Kama unamasikio sikia kama unamacho ona , Usilam unakila kitu na Dini yetu imempa kila Mja cheo chake hapa Duniani, Allah mwenyewe kasema Duniani hapa kuna waja wake nivipenzi vyake vikibwa sana ,Allah atupe Elimu Allah atujaalie tukae karibu na Mashekh zetu
@HamadaZubeirTahir26 күн бұрын
Sharifu huwezi mjua kama hujakaa na Watu wa Twariika