TAFSILI YA NDOTO YA MTO! Ibn sirin

  Рет қаралды 8,900

NGARIBA ONLINE TV

NGARIBA ONLINE TV

10 ай бұрын

video hii inaelezea jinsi ndoto ya Mto au River inavyoleta maana ktk tafsili yake tunatizama mto na maana yake Kwa ujumla ktk ndoto, mto wenye maziwa au milk ktk ndoto, mto wenye usaha na uwozo ktk ndoto, mto wenye maji masafi, kuvuka mto, kuogelea mtoni, kuruka kutoka ukingo mmoja wa mto kwenda ukingo wa pili ktk ndoto na kurukia ktk mkondo wa mto hizi zote tunaangalia hapa ktk video hii ya TAFSILI YA NDOTO YA MTO Endelea!!!...…...............................….….............................................................................................................................................................................................................................................#mafanikio #usingizi #njozi #bongo #dream #nafsi #simulizi #pesa #tafsir #adui #maji #ruvushooting #msimbazi #wami #kijijini #kijichi #luwaha #nile #mtong'ombe #mto_mzinga #kilombero #mto_kagera #mto_mbezi #mtongani #bwawa #riverside #jaanam #jannat #shambadarasa #samaki #mamba #kiboko #2023 #how_to #jinsi_ya #fahamu

Пікірлер: 11
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em 2 ай бұрын
Amen
@user-rt9et7kp3w
@user-rt9et7kp3w 3 ай бұрын
thank
@oman1oman179
@oman1oman179 5 ай бұрын
❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah wabarakatuh mimi nimeota naenda kuoga kwenye mto ni kakuta kuna wanawume wanaoga kwenye ule mto ikabidi na mimi niingie nikoge lakini ni kaogea pembeni badae akata mwanamke kutaka kunisukuma kwa wale wanawume badae ni kafika na pigana nae ni kamshinda badae akafika anatoka mimi ni kabagi nakoga sijui inatafsiri nini
@DeborahMatiko
@DeborahMatiko Күн бұрын
Mimi nimeota tuko ndani ya bas natulipokalibia darajan tukakuta maji yamejaa tukarudi rivasi baada ya robo saa tukaondoka tukakuta maji nimengi ila hapiti juu tukafos tuka vuka naomba kujua maana hiyo ndoto
@gracemathias-ub1dj
@gracemathias-ub1dj 6 ай бұрын
Nimeota Niko napaa ola Niko kati kati ya mto na nikauvuka
@user-bi4sf4uy9l
@user-bi4sf4uy9l 5 ай бұрын
Assalam alaikum ustadh km umeomba mungu akujaalie mwisho mwema na kukujalia utamke shaada iwe maneno yako ya mwisho af ukae mda mrefu unakufa na umejaaliwa kutamka shaada af uamke inaamanisha nn hiyo naomba unijibu tafadhali juu hiyo ndoto imenitokea na nilikuwa au napenda kuomba ivo hadi ss.
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 3 ай бұрын
Alaikum Salam jee ukiota unasafisha mto
@mkaminyintange3602
@mkaminyintange3602 8 ай бұрын
Naukiona mto umetulia ukiwa unamaji Safi nahaya tembei yametulia Nini maana yake
@danielotaru2752
@danielotaru2752 8 ай бұрын
Niliota nakimbizwa na watu hatari nikifika pahali kuna mto unafuriko alaf kuna daraja jembamba mno nimebebe mtoto ila nikauvuka ule mto na wale maadui wakaogopa kuvuka ad sasa cjui maana yake
@MwajumaZuu-lc1lo
@MwajumaZuu-lc1lo 8 ай бұрын
Naukiota mto ndani yake unanyoka wa mabaka mabaka je nn langi yake
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 8 ай бұрын
Hiyo inakuwa tafsili ya nyoka wa majini, Pitia video yangu ya tafsili ya ndoto ya nyoka utapata jibu kiulefu zaidi ahsante
TAFSILI YA NDOTO ZA VIATU NA MLIMA Ibn sirin
7:04
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 3,8 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
TAFSILI YA NDOTO YA MWIZI Ibn sirin
5:12
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 3,8 М.
TAFSILI YA NDOTO YA MIMBA NA KUZAA Ibn sirin
5:13
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 9 М.
TAFSILI YA NDOTO YA MBWA!! Ibn sirin
6:04
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 686
MAANA YA NDOTO YA MENO!! Ibn sirin
13:13
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 325
TAFSILI YA NDOTO YA SAFARI
4:10
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 864
TAFSILI YA NDOTO YA MVUA!! Ibn sirin
7:56
NGARIBA ONLINE TV
Рет қаралды 351
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН