MCHINA MAARUFU ARUSHA ABANWA na DC HADI AONGEA KISWAHILI - ADAIWA KUMTAPELI ASKOFU wa KANISA....

  Рет қаралды 52,327

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MCHINA MAARUFU ARUSHA ABANWA na DC HADI AONGEA KISWAHILI - ADAIWA KUMTAPELI ASKOFU wa KANISA....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 202
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Smart_jarm
@Smart_jarm Ай бұрын
Nimejaza sana hizo fomu,mbona zawadi hakuna?
@binseif2216
@binseif2216 Ай бұрын
Huyu mkuu wa wilaya hana kauli nzuri anataka kumwiga makonda lkn hawezi kumfikia kwanza Makonda hana lugha za kihuni
@emmanueldavid9506
@emmanueldavid9506 Ай бұрын
Kwanza mkuu DC hana hekima kabisa
@fridamossony2821
@fridamossony2821 Ай бұрын
Alafua ni, au wacha nikae kimye time will tell
@binseif2216
@binseif2216 Ай бұрын
@@emmanueldavid9506 Ndio
@user-gt1sy8po1h
@user-gt1sy8po1h Ай бұрын
Gar yangu ilikaa kwake miaka 2 bila kutengenezwa na fedha nilimlipa mchn ni mhun kwel huyu
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Ай бұрын
Wale wale
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Ай бұрын
Wachina wa mchongo, ndio wawekezaji wa awamu ya sita hawa upuuzi mtupu.Hivi China unaweza ukafanya huu ujinga ukabaki salama?
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 Ай бұрын
Maic moja wanatumia zaid ya watatu
@lidyadule9477
@lidyadule9477 Ай бұрын
happy sasa
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Tumeshasahau corona na magonjwa​ mengine ya aina ya corona maafisa afya mpo au mko likizo!!!! @@lidyadule9477
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Ай бұрын
Mkimrudisha kwao anaenda kupigwa risasi
@Missionary_work
@Missionary_work Ай бұрын
Mchina ana busara na hekima, kuliko mkuu wa wilaya. Mchina awe mkuu wa wilaya. Yupo vizuri.
@user-iz4hv2st2h
@user-iz4hv2st2h Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@DavisEnglishTv
@DavisEnglishTv Ай бұрын
Sasa hapo pamekuwa mahakamani au..Viongoz wa bongo bhana miyeyusho sana
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r Ай бұрын
Ubabaishaji unakuwa ni mkbwa bora aamuliwe kwa hivi
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 Ай бұрын
Angekua makonda, hapa aka mambo yangeenda taratibu bana weee Kila mtu angemuelewa, mwenzie
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Ай бұрын
Well done,Dc Felician.haki huinua Taifa ball dhambi ni.aibu ya watu wote.Amen .we are together also we are praying for you. Amen
@christophermafuru7152
@christophermafuru7152 Ай бұрын
Hana busara huyo DC.
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Ай бұрын
Kazi mbovu tumia hekima
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Lugha chafu huyo mkuu wa wilaya anayotumia nitakuvuruga Na mchina angepewa mkalimani wa kichina ili ajieleze vizuri
@lucymtui8680
@lucymtui8680 Ай бұрын
Unawajua kwenye nchi zao, hapa tu wababe na siyo nchi yao
@binseif2216
@binseif2216 Ай бұрын
​@@lucymtui8680Hata kwao wanafanyiana hivohivo kama sisi huku tunavyofanyiana
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
​@@lucymtui8680hata kama!huwezi fanya ubaya kwa ubaya ktk kutengeneza jambo! waache wao watuige sisi sio sisi kuiga ubaya wao
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Matumizi mabaya ya lugha ni aibu kwa taifa letu
@rogersadrian3581
@rogersadrian3581 Ай бұрын
Hakuna wakarimu kama wachina ukienda nchini kwao. Ukileta uhuni wa kwenu ndo utakipata cha moto. Ubaya ni kufanya kosa ulilotahadharishwa usifanye.
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
mkuu wa wilaya sifa ni ukada wa chama + kihelehele kingi tu ndio tatzo naloliona hapa
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Ай бұрын
DC unataka utembelee upepo wa Makonda,Kwanza huyo mchina unamuonea,huu ni udharirishaji.
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 Ай бұрын
Kaa kimya wewe
@joramkimario
@joramkimario Ай бұрын
Tulia wew hujui kitu
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z Ай бұрын
Tuliza kinyeo
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Kelele funga mdomo unajua nini wewe au Sababu umeona ngozi nyeupe waitetemekea hapa haki kwa haki
@benjaminf361
@benjaminf361 Ай бұрын
Kabisa, siangemuita ofisini. Hata anajiaibisha mwenyewe! Mchina ametulia anasema ameshaenda hadi kwa mkuu wa mkoa. Eti uhamiaji muingie kazini najua ninachokimaanisha. Jaman!
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 Ай бұрын
Kiongozi siyo sawa hivyo mwite jina lake yeye halisi kisheria
@serengetiduma1090
@serengetiduma1090 Ай бұрын
Aah wanamwita hivyo, sisi tukiteswa kwao tunalamika!!
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
​@@serengetiduma1090batili mbili hazigeuzi halali
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Eti, wameanza! Acha kuwabana wawekezaji kutaka umaarufu. Hiyo kesI ni ya madai tu. Acha apeleke mahakamani.
@JeremiahNyunza-ov9ll
@JeremiahNyunza-ov9ll Ай бұрын
Acha sifa ww unamuiga makonda ulikuwa wp siku zote mtafutie mkalimani ndio umuhoji
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu Ай бұрын
Makonda amefanyika kuwa mbegu ivyo ni vyema wengi wakimuiga ili tupate wasimamia haki wengi
@ntebionetv3243
@ntebionetv3243 Ай бұрын
DC Felician hii ni mara ya pili alianza kabla hata Makonda hajaja Arusha
@De_Prodigy
@De_Prodigy Ай бұрын
Kuna diplomatic relationship kati ya China na Tz. Kuna high commission or consulate pia, kuna vitu vingine huyu mchina akienda ubalozi itamletea shida mkuu wa wilaya km suala la kutoa amri passport izuiwe! Watanzania wengi wapo China pia na wanafanya biashara China, there is something wrong here!
@user-xe5kr2yk5d
@user-xe5kr2yk5d Ай бұрын
Hiii mambo anaiweza Makonda bhana,,yaani Makonda taratibu mpaka muelewe wote..hapo pangekuwa na mwanasheria tungejua ukweli
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op Ай бұрын
Uyo mchina mna muonea kiswahili unachongea mkuu wa wilaya huyo mchina hawezi kuelewa
@joramkimario
@joramkimario Ай бұрын
Ukienda kule kwao utapakwa mafuta
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Ай бұрын
Play your part,your deserved alot of Good things.
@golebenson4597
@golebenson4597 Ай бұрын
Uyu mchina mjanja sana anatumia madhaifu ya watanzani wasiojua (sheria na mkataba) kuwandamiza
@jsabood
@jsabood Ай бұрын
Sijaekewa kila mtu ni polisi. Kwani hakuna sehemu husika ya kesi. Mheshimiwa waziri mkuu, lugha inayotumika si ya urafiki. Uamuzi si wa kidemokrasi. Kila mtu ana haki ya kujiteteya mbele ya sheria. Siyo watu wanavunjiwa heshima kwa lugha ya kutisha na uamuzi bila haki ya kujiteteya. Mgeni lazima apewe heshima au tutawafukuza kama hatokuwa na haki ya kujiteteya.
@abdirizakhtuke2882
@abdirizakhtuke2882 Ай бұрын
Mnaingilia kazi za mahakama.
@hhurbert
@hhurbert Ай бұрын
Shida sio Mchina huyo shida ni sheria za uwekezaji za nchi zinaingiza mpaka wabangaizaji ndo maana Muheshimiwa kapata kisukari maana ana deal na mbangaizaji . Sheria ziseme hata angalau dola milioni 3 kwa wawekezaji wa nje .
@iddiali8057
@iddiali8057 Ай бұрын
Nadhani hekima na bishara zitumike
@saidalmarjibi6112
@saidalmarjibi6112 Ай бұрын
Hii inasaidia wa investor kuja nchini? Kama kuna judicial system,, si bora kuifatishia?? Maana ikiwa kiongozi ana fanya duty ya judges hadharani!!! Na anamtaja mtu kwa asili yake ( wewe mchina nitakuvuruga) hio lugha, na mantiki inapendeza kutumiwa hadharani? Jamani?
