No video

TFF YATHIBITISHA KUMFUNGIA FEISAL SALUM MIAKA 2 KUKATAA KUVAA MEDALI YA CRDB BANK CUP ZANZIBAR..

  Рет қаралды 48,238

BATTLE TV

BATTLE TV

2 ай бұрын

#BATTLETV

Пікірлер: 145
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 ай бұрын
Kwa kweli fei ajakozea yanga TU bali pamoja na tff
@zakaria924
@zakaria924 2 ай бұрын
TFF haikuundwa ili kudhoofisha vipaji vya WACHEZAJI. Adhabu zisitolewe ili kumkomoa mchezaji, Bali zitolewe ili kumrekebisha,kumuonya, kumuelimisha nk! Tusitumie nafasi zetu TULIZOPEWA kulipiza kisasi "HAPANA" Feudal kata rufaa ngazi INAYOFUATA
@user-wb5bh9hy1l
@user-wb5bh9hy1l 2 ай бұрын
HAO WIVU FITINA ROHO MBAYA KILA SIKU FEI FEI INAONYESHA NI MCHEZAJI MZURI HATA KULE SIMBA MCHEZAJI AKIWA MZURI WANAMUANDAMA MITANDAONI MZEE MZEE SISHANGAI HATA HUYU ANAE HOJIWA SI MNAMUONA FITINA ZAKE ❤MUONGO NA WEWE HUTAKIWI❤❤❤❤❤❤❤❤
@RehemaKomba-pv2le
@RehemaKomba-pv2le 2 ай бұрын
Uelewa mdogo shule ni ya muhimu sana kwa watoto wetu
@user-yn1jb4iu8e
@user-yn1jb4iu8e 2 ай бұрын
Amechanganyikiwa roho inamuuma sana. Kwa YAnga na Bado ataumia sana..
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Mashabiki wa yanga hamuna uelewa mpila ni ajila ndio maana Muna itwa utopolo Muna bifu sana na wacheza wanao ondoka mpila ni biashara pumba zenu
@user-ib3tc4dc4s
@user-ib3tc4dc4s 2 ай бұрын
Yaani mnailaumu yanga hamuoni ka feitoto ndiyo kaanza ugomvi kuwafunga mdomo wanayamga hiyo ni dharau mungu kampong wakakosa ushindi
@PendoKweka-cg8cd
@PendoKweka-cg8cd 2 ай бұрын
Ukweli usemwe. Fei kawadharau wote waliokuwepo uwanjani nawaliokuwa wanatazama mchezo ,wadhamini CRDB ,TFF naviongozi wa kitaifa. Ilikwa dharau mpaka kwa viongozi wake na wachezaji wenzake pia hili linapaswa kutazamwa kwa umakini mzito sana.
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 2 ай бұрын
Kutokuvaa medali ndio afungiwe miaka miwili? Kama mnamchukuia hibi dogo kuleni sumu wapuuzi na wachawi wakubwa ninyi
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 2 ай бұрын
yanga inamchukia fei sana
@NunuKupela
@NunuKupela 2 ай бұрын
C​@@gadisonmichael7805 Kwa hiyo yupo sahihi Kwa alichokifanya???
@user-th9to6yt9y
@user-th9to6yt9y 2 ай бұрын
Anadekezwa
@allychongowe2025
@allychongowe2025 2 ай бұрын
Yanga wanamfuatafuata sana ndio maana akatenda makosa
@EmmaPonera
@EmmaPonera 2 ай бұрын
Sio kwel tatizo alienda na matokeo uwanjani
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 2 ай бұрын
Feisal ajue Yanga ni kundi kubwa hayo masihala aache mara moja aache dharau zake Hana hekima
@charleslinhege690
@charleslinhege690 2 ай бұрын
Wana soka tunaomba mtueleze je Fei Toto kavunja Sheria ama kanuni gani
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 2 ай бұрын
Elimu kwa wattoo ni muhimu angetii kama alkuwa kasoma ,tusomeshe wattoo jamani na Mungu awasaidie ,elimu inaletaga heshma
@NzunzdeSparo
@NzunzdeSparo 2 ай бұрын
Kichwa Cha habari hakiusiani na maneno huu ni ungese
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 2 ай бұрын
Medali ya fei aliehivaa ni raisi wa yanga mana HERSI aliendakuvaa medali kamanani? Mana medali ni zawachezaji na benche la ufundi sasa HERSI aliendakuvaa kamanani? Nayeye achukuliwe atuwagani?
