No video

#TBC1

  Рет қаралды 9,712

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakuletea miongoni mwa miradi ya kimkakati ya uwekezaji inayofanyika mkoani Pwani ya kiwanda Kikubwa Afrika Mshariki na kati Cha Sapphire Floats Glass Tanzania Limited.
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK

Пікірлер: 21
@irfansaleh7654
@irfansaleh7654 Жыл бұрын
Naitwa Moshi Mazoea naishi Msasani Moshi Kilimanjaro likini mzaliwa wa Kimanzichana Mkuranga Pwani. Ukitaka kufahamu mambo muhimu ya nchi+ Ulimwengu basi sikiliza TBC na ukitaka ngonjera basi sikiliza TV au redio nyingine. Hongereni Sana TBC.
@allymusira2153
@allymusira2153 Жыл бұрын
Hakika ni chombo chetu
@user-vp6ol3kq6g
@user-vp6ol3kq6g 6 ай бұрын
Hongela sana nchi yangu tanzania
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Жыл бұрын
Mtu anawekeza halafu majitu toka TRA na TBS, OSHA, NEMC , Polisi, Fire na wengine wanapishana kila siku kuchukua rushwa.., kiwanda kisife kweli?
@fauzibinzoo6563
@fauzibinzoo6563 Жыл бұрын
Aisee umenena ni kweli kabisa Tra,tbs na hao OSHA wapo mahususi Kwa ajili ya kuwarundisha watu nyuma hasa Tra na tbs
@allymusira2153
@allymusira2153 Жыл бұрын
Hongera sana mama samia
@binmawanja1252
@binmawanja1252 Жыл бұрын
🎉Utaweza sana kuongea dd ubarikiwe
@nasibumatutera786
@nasibumatutera786 Жыл бұрын
Hongereni sana washirika wote kwa kazi nzuri.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Safi sana samia.
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia Ай бұрын
Kwani uzalishaji umeeshaanza?
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 10 ай бұрын
We Africa countries we need China we support China. China is our saviour. Karibu China Kwan ww huna mambo ya ushoga na usagaji
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 8 ай бұрын
Jichanganye
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 8 ай бұрын
Ivi viwanda wananyonya sana mishahara, ndo maana wafanyakazi wa kibongo ni ngumu sana mtu kujikwamua ktk maisha, yaani unaweza ukafanya kazi miaka hata kumi na usiweze kuwa na mafanikio mazuri, hasa Wachina na Wahindi hawana huruma na wafanyakazi wa KITANZANIA na Afrika
@ismailbughudha474
@ismailbughudha474 Жыл бұрын
🎉
@bentaomari4272
@bentaomari4272 Жыл бұрын
🤜🤛
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Жыл бұрын
Yeah kazi nzuri ila serikali iwe makini wawekezaji wengine SI wazuri wakiharibu kazi tukiwafukuza wanaishia kukamata ndege zetu ili walipwe kwa faida.tuwe makini sana katika msafara wa mamba na kenge wanakuwepo.
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 9 ай бұрын
Tuweke standard ya viwanda..,hào wanaeza jengea hata mabua
@mlionea
@mlionea Жыл бұрын
Chinese. Ai. Sipendelei hata!
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Unaijua china vizuri
@mlionea
@mlionea Жыл бұрын
@@magorymara5515 hawa watanipea tender?
@mr.socialtz5409
@mr.socialtz5409 Жыл бұрын
✨️🇹🇿
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,6 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 85 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
Kiwanda cha Sukari Bagamoyo kuanza uzalishaji mwaka huu
3:47
#TBC1:NYOTA WA WIKI : WAFAHAMU WAKONGWE WA TABORA GIRLS
26:18
TBConline
Рет қаралды 1,1 М.
BAGAMOYO SUGAR; KIWANDA CHENYE TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU ZAIDI TANZANIA
26:39
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН