Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua Huduma za Tiba Katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza
Пікірлер: 10
@hapakazitu73645 жыл бұрын
Mh Rais kuna Dr Neema kwa upande wa watoto yupo vizuri sana na anamoyo wa pekee sana alimsaidia mtto wangu bila kuchoka kama vile mwanae na hakunifahamu
@bahatimasolwa21095 жыл бұрын
Hakika mh Raisi anafanya kazi nzuri, tunaomba tu utukumbuke na vijana tuliohitimu elimu ya juu kwa kutupatia ajira ikiwa bajeti haitoshi kabisa tuandalie mazingira mepesi kupata mikopo kwenye mabenki na ile 10℅ ya vijana ipunguziwe masharti ili vijana tupate kujikwamua na maisha. Mh. Rais nikutakie kazi njema katika kulitumikia Taifa. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu JPM. Amina!
@josephsaghana10565 жыл бұрын
Mzee Gengo ingefaa liwe walau la 20 b, liwe la kimataifa coz huo uwanja ni International baba ila kwa yote Kazi nzuri mkuu Asante.
@farajafwezi83905 жыл бұрын
Hongereni sana .Hongera raisi Wetu Mungu akubariki Na abariki kazi zako
@makumbele5 жыл бұрын
Uthubutu, uzalendo na ujasiri. Asante mheshimiwa Raisi.
@cyprianbernard9075 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@farajafwezi83905 жыл бұрын
Hongereni sana .Hongera Raisi Wetu Mungu akubariki mno
@cyprianbernard9075 жыл бұрын
Gud
@gracejonh40222 жыл бұрын
Pumzika kwa amani rafki yangu jpm
@drgerwinegosbert25475 жыл бұрын
Tunaomba sana rais utukumbuke vijana wako tulio hitimu elimu ya juu ili tulitumikie taifa kwa moyo..mungu akubariki rais wangu nakupenda sana