Acha kuua wananchi wao ndio wenye nchi kumbuka wakat unaomba kula uliwaambia nini
@user-mp9oc5ii1g3 күн бұрын
wakenya pambaneni kwa nguvu mumuondoe huyo kibaraka wa amerika✍️✍️✍️ ruto ni kibaraka☝️☝️☝️ he must go💪
@millymack13703 күн бұрын
Hio kiburi tutamaliza tu.
@AishaHaji-jn7sg3 күн бұрын
Wakenya mmeamua 🙌
@boasliberath57983 күн бұрын
Viva kenya
@abdullahmanalex23063 күн бұрын
Tunawaunga mkono Vijana WA Kenya mmeamka
@diyembarak55063 күн бұрын
Ruto must go
@mkambotv54183 күн бұрын
Next time tunakuja statehouse kula lunch
@AbuArafat0013 күн бұрын
Am kenyan bt huyu raisi ameitaa wa kenya criminals wenye wameandamana peaceful kutaka haki zao
@omarzinga70463 күн бұрын
I really don't support government but protesters shouldn't go inside parliament and break and stealing the properties that ain't peaceful demonstration act
@Mimi.Official3 күн бұрын
Ruto niasikize wakena wanataka nini na ajibu majibu yao. Badala aseme hoja zenu nazishuhulikia watu watulie. Yeye na mahasira zake anatishia watu .haya wacha tuone hiyo hasara atakayo ipata hii week. Hao policy wake pia wamemchoka. Huku nyuma ya pazia wanatwambia mengi😢
@allahisone63863 күн бұрын
WANAWAMBIA KAA GANII?
@godfreymbevi28792 күн бұрын
Anacho takiwa ni kuwaua wote waandaaji maandamano yasiyo ya kidemokrasia yaliyo jaa wizi, uvunjifu wa sheria na kufanya mapambano na vyombo vya dora. lakini pia arudishe nguvu ya polisi mikononi mwao, Wakenya ni LGBT-Promax, hivyo mbele ya polisi wenye meno hawawezi sogea
@omarymwaluko97652 күн бұрын
@@godfreymbevi2879mashoga sio Kenya tu peke ake marekani Israel ufaransa uingereza Ukraine Italia ujeruman wote mashoga
@Mimi.Official2 күн бұрын
@@godfreymbevi2879 hujielewi wewe. Hata hujui hata hiyo katiba ya kenya .kadri wanavyo kufa ndio wanapandisha hasira hao police si ni hiyo bunduki tu. Kama hana tuko sawa tu. Na hao vijana hawawezi kosa bunduki. Unahonga police 20k anakupa unaenda kufanyia kazi kisha unarudisha. Usifanye watu hawana akili.....
@ChillianMasindeКүн бұрын
Hakuja ukatae naweni mmoja
@mpjozzegalvanize49263 күн бұрын
Marekani wanaongea nini wakati hata huko walikuwa wakiwakamata watu wanaopinga vita ya gaza
@omarymwaluko97652 күн бұрын
Mashoga hao marekani
@trizereve33863 күн бұрын
Napeda kusikiliza habari zahapa na huyu mtangazaji nikimsikiliza namuelewa anaeleza vizuri ❤
@user-yk7ff9ks6q3 күн бұрын
Apinduliwe huyu mbwa
@abuuaisha61103 күн бұрын
Mm ni mkenya nakuunga mkono maoni yako
@user-yk7ff9ks6q3 күн бұрын
@@abuuaisha6110 poleni san
@emmanuelopiyo64083 күн бұрын
Very soon we'll occupy the state house,watch and see
@Hassan_Mengi3 күн бұрын
Can’t wait to see that. Mkimuendekeza huyu kibaraka wa mabeberu nchi atauza
@najar8252 күн бұрын
hatuogopi
@najar8252 күн бұрын
hatuogopi
@mr.yahzadochuno79143 күн бұрын
Ruto must gooo yye ndio muhuni anapigania Tumbo lake tuu 💔
@timebakar3 күн бұрын
Mukiona watu wamefanya maadamano wanataka kuzungumza na viongozi wao kwaiyo mukizuiya fujo kwa mabom ndo munazidisha maafa watukufa na majeruh majengo kuchomwa nakupomolewa
@abdullahmanalex23063 күн бұрын
Huyo Rais kibaraka WA Wazungu
@timebakar3 күн бұрын
😂😂😂@@abdullahmanalex2306
@JacksonMbites3 күн бұрын
Ruto unatumia police kuangamiza waandamanaji sasa badala ya kuupoza moto ndiyo unawasha moto
@jumamussantuiche3 күн бұрын
Ruto wakati yupo marekani ukimtusi.putin raisi wadunia.mashoga wamekudanganya umesaini ushoga,usagaji mungu anakuona kitumbua kinaingia mchanga.
