TAARIFA YA KUSAGA TV KUHUSU UHALIFU DARAJA MBILI NA WATOTO KUBAKWA YAMPELEKA MAKONDA KUFIKA MTAANI

  Рет қаралды 12,919

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 31
@victorelisamia1409
@victorelisamia1409 Ай бұрын
Bora Mh shimiwa makonda akimaliza Dr samia uingie ata ww Mungu akulinde❤
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Ай бұрын
kazi rahisi hiyo makonda ongea na mkuu wa upelelezi mruhusu afanye maamuzi magumu kidogo utaona hapo panatulia tuli
@spendjulius-qz9mt
@spendjulius-qz9mt Ай бұрын
THANKS MR. PRESIDENT WAPE TAARIFA MAPEMA,.,. MOTO UMEANZA KUKOLEA 😊🦾
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Makonda cjui kama anapumzika huyu baba M/mungu atakulipa sisi hatuna chakukulipa.
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Nampenda makonda halali ofisini
@fridamossony2821
@fridamossony2821 Ай бұрын
Daraja mbili Kuna ujambazi kwa kuwa wanalindwa na Mojaaa. Mojaa akiwekwa rumande mtaa utatulia
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
😢 aisee
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Wamasai wa 2 na watu wa 2😂😂😂
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Viongozi wa vijiji wa hovyo sana uyo mzee atakuwa anawatetea Mh.fika mwenyewe uko
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Huyu Mzee ningekuwa nae karibu nampiga ngumi ya mgongo anatetea ujinga gani watu wanaibiwa hadi mchana kweupe
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
huyu mzee anawatetea vijana wakabaji
@mohddelo
@mohddelo Ай бұрын
Arusha lazima inyooke
@MwajumaAbdallah-yj9nk
@MwajumaAbdallah-yj9nk Ай бұрын
Waache uongo daraja mbili wizi umeshamiri
@TasteVoyage44
@TasteVoyage44 Ай бұрын
Wakati umefika maeneo ya daraja mbili, sinoni, themi yafungwe cctv camera kwa usalama zaidi
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Cctv camera haito sahidia, zitaibwa pia, dawa ni kuwamaliza
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 Ай бұрын
Always huwa una mawazo chanya sana, ila kina kitu nahitaji kukuongezea, ishu ya pikipiki ni nzuri ila haitokuwa na mwendelezo hasa wewe utakapohama kwenye huo mkoa, ishu ni hivii kila mtaa unaosadikiwa arusha kuna matukio ya uhalifu nunueni eneo kama serikali weka kituo kidogo cha polisi, kwa mantiki hiyo itaongeza maximum ya ulinzi na usalama changanya na hizo pikipiki, vijizi vya arusha vitahamia mikoa mingine. Coz arusha hawatopata nafasi
@abednego3876
@abednego3876 Ай бұрын
Huo mtaa ni kuuwana tuuuuu, huyo mzee anasema uongo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Duh
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Yaani arusha kuchomana kisu wanaonaga sifa sijui nn Ni nn lkn
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg Ай бұрын
Pole Sana mh makonda
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Arusha ikiwa namba mmoja kwa usalama,inatosha?. Mikoa mingine?
@SelinaChares
@SelinaChares Ай бұрын
Nani kamuona mkuu wa wilaya
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Mtendaji alipewa mshahara
@renatusgasembe3338
@renatusgasembe3338 Ай бұрын
makonda akisema msilaumiane anamaanisha mwenye akili anaelewa
@renatusgasembe3338
@renatusgasembe3338 Ай бұрын
mtapotezwa waalifu wote acheni
@user-ov7fn3yt6j
@user-ov7fn3yt6j Ай бұрын
Jmn waiz Arusha wapo kote km hk Ngusero usiongee kuambiwa tupe mazaga yetu n kawaida
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Mmh Huo mkoa basi shida
@AbdikhaniDiriye
@AbdikhaniDiriye Ай бұрын
Kusaga kama unasomaga comment zangu kuhusu msofe nadhan umeelewa sasa
@marrypius576
@marrypius576 Ай бұрын
Kwan huwa unawaambiaga nin? Tujuze na sisi hapa
@MagrethKessy-fj1ul
@MagrethKessy-fj1ul Ай бұрын
Wacha uwongo matukio daraja mbili mengi sama
@kilonzokallage6159
@kilonzokallage6159 Ай бұрын
Hawa police ukweli ni kwamba wakiitwa kwenye tukio ni wazito sana kutoka kuingia field
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН
"KWELI NIMEUA KIMAKOSA" KIJANA AKIRI MBELE YA RC MAKONDA
8:01
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН