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 10 М.