KAKA WA FEITOTO AFICHUA MAZITO KILICHOPELEKEA FEI KUGOMA KUVAA MEDALI MBELE YA YANGA ZANZIBAR......

  Рет қаралды 34,620

BATTLE TV

BATTLE TV

Ай бұрын

#BATTLETV

Пікірлер: 724
@soudomar2591
@soudomar2591 Ай бұрын
Hao ndo washirikina wakubwa always ukimkuta MTU anazungumzia ushirikina basi yeye ni raisi WA huo ushirikina kuhusu suala la ushambs yeye mwenyewe ni mshamba number moja
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Ай бұрын
Fact
@selemonsalvatory4414
@selemonsalvatory4414 Ай бұрын
Sura tuu unaonekana mshamba bado na kwann kichwan mwenu kumejaa ushirikina dunia ya leo
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
afu unajua wee ni mpuuzi yanga ndo walikua wanatoa izo tuzo kagoma na upuuzi wake na kama yey aliingia na matokeo yake uwanjani ajue kila anaeenda pale ahitaji matokeo na unavosema wangemlogea medal ni nani ambae hakuivaa mpaka aje alogwe yy kwasabb ya ujinga na upuuzi wake atabakia kucheza 2 tim za tanzania maana hata mataifa yanayoangalia mechi wanaona ujinga anaokua nao uwanjani na wew unasimama kuongea pumba zako embu 2ondokee nyoko yako fyoko fyoko!
@isackyohana2707
@isackyohana2707 Ай бұрын
Huyu Nani nae!!anaongeaga mazingaombwe!!utoto unawasumbua wote,,,,,mnaanzisha vitu vya hovyo mkijibiwa mnaleta nongwa mtandaoni!
@allykarupa1411
@allykarupa1411 Ай бұрын
Ujielewi
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Ай бұрын
Imani za Ushirika ndio zinazomsumbua huyo mchezaji
@HadiaMussa-kg2vp
@HadiaMussa-kg2vp Ай бұрын
Mm nipo zanzibar ila Hugo Feisal ndje mshirikina mkubwa kwsnn asichekwe
@mariajames5558
@mariajames5558 Ай бұрын
Lazima azomewe .mbona hata yeye aliwanyamazisha Sana mashabiki kwahiyo Jino kwa Jino hata akisusa atajua mwenyewe.
@SalumRwambo
@SalumRwambo Ай бұрын
Huyu jamaa Hana point za kuongea amekuwa kama ana tengeneza mchezo na kutengeneza fitna ukiwa mchezaji majukwaa yanakuhusu kuzomewa kushangiliwa yota yako fei acheze mpira aachane na majukwaa anaishusha heshima yake kwenye majukwaa Kuna Kila aina ya watu mpaka walevi na humo humo wamo wanao kupenda na wasio kupenda navuwiongozi wa yanga haujamtuma mtu azomee fei kafeli kilekitendo kaja kukifanya nyumbani kwao kiasi aone haya kwenda. Jukwaa kubwa
@happysanga6846
@happysanga6846 Ай бұрын
Aziz ki nimchezaji wa yanga anaiheshimu timu yetu tutampenda mpaka bad uyo fei awez kushindana na yanga ataumia tu
@DaudFidel
@DaudFidel Ай бұрын
Ww kenge kweli. Mbn saido anakipiga msimbazi hafatiriwi
@user-ev9ps4vo4p
@user-ev9ps4vo4p Ай бұрын
Pia yanick bangala mbona hasemwi yeye akili Hana akili zake zipo kwenye ushirikina na utamkosti aachane na ushirikina
@user-pm8yw9zu3x
@user-pm8yw9zu3x Ай бұрын
Aibu imewashika familia nzima,mfunze adabu mtoto wenu,hana adabu kuwafanyia watu wazima wafunge midomo mungu kawaumbua,nikajua wew unaakili kumbe sifur tatizo mdogo wako hana elimu
@user-uf9pw8qf8f
@user-uf9pw8qf8f Ай бұрын
Uyo kaka ana akili
@allanmtumbuka3100
@allanmtumbuka3100 Ай бұрын
Hao wamenunuliwa na Adam familia mzima na mtakata ticketing hadi mtakoma
@saidilindukwa
@saidilindukwa Ай бұрын
Na wee mwandishi usiwe mpumbavu unawahoji watu wapumbavu km Hawa Kwa nini sielewi Ni mchambuzi au ni Nani, Na aende huko Simba dadadek aende na wewe pia kasajili Simba,medali unaiita bati, TFF ndio wahusika WA medali Kwa hiyo unawatukana TFF hamna adabu hii familia wallahi
@Sadun01-ev9qc
@Sadun01-ev9qc Ай бұрын
Wewe Kaka mtu mpira huujui. Mnamtegemea Toto tu lakini mjuwe uwezo wa Feisal kila siku unateremka
@subiralema
@subiralema Ай бұрын
Naona familia nzima amfanyi kazi mnategemea faisal 🎉🎉🎉
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
na kweli maana kama uyu nawasiwasi akawa shoga ata mwonekano 2
@IsmailAlly-et5ti
@IsmailAlly-et5ti Ай бұрын
Haswa
@LuckyAden-cd7wo
@LuckyAden-cd7wo Ай бұрын
We ndo nå ndugu yako wote hamnazo mnatanguliza SHIRKI MBELE YA ALLAH hamna IMAAN nawapa Pole kaombeni Twauba nå mapema kwa hiyo dhaana
@user-jf7vx9nb9m
@user-jf7vx9nb9m Ай бұрын
Mm mzanzibar mwenzio ..lkn ww kaka pengine hata rinda nyuma huna uko km msenge....ovyoo mamambo yako huu mpira kaka hauhitaji hasira utakufa bureee...na yanga hawamtaki FEI pia
@awadhally1052
@awadhally1052 Ай бұрын
Hili lita kuwa chokoo
@happysanga6846
@happysanga6846 Ай бұрын
Yanga ni gudude gukubwa Wala alitishwi na mtoto anae Nuka maziwa💚💛
@omardamka9708
@omardamka9708 Ай бұрын
Ni washirikiana hao kuanzia kaka mtu pamoja na mdogo wake inaonyesha huyo mdogo wake ni mshirikina alikuwa na ahadi ya ushirikina na unayeongea nawe ni pumba tu
@marmotteignace7773
@marmotteignace7773 Ай бұрын
Kaka ya Fei apunguze bangi
@EnockSDady
@EnockSDady Ай бұрын
Sasa mpira bila udambwi udambwi utakua na raha mpira utani jambo la kawaida mpira hauhitaji hasira kaka
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 Ай бұрын
FEITOTO: Aache kushinda a na Yanga Kwani Timu ni kubwa kuliko Mchezaji.Asishindane na mashabiki.
@IsmailAlly-et5ti
@IsmailAlly-et5ti Ай бұрын
Haswa
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Mafanikio kwan Fei kayapata akiwa wapi! ni Yanga, kama mashabiki hata mwssi na Ronaldo wanazomewaga, unashindana na mashabiki 😂😂
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Ай бұрын
Mafanikio Kayapata akiwa Azam fc
@consolathamlimi7883
@consolathamlimi7883 Ай бұрын
😅😅😅​@@TwalibuAlbaamiryShoka
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Mafanikio kayapata Azam sio utopolo. Yanga alikuwa analipwa pesa ya soda lakini Azam wanamlipa mshahara mkubwa
@user-gq2dr6sk9z
@user-gq2dr6sk9z Ай бұрын
Familia yao mm kk na mtoto waimba taarabu tu maneno tu Huyo kk n2 ni mjinga ssna mtoto wa kiume haingei ivyo kama mwanammke
@SevelinahKagali
@SevelinahKagali Ай бұрын
Kumbe kweli familia yenu wote ni mazezeta
@ThePlants-zc3rp
@ThePlants-zc3rp Ай бұрын
acheni roh mbay utopolo
@michaeljoseph7745
@michaeljoseph7745 Ай бұрын
kaka yake mwenyewe ushirikina tu
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Ай бұрын
Kaka wa fei tumia mda wako kumuonya huyu mdogo wako. Ahache kuzila michezo aitaki asila
@user-jf7vx9nb9m
@user-jf7vx9nb9m Ай бұрын
Huwez kumjua mwenzio mchawi km.ww si mchawi
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
awa naona wamekutanishwa kwenye kona ndo maana wasema yanga wachawi na bado hawajasema
@BishiraMunga-ey6jx
@BishiraMunga-ey6jx Ай бұрын
Kwani hujaona wanacheza uwanjani kilamtu alikuwa anashindania,kumbe umeumiaeeee kiatu mnunulie YEBOYEBO mmdogowako,unajhakika younger wanaumia azam kucheza champions we chizi
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Ай бұрын
Upo sahihi broo kwnn kila cku feisal,, wajuwe Mnyonge mnyongeni haki yke mpeni yanga walitaka kumdumaza fei afe makini sasa nyota inapaaaa
@NYANGANDOCHIGANGA
@NYANGANDOCHIGANGA Ай бұрын
Yaani huyu jamaa hovyo kweli kwani feisali alikuwa anaenda kuvaa medali ya yanga?
@LuqmanIddi-cb8me
@LuqmanIddi-cb8me Ай бұрын
Hujui nn maana ya ushabiki lingine usimba unakuponza mbwa ww.
@lupolamkomwa8478
@lupolamkomwa8478 Ай бұрын
Hahaha! Hem kwanza ncheke. Nimekumbuka ule wimbo, ulijuaje km wanawanga sio km mnawanga nao😂😂😂😂😂.
@user-mj3lt1ef7j
@user-mj3lt1ef7j Ай бұрын
Ww mwenye ayo maongezi Yako pia unaongea kichuki acha kutafuta kiki mitandaoni kwakutaka kuowanesha watu kuwa fei anaonewa hapana hivi vitu vyakuzomewa hata ulaya vipo kwaiyo hiv nivitu vyakawaida domo yote hayo unayoyasema kwavile Azam hakuhukuwa komb laiti angelichukuwa komb azama ungeliwa sema saan yanga ww lakin hakushinda acha kutafuta umaarufu nenda kakae barazani uzungumze umbea mamb yampira sio fani Yako
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
ACHA ujinga fala we we fei Bado ana utoto we mwenyewe ujitambui swala la fei na yanga .kweli fei amewakozea yanga c kwa kuondoka bali namba alivyo ondoka pia kutoka yanga ni haki yake ila huyu ndie mjinga anaejifanya kaka yake ni mchochoz hatari sana na ana akili xaidi
@KhadiaAli
@KhadiaAli Ай бұрын
Mimi ni shabiki wa simba but namkubali Sana Fessal cose ya kiwango chake kikubwa Sana anajua Sana
@MpoleRashid
@MpoleRashid Ай бұрын
Umedauka Mnyonyo mwambie acheze mpila ki tutampatia uraia
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
uyu nina wasiwasi nae rinda hana
@hidayaamri780
@hidayaamri780 Ай бұрын
Kaka yake Fei Toto ni mnafiki sana, amuue nani acha hizo.
@user-yv1tt1eu4h
@user-yv1tt1eu4h Ай бұрын
Mchawi ana mjuwa mchawi mwenzie
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 Ай бұрын
Yaan Fei akili zake alidanganywa na mganga watashinda sasa Penalty ziliwapa kiburi akadharau alipotoka,, MATOKEO kuja tofauti AKAKIMBIA KWA KUCHANGANYIKI
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Fanyeni kazi siyo familia nzima kuwaza Fei acheni uswahil
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 Ай бұрын
Huyu anajiita kaka wa Fei Toto wakati Fei Toto alishasemaga kwenye familia yao yeye ndo wa kwanza
@Aziza-bl4ep
@Aziza-bl4ep Ай бұрын
Innalillah wainnaylaih rajiun😭😭😭😭😭😭😭 mungu kwanza jmn ilaa ukweli Feisal ata ss mashabik wa yanga ambao tulikua tunamkubali katuvunja moyo
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc Ай бұрын
Kijana utaitwa uonyeshe huo uchawi uko wapi angalia
@user-rn5be5fq5i
@user-rn5be5fq5i Ай бұрын
Yangu acheni ujinga fei kipaji kapewa na mungu sasa nyinyi nimaneno tu namungu anamlinda na atazidi kumlinda
@issaselemani491
@issaselemani491 Ай бұрын
Aliona aibu kwa kuwa alitegemea kushinda baada ya kuona Yanga wapo nyuma kwenye pennalty,kinyume na matarajio Yanga kashinda.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Ni kweli yanga ni washamba sana. Yaani imekuwa nongwa Fei kutoka utopolo
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm Ай бұрын
Muambie ndugu yako ache kibuli kibuli akionyeshe mguun
@mbwanakilango1844
@mbwanakilango1844 Ай бұрын
Nyoooo anachezaje na mashabik aonyeshe uwezo uwanjan Domo kaya wew
@rafikkarimomar8202
@rafikkarimomar8202 Ай бұрын
Feisali ali toka kwaku chafulia jina yanga haku toka vizuri
@AbuuSalman-op1zy
@AbuuSalman-op1zy Ай бұрын
Mche Allah wew
@JOHNMADUHU-yz3hp
@JOHNMADUHU-yz3hp Ай бұрын
Umesema ngao wew unakalibisha matusi tu nakuigilia ngoma isiyokuhusu subili matusi Fala mmoja
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 Ай бұрын
Amesababisha mwenyewe utasemsje TIMU inakulisha ugali na sukari huo ujinga huo HATA wewe pia umekuwa na MDOMO mkubwa kuongea kwani yeye ndio WA kwanza KUZOMEWA duniani
@user-us7wo7jf8s
@user-us7wo7jf8s Ай бұрын
We kweli bwabwaz tunakuja ujui mpira sisi tunaroho mbaya we bwabwaz
@mohammedsaid9915
@mohammedsaid9915 Ай бұрын
Dah kweli inauma jamaa hata kujibu anajikanganya na kutegemea ushirikina lkn hautomfikisha pazuri
@godwingobe1887
@godwingobe1887 Ай бұрын
Tatizo lianonekana ni family nzima hamna nidhamu kumbe hata wewe huna akili kwani medari inauhusiyano gani? Fei mshamba ninyi familia inaonesha mnaamini sana uchawi
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 Ай бұрын
Fei ni mchezaji mzuri, Pia binadamu huwezi kuwazuia kuongeza, Cha msingi yeye fei aangalie kazi yake inayompa maslahi
@devotabashome1090
@devotabashome1090 Ай бұрын
Ila na yanga tuwe wastaarabu Fei alishatoka kwetu tumuache aende zake kwa nini kumzomea? Tusishindane na mtoto sisi ni wakubwa❤❤
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Mmechemsha kweeeeeerliiiii
@kamazimamuganyizi6932
@kamazimamuganyizi6932 Ай бұрын
Tatizo ninaloliona mchezaji akitoka Yanga mbona inakua km ugomvi sijaona mchezaji alietoka Yanga anaongelewa vizuri sijui ni kwann ndo mpira jmn
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Acheni ujinga Imani za kipuuzi hizo
@RichardNswima
@RichardNswima Ай бұрын
Inaonakana family niyakishilikina kwaiyomedali za kishilikina
@abuuommy
@abuuommy Ай бұрын
Kwahy familia nzima mnamtegemea feisal 😂😂
@paulotemba8881
@paulotemba8881 Ай бұрын
Acha kuwaita mashabiki wa Yanga washamba tafadhali uwe ma adabu
@RachelMbega
@RachelMbega Ай бұрын
Cheki hili shoga la zanzbr linalojifanya lislam afu linaendekeza uchaw
@neemakitegile5486
@neemakitegile5486 Ай бұрын
Usilazimisha watu kumpenda nduguyo mtu hauwezi kupendwa na kila mtu
@mohammedalaraby0073
@mohammedalaraby0073 Ай бұрын
Yanga walitaka yule feisal afeli a drop lakini feisal bingwa tu
@JamesMakasi
@JamesMakasi Ай бұрын
Huyo FEI nimasikini akipata
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i Ай бұрын
Tanzania kuna uswahili sn bora fei aondoke tu nje tznia ushirikin tu hmn mpira
@KhadiaAli
@KhadiaAli Ай бұрын
Watu wa yanga wanaroho mbaya kwa Fessal
@JACKOBBenson
@JACKOBBenson Ай бұрын
Bangi hizo ati fei kaifikisha Azamu kimataifa
@israelkisanga8587
@israelkisanga8587 Ай бұрын
Wewe hujitambui perepeche nyingi, shida yako wewe ni njaa tu inakusumbua
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Ай бұрын
We ni msenge kweli yanga haiimii kwaajili ya huyo msenge wako
@JOHNMADUHU-yz3hp
@JOHNMADUHU-yz3hp Ай бұрын
Acha ufala mtu mzima kumbe hamnazo yani kwenda kuvaa medali atatupiwa uchawi uchawi gani
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Uyu kenge wa kizenji alafu choko
@user-hj2jf4fd9t
@user-hj2jf4fd9t Ай бұрын
Alivyotunyamanzisha mbona ujankemea we kaka mnafki unampoteza fey na roho ya kishilikina
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Ай бұрын
Umemaliza so swadakta wapende vya kwao alaf wtu wakisema timu ya Tanzania kichwa cha mwandawazimu hawajakosea,, baadae utaskia hatua straika or hatna mido ujinga mtupu,, ata pale London uwende na kipaji gni huwezi kumzidi mshahara mchezaji mzawa
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Ай бұрын
Wwe unawaza ushurikina Moira ni akiri sio Imani za kishirikina na pia kumbuka ulikotoka siku zote ukidharau ulikotoka utajutia mno akuanzea mmalize
@PetroMsukwa
@PetroMsukwa Ай бұрын
Mupumbavu kweri huyo kaka ake mjinga sana
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 27 күн бұрын
Kaka Lauzinyo, hapo na Feisal wapo umechemkaaa, mmekosa adabu kwa TFF na serikali. Kuwa mpoleee kakaaaa
@SalumAuka
@SalumAuka Ай бұрын
Huna akili wew,fala aache kusikiliza mashabiki au kuwajibu acheze mpira tu. Ndio maana anaishi kwa shida.
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Ай бұрын
Tengenezeni uwanja nyumbani kwenu, ili msizomewe. Hivi Fei kuwanyamazisha mashabiki wa Yanga ni jambo zuri?
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o Ай бұрын
Bado mko huko kwenye ushirikina 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@nasraahmed5834
@nasraahmed5834 Ай бұрын
Ukiona mtu anaweka sana mbele uchawi basi tunashirikiana maana kidogo uchawi unashangaza
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Hana nidhamu hiyo Kijana atarajie níni ashinde hewa Jamuna ushamba kwa nini yeye afunge mdomo na watamsema sana n atazomewa sana hao ni washabiki
@stephaniecharles4288
@stephaniecharles4288 Ай бұрын
Kaka Feisal unawazia ushirikina tu huo ni Mpira tu
@user-vr3hp4xs8m
@user-vr3hp4xs8m Ай бұрын
Hana adabu feisali mfundishe adabu we sinikaka mtu
@omarysalim2851
@omarysalim2851 Ай бұрын
Yani hawa inaelekea wanaabudu sana ushirikina hawa
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Ай бұрын
This is verry bad,verry bad.also it is shame. Mna dini kweli ninyi?
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 Ай бұрын
We boya kweli
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut Ай бұрын
HUYU JAMAA OVYOOO NA INAONEKANA FAMILIA MZIMA OVYOOOOO
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 Ай бұрын
Akacheze Ligi ya kwao Zanzibar
@AnthonySeverin-mq7ze
@AnthonySeverin-mq7ze Ай бұрын
Kwani medari ni za yanga mbn hujierewi
@MbwanaHusseni
@MbwanaHusseni Ай бұрын
Fei Hana nidhamu ww kakayake msihi mdogo wako soka halipo hivyoo
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
utopolo wana roho nzuri? Kwanini wao yanga wamsakame sana na kumsema vibaya?
@JamesMakasi
@JamesMakasi Ай бұрын
We kakayake tulijua nimwenye akili Kumbe.bangi Namadawa.yakulevya
@ErickMsigwa-np9ro
@ErickMsigwa-np9ro Ай бұрын
Lazima asemwe asismwe ye nani mbn anatunyamazisha kuzomewa lazima
@happypiusi3801
@happypiusi3801 Ай бұрын
Kwahiyo azam hawampendi fei
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o Ай бұрын
Tutamvunja miaka 3 ndo apone....subir mbwa
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Ooyaaa acha kita watu washamba mbona huyoo nduguyako analeta jeuri mwambie aachezarau
@mushtaqahmedkadiri2575
@mushtaqahmedkadiri2575 Ай бұрын
Usipoteze muda wako mtangazaji huyo kaka yake HANA AKILI
@mohammedalaraby0073
@mohammedalaraby0073 Ай бұрын
Yanga wana mahaba bado na feisal
@zainabuhamisi576
@zainabuhamisi576 Ай бұрын
Duh huyu Kaka kiboko
@bahatisanga8890
@bahatisanga8890 Ай бұрын
We kuma yanga sie mashabiki sio washamba tengua kauli mbwa we
@annagilbert4547
@annagilbert4547 Ай бұрын
Kinache fanya ufanikiwe inabidi ujifanikishee iliufanikiwe sasa uchawi umetoka wap na uvaaji wa medali
@user-jj3tq1rh4p
@user-jj3tq1rh4p Ай бұрын
astghafulah astghafulah astghafulah astghafulah astghafulah astghafulah astghafulah astghafulah muombe mungu wako yani wewe na mdogo wako nidham yenu ni 0
@gaudencekanut902
@gaudencekanut902 Ай бұрын
Mpiraaa ndo ukoo hvyooo broo yeye asiwasklze mashabiki apambane wataona tu kipaji chake hvyoo tu
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 82 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 57 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 260 М.
Vish, QUE TRETA!!
0:18
Junior Torcedor
Рет қаралды 4,3 МЛН
Самый Безумный Спор 😱
0:42
EpicShortsRussia
Рет қаралды 3,1 МЛН