@vannymokoca358
@vannymokoca358 Ай бұрын
Point eti nitakuvuruga ?👌niatari sana waah auwezi kuwa jadge mwenye asira
@saidalmarjibi6112
@saidalmarjibi6112 Ай бұрын
Mahakama barabarani? Sasa wa judge kazi zao zinachukuliwa?
@user-wu7vz8ot5i
@user-wu7vz8ot5i Ай бұрын
Viongozi mko na .madhaifu sana
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Ай бұрын
Wanachezea tanzania sana ingekuwa ni kwao mmmh pangechimbika. Hapa tunawapokea tunawaheshimu wanatuona mavi
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 Ай бұрын
Hayo mambo ya ajabu mnawafanyia wageni alaf wew sio mtu wa sawa wa haki unaongea kauli mbaya sana hufai unaanza kumuambia watu wa uhamiaj et ingieni mxigon mnajua ninachokimaanisha iyo sio kauli nzur
@MtatiroMtatiro
@MtatiroMtatiro Ай бұрын
Huyu mchina nimhuni yani yeye ana chukua hela za watu nakwenda kujifunza kiswahili 😂😂😂sio kufanya kazi
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Huyu aswekwe ndani msimchekee.Ukcheka na nyani utavuna mabua .mchina anazarau kabisa anaongea na DC vifungo vya shatii amefungua vyote kama anataka kupigana peleka ndan huyo kabisaaaaa.
@neemareuben311
@neemareuben311 Ай бұрын
Huyu mhemiwaaa Ana iga moto wa makonda hataufikia ataaribuuu zingatia sauti tuuuuu hehehe
@mariayohane4712
@mariayohane4712 Ай бұрын
Uyu mkuu wa wilaya anakera bhana anaboa
@user-yl3mr5hy5s
@user-yl3mr5hy5s 4 күн бұрын
Mkuu WA wilaya ni muhuni sana atoke anamuonea muchina kwa sababu ni mgeni
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Tumia lugha ya kiofisi DC
@user-gx4sw9kz8m
@user-gx4sw9kz8m Ай бұрын
Kaziiendeleee
@mymuamsrrr7884
@mymuamsrrr7884 Ай бұрын
Waafrika bana aa!!! Wanaogopa sanaaaa.
@azimioalbertongellangella8970
@azimioalbertongellangella8970 Ай бұрын
Kuna kitu hakipo sawa hapo msisahau kuna wa Tanzania tupo nje ya Tanzania🙁
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz Ай бұрын
Hii siyo haki kabsa lakini hii ni kazi ya mahakama
@elizabethsjoberg5734
@elizabethsjoberg5734 Ай бұрын
Hatariiii mchina utakoma kuingia kwenye anga za wabongo wetu wanadai bila nyaraka makonda naomba ulosimamie hili maana kaktiwa maji na umeme hapo pana jambo.????
@kinogekimbeho3781
@kinogekimbeho3781 Ай бұрын
Mkuu wa Wilaya unakuaje na mic moja??
@Igembetukuyu
@Igembetukuyu Ай бұрын
DC anahitaji utulivu katika haya mambo.
@KenMolloimet-fl6rd
@KenMolloimet-fl6rd Ай бұрын
Bwana DC hiyo kazi siyo yako na maneno yako siyo ya bussra
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 Ай бұрын
Baadae we tulia ilikua public intention we kausha c tayari vigelegele washapiga😂😂😂😂😂
@rosesilio9008
@rosesilio9008 28 күн бұрын
Da mpaka nimelia watanzania tuko na upendo sana eti we tapeli,, et ntakuvuruga we baba we china autoenda? Acha kumsimanga mchina mpaka huruma jamani
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 Ай бұрын
Mmmhhh huyu mchina ana busara sanaa
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 Ай бұрын
Angalia both sides baba.. Jamaa anaongea kiswahili anajitahidi
@adambilali3710
@adambilali3710 Ай бұрын
Nilicho gundua apo changamoto za kukatiwa umeme ndo zimesababisha ayo yote nafikili wamsaidie uyo machina kupata maji na umeme Ili Kaz zifanyike kilais mkuu wa wilaya anatakiwa awe na busala ajue jinsi ya kutatua tatizo na sio komandi na ndio mana makonda ata Baki juu siku zote
@user-xh9ko2cs1r
@user-xh9ko2cs1r Ай бұрын
Fukuza mbona mnambembeleza
@greenermichael2057
@greenermichael2057 18 күн бұрын
Mie nmemuhurumia mchina jaman
@mymuamsrrr7884
@mymuamsrrr7884 Ай бұрын
Sweka ndaniiii,mbona munazugazuga.I bet you it will be business as usual.
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 Ай бұрын
Acha watz tunyooshwe hiyo pesa ukiombwa na ngozi nyeusi unamuita mwizi ila mchina unatowa vzuri
@user-ss3hx9pf8n
@user-ss3hx9pf8n Ай бұрын
Why these karangaroo courts in Tanzania?don't you have laws that govern the country?mtu akikosea aperekwe kotini.
@shamtenyambega2944
@shamtenyambega2944 Ай бұрын
IVI NCHI YETU IKOJE!!! MGENI ANAKUJA KUSIMAMIA GARAGE kweli?? watanzania SISI TUPO tunaweza fanya garage
@LudovickTibakyenda-gs2wh
@LudovickTibakyenda-gs2wh Ай бұрын
Umekatazwa?. Anzisha ya kwako. Gereji sio matako kwamba kila mmoja anayo
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 Ай бұрын
Mtaji unao au unafikiri gereji ni kuwa na over roll na spana😂
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu Ай бұрын
Mungu awe na ww Mkuu wa wilaya kwa kusimamia haki
@talents7934
@talents7934 Ай бұрын
Huyu mkuu anatfuta Kiki wala hana Karma ya Uongozi,hujawapa ata muda hao wanaomdai mchina Wakaeleza kwa kina Daah kiki mbaya sana😢
@user-wu5jj5kn2h
@user-wu5jj5kn2h Ай бұрын
Iyo kes huyo haiwez kwa luga gongana pia anadhalilosha watu
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 Ай бұрын
Haki huinua Taifa, asitahiliye haki apewe haki yake, asitahiliye hukumu apewe hukumu. Viongozi pigeni kazi, Mungu atawalipa
@familytalks1
@familytalks1 Ай бұрын
DC naye analiamsha, alikuwa wapi siku zote
@elizabethsjoberg5734
@elizabethsjoberg5734 Ай бұрын
Kama wanamdai waeende mahakamani huo ni uonevu na pesa mbele
@kulewamziray9068
@kulewamziray9068 7 күн бұрын
DC anafoka Sana, au ajifunze Kwa makonda
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Ай бұрын
Kamali Ndio imemnyooshaa
@user-wu5jj5kn2h
@user-wu5jj5kn2h Ай бұрын
Anatafuta kik kwa mchina unamhoji mtu kiswahil wakati unajua sio luga yake hata mkaliman hamna sheria ya wap inamaana hata kingereza hujui
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Huyo mchina inawezekana kabisa kwao china kashindikana Kwa utapeli na alikuwa mfungwa wakamtoa gerezani na kumwambia aenende ulimwemwenguni kote akasambaze utapeli.
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya mpenda sifaa tu wala hatoi haki
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf Ай бұрын
Nitakufuruga😁😁
@ProjetusRwiza
@ProjetusRwiza Ай бұрын
Nafikiri mkuu WA mkoa ilibidi anyone kwanza machina kabla ya kuja public maana inaonekana na yeye c makosa yake gari kuchelewa. Mkuu Wilaya Hana busara
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Hao ndiyo Wachina tunaowaamini kwa kila kitu acha watumalizie
@mlangotv8465
@mlangotv8465 Ай бұрын
Viongozi wetu wawe na hekima, wasiendeshwe na hisia, huyo mchina hana jina? Kwanini usimpe mkalimani azungumze lugha anayoijua vizuri ili atoe ufafanuzi mzuri
@deniskiwanga85
@deniskiwanga85 Ай бұрын
Hanalolote huyu DC , alikuwa wapi sikuzote
@user-rh5iy3ei3g
@user-rh5iy3ei3g Ай бұрын
Jamn John wawatu,mbn anawatendaji wengi Sana garage kwake jmn na wanafanya kazi masaa yote 😢lbd kabanwa na kazi
@NestoryManoni
@NestoryManoni Ай бұрын
Wanaonekana kama wameandaliwa mtende haki
@BabuayubuMzadini
@BabuayubuMzadini Ай бұрын
ASA maiki Moja ....acha uchungu umaaalufu hauji ivi ivi
@NestoryManoni
@NestoryManoni Ай бұрын
Msimuonee huyo mchina sbb ni mgeni mmeshindwa kurekebisha ya inch yetu mnamebaki ku.kandamiza huyo jamaa mbona kama ni mchongo hata hao wanaonekaw
@greenermichael2057
@greenermichael2057 18 күн бұрын
Tufungulie baraba😂😂😂
@NestoryManoni
@NestoryManoni Ай бұрын
Missenden kuwaonea wageni ambapo nyie mnafanya uchafu tu kwani hpo mlipo ni mahakama??? Tumia busara kwani hata ukimuwea remanded siatatoka tu mbona hayo yanaongeleka muache kudhalisha huyo mchina
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
Huyu mchina naomba msikilizeni msimhukumu tu
@felixsolomon6293
@felixsolomon6293 Ай бұрын
Uongozi ni kipaji ikiwemo hekima busara na mpangilio wa matukio ila hapa 😅😅😅😅😅😅
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q Ай бұрын
Wamemuonea mchina huyo mkuu wa wilaya hana busara kama Makonda na Jerry silahaa
@petermakondo109
@petermakondo109 Ай бұрын
🙃🙃
@Tribal-ec7uj
@Tribal-ec7uj 16 күн бұрын
Duu wachawaumbuke tena wanatuchosha na mabonanza watanzania wanafilisika kucheza huwez acha mpaka ufilisike
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Vicent nahisi huna akili sawa unatetea mwizi wa Kichina hii nchi yake nenda wewe kwao ukafanya hivyo anavyofanya wanakuua
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Ай бұрын
Sio kazi yako hio mkuu wa wilaya kua mpole
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂jamani mtamuua mchina wa watu!!
@hollymore4904
@hollymore4904 Ай бұрын
Hata kama ana makosa bado hujatumia busara aise ..shame ...
@christophermafuru7152
@christophermafuru7152 Ай бұрын
Ni wale wale tu.
@mohamedrajabu524
@mohamedrajabu524 Ай бұрын
huyu mkuu wa wilaya mim sijamkubi coz anafanya vitu kwakutafuta sifa unawezaje kuhukumu hapo hapo wakat mahakama zipo kwahiyo hapo ndo mahakama?
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Ай бұрын
Mimi kama mimi nasema siku nyingine msirudie kutumia maik moja
@zully756
@zully756 Ай бұрын
Muweke ndani huyo mchina ila mtumishi akiiba usimuweke ndani
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Ila Arusha ina mambo mengi Sana
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 Ай бұрын
Hili ni suala la kimahakama sio la DC sijui Watanzania tumekosea wapi. Apelekwe mahakamani sio kangaroo court.
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Ай бұрын
Cku zote ulikuwa wapi jmn
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 Ай бұрын
Sasa hivi mahakama mkononi
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 Ай бұрын
Maanguko hutanguliwa na kibur!! .Mwenyez Mungu atupe busara na hekima za Midomo yetu
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Ай бұрын
Jmn m.26 c angenunua Gari lingine
@nabiiashermgani7523
@nabiiashermgani7523 Ай бұрын
Hakuna kiongozi hapo!
@fauzibinzoo6563
@fauzibinzoo6563 Ай бұрын
Huyu mkuu WA wilaya hastahili hicho cheo
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya hana nidham
@justersmatiko3553
@justersmatiko3553 Ай бұрын
Kiongozi gani huyu na kauli ya kishenzi
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Ай бұрын
Huyu siyo kiongozi
@billaljuma6297
@billaljuma6297 Ай бұрын
kanitapeli mim huyo mbwa
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 55 МЛН
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01