Rais RUTO amefanya kosa la kimkakati kufanya Round Table kipindi hiki!

  Рет қаралды 29,834

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 431
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 күн бұрын
Heshima haipewi kiongozi mwizi, rais anayetaka kuifanya Kenya Mali yake binafsi, hatumtambui . He must go.
@WILLY_SKY1
@WILLY_SKY1 2 күн бұрын
You are right better angefanya huyo Dennis Itumbi hapa alimdanganya the ground is still hostile
@BenBella254
@BenBella254 2 күн бұрын
Maswali aliyoulizwa ni yale wananchi walitaka aulizwe😂
@hassanomar1041
@hassanomar1041 2 күн бұрын
Bro Sma, kuna vile labda umezoea wataka rais waulizwe maswali kulingana na cheo chake na hizi ndio bado tunarudi nyuma ila fuatilia round table za awali pia alikua anaulizwa maswali kama haya na Mohamed Hussein. This is kenya Uhuru wa wanahabari upo.
@allycruzz3991
@allycruzz3991 Күн бұрын
Real talk
@matukutajuma156
@matukutajuma156 2 күн бұрын
DJ SMAA KENYA WANA KATIBA YAO NA TAMADUNI ZAO TANGANYIKA TUNA KATIBA YETU NA TAMADUNI ZETU RAISI KWAO SIO MUNGU MTU KAMA RUANDA!!
@mohamedsuwari2588
@mohamedsuwari2588 2 күн бұрын
Very good answer for this Analyst.Kenya we don't take Presidents as GOD.
@abdulswamadabdallashee5802
@abdulswamadabdallashee5802 2 күн бұрын
Kweli kabisa ndugu yngu mwambiye ukweli Huku Rais nikma MTU wakawaida ,
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 2 күн бұрын
Yow brother Sky.....pin this please......
@aby.beka1630
@aby.beka1630 2 күн бұрын
sio kenya tuu dunian kote mwandish kaz yake ni kuuliz hawan makos bhan~
@CandyLoud
@CandyLoud 2 күн бұрын
Mwambie kweli maana hii ya leo hajui asemalo Sma wewe sio Mkenya na kuna mengi huyajui
@maxwellnzai9542
@maxwellnzai9542 2 күн бұрын
Dj sma,,,tunamujua raisi wetu,ndo maana kulikuaa hivyoo
@nicoledinga9948
@nicoledinga9948 2 күн бұрын
He don't get it...ruto is a psychopath and that's how he should be treated
@GentleGiant-pj2rk
@GentleGiant-pj2rk 2 күн бұрын
You are the psychopath, Ruto is beyond your level of thinking and acting
@tinakaitsa7334
@tinakaitsa7334 2 күн бұрын
In Kenya we have boring president 😢
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 2 күн бұрын
Ndugu Hawa walilazimishwa na ruto huo ndio ukweli na kule kuvamiwa na wandishi was habari nikwasababu ruto ni nimzuri wakuongea bro huyo twamfahmu sana.kweli ruto siorahisi kumuolewa mpaka uwe Kenya coz amedanganya sana.tosha hio mdahalo wa ruto haukuwa na maana hivyo.shukran
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 2 күн бұрын
Infact the journalists asked the right questions zenye kwa ground tulitaka aulizwe
@shantisam-wo8wj
@shantisam-wo8wj 2 күн бұрын
Period
@jafaribori5428
@jafaribori5428 2 күн бұрын
Naitwa Mr. Bori nakufatilia sana kutokea hapa UK England hakika upo vizuri mdogo wangu nimefurah sana na uchambuzi wako.
@naqiahmad26
@naqiahmad26 Күн бұрын
Dj asma binafsi nakukubali, lakini usiingize udini kwenye siasa, kiongozi wa Siasa hachaguliwi na mungu. Umemshusha sana mungu kwenye macho yako
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 2 күн бұрын
Kosa lako smaa hujaimaliza kuiyangalia mchambuzi mkubwa kama wewe kitugani kinakushindwa kumaliza kuiyangalia yaani leo umeboa smaa, ulitakiwa uiyangalie yote kisha ndio uchambue sasa utatoa faida gani hali yakua wewe hujamaliza kuiyangalia
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 2 күн бұрын
We ni miongoni mwa anti-fuse, lala mbele mzee
@Qqambaa
@Qqambaa 2 күн бұрын
Mi ni mkenya kachambua vzr 😂😂
@allankenyali1535
@allankenyali1535 2 күн бұрын
uyu kama ame hongwa na RUTO this SNS ni Kama wafwasi wa RUTO Wana taka Kenya tuangamie
@hadijagere
@hadijagere 2 күн бұрын
😂😂😂😂 kunywa maji kidogo
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 2 күн бұрын
Leave us alone sns
@user-sq1ol2fb3i
@user-sq1ol2fb3i 2 күн бұрын
Watazania nyinyi wakatiwote uwamwanjifanya mwanjifanya kujuwa sana Matapeli wa tazania wengi
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 2 күн бұрын
Familia ya SNS,FUSE nimerudi kwenye kipindi baada ya simu yangu kupotea sasa tupo pamoja
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs 2 күн бұрын
Poie sana ndugu karibu tena
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 2 күн бұрын
Karibu tena
@alphadreammedia
@alphadreammedia Күн бұрын
😊😊😅😅😅
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 күн бұрын
Wakenya hawataki kumsikiliza RUTO they want to hear what they want to hear na sio tatizo lao ni hasira na maumivu yanayomsikiliza RAISI ni kama Dj Sma alivyosema timing ya interview ndio mbaya na hata RUTO angekuja na facts nzuri kiasi gani bado watu wasingemuelewa.
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth 2 күн бұрын
Sure
@ombeniyohaneaustin8415
@ombeniyohaneaustin8415 2 күн бұрын
Tupo pamoja toka cape Town south africa 🇿🇦
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 2 күн бұрын
Mh. Zakayo amelewa anasa anataka kuuza nchi kwa NATO
@BenBella254
@BenBella254 2 күн бұрын
In Kenya we have free media. Kiungo muhimu katika kujenga Demokrasia
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
Kwahilo wakenya hongereni, mko na free media and most of the media it's vibrants.Kongole karibu Tanzania ila Mimi napenda kuangalia sana Citizen Tv ya Macharia.
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 2 күн бұрын
Bongo CCM inacontrol kila kitu mpaka hewa tunayopumua😂
@JastoLeleJnr
@JastoLeleJnr 2 күн бұрын
Kenya kuna uhuru wa media Sma, hao waandishi waliuliza maswali ya wakenya kutoka ground and Ruto did not give clear answers to all the questions...one thing i must agree with you though, it was not the right move for the president to conduct any kind of interview given the intensity of the situation at hand..... and by the way, i think It's the responsibility of the journalist to ask the hard and critical questions
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 23 сағат бұрын
Dj smaa sawa ila usisahau ukinunua umeme makato yameongezeka!.
@makaoyafutaa1302
@makaoyafutaa1302 2 күн бұрын
WanaSNS Rais wetu ni mdanganyifu mno😂😂 ndio maana hata alikuwa anakwepa maswali mengine, hongera sana wanahabari wetu Joe, Linus na Erick Latiff 😂viva✊💪
@kawogoremigius8152
@kawogoremigius8152 2 күн бұрын
Nafikiri Wakenya wampe muda Rais Ruto ,, na pia alikuwa sahihi kufanya roundtable ili kuonyesha serikali imeonaje na inachukua hatua gani ,, kuliko kusubilo muda upite , wananchi wanatakiwa kupata taarifa hasa Rais kuongea mapema zaidi kukiwa na matatizo makubwa kama hayo yaliyotokea Kenya
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 2 күн бұрын
You are getting it wrong. Hayo maswali hayakuwa ya Wanahabari yalitoka kwa raia. So usilaumu waandishi wewe hauko neutral uko upande wa Ruto 😂
@kevicristian2738
@kevicristian2738 2 күн бұрын
Without two D you can not understand Dj asma😂
@salmasaid7058
@salmasaid7058 Күн бұрын
Kbs
@salmasaid7058
@salmasaid7058 Күн бұрын
​@@kevicristian2738d gn nyinyi mumezoea kuabudu raisi nop cc tuko n democracy kwetu sw
@user-de8qk5ij6m
@user-de8qk5ij6m 2 күн бұрын
Hujui lolole tuachie wenyewe huyu
@wemakalama6458
@wemakalama6458 2 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ttss7716
@ttss7716 2 күн бұрын
Kabsa huyu namuona hajielewi akwende uko nyau😂
@hollymore4904
@hollymore4904 2 күн бұрын
Ni sahihi katka hili kafel
@jumajames1767
@jumajames1767 Күн бұрын
😂😂😂😂
@allycruzz3991
@allycruzz3991 Күн бұрын
Real talk
@mohammadabdul45bb57
@mohammadabdul45bb57 Күн бұрын
The protest begins in Mombasa
@alexsilungwe1620
@alexsilungwe1620 Күн бұрын
Watching from Zambia
@vinnyinjenga
@vinnyinjenga 2 күн бұрын
wewe wachana na mambo ya Kenya,ruto is our servant,he is our servant we are his Boss,hapa sio tanzania mnapiga upinzani risasi 30 na hakuna kelele
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 2 күн бұрын
Following from Swaziland 🇸🇿,Ruto hafai kuwa Rais wa nchi hiyo.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 2 күн бұрын
Mpeleke mamako akaongoze kenya
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 2 күн бұрын
Umewahi kuona wapi mtu muongo kupewa heshima tatizo ruto anaongea sana .
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 2 күн бұрын
Bro, this is the real democracy, sio kukosea rahisi heshma. Wali mkatisha alipo kuwa na kwepa swali, the guy is smart but the reporters were smart too. Tz jifunzeni kitu apa sio ku ponda tunacho kililiya Kilasiku accountability ya leadership.
@evansogutu4167
@evansogutu4167 2 күн бұрын
Tunamjua ruto vile wewe unamjua Mama Samia
@rosemaryogambe4498
@rosemaryogambe4498 2 күн бұрын
Dj Sma wachana na wakenya utaumwana kichwa bure. Haujui machungu tunayoyapitia wewe si mkenya haujui katiba ya kenya. Chambua ya kwenu tafadhali hautawai kupata wakenya waki waste time yao wakizichambua mambo yenu.
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Күн бұрын
Ruto ana makosa nyingi kka sma maneno yak na matendo yk nivitu viwili tofauti adjusi from Mombasa
@benardmakori4012
@benardmakori4012 2 күн бұрын
Waandishi wa habari wanamujua vizuri sana,Ruto na kupanga,na kutenda alaah!
@moonamoona6838
@moonamoona6838 2 күн бұрын
Kupanga ruto kutenda aaaaah😅
@gideonmageto4623
@gideonmageto4623 Күн бұрын
Sisi ndo tulimchagua anafaa atuheshimu .. period my guys did well
@gracelema2374
@gracelema2374 2 күн бұрын
University of Dar es Salaam motto say "HEKIMA NA UHURU".
@athmanabushir1622
@athmanabushir1622 2 күн бұрын
kaka tafadhali mambo ya kenya tuachie wakenya sns hufuatilia sana chanel yako rais wetu tumechoka nae sai ndio aseme ukweli. siku zote wakati mtu ako na hasira kauli anayotoa huleta maana kuliko kumuacha ajiandae ndio atudanganye.
@Abdullah-hb6sf
@Abdullah-hb6sf 2 күн бұрын
Kabsa bro
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 2 күн бұрын
Kweli kabisa
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 2 күн бұрын
Our president is having mental health challenges.he is mad
@mariamkassim9925
@mariamkassim9925 2 күн бұрын
Respect
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 2 күн бұрын
@@mariamkassim9925 andika comment Yako nkt
@hamooummar7298
@hamooummar7298 2 күн бұрын
I gat u my fellow kenyan😂hjui tofaut ya reply na section ya kukoment kiujumla😂
@mariamkassim9925
@mariamkassim9925 2 күн бұрын
@@everrineanyango7410 🤣🤣🤣🤣 makasiriko ya nini ama leo hauna chakula
@cocotz1892
@cocotz1892 2 күн бұрын
@@mariamkassim9925😂😂😂
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 2 күн бұрын
Sorry Wana SNS mauwaji yalitokea GITHURAI NA RONGAI
@philipkahindi3499
@philipkahindi3499 2 күн бұрын
Brothers from Tanzania we love you soo much.... Lakini kwa hili uyu Ruto na vibaraka wake niwaizi wameiba pesa nyingi sana huku wakenya wakawaida tunateseka sana..... Sisi hatutamhurumia ata kidogo
@MsAggie5
@MsAggie5 2 күн бұрын
Hii ndo laana yetu waafrica sijui Kwa nini tuko selfish, Ruto tajiri Kwa nini bado anataka kujilimbikizia mali? Lakini mnadhani mnaweza pata kiongozi mwenye kupenda haki? Wote mijizi tu.
@Ibrahimkhamis005
@Ibrahimkhamis005 2 күн бұрын
Sns mie ni mtanzania lakini hebu niulize mbona hamuongelei uchafu wa tanzania kwa viongozi wetu mie najua kuwa mnafahamu kila kitu kuhusu mambo yanayo endelea tanzania
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
Mkuu unajifanya hujui tofauti ya katiba za kijamaa na Katiba za Kibepari?
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w Күн бұрын
Kwel kbs hawaon uchafu unaofanyoka tanzania apo umefel sma sema na tanzania
@KhamisBeja
@KhamisBeja 2 күн бұрын
DJ sma hii ungengoja kama siku mbili Tatu bro ukafwatilia deep alfred kiter kutekwa kwake imekua issue coz he was a former member of parliament but watu wanachukuliwa bro fwatilia
@lucasmartin431
@lucasmartin431 2 күн бұрын
Yaani ulivyo Hara Dj sma....ningekuwa karibu ningekupokonya mike
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji Күн бұрын
Mm ningemfuta kazi, maana hajui wakenya wanafeel vp
@alexbahindolwa3921
@alexbahindolwa3921 2 күн бұрын
Shida ya Ruto ni mjeuri saan !!.jpt
@allankenyali1535
@allankenyali1535 2 күн бұрын
this SNS guys nikama wameongwa na RUTO Hawa Miki kwanza na unsubscribe uku upuzi mtupu no wonder Tanzania wako nyuma democracy
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
​@@allankenyali1535Hawajaongwa ila hawana taarifa sana kuhusu Kenya, Nyinyi ndo mnaelewa mambo mengi sana ya Kenya ila sisi huku TZ twapenda democracy ya Kenya.
@ENGLISHMOVIES-DOCUMENTARIES
@ENGLISHMOVIES-DOCUMENTARIES 2 күн бұрын
Who cares what you think bro...in kenya the president is not worshiped, and that was dialogue conversation so keep your punitive observations to youself na uache kutupigia kelele...i really like this channel 'sns' but this guy is totally underrated
@jameskitoto3315
@jameskitoto3315 6 сағат бұрын
Ndio maana napendaga Makala 360 by Fredrick bundala and frank
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. 2 күн бұрын
Unabrainstorm sana kabla hujaja na analysis kwenye session. I like to listen to smart minded guys like you mkali.
