THE CLASSIC MASANJA PART 3 EP 2 :MOVIE YA KWANZA KIMATAIFA/ MSHAHARA WA KWANZA/WEMA WA MAC REAGAN

  Рет қаралды 27,794

KuviFacts

KuviFacts

5 ай бұрын

Episode 2 ya Part 3 na Masanja inasisimua sana,hapa tunapata kujua jinsi alivyoweza kuwa pamoja na wenzie wa Ze Comedy,jinsi Mac Reagan alivyokua akimsaidia kabla ya kupata mafanikio na mengine mengi ambayo pengine hukua ukiyafahamu ya Masanja Mkandamizaji

Пікірлер: 98
@MussaKulamakwene
@MussaKulamakwene 3 ай бұрын
Sanja ulisema An old fashion Girl how u can stay in this house With full Air Condition in every room and Screen colour Tv unaweza kuwasha Tv na Kuzima wew
@Anza_tz
@Anza_tz 5 ай бұрын
Masanja hata Mimi nilijisikiaga Raha sana Kuna siku ulikuja kwenye mkutano wa Injili Tabata segerea alafu Mimi ndiyo nilikua mpiga kinanda daah wakati unaimba then Mimi napiga Yani nilikua najiona kama sijui nampigia nani...siku ingine ukaja Tena kanisa lingine huko huko segerea mpiga kinanda nilikua Mimi daaah ilikua safi sanaaa
@yjkbcdghjb
@yjkbcdghjb 4 ай бұрын
Masanja hajawahi kuchezea fursa akipewa .amepata hii chance ameitendea haki mpaka watu wanataka arudi tenaaa. Naomba part 4,5,6,7 kabla hajaitwa kwenda steshen zingine kuhojiwa maisha yake. Boss majizzo alifanya sahihi kumleta masanj Efm .ila naona bado masanja hajui akae sehem ngani kama mtangazaj atapata mashabiki wengi . labda angefanya kipindi kama cha babalevo anavyonongesha kipindi . Salute
@JamesJoseph-vd7ep
@JamesJoseph-vd7ep 5 ай бұрын
tunaomba arudi jamani from kenya
@joycesballoons7093
@joycesballoons7093 4 ай бұрын
Naikumbuka ile gari, ulikuwa unapark pale kwa gumbwa😂😂 Mungu amekutoa mbali sana aiseee. (Siku zote tunaimba sie YESU NI BWANA🎉🎉 hata leo tunaimba tena YESU NI BWANA 🎉🎉)
@labanmacheki1812
@labanmacheki1812 5 ай бұрын
“U old fashion girl are u looking for a job in a beautiful house like this?“ ,,
@samwellupimo1125
@samwellupimo1125 5 ай бұрын
Weeeeeeh 😂😂😂😂
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 5 ай бұрын
Stori ya huyu jamaa ni tam kichiz😂😂😂😂 Haichokeshi hata uskilize masaa kumi
@benhorta5121
@benhorta5121 5 ай бұрын
Party 4 muhimu tunaomba arudi
@shadracklutembeka1831
@shadracklutembeka1831 5 ай бұрын
Masanja is such a great guy🙌
@danielmgalla558
@danielmgalla558 5 ай бұрын
Aisee Masanja is a stable genius. Memkuta siku moja pale Usunguilo mbeya akawa yupoyupo tu... Aje amalizie na story ya ekari 2 za mpunga
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 5 ай бұрын
Kitu nlicho jifunza,kwa masanja,anaonekana ,anaheshima toka katoka bush,ndomana kila mtu anamkubali
@abray9808
@abray9808 5 ай бұрын
Hahahahaa masanja bhna ananikishaga xna na matukio yke,jamaa ameupiga mwingi na ndani ya story yke kuna funzo kubwa xna
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 5 ай бұрын
Masanja iz king comedian
@mgayamwananchi
@mgayamwananchi 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 daaah Mimi najionaga nimehaso kumbe hata robo badoooo
@ngido255
@ngido255 5 ай бұрын
😂kweli Kuna watu wamehaso
@user-yl9sk3el5n
@user-yl9sk3el5n 5 ай бұрын
Wajukuu zako watakuja kukufaidi sana we Mzee Mkandamizaji Mungu akupe maisha marefu Mzee Baba
@user-dt9iz2gq3s
@user-dt9iz2gq3s 5 ай бұрын
Inafundisha sana
@hawasalim2180
@hawasalim2180 5 ай бұрын
Raha sana😅
@vicentwilbert9567
@vicentwilbert9567 5 ай бұрын
Huyu ni modal nzuuri kwa AFRICA kijana wakuigwa na kujifunza Mungu amtunze
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 5 ай бұрын
Congrats Bro.Jabir Salehe to innovate this session 🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏👏👏
@yuleboimedia1553
@yuleboimedia1553 4 ай бұрын
napenda anavyo sema kwa mala Ya kwanza nikashikwa na mkolo mlainiii😀😀😀😁
@stevewanga957
@stevewanga957 5 ай бұрын
Huyu jamaa harudi bado tunamdai😂😂😂😂
@gilbertmbise9873
@gilbertmbise9873 5 ай бұрын
Masanja nakukubali sana bro. I remember kuna kipindi nikiwa nasoma UD, tuliandaa event tukaja kwako kukuomba utusuport. Dah ulichokifanya Mungu anajua, Ukatupa ukumbi bure, sound bure, camera bure, ukatupa na gari ya kuchukua wanachuo bure. Bro ile event ilikuwa ya kihistoria kwetu, zaidi sana Mungu alionekana sana. Tunaomba part 3 ep 3 tafadhali nafatilia kwa karibu sana Gilbert Tour operator from Arusha.
@dicksoniaidani3822
@dicksoniaidani3822 5 ай бұрын
Wazee sio mchezo 🙌🏿🙌🏻🤝🏿🤝🏻
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 ай бұрын
Unampatia maqlegan saut na sura anavyofanya
@official_kingzimira
@official_kingzimira 5 ай бұрын
Madini flani plus comedy nomaa
@danielmihanjo5472
@danielmihanjo5472 5 ай бұрын
Masanja ukiacha talent aliokuwa nayo pia ni Genius sana ,hata kwenye ze comedy inaonekana vitu vingi alikuwa creator yeye
@BongoflevaHits
@BongoflevaHits 5 ай бұрын
Noma sana masanja tunakukubali sana
@kingcole60
@kingcole60 5 ай бұрын
Ipigwe tu documentary ya Masanja jamaa ana vitu vingi sana
@user-st7my5gk8i
@user-st7my5gk8i 5 ай бұрын
Straight history
@FarmChoiceLtd
@FarmChoiceLtd 5 ай бұрын
Jabir tunataka full series za masanja
@gosbertrutayega4546
@gosbertrutayega4546 5 ай бұрын
Nimecheka sana na kujifunza mengi. Bravo!
@ellytech9757
@ellytech9757 5 ай бұрын
Ujue Masanja ni ng'ombe sana 😂😂😂😂
@jumaseleman5972
@jumaseleman5972 5 ай бұрын
Masanja kavu sana,kaniinspaya sana duuu
@issasaad3403
@issasaad3403 5 ай бұрын
Maisha ni mapambano hili ni somo tosha
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
Mungu akubariki saaana nimefurahi ❤
@mwalimuWaZamu
@mwalimuWaZamu 5 ай бұрын
Btother Kato nampata sana anaimba kwaya ya ukombozi msasani. Mtu poa sana
@victaboy7273
@victaboy7273 5 ай бұрын
Maclegan nimemfurahia sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 5 ай бұрын
BONGE 1 LA INT.😅😅
@ramadenice1878
@ramadenice1878 5 ай бұрын
Dah yaan huyu jamaa ni international storyteller huezi choka kumsikiliza nataman hiyo wiki ijayo ifike haraka
@davidkamando9630
@davidkamando9630 5 ай бұрын
😂😂😂😂 daah! Masanja bana... Eti anaenda kwenye masala na gari..... Nasubiria itakavyo endelea ....
@saidisuleiman7949
@saidisuleiman7949 5 ай бұрын
The fashion girl like you find a job
@an6808
@an6808 5 ай бұрын
Kama Unaweza tengeneza Inspirational Movie ya maisha yako Masanja. Story yako ina kitu kwenye maisha.
@vincentmbaire2666
@vincentmbaire2666 5 ай бұрын
Aise mumenikumbusha mbali saana kipindi hicho kilikuwa hakinipiti jioni hizo mywaka the comedi masanja mukandamizaji
@user-yi5hx3uu4o
@user-yi5hx3uu4o 5 ай бұрын
Habari za tumduma😂😂 Badoo tunamdai kipindi kimojaaaa tuhamie kwa mwingine...
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 5 ай бұрын
Huyu jamaa anavingi vya kutueleza ! Arudi hapo
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 5 ай бұрын
Daaaah 😂😂😂😂😂 masanja
@joelluic2392
@joelluic2392 5 ай бұрын
Lini part4 mzee 😋😋
@kingnjaro4934
@kingnjaro4934 5 ай бұрын
king njaro apa nikiwa pandeza kisemvule salon nimechili plati alafu nifom sio poa sema nini katisha sana
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 5 ай бұрын
Masanja Bro
@imaiskaka8305
@imaiskaka8305 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@kanumanjisi1623
@kanumanjisi1623 5 ай бұрын
Part 4 please
@davisnziku
@davisnziku 5 ай бұрын
Wakwanza like zenu jaman 📌
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
🫡
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
😂😂😂😂eti ninunue nyumba nini 😂😂😂 God bless you
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 5 ай бұрын
Uramwikhe juve
@user-ms9mu9gd2b
@user-ms9mu9gd2b 5 ай бұрын
"A beautiful girl like you, looking for a job? " Alimuuliza hivyo
@barakaekuro
@barakaekuro 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 uyu jamaa ni storyteller mzuri sana.
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 5 ай бұрын
Jmni tuleteeeniii natafuta mwendelezo
@chizimapicha1333
@chizimapicha1333 5 ай бұрын
the Old Vazi like you, you need a job in a beautiful house like this?Unaweza kuwasha na kuzima television?
@rashidally7285
@rashidally7285 5 ай бұрын
Kigali Cha Mr bean kibongobongo Kigali Cha masanja
@user-py6tu1ky6k
@user-py6tu1ky6k 5 ай бұрын
Muulize Masanja Yeye na Wakuvwanga wana Elimu gani maana wanajitahidi sana kuongea English,ukiacha Vengu ambaye alikuwa ananyoosha sana kwenye kundi lao ila yy na wakuvwanga wanajitahidi sana
@yondutv3253
@yondutv3253 5 ай бұрын
Huyu jamaa hii story yake tufanye ducomentary
@yjkbcdghjb
@yjkbcdghjb 4 ай бұрын
Masanja rudi part 4,5,5,…
@patrickakitanda7709
@patrickakitanda7709 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kipaji kimelala hapo amenifurahisha alivyokimbia hapk mwisho mwa Intaviuu
@mariethamollel3564
@mariethamollel3564 5 ай бұрын
Masanja😂😊
@kudadeki00007
@kudadeki00007 5 ай бұрын
Masanja apege part20
@josephinechalamila1754
@josephinechalamila1754 5 ай бұрын
Masanja huchoki kumsikiliza kiukweli
@cilbuly2026
@cilbuly2026 5 ай бұрын
Yaan Masanja hauchoki kumsikiliza..
@Roqua-hs3qf
@Roqua-hs3qf 5 ай бұрын
Bado tunamdai 😅😅😅😅
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 5 ай бұрын
urudi tenaaa
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 5 ай бұрын
AJE WAKUVANGA HAPO PLZZZZZ
@barakaclement7754
@barakaclement7754 5 ай бұрын
duh 😅🙌
@ibrahdimpoz5820
@ibrahdimpoz5820 4 ай бұрын
Whaat..😂😂
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
Vijana wa leo pesa mbele hata kaz hajaanza
@famorsn9834
@famorsn9834 5 ай бұрын
habari za tunduma 😂
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 5 ай бұрын
Kaka rudi bas tena
@gtunewaves2867
@gtunewaves2867 5 ай бұрын
mtu halisia kabisa
@yuleboimedia1553
@yuleboimedia1553 4 ай бұрын
mbona haiendelei tena
@kevo_da_clever
@kevo_da_clever 5 ай бұрын
Me nlisema hii part 2 itakua na episode 20
@richzebest2029
@richzebest2029 5 ай бұрын
Duh 😂
@godlovephilemon5626
@godlovephilemon5626 5 ай бұрын
Arudi😂
@SleepyBooks-oj3gu
@SleepyBooks-oj3gu 5 ай бұрын
Du nakumbk zecomed ilikua Anipiti kabisa yani du.
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@NiraSaire
@NiraSaire 5 ай бұрын
Huyu jamaa tukimchekea tutajikuta tuko part ya 156, kama vipi afungwe kamba ili saa 10 asiondoke
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
😁
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 5 ай бұрын
Kama kila kitu kilitokea exactly kama anavyoelezea, basi Masanja genius sana, huwezi ukakumbuka vitu vya zaidi ya miaka kumi iliyopita kwa details zote hizo utafikiri vimetokea jana... Duh!
@surajatul732
@surajatul732 5 ай бұрын
True ​@christianmlelwa-id4bx
@Mrs-sh4fx
@Mrs-sh4fx 5 ай бұрын
Huwez sahau kama umepitia msoto aloo.
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 5 ай бұрын
Shida sio kukumbuka matukio, ni hizo details aisee
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 5 ай бұрын
KILA STORI INASISIMUA INATEGEMEA NA UNAHADITHIAJE ILI WATU WAPENDE,,,NI KAMA MTIGA TU NA JAMALI
@athumanmwilima1144
@athumanmwilima1144 5 ай бұрын
ME nakumbusa na maisha yangu ya nyuma mazur n magumu
@athumanmwilima1144
@athumanmwilima1144 5 ай бұрын
GUYS ME NIMEENDA KUTAFUTA HICHO KIPANDE CHA MOVIE MASANJA ALITISHA SANA KAAMBIWA USIONGEE AKAONGEE
@drsimkoko
@drsimkoko 5 ай бұрын
weee weweeee woti keni ai du fo yu olidi fasheni gero, ze olidi fasheni gero laiki yu a yu luking fo ze jobu ini a byutifu hausi laiki zisi wis ze fulu ea kondishen rum e gudi kicheni e waidi televisheni laiki e windo unaweza kuwasha na kuzima televisheni wewe🤣🤣🤣
@barakaekuro
@barakaekuro 5 ай бұрын
😅😅🫡
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 31 МЛН
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 4
41:57
BUSATI ONLINE TV
Рет қаралды 138
MASANJA MKANDAMIZAJI ASIMULIA HISTORIA YAKE | ATOA SOMO KWA VIJANA
13:59
MPOKI NA MASANJA : MJOMBA KAJA NA DEMU
6:09
CHEKESHA TV
Рет қаралды 65 М.
JORAMU NKUMBI   = MH. EDWARD LOWASSA NA UONGOZI
52:01
Joramu Nkumbi
Рет қаралды 5 М.