PART 3: DEREVA CATHERINE ASIMULIA ALIVYOLALA KITANDA KIMOJA NA MWANAUME, USIKU KILICHOTOKEA...

  Рет қаралды 487,976

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

PART 3: DEREVA CATHERINE ASIMULIA ALIVYOLALA KITANDA KIMOJA NA MWANAUME, USIKU KILICHOTOKEA...
Hii ni sehemu ya tatu ya Dereva Catherine Sanga, ambaye ni Dereva wa wizara Ya Elimu kwa sasa, ametusimulia mambo Magumu aliyoyapitia hadi ndoto yake kutimia ya kuwa Dereva mahiri nchini.....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 251
@matridawilium9945
@matridawilium9945 2 жыл бұрын
Sio kila mwanamke ana pepo la uzinzi
@titomwalongo9810
@titomwalongo9810 2 жыл бұрын
Hongela Sana kwa kuyashinda majalibu Sana dada angu. Ujasili ulionao nimeupenda.
@ibrahimkalume5235
@ibrahimkalume5235 Жыл бұрын
Napenda sana it's an interesting story na inainua sana, Naomba kama inawezekana kuwasiliana na Catherine sanga
@alfredkivuyo2739
@alfredkivuyo2739 2 жыл бұрын
Amaizing story broo
@omarymwimba5362
@omarymwimba5362 2 жыл бұрын
Daaaah pambana Dada katika Maisha changamoto zipo
@mustaphareua2370
@mustaphareua2370 2 жыл бұрын
Leta habari .namba 4 pls
@benjaminmuga2576
@benjaminmuga2576 2 жыл бұрын
Hongela dada
@lamayanaroimen3885
@lamayanaroimen3885 2 жыл бұрын
Hongera sana dada yangu
@gediucgedius8657
@gediucgedius8657 2 жыл бұрын
Duuh..!! Ukiona maharage yameiva basi Ujue mkaa umeteketea 🙌🙌🙌🙌
@visualservices8897
@visualservices8897 2 жыл бұрын
Waswahili bana if u know u know my friend
@RamadhaniBendera-sq5gt
@RamadhaniBendera-sq5gt 2 ай бұрын
Hahahahaha ujue vipimo viwili vya mkaa vimeisha
@nuruumturutz5783
@nuruumturutz5783 2 жыл бұрын
Pole sana Sister
@malombemunyithya9341
@malombemunyithya9341 2 жыл бұрын
Hongera dada Ang japo umetukimbia kwenye maroli
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Mungu akulinde dada
@khadijakadunda6233
@khadijakadunda6233 2 жыл бұрын
Hongera Sana dada cat umeongea ukwel kabisa kwa sisi madereva wakike tumepitia magumu Sana ila tunawaomba wadogo zetu muwe Makin hivyo vitu vipo
@dannyhaibey1294
@dannyhaibey1294 2 жыл бұрын
Nakuomba in box
@abdulyjuma8083
@abdulyjuma8083 2 жыл бұрын
Nimekubali
@CosmasMlelwa
@CosmasMlelwa Ай бұрын
Pole sana kwa changamoto ulizopitia MUNGU anampango na wewe usikate tamaa
@allymasuke1543
@allymasuke1543 2 жыл бұрын
Broo kwa hii stori big up saaaan mwananguu
@gsurasa6366
@gsurasa6366 Жыл бұрын
Pole sana
@advelaalex9389
@advelaalex9389 2 жыл бұрын
Dah bonge la story big up dada japo nahisi kuna sehem unadanganya inamaana wote hakuna aliyefanikiwa
@kikorembajo2078
@kikorembajo2078 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@raissakwizera6788
@raissakwizera6788 2 жыл бұрын
😄😄😄 acha tusubiri part 4, tuskiye kama amekubali kusota mikumi ao amekubali kutowa mzigo
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Hapo tumepigwa na kitu kizito haiwezekani kwani yeye hakuwa na hamu.
@advelaalex9389
@advelaalex9389 2 жыл бұрын
@@barakakusa7606 umeona eeh🤪
@user-bn3yn8uj7p
@user-bn3yn8uj7p 2 ай бұрын
Utam
@lamaifanuel9221
@lamaifanuel9221 2 жыл бұрын
Naingojea part 4 bhana
@abubakar_aj
@abubakar_aj 2 жыл бұрын
Mpe terial dereva wako akufundishe vizuri mdogomdogo mpk ujue
@adamsanga062
@adamsanga062 2 жыл бұрын
Mmm hapo dada yangu hiyo shemeji bwana
@wanejohnmsukwa6590
@wanejohnmsukwa6590 Жыл бұрын
Safiii sana dada
@thomsanga7956
@thomsanga7956 2 жыл бұрын
Mimi siamini kama ameweza kukwepa vizingiti vyote hivyo, kuna dreva lazma Kala tu 😁
@exaverymakoye6026
@exaverymakoye6026 2 жыл бұрын
😂😂ndo hivyo
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 жыл бұрын
Sio wote
@vanessamagezi6986
@vanessamagezi6986 2 жыл бұрын
Wanaume mlio wengi mnawazaga pumba tu.
@timothykaris3217
@timothykaris3217 2 жыл бұрын
Mimi kama dereva mpaka tule 2
@mpokienock-nh3zz
@mpokienock-nh3zz 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@chochotekitu-hf6of
@chochotekitu-hf6of 2 ай бұрын
Pole sana dadaangu
@tumainmazengo952
@tumainmazengo952 2 жыл бұрын
Huna baya na mtu mwalimu wangu hapa nilipo ni kwajuhudi zako natembea na mafunzo yako mungu akupe ukalimu huo huo uje uwasaidie na wenzangu wanaoanza nyuma yangu nakupenda na nakukumbuka sana♥️
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Shahidi
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 2 ай бұрын
Hao wasioamini kuwa mwanamke na mwanaume wanaweza lala kitanda kimoja bila kugusana ukitaka kuamino Ingia majeshini tunakaa darasa moja combania moja japo tukienda porini tunatengana mahema lakini hutasikia hata mtu mmoja ananyatia kwa wanawake wala wanawake kunyatia kwa wanaume.Hapo ni nidhamu ya mwili tu namna unavyouwelekeza.Ili ufanye jambo lazima lianzie akilini halafu moyoni.
@amisikisoma715
@amisikisoma715 Жыл бұрын
Iwezekane isiweze Kane ndiyo kashakua dereva :hongera sana women drive
@ytgg4006
@ytgg4006 2 жыл бұрын
Pole Sana dada
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Baadhi ya watanzania wana roho mbaya sana, dah! Unastahili tuzo kwakweli Dadaangu 😘
@majaliwakamala8216
@majaliwakamala8216 2 жыл бұрын
Tuzo ya nn wewe?huyo kaliwa vzr sema ndo wanatafuta story na views wawe wengi ili wao wapige pesa haaaa haaaaaaaaaa
@mmasymerry1233
@mmasymerry1233 2 жыл бұрын
@@majaliwakamala8216 mh ukweli utabaki kuwaukweli unafkir niwote wanawaza kuliwa mh pole kaka wengine hatahisia hatuna
@geofreymatei8345
@geofreymatei8345 2 жыл бұрын
Kiukweli hongera kwaujasili Wachache wanaweza ku
@boashamah3642
@boashamah3642 11 ай бұрын
​@@mmasymerry1233kabisa umeswma ukweli Mimi naendesha roli za trailers 4 huku Australia 🇦🇺 mbona nafanya na mwanamke sijalala naye kati ya miaka 6 Wanaume wazuri tupo kabisa
@zakariamsilu2333
@zakariamsilu2333 2 жыл бұрын
Pole Sana dada mitihani hiyo
@richardkigelesi3158
@richardkigelesi3158 Жыл бұрын
Safi san mdad
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 2 жыл бұрын
Haiwezekani mwanaume na mwanamke mlalekitandakimoja usiku ukuche,ulipoambiwa uchague ungechagua kulala vyumba tofauti.
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 Жыл бұрын
Juuu kila mtu ako na damuu 😂😂😂
@rebekamwambatata9512
@rebekamwambatata9512 2 жыл бұрын
Ongela.sana ssta.kwa.msimamo.wako
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Jamaniii 😭
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Dada nimeipenda Sana iyo stori
@ramak.9587
@ramak.9587 2 жыл бұрын
Mm nishawai lala kitanda kimoja na Binti usiku kucha na ckuthubutu hata kumgusa mguu
@amoswekesa1476
@amoswekesa1476 2 жыл бұрын
Mpaka amemea ndevu jamani😭😭😭
@jacksonmillengo1913
@jacksonmillengo1913 Жыл бұрын
Tatizo la watangazaji wa aina hii ni tatizo hawana communication skills hawasikilizi wanaingilia mazungumzo
@michaelhaule3158
@michaelhaule3158 2 жыл бұрын
sawa lakini siri yako
@hamzabora9390
@hamzabora9390 2 жыл бұрын
Usikate tamaa dadangu.
@zaujiajuma8260
@zaujiajuma8260 2 жыл бұрын
Pole wazazi walikuwa wa nakupa maneno machafu Sana yaan umeniliza mm😭😭😭
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
Umelia nini sasa?
@imeldaseki8681
@imeldaseki8681 2 жыл бұрын
Sehemu ya 4
@user-gx1me7ce3m
@user-gx1me7ce3m 2 ай бұрын
Mamangu kipenz
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Ukwl upogo moyoni
@jacintagitau4105
@jacintagitau4105 2 жыл бұрын
Waaa majaribu haya
@leahmoses2625
@leahmoses2625 2 жыл бұрын
Kweli nimeamini kuna wadada majasili ndio mfano bola nimesikiliza kwa makini yaani Mungu aendelee kukuwezesha ktk yote uliyopitia hakika haukuwa wewe peke yako Mungu alikuwa nawe barikiwa kwa kututia moyo
@izeremupenzi4183
@izeremupenzi4183 2 жыл бұрын
Awo madada madereva wanafunzwa magari na wanaume wanatombwaaaaa awooo wanacoka mapenzi
@annndinda5724
@annndinda5724 2 жыл бұрын
The KKK o
@bonnycostacosta7339
@bonnycostacosta7339 2 жыл бұрын
Umeliwaaaa
@allymzee6589
@allymzee6589 11 ай бұрын
Kweli penenia Pana njia pole dd kwa kutokata Tamaa na mungu amekulipia
@omaryzumo6199
@omaryzumo6199 2 ай бұрын
Sio kweli hiyo story tu
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Akili za Wanaume kupenda Papuchii ni shiida sanaaa
@paulmaghembe143
@paulmaghembe143 2 жыл бұрын
Papuchi in jamiiforum voice
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 жыл бұрын
Acha ww Kuna tumeumbwa tofauti
@jumasalehe7320
@jumasalehe7320 2 жыл бұрын
Global tv
@user-ib6jp7ds9h
@user-ib6jp7ds9h 7 ай бұрын
Pole my dear ndio changamoto tunazokutana nazo izo
@mariasafari1004
@mariasafari1004 2 жыл бұрын
Wanaume wengne Mungu anawaona😭😭
@johnmlay4364
@johnmlay4364 2 ай бұрын
Mnatumalizia mb banaaa story za uongo
@djremyakatheboss1365
@djremyakatheboss1365 Жыл бұрын
Namfahamu uyo mama
@bonifacemwaura8570
@bonifacemwaura8570 2 жыл бұрын
Ulikwa umekaa tew love
@miritonbikura5487
@miritonbikura5487 2 жыл бұрын
Dah wanaume wengine bana hakiri zetu tunazijua sisi wenyewe
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 2 жыл бұрын
Ukweli wake ajua mungu,mi siujui🤗
@edmundmmuniedmund1623
@edmundmmuniedmund1623 2 жыл бұрын
iseee sio nzuri hata kidogo kwa wanaume
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 2 жыл бұрын
Baba mzazi ndie mwanaume pekee ambae anamsaidia mtoto wake wa kike bila malipo
@salehaliy7198
@salehaliy7198 2 жыл бұрын
Baadhi tu
@ramadhanichuka3583
@ramadhanichuka3583 2 жыл бұрын
Ataungeliwa usingesema bn
@furahakonde6259
@furahakonde6259 2 жыл бұрын
Napenda maongezi ya Dada
@alfakanchu6174
@alfakanchu6174 2 жыл бұрын
🤣 🤣 Kwanza ncheke
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Utu ni kazi kuupata sk hz
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😭😭 jamani hayo maneno walokwambia wazazi siyo pow
@williamcwilliam8842
@williamcwilliam8842 2 жыл бұрын
Story nzuri, inspirational! Ila kwenye kutaja jina la yule rafiki yake ambaye mme wake ni driver kama yupo nae mpaka leo itakuwaje!?🙂🙂 Confidentiality??
@veronicapeter5933
@veronicapeter5933 Ай бұрын
Mmh dada nishushe kituo cha mbele hapo mi mwenyewe dereva lakini mpaka hapa nilipofikia mungu ndo anakua embu niache mbele hapo weeeeee
@naomymose1866
@naomymose1866 2 жыл бұрын
Mungu wasaidie waume kwani hakuna wa roho Safi kusaidiana Masada zetu, wafrica tupendane tutumikiane bila kuletea mwezako shida. Aliye juu binguni wabariki alioyo na roho Safi.
@iddititus3414
@iddititus3414 Жыл бұрын
Huyonimnafiki ufundishwe galibure mshindewote kwemyegali Bure ulemichemsho unaulizwa tunalalaje unamwambia achague yeye ulifikili hanith yule uliyataka nahuenda mlimalizana unajifagiliatu
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 2 жыл бұрын
Mi siamini😂😂....Mungu anajua 😂
@bakarihamdouny1956
@bakarihamdouny1956 2 жыл бұрын
kweli kabisaaa maandalizi yotee yanafanyiakaa alafu mpira hauchezezwi...!!! lakini sawa wanaume tusio penda kulazimisha sanaa kama mimi {ukininyima wewe mwenzio atanipaa}
@athumanndalami1472
@athumanndalami1472 2 жыл бұрын
Congratulation to you.Endelea hivyo hivyo mwanangu. Kila la heri.UBARIKIWE!
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 жыл бұрын
Mwandishi msomi Columbus Le Baba's nakubali xana
@bakarikikwaruto6248
@bakarikikwaruto6248 2 жыл бұрын
Inavutia sana pia inatisha
@catherinecharlz2814
@catherinecharlz2814 3 ай бұрын
Am Catherine naomba kuwasiliana na wajina Wangu 😢natama dada unishauri napitia magumu pia honestly namanisha plz naomba mawaslisno yako da Cathy 😢
@deus8629
@deus8629 2 жыл бұрын
Dada amekuwa mkweli sana... ila kutaja jina la rafiki yake wakike na mumewe jinsi alivyofanya nadhani sio sahihi, angemtaja mume wa rafik tu.
@yrwa313
@yrwa313 2 жыл бұрын
Nahisi hapo ni kujisahau tuu
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 жыл бұрын
Kosa siyo yeye kosa ni mhariri alitakiwa kumute jina
@songweairport7602
@songweairport7602 2 жыл бұрын
YAP, ILIBIDI WA EDIT HAPO....HAIJAKAA VIZURI KABISA
@nellyckoros6042
@nellyckoros6042 2 жыл бұрын
Pongezi kwa huyu mama umepitia kweli mungu nimwema shukuru🙏🙏
@goldengordian6835
@goldengordian6835 2 жыл бұрын
Mtangazaji hujui kum-interview mtu coz unadakia Simulizi ya Mdada badala kuacha asimulie anavyotaka yeye mwenyewe na sio kumsemea Maneno!
@sanjaeverist976
@sanjaeverist976 2 жыл бұрын
Wadada wenye ndevu na bahati za maisha
@wakembetajaphary3648
@wakembetajaphary3648 2 жыл бұрын
Tuko hapaaaa 😂😂😂
@abdullahyunus9235
@abdullahyunus9235 2 жыл бұрын
Hahahahaha cc wanaume bhan hakuna jambo latushinda aixe
@user-wg5so4sd1e
@user-wg5so4sd1e 3 ай бұрын
Mmmmmmh
@DeograsiasMdendem-lj5lo
@DeograsiasMdendem-lj5lo 3 ай бұрын
Huyo inaweza kweli ukawah ulifaulu je mbelen
@amanipeace6007
@amanipeace6007 2 жыл бұрын
7:55 mwanaume anakasirika anachukua begi kwa hasira anaondoka then ww unaombewa kwenda kulala kwa wahudumu Ina maana chumba mkakiacha wazi hakina mtu au???
@erickkagisa833
@erickkagisa833 2 жыл бұрын
Hatukuwepo kwahyo hatuwezi kujua,,,me naamini hakuna mwanaume mnyonge hapo.
@haridiabdallah7575
@haridiabdallah7575 2 жыл бұрын
Mmmh sema TU we ni mbaya ndyo maana ungekuwa mrembo asingekuacha
@user-sk6kf7mz6o
@user-sk6kf7mz6o 2 ай бұрын
Hii ni stori masikio kazi yake kusikia .hakuna kielelezo chochote kinachoonyesha kama hawa watu hawafahamini. Kinachonishangaza kulala kitanda kimoja je vyumba vilikuwa vimejaa vyote
@theenjeri
@theenjeri 2 жыл бұрын
Never ever trust anyone
@aliabdallah8908
@aliabdallah8908 2 жыл бұрын
Dah we mtangazaji
@user-ex7wt5xr7h
@user-ex7wt5xr7h 11 ай бұрын
Dah Kuna mtu umemtaja ni dada yangu anaitwa Anastasia daudi nilipotezana nae muda mlefu sana naomba mawasiliano yake please
@jaabirisaacrumanyika2953
@jaabirisaacrumanyika2953 2 жыл бұрын
Kat ya Binti na bwana bila ndowa kati yao shetani ni watatu Kwa kuendesha umoja miongoni mwenu kutenda Kwa kutenda dhambi ,Kwa hivo watu tujitahadhari sana.
@peterbosire3427
@peterbosire3427 2 жыл бұрын
Ninauliza tu. Huyu mama [ dereva ] ana ndevu ama namna gani? Whichever the case, hana tabia ya umalaya.
@virginiakiema6695
@virginiakiema6695 Жыл бұрын
Nimeona hivo pia
@mariasafari1004
@mariasafari1004 2 жыл бұрын
Yaani uwongo dhambi sintashuka ila akianza tu nakinyonga kidudu mshenzi kabs
@yrwa313
@yrwa313 2 жыл бұрын
Hahaha huwezi
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 2 жыл бұрын
Atakuwamba makofi ukinyonga kitendea kazi
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Unakinyonga kinini vile?.
@mariasafari1004
@mariasafari1004 2 жыл бұрын
Yaani naona kabs akiniambukiza VVU 😂😂😂Dahhh nohhhh
@mariasafari1004
@mariasafari1004 2 жыл бұрын
@@laurentraphael5470 😁😁😁😁
@user-zy9po4mn7z
@user-zy9po4mn7z 2 ай бұрын
Hapo ndo ujue ukweli kua madereva ni malaya 😂
@noelmsigula3606
@noelmsigula3606 2 жыл бұрын
Hell nakupata sanaa jamaaa kwakutupa habari ... Kibaigwa mapalilo
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 2 жыл бұрын
Wanaume,hatuna nguvu mbele ya wanawake
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Weka full story unatukata stim.
@JosephKimani-vh7xg
@JosephKimani-vh7xg Ай бұрын
sasa mrembo mimi naitwa kim mimi ni mkenya pole sana dada yangu kuna kitu kimoja ambacho mimi binafsi najua kweli madereva wa Tanzania mimi nimeona wako na iyo shida wanapenda tendo la dowa hapa Kenya wanasumbua sana mimi nauliza ulipata gari ama kazi
@babalad983
@babalad983 Жыл бұрын
Mh anatupanga story inoge siri anaijua mwenyewe
@khatibuKishoka
@khatibuKishoka 2 ай бұрын
Namfahamu nilikuwa nae congo kwao morogoro
@alhajimaziku9399
@alhajimaziku9399 2 жыл бұрын
Nisafiri na huyu dada kutoka Dar had arusha Yuko poa saan
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 Жыл бұрын
Usiwai mwamini mwanaume 😂😂😂😂😂😂
@abubakaryhamza3339
@abubakaryhamza3339 2 жыл бұрын
Hao jamaa wote wanatakiwa kushtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono
@qassim1465
@qassim1465 2 жыл бұрын
Hakufanikiwa kweli? 😄😄😄
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 67 МЛН
jinsi ya kuprogram actross na axor
3:05
Basaidah Salim
Рет қаралды 27 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН