SHABIBY KUIGOMEA BAJETI YA SERIKALI“TUNASIFIANA NA VITU HAVIENDI,MIMI SIWEZI KUWA MTU WA KUSHANGILIA

  Рет қаралды 12,220

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 59
@wemacs
@wemacs Ай бұрын
Huyu na Mpina ndo wabunge pekee wa Ccm, wengine wengi tupa kule
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
CCM wengiwao wanapenda mtelemko wale vizuri wanye walalane bas😅😅😅😅
@user-gc8jc1sh4z
@user-gc8jc1sh4z Ай бұрын
❤❤mungu akulinde mbunge shabibu❤❤wewe ni kiongozi usiesifia ujinga unaongea fact❤❤❤
@MariaKomba-se2hi
@MariaKomba-se2hi Ай бұрын
Kumbe mnayajua mnayoyafanya sisi wananchi tunajua nandomana sasa hivi hatuna mpango wakumsikiliza kiongoz yeyote!!!!tunapambana na Hali zetu ,
@richardmuyango9157
@richardmuyango9157 Ай бұрын
Kabsaaaa ndugu acha wafanye tu
@shadyaomary
@shadyaomary Ай бұрын
Shabiby big up dady umeongea ukweri mtupu maji na mafuta vitajitenga round hii
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz Ай бұрын
Shabib nakukubali mmanga wa Moro. Uko vema baba unasema kweli baba. Pasua jipu la sukari acha woga. Ww, Mpina, Kigwangala, Msukuma na mchungaji Gwajima. Ni wamongoli wa ccm. Walioungana na wanyonge. Mungu awalinde sana.
@YustaMfugale
@YustaMfugale Ай бұрын
Anaroho nzuri huyu baba
@iam_sami
@iam_sami Ай бұрын
Yani ili bunge kila cku mwigulu analalamikiwa ila bdo ypo madarakani khaaa hii nchi vp
@gregory6165
@gregory6165 Ай бұрын
Yule jamaa wanajuwana na mama tangu kwenye chama alipokuwa naibu katibu
@jeremiahmsemwa8323
@jeremiahmsemwa8323 Ай бұрын
Smart sana huyu jamaa
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 Ай бұрын
Safi sanaaaa
@daudpius130
@daudpius130 Ай бұрын
Uko vzr shabibi
@khadijaalimohd1320
@khadijaalimohd1320 Ай бұрын
NCHI INAVITUKOHII ,LINACHOSHA.MIJIZITU INAIBA. NAKUKOPA😢
@user-qf6th4zm5i
@user-qf6th4zm5i Ай бұрын
🙏🙏🇹🇿
@nicken3250
@nicken3250 Ай бұрын
Mwamba kanyooshaa...
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 Ай бұрын
Huyo hanasira na selikari sgr hinakwenda kuuwa biashara yake ya mabasi😂😂
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila watu mnafikir mbali aiseeeee
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Ай бұрын
Madeni madeni madeni kwani jaman hizi hela zinaenda kwa nani deni la taifa tilion 90 mmh
@JackobKyaro-zi7uj
@JackobKyaro-zi7uj Ай бұрын
Watafika 100
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 Ай бұрын
Hongera mbunge wa wanamorogoro wewe unajielewa sana,usimuachie mpina mzigo unaotaka kumuangukia
@Moresa196
@Moresa196 Ай бұрын
Brother Millard , siku hizi kama sikuelewi mkuu. Taarifa unachelewa kupost. Mfano hii ni taarifa ya jana. What's up mkuu? Huoni pia views zako kama zinashuka. Kuna shida gani kwenye uploading department yako? Au umejipata tayari?
@feliciankabasa8995
@feliciankabasa8995 Ай бұрын
Mbona anasem ni ccm tu wakati Kuna wabunge kama 20 wa chadema...au hawawahesabu kwa kuwa ni Jimbo 1 na viti maalumu
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo Ай бұрын
Maua yako Mh Shabby
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
bongo sio nchi ya kuishi
@mselimsuya6952
@mselimsuya6952 Ай бұрын
Huyu mwamba tupo pqmoja
@hemedshalua2002
@hemedshalua2002 Ай бұрын
Mseme tu ukweli sisi ni Taifa moja tuijenge nchi yetu.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Hivi train ya Sgr Dar hadi Dodoma inaanza lini? Hawezi ona kinachofanyika mana kwenye sekta ya usafiri nae yumo, nakuelewa saaana Mhe Shabiby
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Taasisi zinatakiwa kusimamia sheria na kutoza faini kwa waliokiuka sheria. Watu walipe kodi TRA basi mnatengeneza wizi
@mabulajoel1967
@mabulajoel1967 Ай бұрын
Kama hamjui mjue sasa kuwa kati ya mabunge ambavyo yamepitwa na soko na hayasikilizwi na wananchi ni bunge hili la bajeti maana hamzungumzii kutatua kero zetu bali ni kutuongezea shida wananchi kifupi mmepitwa na soko nasi wananchi sasa tumeamka tumechoka na viongozi wanaojali matumbo yao kuliko wananchi wake.
