UFAHAMU MJI ULIO KAA KAMA NCHI INAYO JITEGEMEA NDANI YA AFRICA KUSINI.

  Рет қаралды 797

NIANIMAARIFA

NIANIMAARIFA

Жыл бұрын

Mji huu unapatikana kaskazini mwa mji mkubwa wa Cape Town huko Afrika Kusini, mpaka mwaka 2020 idadi ya watu katika mji huu wa Orania ilikadiriwa kuwa 1800. Ingawa sensa ya mwaka 2001 ilionesha Mji huo kuwa na watu 481, na mwaka 2011 wakawa watu 892, mwaka 2016 wakawa watu 1,305 na mwaka 2018 wakawa watu 1,602.
Mji wa Orania ulianzishwa mwaka wa 1991. Mji huu uliundwa wakati wa miaka ya mwisho ya ubaguzi wa rangi na mtaalamu wa Kiafrikana aliye itwa Carel Boshoff Snr, aliye kuwa mkwe wa Waziri Mkuu wa zamani wa Afrika Kusini aliye itwa Hendrik Verwoerd aliye tawala kuanzia mwaka 1958 na kuuwawa mwaka 1966 katika mji wa Cape Town mara baada ya Uchaguzi........ Endelea!

Пікірлер: 1
@BALEKECH2770
@BALEKECH2770 Жыл бұрын
Akika wazungu watazidi kututawala sana
Similarities Between Arabic and Swahili
24:48
Bahador Alast
Рет қаралды 234 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 40 МЛН
Crossing the Zambia Tanzania Border Nakonde -Tunduma
7:03
Mila Africa
Рет қаралды 3,5 М.
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Makambakotc
Рет қаралды 9 М.
SIFA ZA WACHAMUNGU  JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:20
arkas online tv
Рет қаралды 29 М.
Mshike Elimu By Fortune Shimanyi - Sekondari ya Wasichana Collegine,
3:53
Sekondari ya Wasichana Collegine
Рет қаралды 4,8 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42