@evansogutu41673 күн бұрын
Nothing he can do infact on Thursday we will occupie State House
@mohdchuma783 күн бұрын
Hongeren sn
@abdulrazack95773 күн бұрын
Nooma.sana@@mohdchuma78
@LucienMulirimbuto-eo7nb3 күн бұрын
Work up 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.........from south Africa 🇿🇦 but I'm a 🇨🇩
@Esquire2663 күн бұрын
Utakufa vibaya my friend
@MuniraShughuli-kc7vj3 күн бұрын
Aende zake huko huna lolote umepata aibu mpka kwenu wamekupinga😏💪
@Brunotarimo103 күн бұрын
Kaka fredrick bundala tuletee kauli ya uhuru kenyatta na Raila Odinga kuhusu maandamano
@user-zt3nj5yj2j3 күн бұрын
Anasema Nini yeye aelewe wananchi wanataka Nini maisha ni magumu jmn
@Esquire2663 күн бұрын
Uharibifu wa Mali unahusiana nini na ugumu wa Maisha?
@youngsachafurniture54823 күн бұрын
@@Esquire266ujui kitu
@abuuaisha61103 күн бұрын
@@Esquire266 Mm siungi mkono uharibifu wa mali, lakini aliechangia kufanyika uharibifu ni Ruto na wabunge wake, ni kwa nini wasisikilize matakwa ya wananchi?
@festohaule97163 күн бұрын
Kibaraka wa Mashoga wa Ulaya🎉🎉🎉🎉 Waandamanaji wataingia Mpaka Ikulu🎉🎉🎉Utawafunga wangapi na kuuwa Wangapi!!! Sikiliza kero zao!!!!
@billmkushi8492 күн бұрын
Emotional mind can never used to provide solution. Poor Mr small Biden
@hassanmfaume45222 күн бұрын
Ikulu tafadhali😅😅😅
@husseinmassawa71863 күн бұрын
Sema kuongeza kodi mpaka kwenye pedi sijui waliwaza nini aisee😅
@mohayussuf20573 күн бұрын
Ruto kauza nchi Kwa mashoga ndio maana wanamsapporti
@uwimana65333 күн бұрын
Mjinga huyo wamuondoe huyo kibaraka 😂😂 wawazungu
@miriamvihenda74082 күн бұрын
huyu ni wakutenga tu😂😂😂😂
@kahindiwanje903 күн бұрын
Wewe gasia inaitwa ruto ety sisi ni wakora aaah ruto na Badoo
@simonmartin53583 күн бұрын
Towen kbsa huyo madarakani hafai kwanza kigeugeu anatumika vibaya na wazungu
@augustfive52793 күн бұрын
We don't need anything from ruto we just need him to surrender and leave the state house that all
@EvaJuakaliTV2 күн бұрын
Ruto must go, we don't need him 🇰🇪
@KelvinEmersonSteven3 күн бұрын
Nilikua namuamini sana Ruto kuwa angewavusha Wakenya na kuwafikisha Nchi ya Ahadi ila naona amefeli
@brysonmalongoza54223 күн бұрын
Me too! He failed us big time!!
@ce-082 күн бұрын
Tena mapema
@walowemkanjala25252 күн бұрын
Mtazamo wako huo... Kenya tuna uhuru wa kujieleza,,, sio kama nchi zingine
@ghhj-ij7xs3 күн бұрын
Ruto must gooo..no dialogue..corruptions everywhere
@sultanaswaleh78133 күн бұрын
Uharibifu wa mali na roho za watu ipi ni muhimu ?..GOD IS WOCHING YOU.😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ameirzapy13183 күн бұрын
Anaetolewa roho kaenda kwenye ugomvi,, maandamano gani ya Kihalifu?
@sultanaswaleh78132 күн бұрын
@@ameirzapy1318 Ame tuuliya watoto wetu wengi na wengine majiruhu. Amepitisha mswada kimabavu kwakuwahonga wabunge. Kama alivo chukua nchi kimabavu. Lkn. Damu itamsumbuwa . 😭😭😭Asione Ameshinda.! Kipenzi chetu UHURU . Ali twamba nawapatia miezi mitatu TU ! . Mutalia. Nanikweli !,. Walo mpigia Sasa Wana juta !. Mimi sikumpa kura yangu. Lkn ! Awaita watoto Ma CRIMINAL. Wakati yeye ndie CRIMINAL MKUBWA !.. MU'NGU ! ATA MPANISH ! 😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 INSHA-ALLAH !🙏🙏🙏
@walowemkanjala25252 күн бұрын
@@ameirzapy1318sio uongo. Kuna tofauti ya maandamano na uporaji
@millymack13703 күн бұрын
Why cant he respect people's wishes..hatumtaki
@BigZhumbe2 күн бұрын
In Tanzania people are protesting na hakuna mtu kafa hakuna biashara imevunjwa wala majengo kuchomwa. PEACEFUL PROTEST IS THE BEST WAY TO GO.
@user-qs7lj7kj1k2 күн бұрын
Asante sns❤❤❤
@Noelkitoi3 күн бұрын
Ruto achia nchi ya wakenya sio yako unapanga bajeti na wamarekani
@naimatemba8061Күн бұрын
Samahani kwani Ruto sio mkenya
@abuuvanlampard25643 күн бұрын
Utatuua sote uongoze wanyama sjui huo mswada utatekelezwa na nani
@bama92713 күн бұрын
Acha ujinga wewe mweu na maneno yako
@Gody3603 күн бұрын
Badala aongee nao
@timebakar3 күн бұрын
kukitokea maandamano viongozi munatakiwa mujitokeze kwa hekima ilikutuliza wananshi ilikuzuiya mauwaji namaharbiko ya majengo
@EverlineNgige2 күн бұрын
umelaaniwa hdi kizazi chako cha mwisho na ulaaniwe
@sebastiansalamba3133 күн бұрын
Magufuri alionesha mfano wa marais wa kiafrika kwamba nchi zetu ni tajiri lkn wapi viongozi
@najar8252 күн бұрын
HATUOGOPI....WE FEAR NONE💯💪WE KENYANS WE GEN Z💪
@user-ly7dx7vy1x3 күн бұрын
Wanasiasa wa Africa wote ni wahuni, yaani wanazurura kwenye mataifa ya magharibi kukopa pesa, kisha wanaziiba halafu mzigo wa madeni hayo wanawatwisha wananchi, wakenya wasikubali hadi kibaraka Ruto aondoke, inakera sana kuongeza kodi hadi kwenye pedi, hiyo inakera
@TrinaRoman3452 күн бұрын
Kweli huyu jamaa wa hovyo aisee 🤔 kesho tu anapeleka mswada wa ndoa ya jinsia moja bungeni.. pole sana kenya kwakupata kiongozi kibaraka dooh masikini weee🤔 Zakayo must goo🤗 wewe ni adui wabara la afrika kwa sasa
@user-zt3nj5yj2j3 күн бұрын
Thanks!❤❤❤❤
@Gody3603 күн бұрын
Ndio nini?
@user-zt3nj5yj2j3 күн бұрын
@@Gody360 nimejichanganya nimelipa pesa google bila hata kuelewa
@fridambithi68742 күн бұрын
My opinion l congratulation my president. Leadership comes from above, that's from God, when God chooses a leader no one can stop him or her. C
@yussufoptic2 күн бұрын
Napenda saana jinsi Raisi wa Tanzania anavyo toa hotuba yake kwa lugha ya kiswahili, hivi Ruto angesema kiswahili hangeskika inchi yote jamani!?!?? Hongera sana kwa Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania
@BraxtonWanjiru-qr8zvКүн бұрын
Ruto must go ✊👊
@safarivahocha80773 күн бұрын
Ruto is out of his mind, he can’t even prepare a meaningful speech. He is just reading trash prepared for him.
@zenajustus57313 күн бұрын
Kwani Ruto una adress nchi gani?kama ni hii yenye tumekataa bill usitulazimishe.
@OmanOman-bx5du3 күн бұрын
Simulimchagua wenyewe
@TinahFrank3 күн бұрын
Ruto nakupenda Sana 💋💋💋💋💋
@HajiKlein-so1rk3 күн бұрын
Ruto achia nchi wananchi wachague kiongozi wanaomtaka wewe muda wako umesha kwisha hata ukiwatisha haisaidi
@samuelkalama-nr1ui3 күн бұрын
Hustlers,si n watu wa bodaboda na mama mboga - wakakusikiza,ukaomba 100days ukapewa na zkaisha hehehe😂
@nusramunini96503 күн бұрын
Ata mwaka alipewa sasa akaamua kuwanyonga na maushuru 🤣🤣🤣
@Ambagaye3 күн бұрын
Kosa kubwa analofanya ni kuralibu kuzima moto kwa kutumia moto. Rutto amechelewa badala ya kuzima moto wa Gen-Z wakati ule kabla haujawaka yeye akatoa vitisho na kulazimisha bajeti yake ipite bila hata kuilainisha kidogo japo kwa kuahirisha isijadiliwe akidai serikali inaifanyia revisions ili vijana wajione wanasikilizwa..
@MAHAN-SMART3 күн бұрын
Kaka Sky halali ni kaz juu ya kazi t
@fatmaZakiya3 күн бұрын
Ajishughulikie mwenyewe yeye pia ni muuwaji muandaaji wa maandamano akwende hukoo!!
@user-nk4oq4ek9y3 күн бұрын
We kuwa kishipa tu lkn chako kikomotoni ww ruto
@kibasamohamedi80293 күн бұрын
Huyo ruto mjinga sana
@albertmbise26703 күн бұрын
Uyu Ruto kiburi imemjaa maana naona kama ndyo anatia petrol
@zenajustus57313 күн бұрын
Uki isolate crime Anza na ufisadi ndani ya serikali umevunja record
@krisantmwaipungu14343 күн бұрын
You out of your mind. Leave the office, no longer president of Kenya
@MohammedRuto2 күн бұрын
Unawaita wahalifu wewe utaituaje?
@kidyybravo52673 күн бұрын
Zakayo na iyo kiburi yako usitutishe moron
@elijahm.muthini3 күн бұрын
Huyu ni mtu mgonjwa
@halimasawa6113 күн бұрын
Yuafikiria kenya n yake Ama babake😅😅😅 sis tuko tayr ruto unajifnya kiburi sio
@user-kh7bc4js1m3 күн бұрын
Anamkemea nani huyu zakayo
@kennedynjuguna38063 күн бұрын
At whatever coast....ni sawa Mr president bt jua history re-write itself.
@sultanaswaleh78133 күн бұрын
Tuna mis aur beloved president UHURU MWIGAI KENYATTA . KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 TUMEKUA MAYATIMA😭😭😭😭
@aminakasim11983 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢 subhanallah subhanallah which president of this he don't care about poor people of Kenya, stupid ruto,
@sultanaswaleh78133 күн бұрын
@@aminakasim1198 Ana kiburi sana !.Jeuri ! Roho mbayaa ! . Lakini....... WACHATU !. You keep and woching !
@aminakasim11983 күн бұрын
@@sultanaswaleh7813 my God protect our sister and brother Kenya people, because is not good President to talk like that ya Allah ya Allah ya Allah,
@aminakasim11983 күн бұрын
@@sultanaswaleh7813 ya Allah ya Allah protect Kenya
@sultanaswaleh78133 күн бұрын
@@aminakasim1198 AMEEEN ! 🙏🙏🙏MY LOVELY SIZ .EVEN IF I DON'T NO YOU. BUT . I LOVE YOU 🫶
@joshuamweta55503 күн бұрын
This is not Gud speach why ruto people imeingia hadi bungeni zen unasema they are climinal?
@mememmeme79393 күн бұрын
Ruto must goooooo
@hasani5653 күн бұрын
Hawa watu wanachaguliwaga na nani ndio hawa wezi wa kura
@williammbuzimai57442 күн бұрын
Inchi jirani na Kenya amkeni,, Hii ROHO inaambukiza taratibu,, Viongozi tawaleni kwa matakwa ya wanainchi
@user-ku1rg7mr3i3 күн бұрын
Naona urusi wanacheka tyuh
@willymauki74263 күн бұрын
Kabla ya kupeleka polisi wa kuleta Amani Haiti angeanza Amani nyumban
@ThomasLucas-rh7wf3 күн бұрын
Ruto wewe huna busara tatizo lako na wezako wote hasira haizuii kitu kaka
@DAVIDMMASSY2 күн бұрын
I think someone is shaking the jar from outside
@michaelMuiru-iq4ke2 күн бұрын
Ruto must go
@user-ic1fs9bf1v2 күн бұрын
Commanding lounguage Not Aproching sound 😂😂😂
@judywaciuri3 күн бұрын
Ruto must go with emediate effect
@musalumbi84902 күн бұрын
SNS, mimi kama Mkenya nasema kwa kinywa kipana: waandamanaji waliandamana kote nchini hasa katika kaunti mbalimbali kama vile Mombasa, Nairobi, Bungoma, Kilifi, Kwale, Lamu, Kisumu; kote nchini. Mnadhani waandamanaji wote hao walikuwa wahalifu? Isitoshe, ghadhabu yetu ilizidi pale maafisa wa polisi walipoanza kutuua kwa kutupiga risasi...
@DennoDenno-ws8mj3 күн бұрын
Kenya tunaumia sana sana
@williammbuzimai57442 күн бұрын
Akina William hatunaga mbambamba,, Nikuweka sawa na moyo wangu❤ Umedanganywa na wamagharibi!?!?!
@saleheabdallah54613 күн бұрын
Hyo nchi ni ya wananchi na sio ya kwako
@henrylugendo2803 күн бұрын
Ruto pole sana
@mercyserem18213 күн бұрын
Yeye mwenyewe lijimwizi likubwa.
@marymutai14403 күн бұрын
This is more than financial bill
@marykiarie66583 күн бұрын
Isili imkuwa ya wasomalia ruto akiwa wapi na mnasema mko na president badala ya ifunguwe ni president wa somali anakuja kuifunguwa kube kenya imsaa usa😭😭
@IRENEIRENE8713 күн бұрын
Uyu sio binafamu jamani aki hana hata hofu
@KarisaJomba2 күн бұрын
Usitishie watu hatuachi kufanya maandamano mpaka uache kupandisha maisha
@zaumukasiayaamisi43923 күн бұрын
Hata heri mlevi wetu mara mia,huyu n mwizi kabisa,
@hasani5653 күн бұрын
Huyu ruto ni nyoka ... Africa haito kuwa na amani Tena mmesha iba sana hawa wezi wote watolewe .
@LukasKipkorir-ug7neКүн бұрын
😮ruto mwana wa shakahola
@evansogutu41673 күн бұрын
Please snS better muweke cartoon thn this speech
@ndukulusudikucho_3 күн бұрын
Safi saana Mzee Ruto, pakichafuka huko huwa wanakimbilia huku TZ , tatizo mambo haya huwa hayaishii huko tu huwa yanasambaa, kama mnamuona Ruto dictator hamieni North Korea mkaone
@MsAggie53 күн бұрын
😂😂
@ELEVATOR_TO_JANNAH3 күн бұрын
Wacha ujinga NORTH KOREA HAMNA DICTATOR...UNAANGALIA SANA CNN NA MEDIA ZA AMERICA..KIOGNZI YOTE ASIYEFWATA AMERICS WANAMWITA DICTATOR..
@husseinmassawa71863 күн бұрын
Nahisi Zile stori za north korea ni za kutengenezewa, wananchi wake wanampenda kiduku wao mpaka wanalia😂
@ELEVATOR_TO_JANNAH3 күн бұрын
@@husseinmassawa7186 usipofwata misingu ya America wanakuita dictator..gadaffi wlaimeita hvo..sadam putin...kim jong wao kla mtu ni dictator
@annekage27333 күн бұрын
Ruto stop threating the gen z they will put you down dont joke with this generation they will.come for you to state house step down step down zakayo
@user-rx9vl2tu6z3 күн бұрын
How dare he call us criminals and call those rogues in parliament innocent Kenyans.
@amournassorsaid76943 күн бұрын
Mkimbizeni marekani au Ukraine uko akotolee hutuba yke huko hatutaki vibaraka wamashoga na utawala wa shetani unaokandamiza watu katika umasikini hapa africa