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Ай бұрын
Kwan rais unasita nn kumuondoa mwigulu kwenye bkiti hicho????? Tunaumia wanyonge
@neemansasu9761
@neemansasu9761 Ай бұрын
Anamuondoaje? Kwa mfano Tulieee tu
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
Wabunge kama Hawa wadumu saana
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Kwakutetea maslahi yakee siyo
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658 no hoja Yake ipoh sawa
@gervasonvenansi9204
@gervasonvenansi9204 Ай бұрын
Haya mabunge kama mehu hayaelewi kitu
@barakakevela245
@barakakevela245 Ай бұрын
MH SHABIBY TUNAKUELEWA UKO VIZURI
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 Ай бұрын
Tatizo kuvaa nguo moja nayo shida kubwa kweny nchi hii kati ya watu. Wangu mm ninao enda nao ni Majaliwa MPina Na msukuma au kuna mwingine
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc Ай бұрын
PASA ZINALIWA NA HAWAKAMATANI KODI JUU MLIPA KODI ANAONEKANA NDIO WA KUWAFIDIA WEZI MIKOPO MADENI KILA KUKICHA BADILIKENIII MLIPA KODI TUMECHOKA
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 Ай бұрын
Ndo Maana SHABIBY NI TAJIRI..ANAJUA PESA IPO,ANAKWAMBIA HAYA MATAAASISI YANAKUSANYA NUSU YA HELA YA TRA
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Ccm amna selikali kuna jeli silay na makonda2 ccm mzm amna chamana
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Ай бұрын
😂
@user-mu1hx7yv9b
@user-mu1hx7yv9b Ай бұрын
Huyu nimwamba
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Ай бұрын
Daima nakukubali saaana, huwa najiuliza kwanini huwa hauwi waziri
@gregory6165
@gregory6165 Ай бұрын
Wanaogopa kumkabidhi rungu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Huna lolote ww unafki tu unatetea barabara kwa sababu ya mabasi yako tu hunakingine
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Ай бұрын
Acha hizo bana Shabby yupo sahihi sana kwani anashida huyu mpaka useme anatetea mabasi yake! Huyu anatetea watanzania wote hana njaa kwanza!!
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 Ай бұрын
Si Bora hyu anasema point we Kiongozi wako kasema nn ??
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
@@evarimdecoration4256 kweli tz Kuna viazi Tena vile ziazi vikuu kule Moshi tuna chomaga tuna kula asubuhi mpaka jioni ww barabara itakusaidia nn ww maana hata mchele ununuliwe buku shinyaga ww utauziwa elfu5 au tatu msikilize anakwambia yeye hachangii kuhusu sukari Sasa ww mlala hoi unanini unachoweza kunywa asubuhi zaidi ya chai au uji au utakula barabara kweli elimu mzigo😏😏
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
@@karimkinwary4668 point gani huyu haja wahii kuongea point hata siku moja kitu asicho kuwa na faida nacho hachangiagi ana chagia alicho na masilahii nacho tu
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Ай бұрын
Hyu shabibi atete mabas yake kwa lip wakat mtu anatetea watazania wote inamana ukisema anatetea mabas yake inamana miaka yote hyo mabas yake yalikua yanapita wap fyuuu
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu Ай бұрын
Huyu kiongozi Amna kitu mwarabu toka lini na mtu mweusi unatetea Barabara sababu ya mabasi yako
@planethakunamatata5254
@planethakunamatata5254 Ай бұрын
Acha ubaguzi usio na maana....kwani mtanzania akiwa na asili ya kiarabu ni dhambi? swala la kutetea barabara sio tatizo pia. Kwani we hupendi barabara zitengenezwe?
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n Ай бұрын
Achana nae hajielewi😂😂​@@planethakunamatata5254
@abdulmalickkarume1472
@abdulmalickkarume1472 Ай бұрын
Maskini siku zote humchukia aliyeendelea bila sababu ambapo alipaswa kutulia na kujifunza kutoka kwake
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n Ай бұрын
@@abdulmalickkarume1472 ni kweli kabisaaaaa😂😂
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
bongo sio nchi ya kuishi
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Ай бұрын
Magufuri alikuwa mkali tulimchukia hasa watumishi kwenye wizara na idara na watendaji mbalimbali serikali,,,mkaleta ujuaji na kubembereza watumishi wezi ,,mmeikumbuka awamu ya tano
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Mkuu wa mkoa dar ime kua chafu kila sem kina zibuka mitalo ya chooni2 sasa sijui ana fanya kazi ganii mkuu wakoa amna ki2 shida2
FULL: Kamala Harris speech at Atlanta rally | FOX 5 News
20:31
FOX 5 Atlanta
Рет қаралды 785 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 37 МЛН
MSNBC Highlights  - July 30
43:57
MSNBC
Рет қаралды 381 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН