Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa:Zijue aina za nyasi/malisho kwa ajili ya ng'ombe wa nyama na maziwa

  Рет қаралды 15,152

MKULIMA SMART TV

MKULIMA SMART TV

2 жыл бұрын

Aina za nyasi kwa ajili ya malisho ya Ng’ombe wa Maziwa
Kuna njia nyingi ambazo wakulima wanaweza kupata pesa kutokana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
Unaweza kutengeneza pesa kutokana na kuuza samadi, ndama wako, na muhimu kabisa uzalizaji wa maziwa mengi.
Kuwekeza kwenye ng’ombe wa maziwa kwanza unahitaji kuorodhesha gharama zote utakazokumbana nazo. Hizi ni pamoja na :
Banda la ng’ombe
Vifaa vya kukama maziwa
Lishe: Unaweza kupanda malisho kama Calliandra na Napier kwenye shamba lako.
Madini ya kuongeza
Daktari wa mifugo na ada za madawa.
Uandalizi wa chakula cha ng'ombe wa maziwa kwa njia ya kisasa
MALISHO YA NG'OMBE WA MAZIWA WA KISASA
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA
Ng'ombe wa Maziwa -
Fahamu ni aina gani ya ng'ombe wa maziwa
Ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA ASILI
Ufugaji Bora wa Ng'ombe wa Maziwa
ufugaji-bora-wa-ng-ombe-wa-maziwa
Bodi ya Maziwa Tanzania yawataka wafugaji kuwekeza ...
bei ya ng'ombe wa maziwa 2020
chakula cha ng'ombe wa maziwa pdf
bei ya ng'ombe wa maziwa 2020 tanzania
bei ya ng'ombe wa nyama 2021
malisho ya mifugo
ngombe wa maziwa arusha
ng'ombe wa maziwa mbeya
bei ya ndama wa maziwa

Пікірлер: 15
@revkomutv7533
@revkomutv7533 Жыл бұрын
I watch it everytown
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 2 жыл бұрын
Ndama shilingi ngapi? Jamani.
@fredrickrwamahe
@fredrickrwamahe Жыл бұрын
Trekta kama Hilo linapatinaje na bei yake ikoje?
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 жыл бұрын
Napata wapi majani haya, nipo dar.
@umyazinkath167
@umyazinkath167 Жыл бұрын
Mbegu ziko wapi
@mukaimamagina3554
@mukaimamagina3554 Жыл бұрын
Nahitaji ng'ombe nampaje? Nipo dar es salaam
@denismisango2811
@denismisango2811 2 жыл бұрын
supper Napier grass zinapatikana wapi
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
KARIBU SANA
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 2 жыл бұрын
POA SANA
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Munacho mbegu za Brachiaria ?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART Жыл бұрын
Ndio.Tuma ujumbe Whatsapp
@denismisango2811
@denismisango2811 2 жыл бұрын
super napier grass zinapatikana wap hapa Tanzania
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Hiyo ndio nyasi gani
@jamesjohn9160
@jamesjohn9160 2 жыл бұрын
Naweza kupata wapi Mbegu za Nyasi
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Mbegu ipo nyingi tuma ujumbe Whatsapp 0713178868
Nimejenga Majumba kwasababu ya Mifugo
6:34
Kopkop TV
Рет қаралды 20 М.
UFUGAJI WA KUKU WA KISASA
2:32
MKULIMA SMART TV
Рет қаралды 224
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 32 МЛН
How to make maize and surface silage by hamiisi semanda +256773343283
11:11
KIPINDI:  MWONGOZO WA MALISHO
29:10
mifugouvuvi Online Tv
Рет қаралды 4,6 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 229 М.
THE BEST LOW COST FEEDLOT CONSTRUCTION by Natwijuka Brian 0789491350
9:10
NATWIJUKA BRIAN FARMER
Рет қаралды 23 М.
Urimi wa ng'ombe cia nyama
32:31
Inooro TV
Рет қаралды 919
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН