FAHAMU AINA BORA YA MATOFALI YANAYOFAA KWA UJENZI, TBS WATAJA VIGEZO VYA KUZINGATIA...

  Рет қаралды 8,635

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

FAHAMU AINA BORA YA MATOFALI YANAYOFAA KWA UJENZI, TBS WATAJA VIGEZO VYA KUZINGATIA...
Afisa Viwango kutoka TBS, Aziz Abdallah, ametoa somo juu ya matofali bora na kuorodhesha aina mbalimbali za matofali ambayo yanafaa kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, ambapo pia ametaja vigezo vya kuzingatia unapotaka kununua matofali....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 7
@kenedysolas4092
@kenedysolas4092 2 ай бұрын
Asante sana afisa kwa elimu ya tofali
@maryamabdalah6290
@maryamabdalah6290 Жыл бұрын
👏👏👏🙏Asante kwa elimu
@geraldmanyogoto1358
@geraldmanyogoto1358 8 ай бұрын
Namba ratio ya kufyatulia solid blocks.
@athumanikadondoro8177
@athumanikadondoro8177 3 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@jayotv2024
@jayotv2024 2 жыл бұрын
Bei ya matofari ni gapi
@naomikatope8458
@naomikatope8458 2 жыл бұрын
Bei ya tofali ningapi
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 11 ай бұрын
Tatizo maelezo mengi, sio kila mtu ana elimu ndugu, tumia lugha rahisi tu na maelezo machache
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 33 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
UJENZI na LCH02 | FAHAMU NAMNA YA KUTIBU FANGASI KWENYE UKUTA
10:11
The Builders Home Tz
Рет қаралды 17 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
UJENZI KWA TEKNOLOJIA YA HYDRAFORM UNAVYOPUNGUZA GHARAMA
27:50
Shirika la Nyumba la Taifa
Рет қаралды 34 М.
Mbinu ya Kisasa ya Kufyatua Tofali
13:20
UoI TV
Рет қаралды 6 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41