I love the song,na kila kitu!!! Mungu awabariki mnooo!!!hata Tulio mbal tunafanikiwa kuona vitu vya nyumbn!!!
@furahambughi49774 жыл бұрын
Safi sana. Katika sili yetu ya kiafrika kabisaaaa!!!! Mungu ashukuriwe, atukinge na korona, tuendelee kumtukuza!
@francissilayo.34574 жыл бұрын
Nimependa sana harmony ya wimbo hongereni sana i like the boys' dancing style
@lucyfey31354 жыл бұрын
Namiss kwenda kanisa sasa, catholic songs always on another high level,
@fidelcyprian57244 жыл бұрын
I like the moves by the two boys (youths),,, Mungu awabariki,,, the song is so sweet
@victoriaassey95063 жыл бұрын
Huyo mtunzi ni hatari!!! Kanikumbusha kl. Kwetu. Mungu awabariki.
@candimroso59624 жыл бұрын
Hongera kanisa katoliki popote dunian,wanakwaya mmeinjilisha vzr sanaaa
@stellamaris93964 жыл бұрын
Wimbo Safi sana...mungu awabariki
@yesunimwema44974 жыл бұрын
Amena amen, sisi tuliombali tukiona vitu vyakwetu,tunafalijika sana,twatamani kuludi😭,ila yote ni mapenzi yamungu🙏🙏🇧🇮
@alfredibrahim92512 жыл бұрын
Yani nikiwa kama hapo hata njaa huwa sihisi hongereni sanaaa
@danielotieno23314 жыл бұрын
tafadhali naomba kujua jina la wimbo huu...its wow
@morisichonanga78544 жыл бұрын
Asante saaaana sasa kuna wimbo waliimba wanakwaya wa Kahama nao tuna uomba tuusikie
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/Z8mHZ7iYmdqqZ6M.html
@felichesmiurassa60484 жыл бұрын
Big up
@Lukas-nc8fp2 жыл бұрын
Good
@salomemaina3124 жыл бұрын
Love it all the singing and everything done kwa mpango
@franklaurent2164 жыл бұрын
Safi
@candimroso59624 жыл бұрын
Inapendeza sana
@albertaugustine90764 жыл бұрын
Amina
@asteriambwei33494 жыл бұрын
Wapi hiyo nimeipenda nimecheza mwenyewe hadi jasho likanitoka
@austinmabele31324 жыл бұрын
Eeeh Mungu wetu tukumbuke utuepushe na hili janga la korona.
@samuelbahatisimbiliabo51193 жыл бұрын
Bsr
@elizabethmwangimaina74184 жыл бұрын
Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen Kenya Amen Kenya Amen Kenya Amen Kenya Amen⛪⛪⛪🕊🕊🕊🙏🙏🙏
@macmassau19944 жыл бұрын
Umenikumbusha siku ya kusimikwa Baba Askofu hao vijana wa utamadunisho walikuwa kivutio
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/Z8mHZ7iYmdqqZ6M.html
@deuskahiula3623 Жыл бұрын
0
@barnabacharles78644 жыл бұрын
Naomba nota za wimbo huu jaman msaada mwl Barnaba kutoka Jimbo kuu Dodoma 0714320544
@respickiusgordian5554 жыл бұрын
wanakwaya wa jimbo la moshi naomben nota za huu wimbo 0673969844
@damianeligy59644 жыл бұрын
Asante admn, ila itakuwa vizuri ukiweka ibada yote
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Ibada ipo tayari itakua hewani jumanne
@dennismalima53654 жыл бұрын
Admn pia ni vema muwe mnatujulisha ni kanisa gan holy congregation wap imefanyika
@francisemanuel25394 жыл бұрын
@@dennismalima5365 moshi mapokezi Askofu Minde aliukuwa kahama ndo kaletwa moshi Kristo Mfalme
@arnoldjohn34344 жыл бұрын
@@dennismalima5365 Ilikuwa ni Misa Takatifu kwa ajili ya kumsimika Askofu mpya wa Moshi Askofu Joseph Minde . Ibada ilifanyika katika kanisa kuu la jimbo la Moshi " Kristo Mfalme"
@damianeligy59644 жыл бұрын
@@KANISAKATOLIKITANZANIATEC mlisema mtaweka Ibada yote Jumanne lakini hadi sasa hamna chochote
@justinkikoti82184 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana samahani mtunzi ni nani kama nitaweza pata nakala yake kupitia email: mgaikilagano@gmail.com