@mohammadabdul45bb57
@mohammadabdul45bb57 Күн бұрын
bro umesema ukweli ameamsha hamasa upya
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 2 күн бұрын
Dj sma umeniangusha on this
@Hamisi8465
@Hamisi8465 2 күн бұрын
Eehee heshima tena.. Heshima utapewa tu kama inakustahiki wala sio venginenyo
@kepharichard4183
@kepharichard4183 2 күн бұрын
Acheni kuvuruga nyinyi watanzania mnajifanya wachambuzi hayo mambo hayawahusu vibaraka wa government.
@aby.beka1630
@aby.beka1630 2 күн бұрын
sizan kam iyo ni kaulinzul husem watanzania kwa mawaz ya mt m1 ten wasem et hayatuhus inaonekan km uwezowak wa kufikilia ni mdg~
@shantisam-wo8wj
@shantisam-wo8wj 2 күн бұрын
Ewaaaa😂 hakuna Kitu wanajua 😂ebu waongee kingereza kidogo
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 2 күн бұрын
Kiengereza ni nn c in ukoloni tu bado mnakumbatia nyinyi wakenya...muko ovyo sana.​@@shantisam-wo8wj
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji Күн бұрын
Hawa hata hawajasoma
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji Күн бұрын
​@@aby.beka1630Niukwel, even me I am a Tanzania but I am educated in kenya . kenya are more Educated than Tz
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 күн бұрын
Umeongea vizuri sana sema umeshindwa kuelewa walikua emotional sana na kinachondelea huko. Wanaopigwa mabomu ni wao na ndugu zao.
@pakeyzaa
@pakeyzaa 2 күн бұрын
Dj sma....unapotea kwa line kakangu tuachie tu wenyewe +254 tunajua wenyewe shidaa zetu ..kipindi hiki chako sijakipasisha umeniangusha....
@katsopolechonyiboy4896
@katsopolechonyiboy4896 2 күн бұрын
Ww hujuwi akili ya raisi wetu huyu tuachie wenyewe hujuwi chochote
@john_1trader
@john_1trader 2 күн бұрын
Aaapaanaaa hi round table si yake ya kwanza ata kipindi akianzia utawala wake hayamajibizano kenya sisi na hata yeye hatuonagi kama ukosefu wa kutoheshimiana
@allankenyali1535
@allankenyali1535 2 күн бұрын
UYU JAMAA WA HII SNS ANAJIFANYA KUJUA RUTO KUTULIKONSISI WAKENYA WEWE USITU CHOKOZEE KAMA UMEONGWW KAA NA PESA YAKO SHENZI
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga Күн бұрын
Anyway nimewapenda sanaaa wakenya wanadai haki Yao fasta tena bila uoga sio kama bongo
@YustaMfugale
@YustaMfugale 2 күн бұрын
Dj smaa moja ya principal ya muandishi wa habri ni kuongea truth ,,,ni haki yao ya kuuliza nn wananchi wanataka kujua sio kumhoji kwa kumpamba na ilhali anakosea ,nimependa sana hao waandiashi
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 2 күн бұрын
Ati you were disappointed by who?as who?...learn the kenyan culture you will understand how we think and operate...anyway your opinion on our political arena is non validative
@kwisa4899
@kwisa4899 2 күн бұрын
mwizi anapewa heshima
@zuricakes6817
@zuricakes6817 2 күн бұрын
Uko Sahihi kabisa. Raisi ni Raisi lazima apewe heshima yake, kama kuwa Raisi ni kitu rahisi baba au mama zao wajaribu. Na hawa majamaa (siwezi kuwaita ma journalist) waliokuja kumuhoji wameonyesha ujinga wao ulipofikia. Unamuuliza mtu swali, haumpi nafasi ya kujibu alafu mwingine naye anauliza swali juu ya swali. Walikuja na agenda yao hawakuwa tayari kusikiliza upande wa pili (Media bias ni BAD JOURNALISM). Kwa kifupi ni wahuni tu! Naamini President Ruto alikubali hii roundtable akifikiri anaenda kukutana na ma journalist...kumbe wahuni tu, naamini hata yeye amejuta.
