Kazi njema. Ningeshauri kwa kuwa kila chumba ni master, hicho choo ya public kiwe ni choo tu pasiwe na bafu. Sitegemei mgeni aje kusalimia kwa muda mfupi atake kuoga.
@MabulGodfrey9 ай бұрын
Kazi nzur sana❤❤❤
@zainab82519 ай бұрын
Mashaa Allah uko vizuri sana
@rajabhamis75959 ай бұрын
Umeeleweka Engineer....ila itapandeza Iwapo utashisha Uzi mzima mpaka coz ya 3
@diyembarak55069 ай бұрын
Kazi nzuri sana nasubiria ikimalizika tuone ndio tujuwe kunaendaje.