Taarifa ya kitambo sana kipindi kile Cha hanang. Kule kigoma
@abuuramadhan809314 күн бұрын
Yan Bashungwa hana wizara hata moja amabayo ameiweza yan nmizigo kwa nchi
@kiliantereba650214 күн бұрын
Tunataka na bandari kavu aliyoanzisha JPM imaliziwe, mbona mmeitelekeza. Hizo barabara zenyewe zitawaumbua mwaka wa uchaguzi
@mohamednyenyema99714 күн бұрын
Kigambon muda si mrefu tutakua hatuvuki na vyombo mpaka sasa kivuko kimoja tu
@abuuramadhan809314 күн бұрын
Huyu bashungwa ni mzigo san sijui kwann mama hataki kumtumbua
@mataypanga526214 күн бұрын
Waziri umeelezea vizuri ila kutaja ilani ya ccm na rais ndio
@majaliwabwitonde690014 күн бұрын
Huyu Regional manager anaharibu sura ya mji kwa kujenga barabara za Kigoma, hasa zinazoingia mjini bila umahiri. Barabara njia mbili, moja iko juu nyingine chini, kwa nini
@kiliantereba650214 күн бұрын
Hizo barabara mnatudanganya. Hamuwasimamii wajenzi, wanatujengea vitu fake halafu mnalindana eti siyo upigaji. Ni upigaji tu.