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 2 ай бұрын
Kucheza nje ya nchi kwanza wanaangalia nidhamu .Huwezi kucheza ligi za ulaya kwa ujinga huu...
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 2 ай бұрын
Upo SAHIHI bro
@HalimaOmary-dn4hs
@HalimaOmary-dn4hs 2 ай бұрын
Zarau mulinza kwake aliwaheshim lkn mukamuona fara ss anajb kwa vtendo hakuna kulalamika uto nyny munaroho mby hii inaitwa kila mtu apray part yake ss mbona mapovu yanawatoka shenz mukiachw muachike azekee hapo kwan team yafamilia yake hio mtu munamlipa ml 5 kwann acfuate ml 15 nyumba na gar
@EmmaPonera
@EmmaPonera 2 ай бұрын
Sasa ataumia akitaka kishindana na yanga ,yy aangalie mafanikio yake na sio watu wanasema nn
@ernestkilua2863
@ernestkilua2863 2 ай бұрын
Mbona yanga mnamsakama feitoto na hayo nimaneno ya kichochez juu ya fei achen izo
@manenomalamba8147
@manenomalamba8147 2 ай бұрын
Hana adabu Kwan akikaa kimya mashabik watamwandama
@Zinp-nq1gu
@Zinp-nq1gu 2 ай бұрын
Afungiwe tu Lucy kutoka oman
@joakimjoakimpeterjoakim
@joakimjoakimpeterjoakim 2 ай бұрын
Lucy mamb
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 ай бұрын
Kwa hili Kila mtu anajua kabisa Fei alifanya kosa,ila kwa sababu baazi ya watu wataongea kiushabiki.Hata kama angekuwa anawatendea wanasimba,wanayanga wangemtetea Fei,ila Fei anaonyesha dharau sana.
@saidothman4527
@saidothman4527 2 ай бұрын
Fitna za kibongo na ujinga uliotutawala což hata akiacha mpira kipato chake hutokipata ww akicheza pia hutopata chochote kutoka kwake ni ujinga tuuu yaani mtu hulipi sh 100 kumchangia.
@saidothman4527
@saidothman4527 2 ай бұрын
Yaani mtu kama huyu hata umsaidie kesho atakusaliti apo ukimsachi hana hata Mia pumbavu ww
@ernestkilua2863
@ernestkilua2863 2 ай бұрын
Fei alifanya kaz kubwa kwa mshahara mdogo paleyanga kinawauma kuona anapigaela azam
@mubaraalichiku6089
@mubaraalichiku6089 2 ай бұрын
Faisal Hana Adabu kamvumjia heshima mpaka Naibu Waziri, Rais wa TFF na Watanzania wote kwa ujumla. Muhimu achunge mkundu wake kuma huyo
@H3s4d
@H3s4d 2 ай бұрын
Hana washauri wazuri
@EmmaPonera
@EmmaPonera 2 ай бұрын
Kabisaa
@saidothman4527
@saidothman4527 2 ай бұрын
Tafuta ela ww acha ujinga, sasa kama ww umeweza kumzomea yy lipi baya alilolifanya
@rafikkarimomar8202
@rafikkarimomar8202 2 ай бұрын
Feisali ana dharau sana
@lucaskasonde4558
@lucaskasonde4558 2 ай бұрын
Yanga mmezidi kila siku fei fei 😂😂😂😂 tulieni dozi iwaingie
@martinusdamian3085
@martinusdamian3085 2 ай бұрын
Dozi gani ww dunduka
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Yule mtoto sio riziki mtoto akili Hana ,wewe fei kama ni mchezaji mwenye maono utasajiriwa na timu gani inayopenda tabia kama hiyo we mjinga sana hata kama unaichukia yanga unajisumbua,yanga itaendelea kuwepo,na fei siku Moja mpira utaacha kuwa na akili
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 2 ай бұрын
Achunguzwe. Huenda anatatizo la kimalezi ya msingi.TFF wachukue hatua kali ili jambo hili lisijerudiwa na wachezaji wengine kwenye living yete. TFF water tamko zito dhidi ya tabia mbaya kama hii? Kadhalika AZAM Watoe onto kali kwake.
@williamikolongo
@williamikolongo 2 ай бұрын
fei huyo n ulmbukeni unamxumbua Hana hakl huyo
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 ай бұрын
Mpila wa miguu siku zote nizam usipo kua na nizam unapotea mapema na ata mafanikio uwezi vilabu vyote duniani mchezaji kama mchezaji awezi kuizulu crbu na kuxhindana nayo kwaiyo yule dogo anajipa raana mwenyewe😁😁 yanga bingwa😂
@waziriwaziri8271
@waziriwaziri8271 2 ай бұрын
Fei toto yupo sahihi hawa mautopolo wanamuandama sana na mipasho yao wao alitaka apoke million nnenanusu wao walitaka fei aikatae milion kuminasita a
@zuhuraomar8849
@zuhuraomar8849 2 ай бұрын
Mulisema zamani afungiwe miaka 2 lakini mungu haja simama na nyie
@user-tt8ew7tf8e
@user-tt8ew7tf8e 2 ай бұрын
Yanga timu ndogo sana, uelewa wake kisoka bado mdogo sana, inamaana mchezaji akienda kucheza timu nyingine ni kosa, mi ninatimu lakini mchezaji akitaka kuondoka hakuna haja ya kumzodoa, ili nalo
@abdonesrom5009
@abdonesrom5009 2 ай бұрын
Kikubwa nikumuelekeza fei make yamkin hajui alitendalo huyo lakn kuacha unafiki anaweza sana but utoto mwingiii abadilikee
@MbwanaHusseni
@MbwanaHusseni 2 ай бұрын
Feitt bado haja kua mwanasoka sahihi sasa hiyo alio igomea ni medali ya yanga ama ya nani Hana nidham kiufup tff ikitoa adhabu ikzie adhabu
@DullyAli-fx8yn
@DullyAli-fx8yn 2 ай бұрын
Kaongea pumba uyo hampendi fei toto
@frankjohn4023
@frankjohn4023 2 ай бұрын
Kwani we'we nani mpaka uwasemee kwanini.mnamchukiya rionekwaza
@NunuKupela
@NunuKupela 2 ай бұрын
Hamna anayechukia matendo yake yatajieleza kwenye jamii
@JumanneraphaeliNgondo
@JumanneraphaeliNgondo 2 ай бұрын
Fehi ule niototo sisi wanayanga hatuna chuki na yeye ivi kati ya mlisho ngasa na feh nani alikua anapendwa sana nyiny wandish ndio mnaposha kwasababu mmemuona hajitambuh furenk domayo aliondoka yanga je yalikuepo hayo
@user-rn5be5fq5i
@user-rn5be5fq5i 2 ай бұрын
Washabiki wa yanga hawajielewi fei hata afanye kizur vp bc hamutompenda ila mungu anamsaidia na atazid kumsaidia
@saidothman4527
@saidothman4527 2 ай бұрын
Ukachukue ww ipo haina mtu nenda tff ukachukue ww
@khalifamachela
@khalifamachela 2 ай бұрын
Mnaumia sana kwa kutokuvaa hayo mabati
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 2 ай бұрын
Huna maana
@musangoboka8364
@musangoboka8364 2 ай бұрын
Bangala katika yanga na alifanya save za maana sana je mmesikia akizomewa na mashabiki? Huyo fei wenu anayatafuta mwenyewe
@JosephNdimbo-ur9kh
@JosephNdimbo-ur9kh 2 ай бұрын
Hamna lolote fei toto yuko sahihi shida yanga wanavisilan
@JumaAlly-dn9yf
@JumaAlly-dn9yf 2 ай бұрын
Jamaa mjomba sana anachokiongea Akihito yaan jamaa mjomba sana Jaman angalieni sana Watu wa Kuwaoji jamani
@user-hn6tz2mx5v
@user-hn6tz2mx5v 2 ай бұрын
Kwa hilo fei nikwer amekosea huwez kususa kuvaa medal . Kwa mfano je nawachazej wenzie nawao wangekataa kuvaa ingekuaje? Kwenye ukweli tuseme
@makamelila
@makamelila 2 ай бұрын
Yani nyinyi watu we jamaa kweli mjinga mfungue wewe bas kama unaona anachelewa kufungiwa hili jambo mnalikuza wachezaji maarufu duniani huwa hawavau medali na hawafungiwi
@allykarupa1411
@allykarupa1411 2 ай бұрын
We we mtangazaji wachamaswali ya kinafiki. Mbona haliposema hanapewa sukari hamkumuoji maswalikahayo.
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Mimi ni mwana Yanga lkn huyu jamaa pumba nyingi kuliko point, sasa kiongozi atakayemruidisha feisal atakosa ksxi kwa sheria ipi? Au unasema hivyo wewe kama nani?
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 2 ай бұрын
Rabda alipatwa na pressure
@user-hi1xu2te2r
@user-hi1xu2te2r 2 ай бұрын
Mutaumia sana t2 kwa fei
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 2 ай бұрын
Utaumia ww FEI ana nn anaumia yy
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 2 ай бұрын
Uyoo fei ni out dide hoall
@jumahamisi2489
@jumahamisi2489 2 ай бұрын
Kweni fei hamjui tabia yake ya kimama mama hata yule ndugu ya anapenda kuongea kimama mama tu
@mudykebeshe
@mudykebeshe 2 ай бұрын
Feisali afungiwe maisha asicheze tena mpira nje na ndani hivi huyu dogo anajionaje kwa mfano
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe.
@ernestkilua2863
@ernestkilua2863 2 ай бұрын
Waanze kufungiwa walio mzomea wakat anaendakupiga penat
@user-tt8ew7tf8e
@user-tt8ew7tf8e 2 ай бұрын
Ongea kama mwanaume, wazanzibar wanamsimamo wao, uciingilie mambo binafsi, ucmchongee mwanaume mwenzio we shangilia mpirs
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 2 ай бұрын
We kilaza huna akili
@marcobulili4341
@marcobulili4341 2 ай бұрын
Fei akili m bovu!! Kazimisha midomo mashabiki wote wakiwemo ndugu zake! Utoto, Hana maana huyo.
@AishaMohamed-xv9wy
@AishaMohamed-xv9wy 2 ай бұрын
hao ndio tabia zao, mlimuanza naye anamaliza, wivu tu huo
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Huyu jamaa, ana point ila hajui kujieleza ..
@H3s4d
@H3s4d 2 ай бұрын
Anasikiliza washabiki anachotakiwa akubali matokeo
@KhadiaAli
@KhadiaAli 2 ай бұрын
Mna roho mbaya nyinyi mashabiki na watu wa yanga
@beatosiakilimar6098
@beatosiakilimar6098 2 ай бұрын
Tatizo la fei malezi mabovu aliyoishi huko nyuma
@MeshackMramba
@MeshackMramba 2 ай бұрын
Huo ni ushamba ata msemaj wao kuwaita mandaz ajakosea
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 2 ай бұрын
Muongo mzanzibar mjinga ndio anaemsimamo kama uwoo
@MezdDimoso
@MezdDimoso 2 ай бұрын
Acheni mizengwe huyu mchezaji mnamsakama sana
@user-cr1ft3xe4h
@user-cr1ft3xe4h 2 ай бұрын
😂😂😂😂fey pore
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Yanga nao ni wagomvi sana wafungiwe kabisaa
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 2 ай бұрын
We nilipumbavu sa yanga anafungiwa lipi we ni zombi kweli
@user-wb8nm1wv7j
@user-wb8nm1wv7j 2 ай бұрын
Utoto unamsumbua ajitahidi sana kupunguza kiburi
@user-mv2xl7xh6v
@user-mv2xl7xh6v 2 ай бұрын
Acheni ushamba nyinyi kuvaa medali
@suafaahsuafaah345
@suafaahsuafaah345 2 ай бұрын
Roho mbaya tuu imewajaa kwa Fei
@KhadiaAli
@KhadiaAli 2 ай бұрын
Kila mkisema mnazidi kumpaisha
@jumabonge8577
@jumabonge8577 2 ай бұрын
kafanya sivyo sw lkn washabiki yanga acheni zarau mmemuacha ss kumzomea ya nn ss
@Silay1034
@Silay1034 2 ай бұрын
Kazomewa ndio lkn baada ya kuleta dharau yeye halfu siku zote huwez ukashindana na mashabiki utaanguka, tu
@Silay1034
@Silay1034 2 ай бұрын
Yeye acheze mpira kwa nidham bila kumwazia mtu yeyote anajua mpira dogo lkn akisema ashindane na mashabik hawezi kamwe
@eliashagai7920
@eliashagai7920 2 ай бұрын
Vyombo vya habari Tz ni zero +zero kichwa habari na anachoongea hata kichaa anaeleweka
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 2 ай бұрын
Hakuondoka vizuri vipi si nyie mlomuwekea vipingqmizi na chuki ahhh mmezidi na nyie
@bakarfoumkhamis6458
@bakarfoumkhamis6458 2 ай бұрын
Kavunja mkata
@MeshackMramba
@MeshackMramba 2 ай бұрын
Acha kuongea kishamba ww nyie mnavyo mzomea uwanjani ni swaaaaa au unaongea tu kwa sababu mungu kakutobo huo mdg
@KhadiaAli
@KhadiaAli 2 ай бұрын
Wewe unaumwa yanga wazazi wake fei we mwehu acha kuongea pumba
@ernestkilua2863
@ernestkilua2863 2 ай бұрын
Tff wspokua makin watamuazibu fei kwachuk za yiongoz namashabik wayanga
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 2 ай бұрын
Kwa nn yanga wanamchukia Fei? Uto fc acheni visirani na fei
@salehehassansalehe8122
@salehehassansalehe8122 2 ай бұрын
Hamna shelia hiyo acheni umbulula
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 2 ай бұрын
Kwa kweli ni utovu wa nidhamu sana hata kama anasemwa na mashabiki wa Yanga ndiyo ipelekee kudharau hivyo mbele ya mawaziri halafu ni nyumbani kwao na Rais wa TFF akiwepo mbaya kuliko kudharau kuvaa medali na wachezaji wenzake nani anampa kichwa hivyo ni aibu sana
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Hata mashabiki wa yanga wafungiwe kabisa ni wagomvi sana kwa wachezaji
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 2 ай бұрын
​@@user-gr9wc7bc2mww ni taahira
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 2 ай бұрын
Mchezaji kuondoka Uto atapata mitihani
@ShauwaliAbdulrazak
@ShauwaliAbdulrazak 2 ай бұрын
Makolo wana wivukwili mtu akiongea kishamba
@HeliDilunga
@HeliDilunga 2 ай бұрын
Fei anamatizo ya akili
@user-hi1xu2te2r
@user-hi1xu2te2r 2 ай бұрын
Medali yake kavae ww ngawa angalia lakwako
@user-dp1td4ij7h
@user-dp1td4ij7h 2 ай бұрын
Achen unafiki nyie mayanga.Mlitaka aombe msamaha wa nini
@masoudrajab3614
@masoudrajab3614 2 ай бұрын
Utopolo ni wapumbavu sana wamuache mtt wa watu apambane na maisha yake
@user-yy8xp8kg7e
@user-yy8xp8kg7e 2 ай бұрын
Sasa yeye sindio kazingua kwani yanga ndio walimwambia asivae medali Acha kufagilia upumbavu ww
@manenomalamba8147
@manenomalamba8147 2 ай бұрын
Huon kuwa n kosa kisheria unatetea upumbavu ila makolo hamna ajili Kila idala
@user-yw3lo2yv6e
@user-yw3lo2yv6e 2 ай бұрын
We ni choko unaongea utumbo
@maxwell8007
@maxwell8007 2 ай бұрын
kiburi na nidhamu mbovuuu
@AdamNgogo-gg3tt
@AdamNgogo-gg3tt 2 ай бұрын
Hakuna mchezaji atakaye sajiliwa afiye club moja, acheni uzuzwa wenu mpira ni ajira acheni kijana wa watu aende kwenye malisho mazuri,tulieni sindano i
@LucasMagukuru-hc9kr
@LucasMagukuru-hc9kr 2 ай бұрын
Unachoxem na kutovaa medali, kuhuxiana na nn
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
msemaji anaongelea utovu was kukataa kuvaa madali jibu hoja usajili was kucheza mechi atakayo nani kasema? mbona alianzia Yanga na sasa yupo Azam?
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi 2 ай бұрын
Wewe. Chawa. Haunalolote. Mmefungwa. Mdomotu. Nafi. Mmeumia. Mpaka. Mavii. Nyokonyii
@marysaimon2213
@marysaimon2213 2 ай бұрын
Naona we ndo umeumia zaidi, si tumefungwa midomo kombe tumechukua, je wewe na huyo fenesi
@PajeCost
@PajeCost 2 ай бұрын
Tatizo la yanga wananongwa sana ilo ndo tatizo
@Silay1034
@Silay1034 2 ай бұрын
Wananongwa, ipi sasa team imechukua kila kitu inanongwa, we huna akili acha za kipumbavu yaan wew nawenzako ndo mnanongwa na Yanga hakuna mtu anaeweza kushindana, na club hata bora kias gn club itabak kuwa, na thaman tu sasa huyo dogo na wenzake mnajitekenya tu 😂😂😂😂😂 Yanga ileee
@Silay1034
@Silay1034 2 ай бұрын
Acha kuchangia wakat wewe si mtu was mpira, crazy foolish man queit
@SuleimanChief
@SuleimanChief 2 ай бұрын
Wewe fala tu
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 2 ай бұрын
Wanafiki ni wengi
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 2 ай бұрын
Acha roho mbaya wewe
@AishaMohamed-xv9wy
@AishaMohamed-xv9wy 2 ай бұрын
maneno yako ni wivu tu
@user-ro8ff3jj3q
@user-ro8ff3jj3q 2 ай бұрын
Acha ujinga huo
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 2 ай бұрын
Na wewe muandishi wacha kuhoji upumbavu wako kamaunampenda uyo fala sophia wako
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Yanga wajinga sana wao mchezaji akihama timu inakuwa ugomvi na mchungaji wakati mwingine hadi rais anaingilia kati wakemewe haraka
@PajeCost
@PajeCost 2 ай бұрын
Wapenzi viongozi wote wa yanga wanaroho mbaya sana na nongwa hawajui kuachika
@HamadNassor-fp6rl
@HamadNassor-fp6rl 2 ай бұрын
Kumbe kuna watu wajinga kweli kupigwa sharap ya mdomo imekuwa kosa.heee wacheni ushamba wa mpira watu ulaya wanafanya ivo vitu.mbona hatusikii izo penyenye.wacheni ufala fei atabakia kuwa fei tuu majibwa nyie
🔴#LIVE: AZAM FC NA APR FC
IZZO MEDIA
Рет қаралды 1 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 14 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 28 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
NI FITINA TU NDIZO AMBAZO ZINAMKWAMISHA FEISAL SALUM PALE AZAM
4:26
DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI
8:32
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 2,8 М.
MBUNGE WAITARA ACHARUKA VIKALI JUU YA GENGE LILITUMIKA KUZOMEA
22:07
Nyamwaga Online TV
Рет қаралды 23 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 14 МЛН