SHEIKH BARAHIYAN AIJIBU BAKWATA AiTAKA IACHE KUWACHONGANISHA NA SEREKALI

  Рет қаралды 15,889

AL MUBAJJAL TV

AL MUBAJJAL TV

3 ай бұрын

#Tafadhali_Gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

Пікірлер: 209
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 3 ай бұрын
Umati huu mashallah wanaumiya watu kushikamana na mtu mwenye mtazamo wa mwezi wakimataifa allah ambariki salilm barahiyani
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 3 ай бұрын
Hao SI answari pekeyao ilikua waislamu wote Mimi nilikuwepo na SI answari suna
@mkude
@mkude 2 ай бұрын
Mashaallah ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH
@Time-ev3dw
@Time-ev3dw 3 ай бұрын
Mashalla Allah akuhifadhi sheikh akupe umri mrefu wenye afya
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 3 ай бұрын
Mungu atawapa ushindi wetu wa suna watashinda insha alhah
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 ай бұрын
Amiin
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Ulifkiria sunna ni NONGO!
@AtiqQassim-od9jr
@AtiqQassim-od9jr 3 ай бұрын
allahuma amiin
@swahibually8349
@swahibually8349 3 ай бұрын
Sasa mtashindaje wakati mshaanza kugawana makundi makundi,kuna Salafi, kuna Salafi Jadiidu,kuna Mawahabi na Fur'qaanul-haqi,nyote mkiianza kukosoana na kitiana kwenye Ukafiri,NB;nyinyi kinachowasumbua Njaa,Uroho wa Madaraka,na upanmbe wa kuishabikia Saudia,
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@swahibually8349 wote mbwa wa mayahudi hudi na mfalme wao yupo hio nchi ulioitaja. Sunna yao ni kufuata amri za wayahudi na fatafhi yao ni kufarakanisha waislamu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 2 ай бұрын
,mwenyeenzi mungu anakuona zulma uliifanyia familia marhum said janjira na wanajiita ansar wote wahusika kwa kuogopa kusema ukweli allah hakim
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Chuki hasadi havitokusaidia hata mtume alizuliwa uongo lakini haikumzuia kutangaza hakki na uislamu ulishinda kwahiyo ww ikiwa unafunga muandamo wa nchi humu watafuta nini roho zinawauma Allah ndo mlinzi wa hakki sikuzote so ninyi vijitu vipinzani mtakufa na roho zenu za chuki sunna itaendelea kushinda Allah ndo mjuzi ata Abu lahab alimzuia mtume asifikishe hakki lakini alishinda mtume kwa nusra ya allah
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 3 ай бұрын
MaashaAllah tuko pamoja
@seifkhalfan1881
@seifkhalfan1881 3 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@user-jk7sm1dl7p
@user-jk7sm1dl7p 3 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu Bakwata ndio wachochezi wakukwa
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 3 ай бұрын
Haki haijifichi wala haikaliwi juu mashekh hawa ndio waliowakoa Mama zetu kutoharishwa na watu wasioilewa dini wengi hawajui wanatukana tu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Maashaallah tabarakallah❤
@mbjunior166
@mbjunior166 3 ай бұрын
Allah atupe nguvu na mshikamano na istiqama ktk dini yake watu wa sunna wote duniani.
@AllyhHassani
@AllyhHassani 3 ай бұрын
Amen
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 ай бұрын
Tangamano pamefurika
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 2 ай бұрын
Hata watu wafaradhi pia
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 2 ай бұрын
@@hamisimkulu6571 unakizana na haqi???
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 3 ай бұрын
Amiin
@user-bm2pd8jd3u
@user-bm2pd8jd3u 3 ай бұрын
Yani tuache kumfuata Mwenyezi mungu tuwafuate watu wafalaki ama kweli dunia tumeibeba haya Mwenyezi mungu atuhifadhi
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
Wewe mpuuzi elewa,kisemwacho,
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Acha kutumia saa kwanzia Leo na simu kama hutaki falaki. Mbwa mnafiki mkubwa wewe
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 3 ай бұрын
Makubwa!!Sheikh unatwambia sasa tusahau Quran ,Hadith,na Wanavuoni tufuate watu wa Falak.Kuchanganikiwa huku waislamu tuwe makini.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@mzeerajab9154 nyie mawazo ni wanafiki tu. Mbona mnaambiwa mfunge mwezi MKIUONA, nyie HAMUMFUATI mnafuga ukionekanwa kakuamieni Nani
@AbuuAbdillah-hb8li
@AbuuAbdillah-hb8li 2 ай бұрын
​@@mzeerajab9154 wewe ndio uwe makini kwasababu wewe ni muislamu mbumbumbu unajua maana ya falaki kasome suurat yaasiin acha ujinga chuki ziangalie zisikutie upofu
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 3 ай бұрын
Mashallah sheikh
@zakayolazoro48
@zakayolazoro48 2 ай бұрын
Poreni Sana wasoma mwezi mutajiona mupo sawa ila hamupo sawa jawabu ra kufika poponi ni Yesu tu hakuna mwezi wara nyota bari ni Yesu tu
@MuhsiniPapara
@MuhsiniPapara 2 ай бұрын
Ww unamjua yesu
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 3 ай бұрын
Allah akuifah Sheikh..
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 3 ай бұрын
Siku ya mwisho hatutaulizwa maswala ya mwezi funga yako ikiwa sahihi ndio Jambo la msingi mabishano yenu hayana maana yoyote pambanieni dini isonge mbele tu ndio msingi
@user-tm2ng8fw4k
@user-tm2ng8fw4k 2 ай бұрын
Sheik zulma
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 3 ай бұрын
ni kweli sheikh wang
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 3 ай бұрын
Wewe unamtukana sheikh Allah atakulipa
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 3 ай бұрын
Shekh mchochez
@muhammedomaryshembilu8539
@muhammedomaryshembilu8539 2 ай бұрын
Bafadhil mbona kakakaa jamani kafanyaje
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 3 ай бұрын
Kasim mafuta nikiboko ya mashia Barahiyan nikiboko wa makhurafi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Na wenyewe ni kiboko wanagombana kama makafiri
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 3 ай бұрын
😂😂😂 umegonga ndipo.​@@hilalkhalfan1452
@mahmoudsameja64
@mahmoudsameja64 3 ай бұрын
Aluta kontinyua..? Mapambano yanaendela..?
@kimrudiger4454
@kimrudiger4454 3 ай бұрын
Yemen mwenyewe anafata Saudia
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 3 ай бұрын
Swala yaidi hii iliyoswaliwa hapa si answari suna peke yao mpaka sisi tulikuwepo na si answari suna
@alidochi2889
@alidochi2889 3 ай бұрын
Hizi takbira c mmeambiwa mzisome kijeshijeshi au hamjafahamu
@msafiriswalehe683
@msafiriswalehe683 3 ай бұрын
Sheikh uko hovyo sana tufate kitabu au tufuate watu wa falaki
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 2 ай бұрын
Si aliwahi kusema huyu mzee kuwa watu wa falaki ni washirikina ndo maana hata suudia wapo lakin hawafatwi leo wamekuwa ni hoja kumbe😂😂😂😂😂😂
@masumaihashim9310
@masumaihashim9310 3 ай бұрын
MAWAHABI WANAOJIITA ANSWARI SUNA LAKINI TUJIULIZE UANSWARI WA KIWAHABI UMEANZA TANZANIA MWAKA 1970. HIVI NYIE MAWAHABI HAMJUI KUWA DUNIA NI MVIRINGO? HAIWEZEKANI KUWE NA MWEZI WA DUNIA NZIMA, HATA JUA HAKUNA JUA LA KIMATAIFA YAANI JUA LICHOMOZE DUNIA NZIMA KWA WAKATI MMOJA. SHEKH KUSHKI
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 3 ай бұрын
Wewe ni mjinga wa kisufi au kishia.mbona kiama vyo hushangai kuwa siku moja
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 3 ай бұрын
Acha ujinga wa kishia
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 ай бұрын
Sio sahihi hakula hilo saudia wanasema kila nchi ifuate mwezi wao sisi oman tuko mpaka mmoja na saudia lkn hatuwati saudia maana wanaenda na kalenda na sio mwezi
@user-kt1ee2qm1k
@user-kt1ee2qm1k 3 ай бұрын
Kama Saudi wa naenda na calendar mbona hawakufungua na 29 pumbavu wewe
@binseif2216
@binseif2216 3 ай бұрын
Hivi kweli sisi kwa sisi waislamu tunagombana?kwanini nyie ansary wachochezi sana hasa wewe seikh kijogoo????kwanini hulinganii wasiokuwa waislamu waingie kwenye uislamu?
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 3 ай бұрын
Wallahi ajabu mtu anamtukana shekhe huu ni msiba kwahakika hii kazi ni yamabii na hii ndio sunna yake
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Shekh yupi?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 3 ай бұрын
​@@hilalkhalfan1452Sheikh Hilalkhalfani!
@abakibibi9917
@abakibibi9917 3 ай бұрын
KUNA HAJA YA MAKUSUDI KUANDIKA BARUA RASMI KWA WAHUSIKA WAONDOLEWE WAFANYA BIASHARA UWANJA UBAKI KAMA ZAMANI IPO SIKU KUTATOKEA MAAFA MAKUBWA IKIWA HALI HII ITAENDELEA
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 2 ай бұрын
Sheikh wacha kuwapoteza ummah utakwenda uulizwa kila kitu
@soudsaidi9708
@soudsaidi9708 3 ай бұрын
Mnawalisha watu matango Poli kumbe hamuangalii kama mwezi umeandama mnafuata watu wa falaq
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 3 ай бұрын
BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU kzfaq.info/get/bejne/eNSCnMWLmc-vfnU.htmlsi=pgMhUUvEIAYACLTT
@ibnuabdallathabit142
@ibnuabdallathabit142 3 ай бұрын
Kuhusu mwezi hamna jipya..
@msafiriswalehe683
@msafiriswalehe683 3 ай бұрын
Hayo ni yako
@hamidmussa838
@hamidmussa838 3 ай бұрын
MSIJIBU KITU.
@jumakitato4248
@jumakitato4248 3 ай бұрын
Hebu tusomee hapo na utafsri kwa ikhalaswi
@HamadHamduni
@HamadHamduni 3 ай бұрын
Hawateseki isipokua ukweli unauma,na inashangaza sana,kwani kila sheikh anaesema ukweli anaitwa muwahabi! Muislaamu akishikamana na quran na suna nae anaitwa muwahabi! Ni nini maana ya uwahabi ?
@rushu1232
@rushu1232 3 ай бұрын
Huo sio mswala sheria yasema kuswaliwe kwenye mswala sio uwanja wowote munalazimisha mswala nilazma ardhi iwe ya waislamu.
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 3 ай бұрын
We mjinga kufa
@rushu1232
@rushu1232 3 ай бұрын
@@mohamedswaleh6778 shukran lakini nimestahi majina ya mitume Sayyidna Muhammad na nabiyunaa Swaleh.
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 3 ай бұрын
Naona umeshindwa kufafanua kwanini hamfuati mwenzi wa Mali na afuganistani
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 2 ай бұрын
Kwann mmefunga siku 29?
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 ай бұрын
WATU WAMEKUWA WENGI KWASABABU TUMEFUNGUA KWA PAMOJA
@AbouArqamRashidi
@AbouArqamRashidi 3 ай бұрын
Mwezi utafutwe na watu wa Faraq ndy maelekezo ya Allah? Mali wameswali Jumanne kwa mwezi upi jamani?
@user-gt6mm5fp2x
@user-gt6mm5fp2x 3 ай бұрын
Watabir .wajuwa.lilopatwa.wakuusaidie.mwezimuandamo.pia.unakubalifakii..huummtihani..je.juwa.lilipatwa.duniamzima.
@rashidabeid172
@rashidabeid172 3 ай бұрын
Tujifunze pale lililotokea tukio la kupata kwa jua. Mbona hapa Tanzania hatukufanya? Ulimwengu unatofautiana Barhaniyya
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Mtasema sana na kuzuia hakki Allah atazidi neemesha umoja wa suna unazidi songa mbele na vitimbi vyenu haviwezi mdhuru shekhe wetu madamu yupo katika hakki alllah anamnusuru na watu kama ninyi mahasidi mnaozuia hakki ya muhammadi isi fanyike hamueezi ng'o kapigwa Vita mtume sembuse shekhe wetu barahyani
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Mtasema sana na kuzuia hakki Allah atazidi neemesha umoja wa suna unazidi songa mbele na vitimbi vyenu haviwezi mdhuru shekhe wetu madamu yupo katika hakki alllah anamnusuru na watu kama ninyi mahasidi mnaozuia hakki ya muhammadi isi fanyike hamueezi ng'o kapigwa Vita mtume sembuse shekhe wetu barahyani
@soudsaidi9708
@soudsaidi9708 3 ай бұрын
Tangia aanze kuongea hajatoa Hadith Wala Ay ya mwezi wa falaq😂😂
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 3 ай бұрын
Watu wa falaki wakisema mwenzi hautoonekana wewe ukiuona hutofunga kwasababu watu wafalaki wamesema
@radimkuu
@radimkuu 3 ай бұрын
Msiba huu
@rushu1232
@rushu1232 3 ай бұрын
Mbona hatujasikia saudia imefuata Tanzania mwezi umeonekana Tanzania.
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 3 ай бұрын
Hiyo ni juu yao ila hakki ni kufuat popote
@rushu1232
@rushu1232 3 ай бұрын
@@ramadhanimandoa716 kwahivyo Brazil wakiona nahuku ni saa 8 usiku itakuaje kama ni popote.
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 3 ай бұрын
Ilmu lfalak gani unaozungumzia na nani muanzilishi wa hiyo ilmu kwa dalili gani
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 3 ай бұрын
Huyu sheikh nahisi kachanganyikiwa
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 3 ай бұрын
Kachanganyikiwa kwa kuwa kaongea ukweli au sio?
@ayubuzomboko9502
@ayubuzomboko9502 3 ай бұрын
MIMI NAKUSHAURI KAMA UNAUWEZO ZAID YA MUFTI TANGAZA MWEZI
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 3 ай бұрын
Kwani hukuona jana alivyo tangaza, na tumeswali leo kwa tangazo lake, mufti ni wa bakwata sio waenswar sunah
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
Ujitambui ww akhy
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 3 ай бұрын
Shatangaza Tyr mbwa ww
@HalphaniAlbano
@HalphaniAlbano 3 ай бұрын
Nyinyi waisilamu gani mnatukana mashehe mnakua Kama mayahudi
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
Matusi kusema hivyo katika Uislamu hakuna na hakutakiwi uzushi, kusema maulid, hitma na arobaini ni uzushi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Shekh ni yupi
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 3 ай бұрын
Mashekh wazush lzm watukanwe
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@Sheba4651 tena ni matusi makubwa na ukafiri kusema mazazi(maulid) ya Mtume Muhammad saw ni uzushi uovu na kukataza watu kuyajua. Wakasoma mazazi ya bwana wao ibilisi na firauni. Sisi tutafundisha ya Mtume wetu Muhammad saw
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 Nyie mnasoma mashairi ya mashia, uongo na ukweli humo humo, sawa na nyimbo tu. Sasa hamtaki kuambiwa kama barzanji kasema uongo, kwani kaandika Quran? Vile mkisoma na uongo huwa mnapata thawabu? Ati siku aliyozaliwa Mtume mama Asya na Mama Maryam walihudhuria, wakati Quran wala hadithi za Mtume hazikutibitisha, vile alivyozaliwa mwanga mkubwa ulitoka kwa mamake.
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 ай бұрын
BARAIYANI NAONA UNAJICHANGANYA KUPATWA KWA JUWA HUTAKI LIWE LA DUNIA NZIMA LAKINI MWEZI MNATAKA UWE WA DUNIA NZIMA UNASEMA JUWA LIKIPATWA LA HAO HAO WALIO LIONA JUWA KUPATWA HALIHUSU DUNIA NZIMA LAKINI KUANDAMA KWA MWEZI UNATAKA UFATWE DUNIA NZIMA BARAIYANI ALLAH ANAKUONA ALLAH ATAKUJA KUKUHUKUMU SIKU YA KIYAMA USITAKE UMAARUFU TU WADUNIANI UNAWAPOTEZA WAISLAM HIVI KWELI UKAWAPE WANA SAYANSI HAKI YA KUTANGAZA MWEZI WEWE KWELI YAHUDI MAWAHABI MNAKIBURI SANA
@rashidabeid172
@rashidabeid172 3 ай бұрын
Hakuna chuki ila ni welewa tu.
@user-qv9ep6wq1t
@user-qv9ep6wq1t 3 ай бұрын
Barahiyani wacha uzwazwa nyinyi mwadai Ambalo hakulifanya mtume halifai jee mwezi wa falaki ulikuwepo zama za mtume?
@HamadHamduni
@HamadHamduni 3 ай бұрын
Tumuombe Allah atuondolee bakwata kwasababu matatizo yote ya mizozanozozano baina ya waislaamu kwa waislaamu chanzo ni bakwata.kama bakwata ingesimamia waislaamu kwamujibu wa Quran na suna na kwa haki na kwa Sheria za kiislamu hiyo mikwaruzano isingekuepo,isipokua badala yake Ina isimamia dini kisiasa kwakisingizio Cha eti selikari Haina dini! Kwani uislaamu hauna miongozo yake? Imefikia Hadi mapote yenye akida potofu yamejumuishwa kwenye uislaamu kwa kisingizio eti Cha umoja wa waislaamu! Bakwata jitazameni wapi mna kosea Kisha mludi kwenye siira na sariila ya mtume s.aw.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
​@@HamadHamdunijibu. Swali
@HamadHamduni
@HamadHamduni 2 ай бұрын
@@adamhashim3352 nijibu swali gan? Mi sio mfuasi wa mwezi wa kimataifa,nafunga nakufungua kama mtume s.a.w. ila nashangazwa Sana ninapoona waislaamu tunazozana kwa ajiri ya mwezi! Hivi hatuwezi kuvumiliana kwenye suala la mbalamwezi Hadi tunalumbana? Hao wakimataifa waachwe nawakimataifa wao na sisi tunaosubiri Hadi tuuone tuachwe na kuuona kwetu. Hakuna sababu yakulazimishana.bakwata na sheikh barahiyan wakae shuura wajadili Hili suala vizuri na kwa hekima Hadi muafaka upatkane.
@jumakitato4248
@jumakitato4248 3 ай бұрын
الرئيسة الموسوعة الحديثية شروح الأحاديث روابط مهمة البحث الموضوعي خدمات  - أخبرني كُريبٌ أن أمّ الفضلِ بنتُ الحارِثِ بعثتهُ إلى معاويةَ بالشامِ قال فقدمتُ الشامَ فقضيتُ حاجتها واستهلّ عليّ رمضانُ وأنا بالشامِ فرأيت الهلالَ ليلةَ الجمعةِ ثم قدمتُ المدينةَ في آخِرِ الشهرِ فسألنِي عبد اللهِ بن عباسٍ ثم ذكرَ الهلالَ فقال متَى رأيتُم الهلالَ فقلت رأيناهُ ليلةَ الجمعةِ فقال أنتَ رأيتهُ قال نعم ورآهُ الناسُ وصاموا وصامَ معاويةُ فقال لكنّا رأيناهُ ليلةَ السبتِ فلا نزالُ نصومُ حتى نكملَ ثلاثين أو نراهُ فقلْتُ أو لا تكتفِي برؤيةِ معاويةَ وصيامهِ قال لا هكذا أمرنا رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم
@jumakitato4248
@jumakitato4248 3 ай бұрын
Acha uongo mzee hicho kisa cha kuraibu unakijua?
@jumakitato4248
@jumakitato4248 3 ай бұрын
Sio chuki wewe sema tu una mipango yako tu unayo yajua wewe ila mche mungu utakuja kuulizwa siku hio ya qiyama
@jumakitato4248
@jumakitato4248 3 ай бұрын
Kukicha watu wanakuhama hivi walijua hili ?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@jumakitato4248 wanakuhama weye
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 3 ай бұрын
كل قوم بحلالهم وهوا قول النبي المحترم خلي كلامك بحريان
@jumakitato4248
@jumakitato4248 3 ай бұрын
Wewe unafata wasaudia kwakua unajua unacho kifanya wala usimsingizie Abu idi Halafu watu wafalaki wanapata na wanakosea usiwatangulize sana ukaacha hadith ya mtume Haiwezekani matwaali ikawa moja, msome imamu shafi vizur ongea ukweli kuhusu matwalii soma kiswa cha kuraib
@SleyumSalim-pq9pr
@SleyumSalim-pq9pr 3 ай бұрын
Kila mji na mwezi wake tanga na mwezi wao mwanza na mwezi wao kigoma na mwezi wao zanzibar na mwezi wao,bakwata watuambie wameona wapi mwezi?
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 ай бұрын
Elewa wewe huu ulimwengu Allah ameuumba kwa mtiririko wa kisayansi kuhusu masuala ya Falaqi soma quran uone.mwezi unavituo vyake na hesabu zake haya kayaweka Allah wala sio kubahatisha muwe mnasoma quran
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Kwani yeye anatumia saa ni hadithi au falaki?. Wapi Qur-an imesema tuswali saa ngapi na tuftari saa ngapi kama hawa mawahabi sio MBWA WALIOLAANIWA?. WANAKATAA KITU HUKU KIMEWAGANDA MATAKONI WANAKITUMIKIA NI UNAFIKI WA MBWA HAWA.
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452we ni mnafq si maana hpn si khivyo aiwezekani utoke ktk mwez wa ramadhani alafu matusi yakawa ivyo au kafiri pengn
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 3 ай бұрын
Ni kweli haiwezekani kuwa matlai mamoja!sasa kama ni hivyo kwanini Zanzibar na Dar es Salaam wanaofuata mwezi unaoonekana Kigoma?au hamufahamu kwamba Kigoma ktk matlai ni tofauti?
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 3 ай бұрын
Ww ulomtukana shekhe mbwa Allah akuteremshie raaana mpk siku ya kiama akufufue kwa sura ya huyo mnyama ulomtaja mtatoa mapovu sunna inadhidi songa mbele tuu,watu wa maulid mtabaki na chuki hii ndo ushindi wa Allah kuwapa watu wa sunna kajiuweni hamuezi rudisha nyuma sunna hii ndo hakki
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 ай бұрын
Usimuombee Laana wenda ktk mgongo wake wakatoka wema
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
ASTAGHFIRULLAHA Shekh mbwa Allah ndio nani ewe kafiri wa kiwahabia?
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 3 ай бұрын
Yoyote anae mlaani mwenziwe laana yamuanza yye kwaiyo ishakuregelea ww
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 3 ай бұрын
Hilal sijaelewa kama umesema neno Kwa yakin ama!! Kweli umemtaja mbwa sheikh? Kama ndivyo basi Allah akuongoze..
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@husseinbachwa8372 mie nimeuliza huyo alioandika juu ndio kaandika nini?. Mmesoma
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 3 ай бұрын
Sasa kumbe unataka na wew usiswali tena hap
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 3 ай бұрын
Wahabi, mwezi hauja andama, wanafunga. Mwezi haujaandama wanafungua !!!Ndo itikadi yao.😅😅
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 3 ай бұрын
Shekh hapo umekosea kwani hao wafanya biashara sio raia? Wewe unachotakiwa ni kupangwa tu wafanyabiashara wakae kwa mpangilio na na mipaka sio kuawaondoa kwani na wao wanahaki kama raia ukiwaondoa utawapeleka wapi?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Hili babu fitna linaitwa. Hizi ni tabia za makafiri kazibeba huyu mzee.
@user-ft4uk5fz8g
@user-ft4uk5fz8g 3 ай бұрын
Umeisikiliza vizuri??
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@user-ft4uk5fz8g ukisha sikia weye inatosha
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452hii ni adiki ta wanafq
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
Inawezekana ukawa ktk makagqfir au mnafq
@AbduliSeleman
@AbduliSeleman 3 ай бұрын
Ww nhunatofaut na mwanamke
@aliabdulla7516
@aliabdulla7516 3 ай бұрын
Kwaiyo ni sawa na mamako au sio
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Kabisa kwa fitna AFAA kufungwa kanga ya kiuno
@khamiskhamis9947
@khamiskhamis9947 3 ай бұрын
Nyinyi nyote hamumcho Mola wenu na ndio mana hamuchungi mnayo yasema.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Angechunga kwanza hilo huni la kiwahabia
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452unadhihirisha ujinga wako bora unyamaze mana kila amaesoma comment zako ashaelewa kuwa wewe hujielewi.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
SHENZ KUBWA FITNA WEWE LA KIWAHABIA. MBWA WA MAYAHUDI
@jabirmaulidi3420
@jabirmaulidi3420 3 ай бұрын
Huna adabu matusi ya nini sasa huangalii hata umri
@TisaMkenda-oj5uj
@TisaMkenda-oj5uj 3 ай бұрын
Umebarikiwa mdomo wa kutamka matusi,,Huna haya wala imani
@user-it3ee7zq2y
@user-it3ee7zq2y 3 ай бұрын
Nikukosa hishma Ijue Nikama mzee wako
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
Mchee mola wako..asa yupi ktk ya ww na yy ndo hao mmh,,
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
Iv ww ni mtu wa aina gan huna hofu na ALLAH TABARAQ eeeh nyinyi ndo wale wale maana aiwezekan mtu utoe maneno mazito ktk tatatif
@yasinmasawe6421
@yasinmasawe6421 3 ай бұрын
WAHABI MNAJITESA BURE KILA SIKU KULALAMIKA TU IBRAHIM BABAKO HAKUWA HIVYO KAMA HELA HUNA TANGAZA TENA TV IHSAAN HAINA A/C UTAPATA HELA TU ILA FANYA TAUBA UMRI UMEKUTUPA MKONO
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 3 ай бұрын
Hiki ni "chuma" unatamani ukisikilize muda mwingi hakichoshi ,kama inakuuma vumilia tuu coz alopewa ndio kapewa tena 😂😂😂
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 ай бұрын
Ww sio ww jitambue na mkumbuke km kuna kufa na kuna kuesabiwa kwa unafq wenu..au pngine nyny makafir
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 3 ай бұрын
@@cheapunderage8228 MTU kusema haki ni ukafiri na unafiki!? VP Mzee umelewa pilau ya idd
@HamadHamduni
@HamadHamduni 3 ай бұрын
Hizo ndo chuki anazosema sheikh
@AtiqQassim-od9jr
@AtiqQassim-od9jr 3 ай бұрын
Akhi alianza kutukanwa nabii nuhu as had Muhammad saw kwahyo matus yak kwetu ni sunna Bali kwako ni khasara tuu tuubia akhi mapema
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 36 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 133 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
DARWESH OMAR WA SONGOLO AKITIA NENO KTK DUA YA SHEIKH SALIM ITARA 2024
6:44
Daarul arqam Online Tv
Рет қаралды 2,8 М.
DAAWA ALIYOFANYA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.)
7:07
ISTIGHFAR TV
Рет қаралды 322
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 45 М.
Msikilize kwa Makini Shekhe huyu katika kisa hiki utajifunza kitu kikubwa sana.
5:57
FAIDA ZA KUJITOLEA KWA AJILI YA ALLAH Sheikh Hamza Mansoor
41:00
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 285
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 36 МЛН