Kujinga na mafunzo ya ufugaji wa kuku kibiashara,wasiliana nasi 0764 148 221
@maryamsuleiman6340Ай бұрын
Hongera mwanangu Mungu azidi kukupa nguvu na Moyo ulionao ,mana vijanawengi wanasubiri Serikali iwaajiri ,nahulojambo siorahis , hatamimi mamaako napendasana mifugo ila ninashindwa naulishaji mana uwezosina
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Ahsante Sana kwa Elimu, Mfugaji mtarajiwa Nipo njiani🙏.
@kibibimimi3927 Жыл бұрын
Mungu akutunze kijana Amiiiin
@edsonnelson446410 ай бұрын
Ufugaji ni mzuri ila changamoto yetu huku kwetu ni pamoja na wizi sijui wenzetu mnalishughulikiaje
@emilianabernard42405 ай бұрын
Asante kaka Kwa elim, Niko njiani kufuga kuku na mm, subiri mrejesho wangu
@RubabaTv5 ай бұрын
Wasiliana nasi tukusaidie 0764 148 221
@user-sy6jr8oz5m4 ай бұрын
Bigg up xan kjan uskate tamaa nataman nkutan nawe maan hat me nataman xana kufuga npo mwanza kwimba
@ReginaMasogo3 ай бұрын
Asante kwaelim hii ya ufugaji
@user-jm6jt5tm9x11 ай бұрын
Hongera sn kjana mpambabaji
@ZaitunSaiddy2 ай бұрын
Nakubali nimejifunza kila kitu kinawezekana ata nami nina ndoto izo
@annamwinuka5898 Жыл бұрын
Namaliza chuo soon nitafanya hvo bro big up 😊🙏
@ualimuwakiroho571610 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na elim uliyotupa
@dionisiamvungi16 күн бұрын
Naomba mnijuze aina gani jaman
@aidanfrancis7209 Жыл бұрын
Kaka hongera Sana! Naomba kupata namba zako mwezi August nikija mwanza nifike kujifunza kwako kwa kuona.
@dionisiamvungi16 күн бұрын
Jaman nahitaji kufuga kuku wa mayai nipo Arusha.
@dionisiamvungi16 күн бұрын
Naomba mnijuze aina gani jaman.
@RubabaTv16 күн бұрын
Wasiliana
@DanielRobert-un9pe4 ай бұрын
Safi sana
@aishahabib2837 Жыл бұрын
rubaba tv 🙌🙌
@johnmuna7428 Жыл бұрын
Good boy
@ubworozibugezweho7985 Жыл бұрын
Asante sana nawapenda kutoka🇷🇼
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante tunakupenda pia
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Naomba no ya huyo Kaka jamani nimefuga croiler hakuna nilichoambulia zaidi ya hasara
@aloycejeremiah7137 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@user-np8lv6sr3x2 ай бұрын
Engineer machemko nimekubari uzalishaji wenu wa kuku
@rockyjr6314 Жыл бұрын
Sam piga kazi kijana
@godfreymabula68583 ай бұрын
Hzo nywele asee unazingua, Vaa hata mzula asee
@nicodembrown75082 ай бұрын
Dogo sam yupo safi
@mwesigebandio99479 ай бұрын
Napataje mashine ya kuparaza Chakula Cha kuku
@user-nn3dt4ei1h Жыл бұрын
Bro ur namba ako tafadhari
@mussamatondo4886 Жыл бұрын
Vipi naweza kukutembelea ndugu yangu ata Mimi nampenda sana ufugaji
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana. Nasi 0764 148 221
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Jamani Mimi nilfuga kuku 120 Tu Ila mpaka wanafikia miez 4 nilikuwa nimetumia m2,nikaamua kuwauza kwa bei ya hasara maana hawatagi
@vinnybway475010 ай бұрын
@@lifeinmiddleeast8179 ulifuga kuku aina gan
@ibrahimmagere5545 Жыл бұрын
Hao chotara unawezaje kuwauza mara mbili ndani ya miezi sita?
@RubabaTv Жыл бұрын
Ndio
@MateiDanieli-nh6el10 ай бұрын
Nimewaellewa ni mefulaishwa
@dieukingman26532 ай бұрын
Mimi nipo usa 🇺🇸 na ninahitaji kufuga ila sina elimu kuhusu ufugaji na sijui ni wapi sehemu sahii ya kufugiya usa au Africa kama tz Kenya na burundi
@RubabaTv2 ай бұрын
Wasiliana nasi tukusaidie kwa kila hatua +255764148221 whatsup