UKIZIONA DALILI HIZI 4 NI TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 23,908

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 76
@zenarajabu3624
@zenarajabu3624 Жыл бұрын
Nmepitia changamoto nyingi na kubwa ila sijawahi kukata tamaa nawashauri ndugu, jamaa na ma rafiki msikate tamaa kwani Kuna maisha baada ya changamoto zote.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Asante Joel mungu akupe uzima2023 ufike mbali na utufundshe zaidi,karibu kuwajibu watu kwa wakati wengine wapo kwenye dalili izo Sasa ivi,
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Mungu akulinde ili tuendelee kupata mafunzo mazuri pia tutimize malengo yetu.thanks brother.
@zakayooranga2894
@zakayooranga2894 Жыл бұрын
Extreme Negative Feeling... Ni moja kati ya vitu vinanisumbua sana. Nahitaji msaada katika hili Coach!
@mudathiral-gh1bo
@mudathiral-gh1bo Жыл бұрын
Asante broo mungu akulipe kheri kwa elimu yako unoifikisha kwetu
@joycemugaka3039
@joycemugaka3039 Жыл бұрын
Hili somo la kwangu nilipitia Hali hiyo asila ilikua inapitiliza ,ni boss alinizababisia hiyo kazini alinikandamiza vibaya bt niliajila mungu alinizaidia nikaajilia saaii nimeanza kurudi kawaida
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Umenimbusha mbali Sana Leo lkn mungu ni mwema sana
@justinmganiwa2790
@justinmganiwa2790 Жыл бұрын
Video zoooote za Joel nanauka Zina alama nyekundu kweny my u tube
@joaneslaurent5896
@joaneslaurent5896 Жыл бұрын
Much blessings to you sir
@ramadhanbashir8484
@ramadhanbashir8484 Жыл бұрын
Kutokana na Elimu hii nimegundua tupo wengi wenye Ugonjwa wa akili ndani ya Dunia hii na wakiwemo viongozi wengi pia .
@immaculatajacob3677
@immaculatajacob3677 Жыл бұрын
Thankyou Joel🙏
@jacobkilimba748
@jacobkilimba748 Жыл бұрын
Waiting
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukran 📚📚📚
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Nilipitia hicho kipindi nilikosa usingizi sana kweli kbs alhamdulillah now Niko poa mungu ni mwema ukuweke uzidi kutuelimisha
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Mimi napitia mpka nimeze dawa ndio nilale we ulifanya nini my
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
@@dullahtechtz3422 zilikuwa stress za maisha lkn alhamdulillah niliweza kubadili maisha now poa kbs
@MsigwaLAT
@MsigwaLAT Жыл бұрын
Naomba kujua njia uliyoitumia naamini nitumie dear
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
@@MsigwaLAT nilifokasi kufanya kazi Kwa bidii ndugu
@nasrachaya
@nasrachaya 10 ай бұрын
​@@dullahtechtz3422mi mwnyw nlkuwa nakunywa dawa daaahh😢
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 7 ай бұрын
Thanks very much sir
@kudeshifilm6997
@kudeshifilm6997 Жыл бұрын
waiting😊😊
@kifuramukono6330
@kifuramukono6330 Жыл бұрын
unanibariki sana, Mungu akubariki
@omarjuma1794
@omarjuma1794 Жыл бұрын
#JoelNanauka Jenius by Discovery
@shukransanga1040
@shukransanga1040 Жыл бұрын
Amen
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@user-op3dl2sr3g
@user-op3dl2sr3g 5 ай бұрын
Asant kwakutufundisha Mungu akubarik. Mimi kunabaadhi ya mambo yananihusu hapo nimefikia wakat napoteza haha kumbukumbu
@johnsonjoseph1960
@johnsonjoseph1960 6 ай бұрын
Mimi niko kwe hoyo hali mpaka sai nakosa hamu yakula na ninalala sana naniko na mawazo hasi
@BHaT-pb7ch
@BHaT-pb7ch Жыл бұрын
Nitaishi kukuelewa siku zote kaka. Mungu akubariki
@adrianrichard7383
@adrianrichard7383 Жыл бұрын
Daah hakika Mungu akuweke maana yote yako kwangu
@TravoriusShimbax
@TravoriusShimbax Ай бұрын
Napitia iyo changamoto
@josej9888
@josej9888 Жыл бұрын
Ukiona hakuna mtu ambaye anaweza kukusaidia, utafanyaje ili ujisaidie mwenyewe?
@MsigwaLAT
@MsigwaLAT Жыл бұрын
Namimi nasubiri jibu la hili swali lako
@rukianassoro503
@rukianassoro503 Жыл бұрын
mtumishi tusajibu apa
@prospermaro8800
@prospermaro8800 Жыл бұрын
Kutokana somo lako mwalimu nimejifunza kitu
@bbs9030
@bbs9030 Жыл бұрын
Na Mimi hali hyo inanipata
@user-qw2fv1uz6n
@user-qw2fv1uz6n 10 ай бұрын
Mimi pia,shidahiyonahic,ninayo,naombaushauri,zaidiiliniwe,sawa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙌🔨
@user-gx4bz5zc3p
@user-gx4bz5zc3p 6 ай бұрын
Yuko mama mmoja Ana sumbuka Sana Yani kula alinvizuli napia kula dakika Ana badili Sana nguo maana kilanguo anayo ivaa Ana Ina aimfai na pia Ana shutumu watu Wana mloga
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
Nilivurugwa hadli nikapoteza mapenzi ya kusoma vitabu.
@user-ub5iy1bq7e
@user-ub5iy1bq7e 6 ай бұрын
Good
@prospermaro8800
@prospermaro8800 Жыл бұрын
Kitu kikubwa Sana kwa habari ya mahusiano/ndoa yangu
@user-vx9vx2xv3i
@user-vx9vx2xv3i 6 ай бұрын
Je ufanyaje kama una hayo uliyoyazungumza😢
@jumashedafa
@jumashedafa Жыл бұрын
Somet hiz ni dalili za sonona(depression) au stress( msongo wa mawaz)...ambaz baadae hupelekea afya ya akili ukishindwa kuvuka ktk hiy stage ya sonona
@mulhathamadomar4451
@mulhathamadomar4451 Жыл бұрын
Sir Joel Nanauka Yani Hii Ni Yng Kbs Km Vile Umeingia Ktk Mfumo Wng Wa Akili Hizi Dalili Zote Niko Nazo . Naomba Unisaidie Ktk Hili Km Kuna Kitabu Chenye Njia Ya Kulitatua Hili Bs Npo Tyr Au Kitu Gn Nifanye ?
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Pole Sana ata Mimi niliwai kuwa Kama wewe baada ya kuachwa na kukimbiwa na mwenzi wangu,nilikutana na click ya Joel ya JINSI YA KUONDOKA na stress ya huyo Joel,2) Nenda faragha ambalo akina watu pa kimya inama mpaka kwenye ardhi weka uso wako Chini muite mungu akuondolee unachopitia,sema Dear God🙏🙏nilitmia njia izo karibu usipuuzie,
@IreneMlwale
@IreneMlwale Жыл бұрын
Napitia sana hiyo situation mpk inafika time nawaza ni bora nijiuwe tu nakataa tamaa kabisa hakuna kit kinaenda sawa kwangu
@ferrotechafricaltd
@ferrotechafricaltd 7 ай бұрын
Pole sana dada Mungu akusaidie ila nikutie moyo hakuna magumu yasiyo na mwisho
@SizzoSela29-sh8nz
@SizzoSela29-sh8nz 6 ай бұрын
Yani Mimi napiga vitu natamani kujijuwa nifanyeje sasa
@MwanaasiaKassimu-nt6jd
@MwanaasiaKassimu-nt6jd 28 күн бұрын
Habari hiyo changamoto mm niko nayo naomba msaada
@sylviacornely4688
@sylviacornely4688 Жыл бұрын
hata mm Nina hasira sana nomba msaada wa kupinguza hasira na mtazamo hasi
@mayombotz
@mayombotz Жыл бұрын
Nina dalili 3 kati ya 4 zilizoko hapo nimeanza kuligundua hiloo😪
@albertkarakha4364
@albertkarakha4364 Жыл бұрын
Mama wangu mzazi ana tatizo hilo,na tumejaribu Kila aina ya matibabu mpaka tumeshindwa naomba unisaidie.
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 10 ай бұрын
Ngoja nicheke kwanza😂😂😂
@gabbyedward4079
@gabbyedward4079 10 ай бұрын
Ahsante kwa darasa zuri Ndugu Joel Katika hizi dalili ulizozitaja..! Kuna dalili ambazo zimegusa sehem ya maisha ninayoishi kwa sasa. Mojang iwapo ikiwa ni kulala kupitiliza La pili ikiwa Kuwa na msongo wa mawazo uliopitiliza pamoja na kuwa na hofu. Hivi vitu vinanitesa sana sehemu ya maisha yangu Naomba msaada wako Kaka yangu
@Georgemorisiamani-oy3hf
@Georgemorisiamani-oy3hf Жыл бұрын
Bwana asifiwe mtumishi nifanye nini mana dalili Moja wapo kati ya izo ninayo
@user-ke6zu7lj6z
@user-ke6zu7lj6z 6 ай бұрын
Kiongozi dalili km mbili ninazo tena km la hofu ndo linanimaliza msaada wako plz naelekea kubaya plz plz
@barakamyouyouhave594
@barakamyouyouhave594 3 ай бұрын
kaka mimi nina tatizo kuna mda huwa napata hofu na huwa najisikia vibaya nakosa ham rahaa
@issaally49
@issaally49 7 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@abdillahomar4541
@abdillahomar4541 Жыл бұрын
Tumekutanazo tukaumwa na pressure afu ujajikuta unafanya maamuzi mengine ambayo unahisi sio sahihi
@Alama_Tv_online
@Alama_Tv_online Жыл бұрын
Sasa unasaidiwaje kama dalili zote zipo ? Ni maombi / au nini
@AkyooGrace-su9ls
@AkyooGrace-su9ls Жыл бұрын
😭😭😭
@RadioSafinaHabari
@RadioSafinaHabari Жыл бұрын
Mie nina shida kwenye eneo la kuogopa kubadilisha ninachofanya niende kwenye jambo jingine
@petromashaka-ks5cl
@petromashaka-ks5cl Жыл бұрын
Je, ni namnagan tunaweza kumsaidia mtu mwenye tatizo Hilo?
@alfanoah5354
@alfanoah5354 Жыл бұрын
Mwalim ninapitia hilo kwa sasa sijafikia hatua ya kupiga mtu. naibuwaziri patrobas p katambi ananisumbua anahalibu mazao yangu kahalibu mabandayagu ya mifugo kwa kutumia ofisi ya jiji kwakutumia cheo chake
@mudathiral-gh1bo
@mudathiral-gh1bo Жыл бұрын
Mm ninakua na hamu yakull kila mda
@adrianrichard7383
@adrianrichard7383 Жыл бұрын
Dawa ni nini kaka yangu?
@sylviacornely4688
@sylviacornely4688 Жыл бұрын
kwanini mm nakuwa mvivu wa kusoma?
@mwanasitikombo8786
@mwanasitikombo8786 Жыл бұрын
Dawa yake ninini juu nina iyoshida
@user-ng7py3kt4l
@user-ng7py3kt4l 12 күн бұрын
Nina dadayangu anachofanye yy nikujilaumu kilakitu marazegine anajipigamakofi nakulalajalali nikujilaumu tu kwakilakitu
@StridaMheni-vu8ui
@StridaMheni-vu8ui Жыл бұрын
Nina Hilo tatizo nifanyaje
@StridaMheni-vu8ui
@StridaMheni-vu8ui 6 ай бұрын
Nina hizo dalili zote nifanyaje
@mosesmmuya696
@mosesmmuya696 2 ай бұрын
Muone mtaalamu wa Afya ya Akili atakusaidia sanab
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Hhhhhhhhhh. Brother Joel, haya bana. Mi nilikua najua nimatunda ya changamoto; ndio maana mtu anakua hivo. Nakama nihivo, bina daamu soote tunamatatizo hayo. Nikulingana tu uko kwenye changamoto gani. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
LIFE WISDOM:MBINU 3 ZA KUPATA UNACHOTAKA - JOEL NANAUKA
11:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Mambo Yakuzingatia Ili Ufikie Uhuru Wa Kifedha
9:00
Joel Nanauka
Рет қаралды 35 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 157 М.
FANYA HAYA KABLA MWAKA HAUJAISHA - JOEL NANAUKA
8:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 198 М.
JINSI YA KUFANYA AKILI YAKO IWE MSAADA KWAKO | Ezden Jumanne
7:31
Success Path Network
Рет қаралды 11 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 129 М.
LIFE WISDOM:WAJUE WATU WANAOKUFELISHA MALENGO - JOEL NANAUKA
9:26
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.