MTOTO wa MANJI AMUOMBA MSAMAHA MSTAAFU KIKWETE KUTOMZIKA MANJI - ''ALITAKA AZIKWE na BABA'AKE''....

  Рет қаралды 63,773

Global TV  Online

Global TV Online

9 күн бұрын

MTOTO wa MANJI AMUOMBA MSAMAHA MSTAAFU KIKWETE KUTOMZIKA MANJI - ''ALITAKA AZIKWE na BABA'AKE''....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 170
@globaltv_online
@globaltv_online 7 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 8 күн бұрын
Pole sana kijana wetu mtoto wa Manji ... MUNGU akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Bado wewe waweza kuwa makini kuliko mzee watanzania Bado wapo sehem yenu
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 8 күн бұрын
Poleni sn kijana na ndugu yako na familia Kwa ujumla. Mungu atazidi kuwapigania.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 7 күн бұрын
💔💔💔🇹🇿🤲🤲🤲Allah awape subra na nguvu💪family yote ya manji
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 8 күн бұрын
Mwenyezi Mungu Awajaze rehma na baraka. Poleni sana ! Tutamkumbuka sana baba yenu .
@jamilajiwan9890
@jamilajiwan9890 8 күн бұрын
Poleni sana Mungu awalinde awaepushe na shari za Dunia. Mungu amuweke mahali pema peponi ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia.
@ezramichael7038
@ezramichael7038 8 күн бұрын
May God give you strength during this difficult period of your father's loss. In fact, my father has raised me with wisdom and prudence, we are all on the same path
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 8 күн бұрын
Poleni sana kwa kuondokewa na mzee mliye mpenda
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 8 күн бұрын
Pole Sana Mahboub karibu Sana Jangwani tupo pamoja na wewe
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 8 күн бұрын
Afate nn mumpige kama babaake 😅😅😅
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 8 күн бұрын
My deepest condolences to family members and friends of Yusuf Manji, may Allah give you strength at this difficult moment. Love from los angels California
@stonetown578
@stonetown578 8 күн бұрын
Allah amjaalie pepo Firdaus Amiin.
@ianak4
@ianak4 8 күн бұрын
Poleni sana kwa msiba wa mzazi wenu, Mtanzania mwenzetu mpenda watu na maendeleo. Msiumizwe na comments mbaya za watu, ndivyo jamii ilivyo. Focus on love.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 8 күн бұрын
Mungu atakulinda mwanchi mwenzangu
@SatuParmukh
@SatuParmukh 8 күн бұрын
Mwenyezi mungu amrehemu Marehemu Manji!😢 sote safari yetu moja...Ila Mtoto wa Manji uyo mwenye macho ya mzungu,yuko handsome sanaa Mashaallah!❤👍🏻
@aminadjuma7555
@aminadjuma7555 7 күн бұрын
Mwehu ww unatamani mfate
@SatuParmukh
@SatuParmukh 7 күн бұрын
@@aminadjuma7555 mwehu wewe mwenyewe,🤬weh vipi? Kwani nimekusifu wewe?
@chris_jabari
@chris_jabari 8 күн бұрын
Hongera umeongea maneno mengi ya kiswahili kupita Wema Sepetu😊
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 8 күн бұрын
Kwani umemaanisha nini hapo!!😅
@lucakakuru3138
@lucakakuru3138 8 күн бұрын
😂😂😂
@JosephBWAGIZO-fs5ig
@JosephBWAGIZO-fs5ig 8 күн бұрын
😂😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂yaani teari mashangingi washamdaka na kiswahili kafunzwa teari ?
@MashaMbwana
@MashaMbwana 6 күн бұрын
@@scholarmawala1403Wema ni mswahil lkn neno moja kiswahil maneno kumi kizungu 😅😅😅
@MS.independent8934
@MS.independent8934 8 күн бұрын
MUNGU awatie ngumvu sn family yoote kwa jumlaa inshallah ❤🎉
@daslamonline4665
@daslamonline4665 6 күн бұрын
Mtoto ana busara mashallha
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 8 күн бұрын
Matajiri hao msiba wa baba Yao wanalia tu wamempoteza baba ila Hawaii kuwa ni masikini
@josephlorri431
@josephlorri431 7 күн бұрын
Hakuna kupigana kwenye mgawanyo wa mali
@subirajohn728
@subirajohn728 8 күн бұрын
Innalilah wainnaylilah rajiuun! Mwenyezimungu amjalie kauli thabiti Yusuph! Poleni Sana familia!
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 8 күн бұрын
Pole sana mungu awape nguvu katika nyakati hizi ngumu rip manji
@shabanrufumbo3701
@shabanrufumbo3701 8 күн бұрын
pole sana safari yetu sote hiiii
@mrokay1time958
@mrokay1time958 7 күн бұрын
May Allah forgive him and take him in jannah firdaus sorry in difficult time
@moriscollins4494
@moriscollins4494 8 күн бұрын
Matajiri wanazaa watoto wachache sisi sasa 😅😅😅
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 8 күн бұрын
Kila mtoto na ridhiki zake kuzaa mwanzo mwisho
@ErnestJosephat
@ErnestJosephat 8 күн бұрын
Na Tuzae sana ili mungu akupe zaidi!!Usiogope kuzaaa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
siyo kweli
@eusebiaurassa3417
@eusebiaurassa3417 7 күн бұрын
Masikini na wanae tajiri na mali zake😂
@devisshirima6780
@devisshirima6780 7 күн бұрын
Masikini anazaa sana sababu tegemeo lake ni watoto, na ni lazima katika hao wengi kuna mmoja au hata saa nyingine wote wanakuja kuwa matajiri. Ndio maama msondo walisema"MASIKINI NA WANANGU TAJIRI NA MALI YANGU"
@111dudi
@111dudi 4 күн бұрын
Hajui kusema innaa lillahi wa innaa lilahi raajiuun. Muislam gani
@leaherasto929
@leaherasto929 7 күн бұрын
Pole sana dogo
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 8 күн бұрын
Poleni sana kwa msiba
@robertphilip385
@robertphilip385 8 күн бұрын
Pole sana kijana
@user-wl3bg9ed1l
@user-wl3bg9ed1l 8 күн бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajioon
@Jamila-v2l
@Jamila-v2l 11 сағат бұрын
Pole sana
@noelswai2660
@noelswai2660 8 күн бұрын
MUNGU amlinde huyu kijana na mashangingi wa mjini 😢😢😅😅
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 8 күн бұрын
😂😂😂 mashangingi?
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 8 күн бұрын
​@@ayoubmtumishi50hujaelewa
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 7 күн бұрын
Hawapendi waswahili hawa wabaguzi
@SalumKanju-ik1bk
@SalumKanju-ik1bk 7 күн бұрын
hahahahaha we mwehu sana hahah yan sisi tupo kwenye maombolezi we watuchekesha
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 8 күн бұрын
Pole kijana
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 6 күн бұрын
Lakini anaonekana yupo humble Pole kufiwa na baba inauma sana mzazi akikuacha
@davinaheven4794
@davinaheven4794 3 күн бұрын
Poleni wafiwa, Mzee Mengi katoka jamani.
@user-pm7oe5gj8g
@user-pm7oe5gj8g 8 күн бұрын
Poleni sana
@hanifaa1487
@hanifaa1487 8 күн бұрын
Mashallah
@user-bh2bx3kk4u
@user-bh2bx3kk4u 2 күн бұрын
Poleni.sana
@shirazremtullah3935
@shirazremtullah3935 Күн бұрын
Al fateha
@bahatadof5543
@bahatadof5543 7 күн бұрын
Pole Sana kwa kufiwa na Mzazi,R.i.p Manji
@frankevaristo6918
@frankevaristo6918 7 күн бұрын
Pole sana Kwa kipindi hiki kigumu
@florianhenry7198
@florianhenry7198 8 күн бұрын
Sorry for the lose of your Father.Amen
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 8 күн бұрын
Poleni sana familia nzima ila Allah amebakia atawalinda.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 8 күн бұрын
Yani Global mmeeenda na camera moja utadhani hamjalipwa hela duuuu.
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 8 күн бұрын
😢😢😢😊😊😊😊😊
@mshambaused3840
@mshambaused3840 3 күн бұрын
😅😅😅
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 күн бұрын
Poleni sana vijana kufiwa na baba . Poleni
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 8 күн бұрын
Pole sana Mungu ampe kauli thabit💔😭
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 8 күн бұрын
Yesu amuweke pema peponi
@dullahsaleh8507
@dullahsaleh8507 8 күн бұрын
Hana uwezo huo
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 8 күн бұрын
Yesu ana uwezo WA kumuweka MTU peponi 😂😂
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 күн бұрын
Pumbavu wewe
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 8 күн бұрын
Innalilah wahina illahi rajoun polen
@FatmaFerej
@FatmaFerej 7 күн бұрын
Allah amrehemu yarrab Amin
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 8 күн бұрын
Pole sana ndugu
@omeerrasheed7192
@omeerrasheed7192 8 күн бұрын
Innaalillaah wainna ilyhi Raajioon ALLAH amsameh madhambi yake AMYN
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 8 күн бұрын
Polesan kwa kifocha baba yako
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 күн бұрын
Chalamila anasemaje yumo humu kweli
@ErnestJosephat
@ErnestJosephat 8 күн бұрын
Am sorry😢😢
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 күн бұрын
Innalillahi wa innaillah rajeun
@demicratia4071
@demicratia4071 8 күн бұрын
Mnawapeka watoto nje mapema sana SASA LUGHA KWISHA GONGANA MANJIS😂
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
shida iko wapi??ni mwarabu Huyo
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 6 күн бұрын
Ni Mtanzania
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 5 күн бұрын
Mwacheni kijana. Kama mambo mabaya amefanya baba yake ni baba yake. Mtoto wa tajiri
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 8 сағат бұрын
Very sorry
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 8 күн бұрын
🤲🤲🤲😭😭💔💔💔
@ericksonmuhulo1570
@ericksonmuhulo1570 3 күн бұрын
❤❤
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 8 күн бұрын
Watt wa matajir hawaliagi msibani
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 8 күн бұрын
Sijui kwa nini mtu akifariki wanamumiminia sifa. Mańji ni mmoja aliyoitafuna Tanzania. Alijiingiza kwenye moira na akakubalika. Ukitaka Kuwaitis watanzania jiunge na Simba au Yanga. Manji alisaidiwa na serikali ya Kikwete kupiga tenda za mabilioni. Mtanzania mwenye passport zaidi ya moja. Fedha alizopiga wenye kuelewa ni mabilioni. Mungu amusamehe kwa dhuruma aliyowafanyia watanzania.
@yusufismail3116
@yusufismail3116 8 күн бұрын
Roho mbaya ni uchawi na umasikini , badilika kijana.
@seifmiraji43
@seifmiraji43 8 күн бұрын
Ndo umeandika nini maana naona mauza uza tu😂😂😂
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 7 күн бұрын
@@yusufismail3116 sisi ni matajiri sana. Ni masikini kwa ujinga wetu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 7 күн бұрын
@@seifmiraji43 ni vigumu kunielewa, mpaka uwe na akiri za kuzaliwa
@seifmiraji43
@seifmiraji43 7 күн бұрын
@@Mima-cl2im naanzaje kukuelewa ikiwa hata kuandika hujui, sasa "akiri" ndio nini!? 😂😂
@shabanponera2895
@shabanponera2895 8 күн бұрын
Pole sana dogo, ila kiswahili chako ni changamoto utafikiri sio mtanzania
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 8 күн бұрын
Si ajabu kazaliwa huko kakulia huko huko, Kiswahili kakijua akija likizo bongo, kwa hali hii hivi atakiongea kama mimi na wewe?!😅😅😅
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike 8 күн бұрын
Yapo makabila hapa tanzania mpaka leo hawajui kiswahili mfano wahadzabe
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 8 күн бұрын
Wamasai.wazandaki n.k. hawajui sembuse aliyezaliwa nje na kukulia huko
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 8 күн бұрын
​@@MikidadiKimilikehata wakurya 😅😅😅
@fatmaabdi7192
@fatmaabdi7192 6 күн бұрын
Lakini wote wameondoka magu manji kec kwa hakimu aw haki
@denismasele4130
@denismasele4130 6 күн бұрын
Hiii comment ndo nilkua naitafta haya tueleze vzr 😮
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 8 күн бұрын
Mmhh tz😮 Imebakwa
@magorymara5515
@magorymara5515 8 күн бұрын
Dunia haipo huko ulipo Dunia ni ya binadam wote hiki ni chungu mungu alipotuweka
@avinrwegasira3448
@avinrwegasira3448 8 күн бұрын
Matajir
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 8 күн бұрын
sasa huyu bwege sie jua kiswahili kabx kafata Nini uku linaonekana lina zarau kama malehemu baba yake alimuambia magufuli siongei Na mmbwa Naongea Namwenye mmbwa Next time yule mmbwa akaota meno manji alijua hajui
@yusufismail3116
@yusufismail3116 8 күн бұрын
Kijana jifunze, maneno yatakayokusaidia mfano kufanya kazi kwa bidii. Roho mbaya ni uchawi unatakaokuloga wewe mwenyewe.
@birianination7097
@birianination7097 8 күн бұрын
Kuwa na utu, punguza chuki usije kufa mdomo wazi
@ustawiwetu
@ustawiwetu 7 күн бұрын
Kwani Katiba inasema kuwa Mtanzania lazima ujue Kiswahili?
@mussahussein3583
@mussahussein3583 7 күн бұрын
Unaonekana unachuki binafsi mwezetu. Jiangalie
@patriciamaganga3891
@patriciamaganga3891 5 күн бұрын
Umasikini ni shift sana
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c 8 күн бұрын
Mwonho ukikata damu kijani au nyekungu?
