MWIJAKU AKIRI KUMKOSEA MASOUD KIPANYA - AOMBA RADHI HADHARANI AKITOA HAYA za QUR'AAN TUKUFU...

  Рет қаралды 27,195

Global TV  Online

Global TV Online

29 күн бұрын

MWIJAKU AKIRI KUMKOSEA MASOUD KIPANYA - AOMBA RADHI HADHARANI AKITOA HAYA za QUR'AAN TUKUFU...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 165
@user-hi5nx2qo7u
@user-hi5nx2qo7u 26 күн бұрын
Unatumia dini kupata huruma kwa umma...upigwe ujifunze
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 26 күн бұрын
Utasamehewa na mungu lkn naomba masood KIPANYA asikusamehe hii kesi raha yake ifike MAHAKAMANI buana kesi tamu sana hii natamani isiishe mapema
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Sahihi maana hawa machawa na wanafiki wamezidi.Atuondokee hapa na kujifanya anajua Kiarabu na mtu wa dini sana
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 19 күн бұрын
Kma mungu anasamehe ww ni nani usisamehe??
@Lameckrichvsix
@Lameckrichvsix 27 күн бұрын
Nikwanini huwa unawakosea watu makusudi kisa unajua kunae kuomba msamaha na cku zote neno "KUOMBA" huwa linasimama ktk sehem mbili na zote ni sehem sahihi kkubaliwa au kukataliwa ss ww endeleaga tu kupaka lipsticks kwenye lips zako kunae yataja kufka
@hajijuma9588
@hajijuma9588 24 күн бұрын
Huyu alitakiwa apelekwe mahakamani kwanza ili ajifunze maana imeshakuwa nitabia yake kuwatusi na kuwdharau wenzake,,anamtusi diamond kila siku lakini anamkalia kimya.
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 26 күн бұрын
Mwijaku ukibahatika kuwa na Hekima ya mdomo wako,utakuwa mtu mzuri sana;Naghusia nafsi yangu na yako Mwijaku Allah atusimamie Inshallah!Muislamu mzuri ni yule jirani yake kanusulika na ulimi wake na mikono yake,Amin!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 25 күн бұрын
Sahihi
@WaziriMjukuu
@WaziriMjukuu 24 күн бұрын
Nimemuonea sana huruma MWIJAJU MASOUD msamehe kijana wa watu hatarudia tena🤲
@SukaDmGuy
@SukaDmGuy 26 күн бұрын
Mwenyezi mungu awafanyie wepesi katika hilo
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 26 күн бұрын
Ningekuwqq mm nisingemsamehee huyuu jmaaa kwasababu kilaa maraa mambo yake ndio hayoo kuropokaa tu kwa watu halafuu ajeeekuombaa msamahaa kipanyaaa asimmsahehee huyuu jmaaa ampelekee mbelee huyyu jmaaa
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 26 күн бұрын
Kabisaaaa, ni mlopokaji sana Masoud akaze
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 26 күн бұрын
Wamfunge tu ili ajifunze mjinga sana huyu
@user-bs2nr7gz5p
@user-bs2nr7gz5p 26 күн бұрын
Kipanya mpeleke mahakamani huyu ili ajue kuna sheria bila hivyo atakua anafanya mchezo kila siku auze kibanda chake alipe fidia ili akome wakati mwengine kukashifu watu na kutukana watu
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 26 күн бұрын
Mara Hii kayavaa Sana Kwa huyu
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 25 күн бұрын
Kipanya ni MUISLAM, Na UISLAMU unahimiza KUSAMEHE
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 27 күн бұрын
Kipanya Mpeleke Mahakamani mpuuzi huyu. Alichosomea sicho anachofanyia kazi. Hatuwezi kuvumilia kwa upumbavu huu wa kuharibiana Maisha. Tunaomba sheria izungumze ili ajifunze na wapumbavu wengine wajifunze. Ameshamdhalilisha mwalimu wake kuwa hana akili alimfelusha.
@jacksonpeter8629
@jacksonpeter8629 19 күн бұрын
Kwani wewe mchizi waga ukoseagi?
@sk-wj9or
@sk-wj9or 26 күн бұрын
Usipende kuitumia dini hii njema kama kisingizio au kivuli. Huna tamaduni au athari yeyote ya kiislamu wala huna uislamu huo . Tukutane mahakamani. Tumefikia tamati brother. The end of the road. Hata huyo Ally akikuacha hapo kwake nitamshangaa sanaaaa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 27 күн бұрын
Wewe mwinj usipende kuwatukana watu alafu ukategemea msamaha ...sio fea sio haki..mana kumchafua mtu ni mbaya sana ujuwe...mim namuelewa sna kaka masuu kwakuchafuliwa mana umemdhalilisha na umemjengea imeg mbaya kwakumdhadhalilisha mtu ujuwe..umemtoa hadhi yake naheshima yake...awo sio wasanii wanaotegemea kiki ili kuwafanya mambo yao yaende no..awo watu ni waheshma .. ivyo heshima zao ndo zinajenga heshima kwao na zinaleta pesa
@Allyhujjat
@Allyhujjat 26 күн бұрын
Anaomba uftio mpuuzi uyu akuna msamaha ulimi umeponza kichwa acha mahakama iamue
@AbuuFarhaan-ri2yj
@AbuuFarhaan-ri2yj 21 күн бұрын
Mtazame mashavu yake yalivyomshuka manene kama vitumbua vya mama abduli
@GeorgeDominic-nx5bj
@GeorgeDominic-nx5bj 26 күн бұрын
Bado haamini kama amekosea huyu .... Anaomba radhi lakini atumia neno KAMA hivyo Bado haamini kukosea kwake hata akisamehewa atakuwa anasema ujumbe ulifika Kwa jamii.. Huu ni uhalifu wa mitandao kama uhalifu mwingine.
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Kweli sio msamaha wa dhati
@deogratiusprosper4796
@deogratiusprosper4796 27 күн бұрын
Leo hii ndo wakumbuka hizo aya ulipokuwa Dubai hukuyajua haya unafiki mbaya sn ngoja mtu na hekima zake akuburute mahakamani kulinda hadhi yake na jina lake alilolijenga kwa heshima kubwa
@elgardmark2093
@elgardmark2093 27 күн бұрын
Hapo anaongelea uislam au anaomba radhi maana naona kila kitu anaongelea uislam
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Nashangaa ghafla kageuka kuwa Shehe, badala ya kuomba msamaha inamaana sio msamaha wa dhati
@leoncelaurent5644
@leoncelaurent5644 26 күн бұрын
Unaongelea dini au msamahani au ndio kujificha Kwenye dini ili kujisafisha
@BLUBEENICE
@BLUBEENICE 24 күн бұрын
Daaah mdomo umeponza kichwa,kile kijumba chetu kama nakiona kinabadilishwa rangi na umiliki😂
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 26 күн бұрын
Salallahu Alayh Wasalam
@adammigombo5725
@adammigombo5725 24 күн бұрын
Safi Sana kwa kujitambua
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 27 күн бұрын
Apo unamuhusisha mungu wakati umekosea..apo go to the street omba msamaha usijibalaguze..unatakiwa kukanusha kila neno ulipo andika kila maneno kanusha kanusha kanusha ...apo usimuhusishe mungu wala dini ...mwii...apo umekosea umekosea...sasa apo uwe makini na mazungumzo yako kaka
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 26 күн бұрын
Baba tunataka bilion 5 zetu
@pendogwisu
@pendogwisu 25 күн бұрын
Asee sijawahi kumuelewa huyu mtu tangu nianze kumuona mitandaoni. Linajifanya limesoma,lina hela,linapendwa na mke wake kila kitu maonyesho na majigambo sijui linatokea wapi hili jitu. Kp wa watu ameanza hustle siku nyingi mstaarabu kweli linataka kumharibia Cv. Mwenzako anatengeneza magari wivu tu umekujaa. Kutangaza kwenyewe hujui unabwabwaja tu sijui ulisoma chuo gani
@adammigombo5725
@adammigombo5725 24 күн бұрын
Ongera Sana mwijaku kwa kuomba razi
@piusjuma7384
@piusjuma7384 27 күн бұрын
Umezidi billion 5 zinakuhusu ....na hayo maneno unayoeleza ndio ushahidi utakaotumika mahakamani....umeshaingia kwenye Kumi na nane za kipanya
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 25 күн бұрын
Sema mjanja hataji majina Masoud Kipanya😂😂 anataja tu Masoud 😢
@user-tz8hj1sd5o
@user-tz8hj1sd5o 24 күн бұрын
Mwijaku don't worry Allah kareem
@user-bs2nr7gz5p
@user-bs2nr7gz5p 26 күн бұрын
Huyo sio mtu wa kumsamehe kila siku anafanya vitu vya makusudi kutegemea kuomba msamaha safari hii umekwama b5 zinakuhusu
@selemanimhando9721
@selemanimhando9721 27 күн бұрын
Isingekuwa 5B usingeomba msamaha, ww ngoja ukutane nacho mzee baba
@user-il5cu6gq5f
@user-il5cu6gq5f 26 күн бұрын
Kuomba msamaha sio ujinga ni kheri na sio uowoga
@aloycesamba998
@aloycesamba998 26 күн бұрын
Ni kweli Kama siyo hiyo 5b azingeomba msamaha
@wakasotaylor5824
@wakasotaylor5824 24 күн бұрын
Hatimaye chawa kaingia kweny 18 za wadewa 😂😂 umepoaaa umepoaa😂😂
@Maradona2857
@Maradona2857 26 күн бұрын
Hili jinga linatakiwa kupelekwa mahakanani. Limezidi kuropoka.
@GervasMalimi
@GervasMalimi 26 күн бұрын
Ila huyu muda mwingine basata wamlaze mboko 700 ili awe anakumbuka akitaka kuloppka😂
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 26 күн бұрын
Huwezi kumtania mtu kwamba anauza madawa ya kulevya we sema tu nimeongea uongo suna yako na mtume havituhusu maneno mengi yanini?
@user-bs2nr7gz5p
@user-bs2nr7gz5p 26 күн бұрын
Huyu bila ya kumfungulia mashitaka hawezi kukoma anafanya mchezo mjinga huyu
@JamesSteven-vd7vw
@JamesSteven-vd7vw 24 күн бұрын
bilioni sita unauza adi kucha zako ukileta mchezo na maisha ya watu
@freyfestusnsennah1039
@freyfestusnsennah1039 26 күн бұрын
Hakuna Kurudi nyuma KP. Endelea na hatua ulizozichukua hawa wasrma hovyo wanazidi mipaka na kuona wana uwezo wa kuwachezea watu na kuwachafua wapendavyo bila kuangalia m2 anapata madhara kiasi gani. Mpeleke mahalamani ndo atajua vizuri. Wanakera
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 26 күн бұрын
Jela ina kuhusu! Imekuwa ni kawaida yako kudhalilisha watu na usingize dini kwenye ujinga wako
@JosephSabo-rl8qr
@JosephSabo-rl8qr 26 күн бұрын
Mungu fundi waulize wanzako waliotaka kujenga mnara wa kwenda kwa Mungu ndo utajuwa Mungu nani
@sk-wj9or
@sk-wj9or 26 күн бұрын
Mnafiki ukubwa mnooo. Mwijaku unapenda kumchezea Allah. Mungu hutaki dhihaka. Unachezea aya za quraan kwa ujinga wako. Unasagau kama quraan ulikukataza kuipokea na kidhulumu watu ? Hujui kama kumvunjia mtu heshima na kumfedheesha ni dhulma. Allah atakulaani na Mungu akudhalilishe kama alivyo ahadi kuwalipia wanao dhulumiwa inn shaa Allah
@sadikielymaro9140
@sadikielymaro9140 26 күн бұрын
Umeyatimba😂😂😂
@SarahMwakakuka
@SarahMwakakuka 18 күн бұрын
Masood samehe mala Saba malasabini🤲🤲
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando 25 күн бұрын
Yani hapo unapo Kili kosa uwe tayar kwaadhabu yeyote kwauliye mkosea jee uko tayarii nasio samahani ya mdomoni ww ulikusudia kuongea
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 27 күн бұрын
Vinywa
@peteropuko
@peteropuko 26 күн бұрын
Ukinaswa unajinya kujuwa dini sana
@godymastermind9534
@godymastermind9534 26 күн бұрын
Acha kuchomeka dini kwenye upuuz wako. Endelea na ujinga uone kama Masud haja kufunga
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 26 күн бұрын
Ndio kawaida yako Diamond ulimchokoza , Tanasha , ulimchokoza , sasa Umekutana na Mwamba
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 26 күн бұрын
Nasemajeeee …. asituchezee na misamaha ya mzaha! KP kanyaga twendeee 5B zinamuhusu mazimaaaa …
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 23 күн бұрын
Kaka masud msamahe mbona tunakujua huna kashifa amejifunza kitu mungu atakuzidishia kaka masud
@obadiamwakatuma4162
@obadiamwakatuma4162 26 күн бұрын
Jinga sana hili, hata kama alikugusa na kukusema vibaya. Ila ww ndiyo ulisema hovyo na naamin ulimuingiza mwenzio katika matatizo makubwa. Mfano msongo wa mawazo na pengine kumuathiri kwenye makampuni mengi anayofanya nayo kazi. Ile kusema ana jihusisha na biashara halamu!, Du! Hilo ndiyo kosa kubwa sana ambalo ulifanya ww msema hovyo.
@ashirafumangwinji1762
@ashirafumangwinji1762 24 күн бұрын
Vzr kijana umekomaa najamii tunakuona
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 26 күн бұрын
kipanya usisamehe huyu mbwa
@RobbinivanNgowi
@RobbinivanNgowi 21 күн бұрын
Halaaa. Mtu wamanaa kabisaa mwijakuu..
@AishaJuma-wd8xd
@AishaJuma-wd8xd 24 күн бұрын
Umeyatimba bb
@happyemanuel2070
@happyemanuel2070 21 күн бұрын
YaN mwijaku unakihele Hele sana
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 26 күн бұрын
Mpaka lini? Masoud usimsamehe amekutukana sana brand yako!
@user-do2qp5fv9b
@user-do2qp5fv9b 19 күн бұрын
Usingize ibada naumbeya wako😂😂😂
@johnmshuta5133
@johnmshuta5133 26 күн бұрын
Ulikuwa upo silias tunataka ushahidi Wa kile ulicho kiongerea
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 25 күн бұрын
Yote kwa yote mwijaku kwa nn usiachane na uchawa ela unayo akili unazo fanya hata biashara maisha yaende hii tabia yako kiufupi haipendezi mwenyezi mungu akuongoe akuoneshe wapi sahihi ifike hatua ufanye mambo yenye hekima
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 26 күн бұрын
Tunataka uonekane mahakamani full stop
@shahhumbe9643
@shahhumbe9643 22 күн бұрын
mawaidha tenaa
@samirazuberi186
@samirazuberi186 22 күн бұрын
Umesahau uchawa
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 26 күн бұрын
Wewe kenge mimi sikusamehe na asikusamehe
@AbuuFarhaan-ri2yj
@AbuuFarhaan-ri2yj 21 күн бұрын
Hakuna huruma hapa pumbavu kabisa,unajifanya kwa sisi waislamu,sahivi ndo umejua wewe ni muislamu mwana kulitafuta mwana kulipata asee,ee Mungu tunakuomba huyu jomba aende jela miaka 20,ili iwe fundisho kwa wanafiki unaenda Makka kutalii pumbavu badala kufanya ibada ama kweli Mungu hadhihakiwi,mnafiki mkubwa wewe haya hao matajiri wako ,wako wapi sasa unaowalambaga viatu na kunyenyekeza kwao badala ya mola wako wakushike mkono katika hili sasa wewe ni mtu wa kufanya ibada ili wakuone wewe bingwa wa unafiki pitia unachokipitia kwa sababu hiyo ni hatima yako,usimdharau mtu yeyote katika dunia wala usiwe mwepesi wa kuropoka hovyo maneno mabaya
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 26 күн бұрын
Kwaiyo huyo mwenyez mungu wenu anaongea kiarabu? mana naona kila unavyo mnukuu huyo mungu wenu una mnukuu kiarabu au ndo utumwa wa kifikra??
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 25 күн бұрын
Acha Mihemko ya Imani Sikiliza Mada - Kwanini hukuhoji jina lako kwanza kuwa la Kiarabu ?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 25 күн бұрын
@@ramadhanimtetu3656 Mungu hana lugha special lugha zote ni zake hata ukimuomba kwa lugha ya kiswahili anakusikia hiyo tabia mliyo lithishwa na warabu walio waletea dini waislamu ni utumwa. kama hamjui mnawaabudu warabu bila kujijua huo ni ukoloni mambo leo haiwezekani eti Mungu muumba mbingu na ardhi awe hana uwezo wa kusikia kiswahili, kihindi, kingereza, kijapan, waislamu huyo allah wenu munamshusha thamani sana inaonyesha huyo allah wenu hana uwezo wa kusikia lugha za viumbe wake tuna mashaka na huyo allah kama kweli ni mungu wa kweli muumba mbingu na ardhi
@amosmahona433
@amosmahona433 25 күн бұрын
Huyu si mara ya kwanza ndio tabia yake maana kamchafua mwenzake vibya mno na umma mpaka muda huu tutaamini kp anafanya hayo mambo.sasa kumharibia mwenzake kuwa mwandishi wa habari si kibali cha kuanza kuwachafua wenzako mnafundishwa media ethics/kanuni za maadili ya habari au mwandishi wa habari.
@dorissengiyumva6694
@dorissengiyumva6694 22 күн бұрын
Pumbafu sana huu jama aca apigwe nyundo ndo awe na adabu musenge san
@fredricksabick-hi1fl
@fredricksabick-hi1fl 26 күн бұрын
Una hisi kila mtu ni mwambino😅
@maikovineventscompany1180
@maikovineventscompany1180 24 күн бұрын
Umeyatimbaaaa😂😂😂😂
@yusufumsaliko6984
@yusufumsaliko6984 23 күн бұрын
Huna akili siku zote huwa tunakuona chizi tu...
@kingthedon508
@kingthedon508 17 күн бұрын
Mechi bado moja bila😅😅😅
@RahmaYassinmlaponi
@RahmaYassinmlaponi 22 күн бұрын
Kabla ya masud kwenda mahakaman ilitakikana serikali impeleke kwanza yenyewe halafu sikuyakutoka ndo masud amkaange vzr
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 26 күн бұрын
KUNA UTANI PALE??😊
@florinjoseph2504
@florinjoseph2504 26 күн бұрын
Mwijaku uende ukapimwe akili
@aghamedia
@aghamedia 25 күн бұрын
Jamaa anaogea Kwa confidence tu 🤣🤣🤣🤣baada ya kuomba msamaha dah mm nisingemsamehe
@hahusahahusa5676
@hahusahahusa5676 22 күн бұрын
Unajiamini kuwa unaweza kumtukana na kumdhalilisha mtu yeyote sasa dunia imekufunza adabu
@mwendajumbe6816
@mwendajumbe6816 18 күн бұрын
Unachezea mbwa kisha unakwenda msikiti pia unatangaza mikopo ya riba , hivi unajua hukumu za uislaam au unaufanya uislaam kama suti au kanzu yaani kama pambo?
@mkolakijika7130
@mkolakijika7130 24 күн бұрын
Am not an expert in law lkn kutoka na public apology wakati uliemkosea ni mtu mmoja na keshafungua kesi tayari ni kukili kosa....kama ni mtu wa kupress na akiamua kukaza roho mambo itakua ngumu sana ungemtafuta huko mmalizane
@DouglasChuwa-ec7mv
@DouglasChuwa-ec7mv 20 күн бұрын
Mnafiki uyo masud anajisafisha na viongozi was dini muongea ovyo uyo jamaa
@samirazuberi186
@samirazuberi186 22 күн бұрын
Chawa wa samia huyu😢
@Moyo122
@Moyo122 25 күн бұрын
maadam kaomba radhi na kajua kama kakakosea hilo litabaki kwa masoud ila kwa Mungu kwa hili hakuna tatizo
@Senetalkim
@Senetalkim 24 күн бұрын
Uyu choko nataman siku aje kuingia kwenye 18 za pfunk majani ataacha uo usenge wake
@JamesSahwi-rg8js
@JamesSahwi-rg8js 23 күн бұрын
Lipa fine ya watu ili ujue namna ya kubalance mdomo
@KidoKasimu-fr4fz
@KidoKasimu-fr4fz 22 күн бұрын
Wewe unaona bora pesa kukiko utuu.
@johnmshuta5133
@johnmshuta5133 26 күн бұрын
Yaaan wew autakiwi kusamehewa😂😂😂
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 19 күн бұрын
mbona kila siku wewetu mama yake na zuchu mama adija kopa uli muomba samaani nauyu kaka masuudi ngoja kwanza kaka kipanya achukue pesa yake zisha anza kuku levywa ina one kana pesa zabule ngoja apunguze mpe liziki ime mfika kaka masuud
@AlbertRemmy
@AlbertRemmy 19 күн бұрын
subiri tuone sheria itaamua nn. usiongee sana
@user-xk4os6jx8x
@user-xk4os6jx8x 24 күн бұрын
Sasa linajipendekeza😮 linajua kujipendeka
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 25 күн бұрын
Mnafk sana huyu jamaa ataungua vibaya huyuuu 😂😂
@GadiyeMosses
@GadiyeMosses 24 күн бұрын
Umepoaaa umepoaaa😂😂😂
@KaviniMwaisa
@KaviniMwaisa 17 күн бұрын
Una muoneaga Simba Diamond Leo umejifunza bado ujasema na utasema
@Bquality
@Bquality 26 күн бұрын
Tunataka bilioni 5 zetu mamae
@iwishtv7907
@iwishtv7907 26 күн бұрын
Maneno na Matendo yako hayaoneshi kama wewe ni mtu wa Ibada ama mtu wa Mungu
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Sijui kwa nini anatanguliza dini huku akikashifu watu hakumbuki hayo maneno ya kimungu.Mfedhuli mkubwa, anatafuta huruma kwa waislam kwa kutanguliza dini .Kama anahofu ya Mungu anayemtaja kwa nini awe na Taharuki awache unafiki huyo. Na hii sio njia ya mtu mwenye kuomba radhi
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 24 күн бұрын
We'we kalipe pesa Uko mahakamani wacha kujifanya unatia uruma kwanza dini yenyewe unaiziaki mala dini mala music ujui ukae upande gani Mm nasema masoudi kipanya huyu usimuachie mpeleke mahakamani alipe hili hawe na Adabu huyu wakati mwengine kasikia B 5 anataja mitume yote bwana mwembe😂
@omarikhalfan1079
@omarikhalfan1079 25 күн бұрын
Mwijaku jirekebishe kwa mwendo wako kama hutojirekebisha utafungwa
@Assay-gn1wv
@Assay-gn1wv 23 күн бұрын
Hivi huyu baba anajionaga ana maana sana ndio maana mtu unasema ni shoga anaringia wanaume wenzie ndio maana anajifanya ana jeuri
@user-xk4os6jx8x
@user-xk4os6jx8x 24 күн бұрын
Pumbavuu
@alexjovin2981
@alexjovin2981 23 күн бұрын
Upumbavu huwo unayo yaongea hukuyajua hayo angejiuwa je Masood shikilia wameoa kujipendekeza kwa silikari wapate liziki. Wamezoeya kuchafua watu afundishwe
@user-do2qp5fv9b
@user-do2qp5fv9b 19 күн бұрын
Ndo ukome mbwa wewe unajifanyaga mjuaji sana. Kudadeki zako mfyuuuuuuuuuuuu
@Zrss602
@Zrss602 24 күн бұрын
Mbona haya za Quran jaman
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 25 күн бұрын
Wamtangaziaa Nani...ibada......hujui chochoteee
@user-ft5yb1zu4p
@user-ft5yb1zu4p 25 күн бұрын
Huo uislam unaojinadi unakwambia kama unaona jambo utakalo sema litamkwaza mtu usiseme .hayo yote hukuyajua?hapo hujaomba msamaha uliongea mambo mazito mno na sidhani kama masudi alipata usingizi siku hiyo.mahakamani ndio mahari dahihi pa kuthibitisha kaneno yako kuliko kuleta maneno mengi yasiyo na maana kifupi sinakuelewa
@isaacsimon3580
@isaacsimon3580 25 күн бұрын
Uandishi gani wa habari mwijaku? Mbona unatuchosha😂😂😂😂
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 25 күн бұрын
😮ujifuze kuongea majiymefika shingoni
@user-zu4hd2xx7q
@user-zu4hd2xx7q 23 күн бұрын
Kuomba Radhi ni jambo jema , ila mtume kausuii sana kuzuia ulimi na kaharamisha kuvunja heshima ya mtu , ndugu kipanya umekosewa sanaaaaa na umeumia sanaa msamehe ndugu yako , heshima yaki hailingani na malipo yyte utakayolipwa Duniani , kubali malipo ya akhera ,
@genuinegenes9363
@genuinegenes9363 21 күн бұрын
Kaamrishwa na mwanasheria wa Masudi aombe rathi na kumsafisha mwenzake
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 93 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
OBINNA SHOW LIVE: I WAS  BETRAYED - Miguna Miguna
2:19:46
Obinna TV
Рет қаралды 774 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН