Liitieni jina la Yesu , jina lipitalo majina yote, hakuna nguvu zozote za giza zitakazobaki hapo. Haijalishi kama kuna uliyemkosea au la, Mungu ni mwenye rehema, utafunguliwa kwa Jina la Yesu.
@jumaenzi47603 ай бұрын
Pole sana yesu anakula anakunya mtu kama wewe t pekeyake mwenye nguvu Allah tu
@shamiramsoke13653 ай бұрын
AMINA🙏
@denisrukangula22273 ай бұрын
Jina la YESU ni Kila kitu Duniani
@binseif22163 ай бұрын
Kwanini mnamtanguliza Yesu badala ya Mungu?hivi hamjui mnamuudhi Mwenyezi Mungu kiasi gani nyie wagalatia?
@pillykinabo87223 ай бұрын
Mleteten Raboni ministry ipo Zanzibar..case imeisha hio kwa Jina la yesu.
@rosemarymapango37473 ай бұрын
Hizi ni nyakati za kukaa na Mungu Kwa ukaribu sana kuliko maelezo,.Mungu atamfungua lakini
@AminaIssa-ee6kl3 ай бұрын
Subhannah Allah....maajabu hayaeshi duniani kwa kweli....bado tutaona mengi kabla ya kufa.
@IsmailMjesh3 ай бұрын
Allah atunusuru, na madhila ya dunia' we Amina Issa kimolo au?
@user-cw8zn2dn6m3 ай бұрын
Sema Damu ya Yesu!! Atapona. Kama ni nguvu za giza bac ni mwisho tu kwa jina la Yesu Kristo. Mathayo8:5-13.
@mussamgonola39833 ай бұрын
Damu ya kazi gani mtu asha kufa miaka na miaka acheni kudanganya watu
@user-cw8zn2dn6m3 ай бұрын
@@mussamgonola3983 Yesu hajafa wala hawezi kufa. Hahahahahaha we ni mjinga kwelikweli
@user-jv1ch4tr8q3 ай бұрын
Wewe siwaende useme km inainmani sn😂
@jenyyusuph49733 ай бұрын
MMM MUNGU TUSAIDIE watu hakika ni wabaya waleteni watu wa Mungu limetushinda sisi hakika Mungu halijamshinda
@AwzaMstafa2 ай бұрын
Pole sana kaka kila lenye mwanzo lina mwisho Mungu atakusimamia
@mussaadamtheMiXologist19963 ай бұрын
I'm the first.... Kapigwa kitu Kizitooo.. Allah amjalie mpambnaji mwenzet arejee katak hali yake na kuendeleza mapambno
@kanankirannko61743 ай бұрын
Jamani ,hii barabara kiboko ndo na gambushi njia hiyohiyo ushirikina huko duh
@user-jx4rx6jy6y3 ай бұрын
Hakika dunia imeisha mungu msaidie baba huyo aludi kwenye haliyake yamwazo
@sudymgeni7013 ай бұрын
Chukueni simu yake tafuteni jina la mariam aje amalize iyo mambo ndio kamloga uyo mshenzi sana.
@lizekajigil32433 ай бұрын
Waite watumishi wa Mungu wamwombee Yesu atamponya kabisa
@martinemaganga52533 ай бұрын
hapo hawezi vinginevyo wamtafute huyo mtu aliyetajwa
@user-rw2mm1jk6o3 ай бұрын
Watumishi wenyewe wababaishaji tu wapiga pesa
@zaidiissa37143 ай бұрын
Sasa kama yesu anaweza kumponya je mungu anaweza kufanya Nini au mungu niwakazigani???
@odilomwemeziernest6463 ай бұрын
@@zaidiissa3714 wewe umejazwa ujinga wa muddy.