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 8 күн бұрын
Damu Yakiijani
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 8 күн бұрын
Huyu nae anajiita mtanzania . Mtanzani wa wapi huyu 😂
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 8 күн бұрын
Ubaguzi
@nassirali7499
@nassirali7499 8 күн бұрын
Mtanzania ni mama ako tu! Mbuzi ww!
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 8 күн бұрын
@@nassirali7499 mbona povu ndugu yako huyo au Shobo .kwa akili yangu unafikili ni ndugu zako hao . Hao wapo kwa niaba ya kutafuta2 ndio hata watoto wake wamezaliwa huko wamekulia huko hapa bongo wanakuja kutembea
@mataypanga5262
@mataypanga5262 8 күн бұрын
Hao ndio wale watanzania walaji wa nchi yetu. Mtu siyo raia anakopa hela kwa wazungu wenzie ili kuiba utajiri wetu kwa utajiri hewa
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 8 күн бұрын
Kwani mtanzania ni nani? Acha ubaguzi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 күн бұрын
Mazishi yamefanyika wapi
@Namtumbo
@Namtumbo 8 күн бұрын
USA
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Mungu wangu huyu kijana anaishi nchi gani au kazaliwa wapi.Inakuwaje kuwa kiswahili kinamshinda kiasi hicho😢😢
@moriscollins4494
@moriscollins4494 8 күн бұрын
Bora hata huyu anakimudu kidogo ingekuwa mwanao wema sepetu 😅😅😅 tena wa kishua
@salimalmughairi1634
@salimalmughairi1634 8 күн бұрын
kwani hapo anaongea kisukuma mbona hata watanzania walio zaliwa tz hawajui kiswahili unashangaa nn
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 8 күн бұрын
Hawa ni wachumi wanaojifanya watanzania kujitajirisha. Hawatukubali, sisi tunawakubali na kuwakabidhi mali zetu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
​@@Mima-cl2imwewe umegundua
@birianination7097
@birianination7097 8 күн бұрын
​@@Mima-cl2im hao waliweze toa ajira 2370 wewe umetoa ngapi.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 8 күн бұрын
Kumbe hata kiswahili hajui na bado mnamuita mtanzania. Hawa siku zote wapo kuiba na kwenda kulia nje ya nchi. Kumbe wana uraia pacha halafu mnawazuia wachovu wengine waliojilipua huko majuu!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
kama amepewa.Uraia ni MTanzania tu wivu wako tu huo
@birianination7097
@birianination7097 8 күн бұрын
Baba punguza chuki, kwani kua mtanzania ni kuongea kiswahili😂😂. Punguza roho mbaya
@ustawiwetu
@ustawiwetu 7 күн бұрын
Kiswahili hakina faida kama Huna hela au umelala njaa
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 8 күн бұрын
Ila mtu kama hajui kiswahili vzuri akawa anaongea inaweza kudhani fuse imekatika... Ila akiswitch kwenye English ndio utakuwa kumbe ni mzima.. MFANO bongozozo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
hahaha tuko wengi
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 7 күн бұрын
@@trophywilson7211 nawewe hujui kiswahl vzr🤣
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 8 күн бұрын
Luga ya swahili huijui na mzaliwa wa tz what is wrong with this people
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
Mbona anajua unataka nini ??
@ustawiwetu
@ustawiwetu 7 күн бұрын
Kama unajua Kiswahili na Huna hela ina maana gani
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 8 күн бұрын
Shida ya baba Yako ni kutaka kuuza madawa ya kulevya kuaribu inch yetu🥹🥹
@timetravellor5367
@timetravellor5367 8 күн бұрын
Alikuajiri wewe ukauze
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 8 күн бұрын
Una ushahidi wewe au unaongea kwa chuki zako binafsi
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 8 күн бұрын
@@timetravellor5367 Nyie najua ndio wale mnao jipendekeza kwa wenye nacho sema ukwel mungu atakusimamia usiwe na tabia za msaka tongue😂😂
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 8 күн бұрын
Uzaa na ww km ni rahis😢
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 8 күн бұрын
@@bockerNyarusahi Sina chuku mm ni msema kweli najua unataka mkate kidogo lakin uwez kupewa watoto wake unaona et hawajui kiswahili ata ujipendekeze upat kitu
@AlexDitto-cf8ed
@AlexDitto-cf8ed 8 күн бұрын
Pole sana
@user-hj5hh4zg4e
@user-hj5hh4zg4e 8 күн бұрын
Pole sn kijana ikuze kampun yamzee wako
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 8 күн бұрын
Mali ya Muhindi kufa ni ngumu sana, ukoo Mzima huziangalia kwa jicho la maendeleo zaidi.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 күн бұрын
​@GeorgeAkasha-zx2rj siyo Waafrica watataka wauze utu
@shufaashaban3805
@shufaashaban3805 8 күн бұрын
Pole sana
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 63 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 99 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 57 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza
1:00:51