TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO SPIKA TULIA SAKATA LA BASHE NA MPINA | UNDENI KAMATI KUCHUNGUZA KASHFA

  Рет қаралды 22,757

RAI TV

RAI TV

22 күн бұрын

Пікірлер: 51
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g 20 күн бұрын
Watanzania, tusome katiba ya nchi na sheria zetu na haki zetu kwa makini; tutajitambua na kutambua uozo uliopo !
@mwanahamisially7385
@mwanahamisially7385 8 күн бұрын
KudKiadakia ndo zenu kitu bomba tulia
@zamukahemele1505
@zamukahemele1505 17 күн бұрын
Msigwa nakukubali sana ila kwa leo sijakuelewa kupinga miradi mikubwa yote
@stanleymanya438
@stanleymanya438 17 күн бұрын
Mchambuzi wa tuyaomayo😂😂😂😂😂
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 19 күн бұрын
KWELI MSIGWA AMESEMA CHADEMA HAMJITAMBUI
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 19 күн бұрын
Mpaka wananchi wanawashangaa
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 19 күн бұрын
AU TUWAITE CHAMA CHA KUDAKIA MADA
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 19 күн бұрын
KILA KITU MNAPINGA , HADI MNAJIPINGA WENYEWE
@helenakamenya8680
@helenakamenya8680 19 күн бұрын
Machoko ya ccm
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 20 күн бұрын
Kumbe hata mapenzi ni wenda wazimu?😂😂😂 Maana kila siku tunafanya njia ileile.
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 20 күн бұрын
Tundu Lisu Luhaga Mpina ana ugomvi mkubwa sana serikali kwa hiyo mambo yote aliyotoa ushahidi wa utapeli wa sukari Mh. Bashe anajua sana ni nani aliyekuwa anamuingilia kwenye maamuzi yake sasa na yeye anaona ni bora kukaa kimya.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 20 күн бұрын
Huo ugomvi ulianza lini, wajinga wengi hii nchi
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 20 күн бұрын
😮 ujielewi
@dhamirshariff9415
@dhamirshariff9415 20 күн бұрын
muache ujinga chadema spika kaongea kila kitu kuna taratibu na sheria za bunge muache ujinga nfio maana mnaitwa nyumbu
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 20 күн бұрын
Anatakiw kujbu hoja Sasa kaongea nn
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 20 күн бұрын
Mpina kuongelea inje ya bunge Yuko sawa kulingana na Sheria coz mpina ni mbunge na anawakirisha wanainchi wake Yuko sawa kufanya alicho fanya lakini pia utambuwe madaraka ya sipika yanaishia bungeni na siyo inje ya bunge inje ya bunge kunawatendaji wengine kama Waziri Mkuu na viongozi wengine hivyo alitakiwa kufanyia kazi ya ripoti ya mpina kuhusu kesi hii ya uhujumu uchumi. So watanzania amkeni
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 20 күн бұрын
Mpuuzi ujui Sheria tuliza matako
@lemuelrugumyamheto5094
@lemuelrugumyamheto5094 19 күн бұрын
​@@emanuelmkama1325p
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 19 күн бұрын
Jumakilinja,umesahau kiwa Lisu Ni mke wa wabelgiji
@festokemibala5832
@festokemibala5832 18 күн бұрын
Hizi ni lugha za waliofilisika. Kama huna hoja ni bora ukaunusuru mdomo wako kusema najisi😮
@yusuphahmed-yt5gg
@yusuphahmed-yt5gg 20 күн бұрын
😅😅😅
@festokemibala5832
@festokemibala5832 18 күн бұрын
Sukari dsm sh 2,800/- wakati bk sukari sh.3,200/-. Dsm hakuna kiwanda wkt Kagera kuliko na Kagera sugar just 60kms kutoka mjini sukari yao is more higher than walioko 1,513km yaani dsm. Wako wapi akina Rweikiza, Meijage na Bashungwa?
@lusupi
@lusupi 6 күн бұрын
Sisi wahaya tunaiomba serikali ipandishe bei uku kagera ifike 5000
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 20 күн бұрын
Sasa mnatafuta njiea mtukanane
@umlaith5202
@umlaith5202 19 күн бұрын
Ana wazimu huyu Mzee
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 19 күн бұрын
We unaelewa hii nchi ilivyo au inavyoenda au unacoment tuu
@helenakamenya8680
@helenakamenya8680 19 күн бұрын
Unafilwa wewee huko ccm
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 19 күн бұрын
Mchungaji Msigwa, akili yake ni ndogo
@monicamwita7865
@monicamwita7865 18 күн бұрын
Ya kwako 0 bore Beyer ndongo
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 20 күн бұрын
Nyie mnaomtukana lisu ni mashoga
@robertphilip385
@robertphilip385 20 күн бұрын
Mazkini ya mungu Lusu anatuelimisha lkn hatusanikitu watanzania stukeni ccm haifai Tena tujaribishe chama kingine
@hajihassan5433
@hajihassan5433 18 күн бұрын
​@@robertphilip385 Nchi hatuwezi kuwapa watu wajaribie. Watushawishi vizuri tuone uwezo. Ni kweli tumeichoka sana CCM lkn Wapinzani nao hawajaonesha uwezo.
@robertphilip385
@robertphilip385 18 күн бұрын
@@hajihassan5433 kwahiyo unataka akutongoze iliuone amekushawishi acha upongo ww
@petermogha7025
@petermogha7025 20 күн бұрын
CDM rushwa. Yenu. Umeu da tume
@henryndosi2002
@henryndosi2002 20 күн бұрын
Shoga linademka kurukia matukio
@WillisonFarasa-rh7eh
@WillisonFarasa-rh7eh 20 күн бұрын
ndugu unaishi nchigan kaka huna cha kuandika kaakimya inatosha
@henryndosi2002
@henryndosi2002 19 күн бұрын
@@WillisonFarasa-rh7eh huyu tundu mwenyewe. ni mbeligiji Hana lolote
@aidanmgimwa5459
@aidanmgimwa5459 20 күн бұрын
Muacheni Bashe alikuwa sahihi kabisa tumezoea Sasa zenu zisizo na mafanikio
@Peaceman185
@Peaceman185 20 күн бұрын
Acha ujinga
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 20 күн бұрын
Zero brain
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 20 күн бұрын
Jinga sana
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 20 күн бұрын
Unanunua Sukali Shilingi Ngapi Mkuu...Hii Nchi kuna watu wengi ni vilema wa Ubongo Sana , hata ukiwapa elimu wanabaki kua wajinga
@Mpendahaki
@Mpendahaki 18 күн бұрын
Tanzania hakuna bunge ispokuwa Kuna kusanyiko la wahuni ukimwondoa mpina.bunge kibogoyo
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 19 күн бұрын
Lisu sheria alisomea wapi maana ni kilaza haswa
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja 18 күн бұрын
Zaid yako
@monicamwita7865
@monicamwita7865 18 күн бұрын
Kilaza!? Jitafakari akilizako zikoje?
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 19 күн бұрын
KWANI CHADEMA HAMNA JAMBO LA KITAIFA LA UZALENDO , KULIKO KUDANDIA MADA AMBAZO HAMNA USHAIDI NAZO
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 19 күн бұрын
FUNDISHA WATU KULIPA KODI ACHA KELELE
@helenakamenya8680
@helenakamenya8680 19 күн бұрын
Machoko ya ccm
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 19 күн бұрын
@@helenakamenya8680 Nakushauri weka point haya mambo hayaitaji hasira , sababu ni maisha yetu uzalendo kwanza ndugu yangu penda nchi yako hatuna nchi nyingine zakuambiwa changanya na zako , kibali kataa CCM ndio inatufanya angalau tutumie huo mkate mdogo uliopo iyo mikubwa mnayotaka nyie tutapaliwa tukose pa kwenda tuache tamaa SEMA SSH MITANO TENA 5
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 100 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 46 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН
Nach Wahlsieg von Labour: Starmer ist neuer britischer Premier
9:17
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 1,5 МЛН
😁💸 @karina-kola
0:16
Andrey Grechka
Рет қаралды 3,5 МЛН
i respect girl #respectshorts #respect
0:32
Movie Copy
Рет қаралды 25 МЛН