Kutokana na wateja wengi kuwa na maswali kuhusiana na mbegu,bei na namna ya kuzipata
Пікірлер: 22
@TumainiPeter-dg3ynАй бұрын
Dume shilingi ngapi
@PauloChenda2 ай бұрын
Kwan mpo wapi...
@tianarest4 ай бұрын
Hongera sana na ahsante nimefanikiwa na mm kupata mbegu kutoka mulap na iman na mm nitakuwa mzalishaji wa mbegu bora , Mungu akufanye ukawe baraka kwa wafugaji wengine
@jacklinenkane8214 ай бұрын
Wanauzwa bei gani mpendwa?
@tianarest3 ай бұрын
@@jacklinenkane821 inategemea na umri kipenzi
@user-oz9qi4ux6b2 ай бұрын
Habari nikiihitaji napataje mbegu mzuri maana nilitaka nianze ufagaji mm nipo kilimanjaro mnasafirisha mpak uku MTU akihitaji?
@mulapfarm96642 ай бұрын
Tupigie kwa biashara
@TumainiPeter-dg3ynАй бұрын
Kamahawa wa mz 3 shilingi ngapi nakwa kahama beigani