@SundayMtachi
@SundayMtachi 2 күн бұрын
Bila A mbili huwezi elewa Dj sma ni Genius....wengi hawataelewa
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 күн бұрын
Kenya kuna demokrasia unaeza uliza chochote kwa kiongozi wako bora yasiwe matusi na haya pia yanafanyika pia nchi za ulaya, kama Biden uulizwa maswali magumu na wandishi wa habari Ruto ni nani
@kwisa4899
@kwisa4899 2 күн бұрын
pia Trump hadi alikua anachukia cnn
@MwauchiMwatela
@MwauchiMwatela 2 күн бұрын
Nawakubali sana ila kuhusu ruto tunamjua ss wakenya
@J4UPro
@J4UPro 2 күн бұрын
Huyu ni mchambuzi ko haruhusiwi kwani?
@sarahonguso6187
@sarahonguso6187 Күн бұрын
Interviewing Ruto, don't think it's easy. He never got proper scrutiny. Kenya is a democratic republic, and the supreme power belongs to the people. Can you ask yourself this question, first it was #RejectFinanceBill2024, and now people have changed the tune to #RutoMustGo!
@laurine7898
@laurine7898 2 күн бұрын
Huelewi kabisa tuachie tu mambo yetu muendelee kubembeleza wenu sisi tunajua majangili yetu na vile tunadeal nao hakuna kubembelezana na maisha yetu na ya watoto wetu.
@makwegarashid-ui1oe
@makwegarashid-ui1oe 2 күн бұрын
Mawazo ya wakenya yashakuwa negative kwa Ruto,kwa kipindi haikuwa sahihi kufanya huu mdahalo. Pia waandishi hawakuwa na heshima ya nafasi ya Urais, waandishi walipaswa kuheshimu nafasi ya urais walikuwa wanamkandamiza walikuja na majibu yao. Kwa mantiki hii hadhi ya nafasi ya urais Kenya imedhalilishwa sana. Mawazo yangu Rais yeyote atakeyatawala kenya hatopewa hadhi.hata mtoto ndogo akijisikia kumtukana rais anaweza na asifanywe chochote. Wangempa nafasi Ruto alikuwa anamawazo mengi Zaidi mazuri na anaonyesha ni kiongozi mzuri sana.
@NikodemusOgembo
@NikodemusOgembo 2 күн бұрын
Kenya tupo na Uhuru kwani President ni mwanainchi tuu
@allankenyali1535
@allankenyali1535 2 күн бұрын
president sio mungu mwambie uyu mpuzi KAZI yake kumteta ruta nashangaa anajifanya kuchambua kizungu
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 Күн бұрын
Tumetenga tu tutafanya aaaah Uongo tu ukweli aaah.
@cocotz1892
@cocotz1892 2 күн бұрын
Ukiwa huna D 2 uwezi kumwelewa Dj sma vitu vingine Kama vya Taifa utakiwi kuongea kwa hisia au kuwa na upande
@romeotv2542
@romeotv2542 20 сағат бұрын
Bro it's better you focus on gaza and not Kenya 🇰🇪...we kenyans we know what we want ....# ruto must go... Please we know how the democracy works ...
@eliyanibitanga4770
@eliyanibitanga4770 9 сағат бұрын
Amen Dj ❤
@mikechidi3339
@mikechidi3339 2 күн бұрын
Wakenya wengi hapa tunakupa mda wa kukusikiliza but umeanza kukosea wakenya respect kwa kumpongeza ruto...
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 Күн бұрын
Walimfanyia vibaya😢😢😢😢😢 wanaifanya km vijana wote walikua na kazi wakati saa zote kenya Africa sio rahisi wote au half of the country. That's disrespecting the president. They didn't want to question him just kumnyanyasa tu😢😢😢 🇬🇧
@HalimaAbdul-xd6el
@HalimaAbdul-xd6el 2 күн бұрын
My friend this is Kenya..we are used to answer questions and answers this way ..nashangaa u are seeing biased people here.. respect Kenya and our journalists
@amrunassibu5105
@amrunassibu5105 2 күн бұрын
Kaka Kenya Tulisooma Katiba Vizuri..Na pia Tunajua Uhuru wetu uko wapi Sasa wewe Wala Usisononeke
@mosesmuyamwangi7905
@mosesmuyamwangi7905 Күн бұрын
Ruto alipiga chenga maswali mingi. Kenya twahitaji revolution
@chrisnyarugeta8814
@chrisnyarugeta8814 2 күн бұрын
So disappointed na Dj. Bundala why allowed this guys. The way Tanzania hueshimu president wenu , it s so different na kenya.
@chrisnyarugeta8814
@chrisnyarugeta8814 2 күн бұрын
Before huu chambue, you need to have all the resources, sio kwaku fatilia one interview moja . The MP walisema NUMBER ZAO ZIKO OPEN na akuna alie pigiwa simu.
@alphadreammedia
@alphadreammedia Күн бұрын
Duuu uko sahihi kabisa
@Emanuelfrankasei
@Emanuelfrankasei Күн бұрын
Tupo pamoja nafurahia kupata habari bora
@abdallasaid5593
@abdallasaid5593 2 күн бұрын
Dj sma humjui Ruto ...he deserved hyo kikaango .... au tukusalimie ndugu😂😂😂
@patrickochieng79
@patrickochieng79 2 күн бұрын
SNS just know the owner of this two Media group they supported the opposition last election .. ndio maana they abush ivio even me .... Sijapenda how they handle
@Dearm-ome2in1huba
@Dearm-ome2in1huba 2 күн бұрын
I am a Kenyan citizen and I look closely at your KZfaq but today you were not given the best among Ruto and they have news when Ruto was growing up he was asked a question Ruto answered other things
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 2 күн бұрын
Brother huezi kuelewa hii kama we si mkenya.........hiku tuko na uhuru wa uandishi wa habari.....so the president can be asked anything cause he is a servant of the people.....he owes every citizen an explanation
@allotropeking5991
@allotropeking5991 2 күн бұрын
Tunamjua sana huyo msee papa. Sisi kenya hatuna rais.
@jumajames1767
@jumajames1767 Күн бұрын
Dj sma nakukubali sana ila kwa hili zii mkubwa wangu huyu jamaa ni muongo kupitiliza kaka acha tudeal nae twamjua wenyewe huyu
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Күн бұрын
Sns hakuna kitu unachambua hapo, siasa za Kenya wachia wakenya...huwezi elewa hii maneno...you are so personal
@user-de8qk5ij6m
@user-de8qk5ij6m 2 күн бұрын
Tuliza mshono wewe huyu ni wetu twamalizana naye wenyewe
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 2 күн бұрын
Sasa apewe heshima gani wamezika ndugu zao walouwawa kwa police alowatuma😢
@TwahaMaziku
@TwahaMaziku 2 күн бұрын
Dj smaa upo vizuri sana umesema kweli mingu ndo humchagua kiongoz awe mzur au mbaya
@ChireGriffin
@ChireGriffin Күн бұрын
Tanzanaia waandisshi mnaweza kumuuliza maswali kama hivyo
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w 2 күн бұрын
Hao ni wanasiasa wanaojiita wandishi wa habari😂😂😂😂
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 2 күн бұрын
Kweli man hawa mafala sana hata kama mzee kakosea lakini hawakutakiwa kumbull like that.
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 күн бұрын
Wanakomaa kumtia 18 zao
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 күн бұрын
​@@shenamtukufu1224Wana hasira nae na Raisi kuna muda alikasirika lakini ametumia hekima kutoku snap back at them, hizi siasa ziko si biased.
@Hamisi8465
@Hamisi8465 2 күн бұрын
​@@shenamtukufu1224ukweli haufichiki ingawa mchungu... Maswali yalikuwa na ukweli mtupu ndani yake
@amrunassibu5105
@amrunassibu5105 2 күн бұрын
Yani wewe Hata Haujui Unaongea Nini Surely 😅😅😅
@Laughfun48
@Laughfun48 2 күн бұрын
We Dj sma unataka tukusalimie? Focus mambo ya Kenya huelewi
@raysonjohn3488
@raysonjohn3488 2 күн бұрын
Labda na mimi kuna kitu sielew, mswada unaanzia bungeni kwanini wakenya hamuwaunganishi MPs kwenye resignation ila ni ruto tu...naona kama ma MPs mnawapa free pass
@kusudihalisi9537
@kusudihalisi9537 2 күн бұрын
Alikkosea sana kuishambulia urusi. Hiyo ni laana kwake
@miriamvihenda7408
@miriamvihenda7408 2 күн бұрын
uyu anakushow mawhat ama unataka salamu kidogo zakayo amefanya kenya uchumi iko juu sana ruto shuka tu tunakujuwa
@BakariKombo-cj5iu
@BakariKombo-cj5iu 2 күн бұрын
Huyu tumsalimie
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t 2 күн бұрын
Congratulation dj smaa Kenya we love you🇰🇪❤❤
@lowasamollel9852
@lowasamollel9852 2 күн бұрын
Kenya kuna waandishi wanaojielewa na wanajua haki yao pia niwataalam sio nyie wa Tz ambayo wengi wabebaki kama machawa wa serikali na hawawezi pigania uhuru wa vyombo vya habari
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 күн бұрын
Bongo tuko poa kaka hawo wote wanaomba waje huku kuishi sababu KWAO ni SHIDA NA UWIZI
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 күн бұрын
Unaongelea uhuru upi, wa habari zipi? Maana habari zote za ki politics za Tanzania ziko mitandaoni.
@allankenyali1535
@allankenyali1535 2 күн бұрын
uyu JAMAA wa SNS KA HONGWA NA RUTO TEAM #KOT #GENZ uyu me hongwa let's visit
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 күн бұрын
@@allankenyali1535 So miaka yote mnakubaliana na Dj Sma leo kaongea vitu hampendi ni kahongwa ni Raisi mliompa kiti wenyewe 🤣🤣
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 2 күн бұрын
​@@BigZhumbeHatukumpa kura bali aliiba kura
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 2 күн бұрын
Kwanini rais Ruto anakunja 4 ktk kipindi hiki wakati ndani ya nchi yake pamejaa kilio kila pahali?!!
@philipkahindi3499
@philipkahindi3499 2 күн бұрын
Brother usjaribu kumtetea uyu jamaa kabisa ssi ndo twamjua hafai wanahabari wetu wapendwa walikua sawa kabisa in short amechosha Kila mtu
@salmasaid7058
@salmasaid7058 Күн бұрын
Wee ndio uelewi cc tuko n democracy
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 98 МЛН
Kenya on the Brink | A roundtable interview with President William Ruto {Full}
1:53:10
THURSDAY PROTESTS;WHY RUTO SHOULD BE SCARED OF GEN Z
SAO PAUL BEADWORK TV
Рет қаралды 946
НАИВНЫЙ ВОДИТЕЛЬ 🤯
0:22
Top YouTubs
Рет қаралды 575 М.
НАИВНЫЙ ВОДИТЕЛЬ 🤯
0:22
Top YouTubs
Рет қаралды 575 М.