SISHKIKI AWEKA WAZI MAHARI YAKE NI TRILLIONI 5 "NJOO VIZURI HATAKAMA UNAPESA"

  Рет қаралды 10,837

Wasafi Media

Wasafi Media

11 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 69
@user-ib3sl7wg5u
@user-ib3sl7wg5u 21 сағат бұрын
Hizi media mbona zinapenda sana kuhoji wagonjwa wa akili ?
@shamimyusuf9763
@shamimyusuf9763 12 сағат бұрын
Nina maoni kabla watu hawajatoa kwenye media wakapimwe kwanza akili maana huu ni upotoshaji wa jamii kuhoji watu wenye changamoto ya afya ya akili
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 21 сағат бұрын
Mimi Kwa mwezi natumia milioni 50
@AfricaQueen
@AfricaQueen 19 сағат бұрын
Huyu mshamba wa maisha tangu kuingia mjini anajipigia debe sura yake akatengeneze kwanza sura mbaya😏😏
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 21 сағат бұрын
Ajipangee huyo dd ataishia kudanga tu na ndoa hatapata na akipata hachukuiii mda atachik
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 19 сағат бұрын
😂😂😂hayo mataya ndo unajiona malaika😂😂una mataya km bundi😂😂😂uzuri hana picha za iPhone sizikudanganye😂😂....sishkiki utashikika tu😂😂afew moments later unaolewa na mganga wa kienyeji half siri siri 😂😂😂
@l.marley_2542
@l.marley_2542 19 сағат бұрын
Wasafi wako busy na kuingiza wapuzi wenzao mjini
@trecygohy7847
@trecygohy7847 19 сағат бұрын
Niliosoma comments nyingi naona mnamkandamiza dada wa watu.iko hivi kila mtu hajalishi wa kike au kiume kwenye mahusiano yoyote atavaa kiatu kutokana na size ya mguu wake. Kama wewe n mwanaume mwenye kipato cha chini dont expect utakuja ku-date na mtu kama huyu mdada, wolper, Zuchu n.k high value women its better utafute kiatu chako kinacho kukutosha coz utakuja kuumia na usiseme n malaya au wanapenda pesa. Tafuta size ya kiatu chako kwa wale men wanaongea upuuzi juu ya hawa wanawake
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 21 сағат бұрын
Anakunya au hanyi kama hanyi nipo Tyr kulipa😂😂
@elvismabena7630
@elvismabena7630 21 сағат бұрын
Waandishi wa sasa NI wapuuzi sanaaa kuna mambo ya muhimu Sana ya kulipoti wanakuja kulete ungese huu pumbavuu sanaa
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 21 сағат бұрын
Muombe mungu akujalie uzima akuepushe na mitihan ya dunia hayo mengine ni ziada
@MauBonde
@MauBonde 21 сағат бұрын
Mama mia ndio mana wanawake kama hao hawawezi kukaa na mwanaume muda mrefu ,akivua nywele kwenye upande wa mahaba kama alipendewa nywele na kucha ,ndio nimeelewa mahusiano hayadumu kwa sababu ya ujinga kama huu huku ulaya ataishia kudanga mbele.,apate mwanaume anayependa huo ujinga kuna wakati vichwa vinanuka madawa mpaka vinatoa mzuka...😂😂ujinga
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 21 сағат бұрын
Mchaga shat yako zur
@deega1234
@deega1234 21 сағат бұрын
kiki kwa kweli.
@user-cf3lt8ji4j
@user-cf3lt8ji4j 21 сағат бұрын
Maaaaaaanina wagonjwa wa akili wameongezeka sana doooh
@alonchobasamiye6844
@alonchobasamiye6844 21 сағат бұрын
kwani huyo dada ni nani ni msanii au ni nani?😊
@saadabakar7750
@saadabakar7750 21 сағат бұрын
Mmmmmmh asubiri babu wa mama yake afufuke ndio atatolewa hayo mahari 😂😂
@LucasMagukuru-hc9kr
@LucasMagukuru-hc9kr 21 сағат бұрын
Me, wondering fro from Kuma moto in Japan
@vanessarichard4468
@vanessarichard4468 14 сағат бұрын
Nice
@MarckyCholla
@MarckyCholla 19 сағат бұрын
Wabongo kwa mitandaoni mhhh mungu atusamehe cz tutafika mbinguni tumechoka mno😅
🔴#LIVE:SISHKIKI ON THE SWITCH  NDANI YA WASAFI FM 02-07-2024
42:54
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 6 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 51 МЛН
SISHIKIKI "NAPENDA WANAUME WAZEE KUANZIA MIAKA 50, VIJANA SIWATAKI"
13:14
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 257 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 7
28:22
ZamaradiTV
Рет қаралды 10 М.
TX DULLA AMUOKOA TENA NDARO
9:00
BONGO SINEMAX
Рет қаралды 28 М.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 6 МЛН