THE CLASSIC MASANJA PART 3 EP 1:NILIKUA MJANJA KULIKO JOTI NA MPOKI/ BAMBO ALINIRUDISHA UBARUKU

  Рет қаралды 40,959

KuviFacts

KuviFacts

5 ай бұрын

Hdithi za kusisimua za Masanja Mkandamizaji zinaendelea ,amekua msanii wa pili wa kufika for part 3 ukiacha Mandojo na Domokaya ambao ndio pekee kufanya hivyo,Masanja anaendela kutupa hadithi ya kusisimua kuhusu maisha yake mpaka alipfika sasa

Пікірлер: 100
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 5 ай бұрын
Elimu tosha kwa wapambanaji wengi tulio underground bado 🎉🎉
@RajabuSamasi-lx8vl
@RajabuSamasi-lx8vl 5 ай бұрын
Nimechelewa kidogo gongen like
@AdolphKankuba
@AdolphKankuba 5 ай бұрын
Daaah 😂😂😂uko vzr Sana yaan Kuna vitu najifunza kutoka kwako
@kilimajohn5600
@kilimajohn5600 5 ай бұрын
Dah hayo maisha noma sana nakumbuka enzi zangu za kutembea kwa mguu tabta to sinza noma saaa 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@silashemed4849
@silashemed4849 3 ай бұрын
Masanja ana kumbukumbu,mbaya. kwel nimejifunza kitu
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 5 ай бұрын
Sauti ya msimliaji ni hatari sana😂😂😂😂
@user-qm8do1cr7u
@user-qm8do1cr7u 5 ай бұрын
The long waiting is finally over ❤
@kingcole60
@kingcole60 5 ай бұрын
Masanja ana vitu vingi sana, anahitaji kutoa documentary
@kelvinmkuye6927
@kelvinmkuye6927 5 ай бұрын
Nlikua nasubilia kama Interview ii kama navosubilia umeme😂😂Thank you mtangazaji na sana sana tena sana kwa masanja kwakukubali kuendelea kutufunza
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 5 ай бұрын
Kaka vip mzima kaka broo naomba namba za masanja
@dorislyimo8621
@dorislyimo8621 5 ай бұрын
Nimecheka sana 😅😅😅😅😅jamani Masanja ni nomaaaaa!Very good interview and very inspirational aiseeee😂...Loved every word of it!❤ila Mbavu zinauma kwa kucheka....dah!noma sana😂😂😂😂😂😂
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 5 ай бұрын
Unanipa nguvu ya kupambana kaka na kutokukata tamaa.Best inspirational speech
@hawasalim2180
@hawasalim2180 5 ай бұрын
Na enjoy na life yake
@hawasalim2180
@hawasalim2180 5 ай бұрын
Toka mwanzo nipo nae had tamati nafurahishwa..na huzunika na ninaelimika pia ......asnt masanj
@sangomacmc3558
@sangomacmc3558 5 ай бұрын
Huyu jamaa ana kipaji mno💯 👏👏👏
@stevewanga957
@stevewanga957 5 ай бұрын
Huyu jamaa hachoshi Wallah😂😂
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 4 ай бұрын
😂😂kwakweli Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana.maisha niivo mapito kwa Mungu yanawezekana
@AgnesYoram-mc5cr
@AgnesYoram-mc5cr 5 ай бұрын
Yas YESU anaokoa anaponya anabariki
@selemanimsangi7805
@selemanimsangi7805 5 ай бұрын
Naikumbuka hiyo movie ilikua inaitwa She is my sister 😂😂😂
@tofatofali9803
@tofatofali9803 5 ай бұрын
Sio dar to Lagos mkuu
@NguyaPlanB-wn3yy
@NguyaPlanB-wn3yy 5 ай бұрын
Alud tena
@MenejaCossie
@MenejaCossie 5 ай бұрын
Pamba Nyepesi💣💣
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 5 ай бұрын
Kaka kaka nakwita tena kaka nakuomba we mwislamu mwenzangu fanya juu chini nakuombea sana umtafute gwamaka kahiyura. King crazy GK moja kati ya watu muhimu sana japo awasemwi
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
salaam kaka,kwanza usihusise dini na hivi vitu inakua si sawa,lakini pili Gk nilmualika hakufika mwenyewe siku hiyo tuka cancel mahojiano na ilkua mbaya sana,lakini yamepita hayo tutajaribu kumuomba afike tena kama hatajali.
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 5 ай бұрын
@@KuviFacts oooh nisamehe ndgu yangu ni mgeni katika Imani ndo maana nilishazoea mambo yetu yakiyaudi ok basi mtafute jay moe
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 5 ай бұрын
Kwani ulikuwa imani ip
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 5 ай бұрын
@@roberttagaya9098 mkristo
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 4 ай бұрын
🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️ Hajielewi
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 5 ай бұрын
Masanja azisha podcast yako itashika sana
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 5 ай бұрын
Jamaaa anajua sana
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 5 ай бұрын
Yaaan Masanja huwez kuchoka kumsikiliza, nikiwa bored narudia interview zake tangu ile ya part 1
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
🫡
@isacksamuel5503
@isacksamuel5503 5 ай бұрын
one and only mkandamizaji
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
Aisee tunapokuona leo tunakuona kama umefanikiwa from no ware
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 5 ай бұрын
Big up kwa muendelezo
@egnokapinga16
@egnokapinga16 5 ай бұрын
😂😂😂huyo jamaa anafurahisha sana😂😂
@JamesJoseph-vd7ep
@JamesJoseph-vd7ep 5 ай бұрын
hapo sawa sawa
@herrykapinga1084
@herrykapinga1084 5 ай бұрын
Pamoja sana
@CheerfulFish-pq8qs
@CheerfulFish-pq8qs 5 ай бұрын
Byee byee
@geffects1141
@geffects1141 5 ай бұрын
Mkandamizaji namkubali kinoma 🎉🎉🎉
@imaiskaka8305
@imaiskaka8305 5 ай бұрын
nilikuwa nawaza lini atarud studio 🎉🎉
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 5 ай бұрын
Jamaa hachoshi kumsikiliza bando liliisha ningaunga juu kwa juu na mpesa
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 5 ай бұрын
Hii interview nimeingoja sana
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 5 ай бұрын
part 4 ijee
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 5 ай бұрын
Yaan Bro.Jabir Salehe utakumbukwa kwa kutunza history ya Wakongwe wa Sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Asante sana
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 5 ай бұрын
@@KuviFacts Pamoja Kaka
@sjaykigomatz
@sjaykigomatz 5 ай бұрын
Pamba Nyepesi kali
@Extension4353
@Extension4353 5 ай бұрын
Legendary anaogopa kamera,, Angalia mbele wewe
@yrwa313
@yrwa313 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@jameshagwe3063
@jameshagwe3063 5 ай бұрын
Pamba nyepesi ilikua noma
@meddymachozy1815
@meddymachozy1815 5 ай бұрын
Tuliisubiri Sanaa hiii🤣🤣
@jamesngaita4836
@jamesngaita4836 5 ай бұрын
Pamba nyepesi
@christinayamo7861
@christinayamo7861 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@hamphreyalfred1156
@hamphreyalfred1156 5 ай бұрын
Mambo vipi dodoma sipati radio kabisa tatizo nini
@malungamtoro9047
@malungamtoro9047 5 ай бұрын
Nimeisubirii hiii atar
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 ай бұрын
Hapo kwenye msosi kwa Mtitu😂
@hadserhood2823
@hadserhood2823 5 ай бұрын
Biyebiye
@RashidiIruma
@RashidiIruma 4 ай бұрын
Sehemu ya nne itakua lini nasubiri kwa hamu sana
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 5 ай бұрын
😅hiyo sehemu ya njaaa nmecheka aisee
@homan_nkwama
@homan_nkwama 5 ай бұрын
Masanja apewe session kumi TUNATAKA SESSON na iitwe mkandamizaji
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 4 ай бұрын
Inawezekana hii ndio interview bora kuwa kutokea
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 5 ай бұрын
NISIWE MUONGO MI NAFATILIA SANA GAME.,, ILA SIJAWAH TOKA KWANGU NISEMA NAENDA KWENYE SHOO....HIYO HAIPO
@12322879
@12322879 5 ай бұрын
Mungu fundi sana,leo una pesa kuliko Mtitu 😂
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 5 ай бұрын
Noma Sana chamsingi tusikate tamaa
@user-vw7xw5tq2k
@user-vw7xw5tq2k 5 ай бұрын
Hyuu jamaa huchoki kumsikiliza pia stor zake zinamafundisho makubwa kwa jamii apewe mda hata mpka part 10 frsh tuu
@mycolumic20
@mycolumic20 5 ай бұрын
Icho kibena ndio nimekielewa na mimi wa ludewa
@barakaclement7754
@barakaclement7754 5 ай бұрын
😅
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 ай бұрын
Mlete huyo bambo
@lekashunkirwa4805
@lekashunkirwa4805 5 ай бұрын
Naomba aje baada ya miaka miwili
@Globaletz
@Globaletz 5 ай бұрын
😂😂😂kmmkee 🫡
@stevewanga957
@stevewanga957 5 ай бұрын
Joti mlete😅
@anoldrwehabura7795
@anoldrwehabura7795 5 ай бұрын
pamba nyepesi
@abuuarushadawg7158
@abuuarushadawg7158 5 ай бұрын
Yani ni bye bye, lete tye tye.. byebye hatari bhana
@kagirasta1476
@kagirasta1476 5 ай бұрын
😀😀 masanja safi sana
@makamekombo8278
@makamekombo8278 5 ай бұрын
Bye bye
@MrMasterMathew
@MrMasterMathew 5 ай бұрын
Pamba nyespesi
@shabanfitnesstv3977
@shabanfitnesstv3977 3 ай бұрын
Bro this guy have more to tell, please Give time for the rest to learn
@mellahcoffee
@mellahcoffee 5 ай бұрын
Eti njaa haina chakupata
@user-ki5rd5id2k
@user-ki5rd5id2k 5 ай бұрын
San
@elgringogringo5238
@elgringogringo5238 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Shalom2018
@Shalom2018 5 ай бұрын
Mbona fupi?yaani Masanja unanipunguzia stress kwa kweli,sitamani hata kipindi kimalizike.from Nederland
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 5 ай бұрын
Ingia KZfaq andika mams kiumbe -kabila gani wimbo wangu mpya sapoti yenu ndoo kila kitu kwangu
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 5 ай бұрын
Lipokuwa kijiwe samli pale kabla filamunyako kushirikishwa ya itunyama na director gumbo Wacha dharau zako za kijingajinga hata snura anajua
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 5 ай бұрын
Tunaomba muwe mnazingua ivo background sound ili wenye matatizo ya maskio inanisumbua tukashindwa kusikia anachozungumza ,namba kuwasilisha
@mwanakitenge
@mwanakitenge 5 ай бұрын
Tunaomba hiki kipindi kiwe endelevu jamani mi ninaimani masanja haishiwi story yani tunataka atuhadisie story yake mbaka hapo ilipofika sasa
@findleybingham4047
@findleybingham4047 4 ай бұрын
'Promo SM' 😩
@chax255
@chax255 5 ай бұрын
Ichi anaongea ni kikinga/kipangwa/kibena? Mbona kama naelewa kila neno anaongea
@brownjustin2924
@brownjustin2924 5 ай бұрын
Kibena
@smartgeoffrey9550
@smartgeoffrey9550 5 ай бұрын
Bye byee
@hamisiseiph2233
@hamisiseiph2233 5 ай бұрын
Pamba nyepesi
@kalis1115
@kalis1115 3 ай бұрын
Masanja mbavu zangu wewe. Sije nikapelekwa moi# kwenye msosi kwa mtitu hapo
@asiajuma5560
@asiajuma5560 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@jumasayisholee2236
@jumasayisholee2236 5 ай бұрын
pamba nyepesi
@user-vz3eh2ym9u
@user-vz3eh2ym9u 5 ай бұрын
Pamba nyepes
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
😂😂😂😂
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 109 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН
MASANJA MKANDAMIZAJI ASIMULIA HISTORIA YAKE | ATOA SOMO KWA VIJANA
13:59
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 4
41:57
BUSATI ONLINE TV
Рет қаралды 138
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
YahStoneTown
Рет қаралды 465 М.
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 728 М.
MPOKI NA MASANJA : MJOMBA KAJA NA DEMU
6:09
CHEKESHA TV
Рет қаралды 65 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН