TANGU NINGALI MIMBA - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.

  Рет қаралды 126,235

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

2 жыл бұрын

Tangu Ningali Mimba ni wimbo mmojawapo katika mlolongo wa nyimbo 10 zinazounda albamu toleo la kwanza la Kwaya yetu inayoitwa Tumwimbie Mungu. Maudhui yake kwa ujumla yamelenga kumshukuru Mungu kwa kutupatia karama mbalimbali kwa utashi na mapenzi yake kwetu sisi wanadamu na akilifanya hilo tangu hata hatujazaliwa. Vilevile kumuomba Mungu basi atanglizane nasi na kutuongoza vema kuziishi na kuzifanyia kazi karama alizoweka ndani yetu tangu tukiwa tumboni mwa mama zetu.
Umeimbwa vema na Kwaya ya Mt.John Bosco maarufu kama Kwaya ya Vijana kutoka katika Kigango cha Mkwajuni, Parokia ya MWAMBANI, Jimbo Kuu la Mbeya, makao makuu ya Kwaya yakiwa ni katika mji wa Mkwajuni wilayani Songwe katika Mkoa wa Songwe.
Wimbo huu umetungwa na Mtunzi ambaye Bwana wetu alishampenda na kumwinua kwake Marehemu Joackim Jerome. (Mungu ampe pumziko la milele)
Mpiga Kinanda: CY. Luseba (0762265245)
Audio & Video imefanywa na Tanganyika Production kutoka Dodoma (0762380376, 0765449914)
Step Master: Joseph Zungumaji (0757761764)
Tufikie sisi kupitia
KZfaq: Kwaya ya Mt. John Bosco, Mkwajuni, Mwambani
Facebook : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Instagram: kwaya_mtjohnboscomkwajuni
Audiomack : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Email: kwayayamtjohnboscomkwajuni@gmail.com
Kwa mahitaji ya DVD au Flash za albamu hii wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:
0742 619 354 - Katibu wa Kwaya
0756 529 232 - Paroko,Parokia ya Mwambani
0786 741 581 - M/kiti wa Kwaya
0768 886 884 - M/kiti wa Kamati ya recording/shooting
Karibu sana

