SAKATA LA MGAO VIZIMBA WAFANYABIASHARA KARIAKOO, CHALAMILA AINGILIA KATI, AAGIZA MAJINA 891 YAFUTWE

  Рет қаралды 2,414

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

27 күн бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 12
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 25 күн бұрын
Hii tabia ya kunyanganya watu vizimba ndio lilisababisha jkuunguzwa soko
@mculwe5397
@mculwe5397 25 күн бұрын
Asante masaluu
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 25 күн бұрын
Hapo Shaka tayari hapo mnataka kuwagawia watu kwa itikadi ya vyama janja y
@shaksbinsalim
@shaksbinsalim 25 күн бұрын
tena huyu ndiyo hakili kama kichwa chake kilivyokuwa hakina macho si ulisema utapeka majeshi na police peleka basi mana hii nchi ni ya baba yako na mamako
@CotaManywele-vg9ti
@CotaManywele-vg9ti 25 күн бұрын
Ww c kiongozi Bali ni muhuni flani tatizo unakuwa na kauli mbovu za ubabe ubabe hii nchi c yako wala c ya familia yako na wala c ya chama tawala, ati unasema mtapigwa kama alivyo furumishwa akina manji we ni nani je hiyo ni kauli mzuri, kwa kiongozi?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 25 күн бұрын
haki huinua taifa serakali ihakikishe wale wote waliokuwepo sokoni warudishwe kwenye maeneo yao!! Wasianze kugwana na mashemeji wao na wajomba zao!!
@evamacha4861
@evamacha4861 25 күн бұрын
Hizo ndio figisu zilizotumika soko la mbagala zakhiem kwa wafanyabiashara waliopisha soko kujengwa. Majina yote yalikuwa ya 3:19 wageni na wageni wengine walipewa fremu tatu mpaka nne . Wafanyabiashara Waliopisha soko kujengwa hatukupata kabisa.bado tunalia machozi ya damu
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 25 күн бұрын
Hao wanao chukua fremu mbili mbili mtu mmoja ndio wanaoleta matatizo.Msikubali kabisa mchezo huo.
@furaha7154
@furaha7154 25 күн бұрын
TUMIA NIDA ILIKUEPUSHA WATU KUJIRUDIA
@CotaManywele-vg9ti
@CotaManywele-vg9ti 25 күн бұрын
Viingozi wajinga wajinga kama hawa hawakutakiwa kuwa viongozi ktk nchi yt umeumiza wt kwa kauli zako za ubabe ubabe, ww hii nch c yk wala c ya ccm, kuwa muungwana unapozungumza na wenye nchi, ww ni mtumwa tu mbele ya wenye nchi ambao ni watanzania,
@mwalimukhamisi1680
@mwalimukhamisi1680 25 күн бұрын
Kikweli aliyoyasema RC kama yatatelezwa ameupiga mwingi mno. Ajitahidi kuyasimamia kama alivyosema hasisubiri taarifa tu.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Meet the Press NOW - Aug. 1
55:24
NBC News
Рет қаралды 180 М.
MWANZO HABARI LIVE: CHADEMA KUANDAA KIKAO CHA KAMATI KUU
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 79
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН