SEHEMU YA PILI: BILIONEA ALIEWAHI KUCHIMBA NA HARMONIZE,ANENA TUSIYOYAJUA,MAISHA YAKE, NA MENGINEYO

  Рет қаралды 34,658

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 40
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri sana juu ya kuuliza maswali hongera sana kaka.
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn Жыл бұрын
Bosi naomba msaidie mume wangu kazi hana kazi naomba sana msaidie ili aweze kuisaidi familia yake
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re Жыл бұрын
Bora umeonesha kumjali me wako hongera sana dada
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Mke bora
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
Vizur atamjaalia
@detlantamarooned1809
@detlantamarooned1809 Жыл бұрын
Hongera sana Dada,Mungu atawajalia mtapata kazi bora sana.
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn Жыл бұрын
Ameen
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 Ай бұрын
Jamaa anaongea fact sana Allah akuzidishie bro❤
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Hizi ndo habari sasa kazi mzuri sana najifunza mengi sana kupia wewe hongera sana mbunge na muwekezaji wa ruby kwa Tanzania.
@user-ht3em4mz2v
@user-ht3em4mz2v Жыл бұрын
Powerful
@user-xo2xw4in9f
@user-xo2xw4in9f Жыл бұрын
Boss wangu Mimi
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Nashauri Mheshimiwa Rais Samia afikirie kumpatia nafasi ya Naibu Waziri huyu Mwekezaji na Mbunge wa Mahenge Ulanga ashirikiane na Waziri Biteko. Nafikiri ana uzalendo wa Taifa ni hazina katika Sekta ya Madini na Maendeleo ya Vijana. Tanzania Imara Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿
@mtabeagusti4553
@mtabeagusti4553 Жыл бұрын
🎉
@chamyfx9377
@chamyfx9377 Жыл бұрын
Najifunza kitu kikubwa kwa bro
@boscokikoti
@boscokikoti Жыл бұрын
Pongezi kubwa kwa mtangazaji.maswali yake yameshiba.tunapata elimu kubwa na kujua uzalendo wa mh mbunge.
@kihange1701
@kihange1701 8 ай бұрын
mahenge
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Ayo umezuiliwa kutoa taarifa ya DP world?
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Жыл бұрын
Bila harmo watu hawaji Mzee au
@InnohubGroup
@InnohubGroup 6 ай бұрын
Nashangaa Hawa watu hawajiamini
@user-gq7il3tl3s
@user-gq7il3tl3s Жыл бұрын
Pesa huenda kwa mwenye pesa
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Facts
@MagrethEvaresth-dd1lb
@MagrethEvaresth-dd1lb Жыл бұрын
Kweli
@josephbanda2896
@josephbanda2896 Жыл бұрын
Hongera sana ndugu, ila Mimi Niko Zambia najishughulisha naununuzi wa zahabu, mambo ya gem stone Sina aidiya nayo Kuna sehemu niliwahi kupewa dini langi ya blue na mzee mmoja hivi aliponipa mkononi mkono wangu ulisisimka akaniambia nipatie kwacha miatano,ambayo kwa Tanzania nisawa na sh.65000 alafu akasema nimnunulie na blangeti hivyo vitu mm nilimpa lile dini Mimi nikapeleka rusaka kwa wachina wakanipatia kwacha, 300,000 ambayo nisawa na sh. 39,000,000 ya kitanzania, sasa swali langu nikwamba hayo madini una aidiya nayo? na je unaweza kuwa na mashine zinazo weza kupima hayo madini tukagundua yalipo? Kwasababu kule alikochimba yule mzee nakufahamu nipolini sana nahakuna watu wanaoenda kule kwa sasa Yale maeneo walikuwa wanachimba wazumgu zamani sana naomba majibu nayule mzee Alisha fariki.
@Muda27
@Muda27 Жыл бұрын
Sio kweli.
@user-gq7il3tl3s
@user-gq7il3tl3s Жыл бұрын
@@Muda27 ukwer ni upi kwako
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
KAJALA AFICHUA MADUDU YA HARMONIZE, AMJIBU KWA MALA YA KWANZA
9:44
A Visit to Delta Shaft in Block C, Merelani, Tanzania   August 2017
13:36
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН