Natamani Namba ya fundi ujenzi tafadhari kazi nzuri na bei yake please
@RAMANI_UJENZI_FINISHING8 ай бұрын
Tuwasiliane 0747608053
@abuujibriltv52334 ай бұрын
@@RAMANI_UJENZI_FINISHINGninaomba kufahamu ghorofa Moja ya vyumba vinne viwili juu na choo na bafu na viwili chini na sebule na choo na bafu kwa makidirio ya nondo zita tumika ngapi?