@rosekimaro3843 ай бұрын
Kabisa
@user-lz5it9yn4q3 ай бұрын
Mariam ww! Fanya kufungua chapu, hawa viumbe hatuwalogi tunawasemehe t Mungu anajibu
@rhodacharles88573 ай бұрын
Marium popote ulipo mungu anakuona
@mithlaabdulrahim85663 ай бұрын
😂😂
@mariamsemwaiko81693 ай бұрын
Mtuache tu ukizingua tunagandisha😂. Utani laki jaman
@paulinakajivo46703 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-gk7cu2ie7f3 ай бұрын
Kweli bwana so utani ukizingua tunagandishaaa huu ni mwaka wa kugandaa tyuuu@@mariamsemwaiko8169
@xxxl-jf2ji3 ай бұрын
😅😅😅😅
@user-hv6qw2zw2y3 ай бұрын
Wewe mariam wewe mungu anakuona mwache mwenzako . Akutaje wewe tu .unatisha mariamu
@fettiemaganza14843 ай бұрын
Inawezekana asiwe yy labda hyo mkewe alikuwa hamuhudumii kisa mariam ndo maana mwenzie kamfanyia hvo ili amtaje hyo mariam anaemuona wa maana
@MCBTv-el3kh3 ай бұрын
🤣Haongei wala kutikisika kamtaja vipi tena mariam. Millard imekaeje hii mkuu.......wew mtu muhimu bhana habari zako....iweke sawa hiyo
@hajraissa50893 ай бұрын
Amekata kauli asubuhi ya siku yapili
@user-wq8kw7wb1n3 ай бұрын
kama vile yesu alivyo hai nakuombea rehema mungu akusamehe akurudishie ufaham kwa jina la yesu uwe mzima uwe mzima
@zaidiissa37143 ай бұрын
Je mungu unamuweka upandegani kama yesu anaweza kutenda kilakitu je mungu anaweza kutendanini??
@andrewmhagama98163 ай бұрын
@zaidiissa3714 Mamlaka ya mbinguni na duniani amepewa yeye..kama ukisema mungu ni mungu yupi kuna watu wanaabudu mpaka ng'ombe,miti mashetani. Na ata tembo na wanasema mungu, sasa ili upokee uponyaji wa aina yoyote unatakiwa uliite jina la Yesu Kristo pekee ndilo lenye Mamlaka.
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeen Ameen@@andrewmhagama9816
@GodfreyOsward3 ай бұрын
Tuwe tunatoa vifungu vya neno la Mungu la bible, watu wengi wamelishwa ujinga Unakuta hatujui vitabu vyetu vya dini Zetu. Tumekariri kama kasuku hatari imani ikiwa kwenye lugha za kigeni. Umungu wa Yesu ni tatizo kuelewa. Hata hivyo huyo ndiyo mpinga kristo mwenyewe.
@julianamwamgogwa3 ай бұрын
Amina
@victorianganyagwa24673 ай бұрын
Wanaume mmezd jmn kutumia wtt wa wt n kuwaacha cyo buree kbx Mariamu wwww Tunyoooshee Mtu iwe fundisho n kwa wanaume wengne mmezd me xjaon ht hrma akome tu Mariamu ppt ulipo chukuwa mauwa yako😂
@user-pi8vf2vp3i3 ай бұрын
😂😂😂
@kabhikachambala33923 ай бұрын
Haha.. kwa nini agande na mwanvuri... Yani amejiandaa asinyeshewe wala asipigwe na jua. Mambo ya ajabu anampigia kampeni mganga atakaekuja kutumtoa ...huo ni mchungo
@user-sv6zy3hc8o3 ай бұрын
Jamani acheni utani mana ukisema ni dogo sema halija kukuta
@user-cv7vm1mx9d3 ай бұрын
Kuna mganga atakuja kumtoa
@enockmaige89362 ай бұрын
Siku tano
@khadejarajab80073 ай бұрын
Mariamu popote ulipo mtengue mwenzako hiko kitu ulicho mfanyia
@siamnyone84033 ай бұрын
😂😂😂Uwez elewaa
@user-gk7cu2ie7f3 ай бұрын
Staki
@solomondanny-15073 ай бұрын
Anajulikana mbona huku kwetu Katesh.
@solomondanny-15073 ай бұрын
Mariam anayetajwa anafahamika sana huku Katesh.
@AbdullaSeifKhamis-tv4zq3 ай бұрын
Mariyam ni mamayake Issa
@MohamediAthumani-ub8nn3 ай бұрын
Mungu amwepushe na Hilo
@EliatirishaKaayaАй бұрын
.mungu mponye you kaka awe mzima jaman
@NeemaSamweli-zo7zi3 ай бұрын
Mmh hii Kali ya mwezi jomon 😂😂😂😂 Mariam jamn, sameh mana ujui nawe mungu amekupangia hukumu gani na Kwa njia gani ples letdwn 4hm
@StimaOfficial3 ай бұрын
Anahitaji kupelekwa maombi sio tatzo la hospital hilo. Yupo Mungu afanyaye mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya
Wew mwenye akili ungekua nazo ungejitahd uwape ata watoto wako mwehu ww
@elinapetro71363 ай бұрын
@@neemakungule8633 mnatufatilia sana mmbwa nyie utafikiri tunashea msikiti fyuuuuu shetani wenu anawapeleka puta sana mwambieni kabisa hakuna kitakachobadilika yesu ataabudiwa siku zote za Maisha ya mskristo kwaiyo tulizeni vijambio vyenu
@Mariam-ke4og3 ай бұрын
udini umeingiaje hapo ?