Пікірлер: 53
@norbertakayombo4086
@norbertakayombo4086 17 күн бұрын
Hongera sana wimbo unanibariki sana Asanteni Mungu awabariki sana 🙏
@user-xh8ib9mm5j
@user-xh8ib9mm5j 8 ай бұрын
Awabarik sanaa Tena sana
@Alex-kp7bz
@Alex-kp7bz 9 ай бұрын
Wow good song,go on with good work
@emanuelsingamb2856
@emanuelsingamb2856 10 ай бұрын
Hongeren sana wimbo mzuri sana wapendwa mnanikumbusha mbali sana miaka ya 2015 tukio la upadrisho parokia ya lupa
@user-dm3eh3tg9q
@user-dm3eh3tg9q Жыл бұрын
Jamani ombeni iwe Parokia.Mana inaonekana ukristo ni mkubwa na mzuri.Hongereni sana.
@SketKellyAsking
@SketKellyAsking Жыл бұрын
Hongera Na kazinjema
@agripinamgema3656
@agripinamgema3656 4 ай бұрын
Barikiwa sana watumishi wa MUNGU kwa uimbaji mzuri wana wa Mkwajun mwambani mwasalipa ❤
@Ndacyayisababaptiste
@Ndacyayisababaptiste 23 күн бұрын
Safi sana
@user-kp3mq9zf1o
@user-kp3mq9zf1o 5 ай бұрын
Bonge la wimbo! Hongereni sana waimbaji
@alvincharles427
@alvincharles427 2 жыл бұрын
Wooooooo woooooow
@JulianaKafula
@JulianaKafula 3 ай бұрын
Nawapenda nisikiapo mwimbo huu hunigusa sana Moyo wangu
@robertwanjiru8025
@robertwanjiru8025 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤nice song
@eneajoshua3165
@eneajoshua3165 2 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa
@vincentcasmirimillanzi3940
@vincentcasmirimillanzi3940 2 жыл бұрын
Mwenye copy ya wimbo tafadhali naomba,
@protasmagingo7448
@protasmagingo7448 Жыл бұрын
Good John bosco
@hamismhina5000
@hamismhina5000 2 жыл бұрын
hongereni sana
@geofreyjosephat8031
@geofreyjosephat8031 Ай бұрын
Huu wimbo umenibariki sana siachi kuusikiliza
@Kingdon-q
@Kingdon-q 2 жыл бұрын
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
@gaspermarunda9817
@gaspermarunda9817 2 жыл бұрын
Kwa kweli na wa penda bure ndugu zangu wa Mkwajuni Songwe Parokia ya Mwambani.
@Kingdon-q
@Kingdon-q 2 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
@jeanbizimungu7739
@jeanbizimungu7739 Жыл бұрын
Nawa penda sana
@ChristianSigonda-zp6mb
@ChristianSigonda-zp6mb 11 ай бұрын
Nakupenda sana huu wimbo,mungu awabarik sana
@rehemacharles6901
@rehemacharles6901 Жыл бұрын
Mpo vizuri sana ktk kazi ya Mungu. Kila la kheri wapendwa
@damianjm6544
@damianjm6544 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana...hongereni mno
@nicolausthobias8526
@nicolausthobias8526 Жыл бұрын
Amina Mwenyezi Mungu awabariki kwa kazi nzuri.
@joliea2956
@joliea2956 Жыл бұрын
Ujumbe mwema
@paschaledward4681
@paschaledward4681 6 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri mungu awatiye nguvu
@salomemlingano6604
@salomemlingano6604 Жыл бұрын
Jamanii huu wimbo ni mzuri sana
@Kingdon-q
@Kingdon-q 2 жыл бұрын
Asamteni sana watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iyi nzuri mulio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajilia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
@amonjames3878
@amonjames3878 2 жыл бұрын
Mwasalipa wanitu
@CedrickMilambomawese-lj5ws
@CedrickMilambomawese-lj5ws 10 ай бұрын
Mungu awa hawariki sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mercy8623
@mercy8623 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri huu
@cathywalwit5437
@cathywalwit5437 2 жыл бұрын
Hakika Matendo ya Mungu ni Makuu mbarikiwe sana kwa utume uliotukuka hongereni kwa kumtukuza Mungu bila kujibakiza mzidi kusonga mbele mdumishe Ushirikiano na Mungu atazidi kuwainua
@luciamuola4034
@luciamuola4034 2 жыл бұрын
My people are here again! Congrats.
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kuinjilisha. Mungu awatunze.
@rehemabanga4917
@rehemabanga4917 Жыл бұрын
Mmependeza
@florianmangasini1269
@florianmangasini1269 2 жыл бұрын
Utume mwema raha duniani hadi mbinguni. Mungu awabariki sana kwa utume wenu.
@hawaferdinand7677
@hawaferdinand7677 2 жыл бұрын
Nice
@elizabethmwambai480
@elizabethmwambai480 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@johnmwalingo5218
@johnmwalingo5218 2 жыл бұрын
Asante sana kwa uinjirishaji uliotukuka!
@maximilianmabagala3850
@maximilianmabagala3850 2 жыл бұрын
Mnatuinjilisha vizuri sana. Hongereni. Mwenyezi Mungu awabariki sanaaaaa
@YudithaRichardMwashambwa-ej4wu
@YudithaRichardMwashambwa-ej4wu Жыл бұрын
Mwanifurahisha sana katika uinjilishaji wenu wa uimbaji, hongereni endeleeni kuchochea karama zenu.
@rachelmichael1202
@rachelmichael1202 2 жыл бұрын
Hongereni sana vijana wenzetu
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru Sana... Injili na iendelee!
@retisiakusekwa7190
@retisiakusekwa7190 2 жыл бұрын
Msifuni yesu kristu to get the key from the ulesemu
@reginamanyasi2329
@reginamanyasi2329 2 жыл бұрын
Pongezi xn kwenu wapedw god blesses.
@trisyjonz4799
@trisyjonz4799 2 жыл бұрын
Hongereni Sana kwaya Ya mtakatifu John Bosco Mungu awabariki San Regards from Uganda 🇺🇬
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Shukrani sana Wana U👏👏
@emanuelsingamb2856
@emanuelsingamb2856 10 ай бұрын
Hongeren sana iv mtunzi ni Nan?
@magrethmpandashalo4607
@magrethmpandashalo4607 2 жыл бұрын
Jaman jaman Hadi raha mko vizuri Mkwajuni Songwe Parokia ya Mwambani Wille, Da Pendo,Aunt Cotida na wengine mmependeza sana Mungu awabariki
@raphaellungamila8419
@raphaellungamila8419 2 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa nyimbo zenu nzuri hakika kazi yenu nimeipenda
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Ahsante sana...
@EdinaTimbula-mc3ki
@EdinaTimbula-mc3ki Жыл бұрын
Asalipa mwanitu tuko pamoja
MAPENZI YAKO YATIMIZWE  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
6:31
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 60 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 4,9 МЛН
Wifi - KWAYA YA Mt. John Bosco(Official Music Video)
6:52
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 21 М.
GUSANENI MAJERAHA By Quadri-V (Official Video-HD)
5:42
Bernard Mukasa
Рет қаралды 744 М.
UJASIRI WANGU NI YESU-Featuring Kameja Lawrence
5:24
Betty Okere Music
Рет қаралды 22 М.
MAKUBURI 25 - by UKWAKATA MAKUBURI (Official video)
10:10
Divine Studios
Рет қаралды 30 М.
MBINGU ZILIFANYIKA_Kwaya ya Mt.Agustino_Manundu Korogwe
4:55
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,2 МЛН
Roho ndiyo itiayo uzima-Charles Rudibuka ( Official music video) - KWAYA YA MT JOHN BOSCO, MKWAJUNI.
6:18
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 1,4 М.
Anastacia Muema- Wewe ni Wangu (Official Video)
5:57
Anastacia Muema
Рет қаралды 1,7 МЛН
Holy Trinity Studio - Nalikuwa Nimelala ( Official Music Video )
9:03
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1,1 МЛН
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 5 МЛН
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,3 МЛН
Duman - Баяғыдай
3:24
Duman Marat
Рет қаралды 176 М.
Sardor Tairov - Sen meni yeding (Official Music Video)
5:02
Sardor Tairov Official
Рет қаралды 2,9 МЛН
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 1,4 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 816 М.