@East_Africa_1203 ай бұрын
We toa ujinga wako apa
@moseschrislumole24963 ай бұрын
Huyo meneja wa kampuni ya ulinzi...anavyotaja Maria nmekumbuka JUAKALI wazee hawa kina maria mkae nao mbali mtakuja kunishukuru😢
@user-jr3mo3je3k3 ай бұрын
Hahahaaaaaaaaaa jmn Mariam
@justice6073 ай бұрын
Huyu jamaa nnaomba huyo ndugu yake amlete Kanisa la Vuka Yordani Kisongo waya kwa Askofu Elibariki Sumbe, atapona kabisa nakuendelea na shughuli zake
@Revelation1412.3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Siyo kwamba wamuombee tu kwa JINA LA YESU KRISTO apone Lazima aje huko yordan
@mamachris68113 ай бұрын
@@Revelation1412.Tangazo la biashara 😂😂😂😂
@mwanduelizabeth22823 ай бұрын
Daaaa jamani walimwengu wabaya sana.Aliyemfanyia hivi yupo amekaa ametulia tu anafurahi.Kumb la torati 28:7 inasema Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako watakutokea kwa njia moja nao watakimbia mbele yako kwa njia Saba.Bwana Mungu akashughulike na aliye fanya Jambo hili kwa huyu kaka.
@lucymbuma6813 ай бұрын
Jamm mungu atusaidie jmn
@asteriashios18523 ай бұрын
Mariamu huyo anafahamu alilolifanya
@user-ty2kc5jy7s12 күн бұрын
Hata Arusha aliwahi kuganda mmoja pale metropole 😂😂
@FatmahPwatati3 ай бұрын
Lailah illah allah muhammad rasurullah,allah mwema atamxaidia
@Theironrod93733 ай бұрын
Serekali itasaidia nini hapo… kila kitu serekali serekali… hii ujinga wetu utatutoka lini… huyo mtu mpelekeni kwenye maombi tu atapona hayo ni mapepo tu.. wala hajachanganyikiwa.. bali amechanganyiwa madawa tu…
@user-lb1nr2fw7tАй бұрын
Nimekoma kuwatongoza akina Mariam😂😂😂
@user-yq5uh1fr2p3 ай бұрын
Dunia imefika mwisho mungu tusaidie
@michelinemapendo66523 ай бұрын
😢😢😢khaaaa isimame tuchukeee😢😢
@jassontv53663 ай бұрын
Koma wewe Dunia haiwezi fika mwisho kwa vitu vya kijinga wewe
@rosehaule67653 ай бұрын
Wala.aijafika.mwisho watu ndio tunafika..wisho.matukio haya yalikuwepo yapo tangu zamanj ila.tu zamani watu walikuwa wachache Sasa huvi watu tupo wengiii.. si ushirikina wala nn anaumwa huyo aikili zimemruka uenda Mahalia tu wampeke hospital na wamuimbee au uenda anatafuta kiki tu😂 Mungu atamsahidia wampeleke hospital Imani za kishirikia ndio zinatufanya kumchelewesha mtu hospital matokeo yke anazidi kuumia angepqta tiba mapema anapona
@dayana5513story3 ай бұрын
imeniuma sana😢
@AnnaMichaely-yn2vmАй бұрын
Yesu amponye
@valentinanduku87183 ай бұрын
Damu ya Yesu kila eneo la maisha yngu
@Afsah90Ай бұрын
Damu gani jamani, yani vitu havina maana kabisa...muabuduni mungu acheni kuabudu kiumbe, abudu mungu aliekuumba na kuumba kila kitu
@user-ty2kc5jy7s12 күн бұрын
Kama hawezi kuzungumza chochote amemtajaje Mariam 😂😂
@michelinemapendo66523 ай бұрын
ODEMBA 😢😢😢😢MARIAM
@3Dee_513 ай бұрын
Mariam odemba aje😂😂😂
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
@@3Dee_51 jamani tuacheni tuko kazini 😂😂😂😂😂😂😘
@kekiplus1andonly3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mwaka ushaanza kuchanganya ata kabla june😂😂😂tutaona mengi
@kemmymartine4884Ай бұрын
😢😢😢😮Mungu wetu aliejaa Rehema uturehem
@PendoMatemba-ql1ng3 ай бұрын
muonee uruma huyo kaka mariam kama Amekukosea msamehe tu mkabidhi mungu kipenzi changu.
@MichaelMaro-hj7yo3 ай бұрын
Umejuaje Yuko kateshi Yale Yale MUNGU anawaona
@omanoman20443 ай бұрын
Et kapigwa na kituy kizitoo duuh
@Mina.153 ай бұрын
😂😂😂😂 mariam peponi haendi
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
@@Mina.15 tutawatangulia wote , tuachwe tuko busy 😂😂😂😂😂
@NeemaMamba2 ай бұрын
Mwiteni mungu atamponya mungu anaweza
@user-jn4vw5mv5sАй бұрын
Hii umeenda yahani hii Dunia Bado Kuna matukio yatatushangaza sana
@zamalisaide32093 ай бұрын
Mwenyezi mungu nimwingi walmaa atapona inshallah
@user-mu7ge1ky7u3 ай бұрын
Mpelekeni Kwa pastor Tony kapola......ataombewa hio ni mapepo hayana uwezo
@hidayaswai31193 ай бұрын
Apelekwe hospitali kwanza jamani labda celebral malaria
Wajina pole sana mungu akunasue kwenye mitego mibaya 😢😢
@DativaMbowe2 ай бұрын
Yesu ingilia kati ya maisha ya huyu kijana,
@user-gs1xl8nu1s3 ай бұрын
Jamni ndugu zangu tusisahau kama hizi ninyakati za mwisho ko chamuhimu ni kumuomba mungu peke yake
@eddynaingasian28133 ай бұрын
Amtaja Mariamu kimoyomoyo ama ...umesema haongei😂😂
@EmmanuelNyinyigwa3 ай бұрын
Liwalo na liwe pesa Kwanza mengine NI mengineyo. Uwoga wako ndo unaskini wako. Maria Yuko kazini
@user-eq2wg9hx6o3 ай бұрын
Kama muna maji ya mwamposa mnywesheni na mpakeni mafuta
@mithlaabdulrahim85663 ай бұрын
Ila mganga wa mamu aiseeee😅😅
@vesitinarevocatus73333 ай бұрын
Mchapeni bakora muone kama hatonyanyua iyo miguu😂😂😂
@FatimaFatima-bx8ez3 ай бұрын
Jamani pengine ni husda mpelekeni akasomewe kisomo cha husda😢ishaallah atapoa😮🎉
@ladislausngoyinde43843 ай бұрын
Umesema haongei, amemtajaje Mariam sasa
@ashuumuhammad82693 ай бұрын
Pengine Maryam amefanyiwa jambo na huyo mkaka ndio akaona afanye hvoo Maryam msamehe tenaaa
@PATRICKMICHAEL-pp5vo3 ай бұрын
Hes 23:23 SUV Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
@user-iz3sl6ul7f3 ай бұрын
Wewe dada mwogope mungu
@stevendavid80543 ай бұрын
Kwa jina la Yesu naaribu uchawi
@IbrahimJoji3 ай бұрын
Dam ya yesu inanena mema atakaa sawa
@MohamefMullah3 ай бұрын
Enyi wakristo hamujielewi au ni upendo kwa Yesu umezid, unapokutwa na msiba matatizo majanga huzuni hata furaha wa kutajwa) ima kwa furaha au huzuni na wakuombwa msaada ni M. Mungu peke yake sio yesu lbrahim wala Daud wacheni mihemko isiyo na tija
@user-em4zz3lh1h2 ай бұрын
Huyu mama mliyemuhoji anaMungu kwelikweli na Imani thabiti
@producercharlz25493 ай бұрын
Sasa kama haongei kamtaja vp mariam
@salmanassor87323 ай бұрын
Maryam jamanii imekuwaje tenaa baba wa watu 😂😂😂
@MiriamSamuelke3 ай бұрын
Life is spiritual
@pascalgasper4033 ай бұрын
Mariamu Tuoneshane Machaka Hayo😅😅😅
@Biharmbeauty3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@pascalgasper4033 ай бұрын
@@Biharmbeauty 😅😅
@KHAMIS_SHILINGI3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-sj3wf5vz7l3 ай бұрын
Mh manyara tena. Uchawi huo
@user-iz3sl6ul7f3 ай бұрын
Mwogope mungu ww dada
@DianaMaseke3 ай бұрын
Mleteni Dar es salaam kanisani .Ngomeni Kwa Kuhani Mussa Kila kitu kitajulikana hapo
@user-bk7de1jv3w3 ай бұрын
Wanawake jamn mbona mna mateso kwa watoto wa wenzenu MARIAMU ,ebu mgandue kaka yetu bhana ..jmn
@lilianurio97813 ай бұрын
Amepata mental health anahitaji doctor wakumfanyia cancelling na kumpa dawa
@MinskBelarus-il2tl3 ай бұрын
Hilo ndilo SULUHISHO, Mental health na Uchawi wapi na wapi😢😢
@wemaMichael-fr4th3 ай бұрын
wakina mariamu nao huwa wanashida jamani
@MaryhannahMembe-ok4gu3 ай бұрын
Jaman afanyiwe maombi na watumishi wa Mungu walio karibu nae, Yupo Mungu anaeweza Yale wanadam tusio yaweza.
@ListonElly3 ай бұрын
Wakwanza mm leo
@user-nt4ov4gl2o3 ай бұрын
akianani sikuizi akuna wanawake daa
@user-jb8bo2qw6r3 ай бұрын
Wenye uwezo wa kimazingara bado wapo hadi leo wanaoweza kumtoa mtu ndani na kulaza nje bila kujijfahamu,
@Happyworld-x3d3 ай бұрын
Hiyo ni moja ya dalili ya ugonjwa wa akili uitwao "CATATONIA" msaidieni apelekwe Hospitali ya Taifa ya MUHIMBILI ugonjwa huo unatiba zake tiali‼️
@HappyNanotechnology-bz4cn3 ай бұрын
Niuchawi jamani ila liko Jina la Yesu linaponya
@upendomtui65443 ай бұрын
Waganga wameshafanya kazi ya boss wao babaa wa uongo
@DativaMbowe2 ай бұрын
Mungu atunusuru wenye watoto wakiume 😢😢
@EmJesho3 ай бұрын
Duuh kwao tabora mm nliskia tabora ni noma uchawi inje inje
@RynoFiree3 ай бұрын
Music Producers kazi tunayo 😂😂
@chimamilion3 ай бұрын
Mariam nae asingempa mwamvuli wanaume wanazd sana
@zaitunirashidi55323 ай бұрын
😂😂😂😂
@adoniemanuel9083 ай бұрын
mpigieni nabii dominik kiboko wawachawi nahuyo mariamu namganga wake wanakufaa
@mwalimuissa59643 ай бұрын
Nitumie namba yake
@abiboseleman16493 ай бұрын
Ila hawa waganga hawa wanatutesa Sana dah akamwambia achukue na mwamvuli kbs😅😅😅
@user-ug4kq3je5c3 ай бұрын
Jamaniiii mariam mbona una roho mbaya
@fabilianothedecor33933 ай бұрын
Jina la yesu pekee ndo linaweza hakuna jina jingine juu ya hillo atapokea nguvu
@FredMwamgogwa-td6ni3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dunia inamambo aise😂😂😂😂😂
@martinemaganga52533 ай бұрын
huyo huenda alitembea na mke wa mtu au alimtapeli mwanamke
@aishafrancis77143 ай бұрын
Maisha yamempiga huyo anataka kuniharibia jina😂😂😂😂😂
@KissahMuywanga-ht1sj3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 we marium wewe, mgandue mwenzio
@fatmaabdallah77093 ай бұрын
Sasa siku 5 mnamuona mgonjwa wa akili anahangaika mmeshindwa kumpeleka hospitali?
@JosephSteven-pf1kf3 ай бұрын
Labda yawezekana kafanya makosa kwa marium au kutembea nae half kamuacha bila bila
@saidomary79303 ай бұрын
Ila Tanzania raha sana jmn😅
@vero573 ай бұрын
Lipa pesaa za watu , mariam ata kutegua , kheeee kazii kweli kweli