VITU VINAVYOJENGA HESHIMA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 46,236

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 92
@MosesFikiriIbrahimu
@MosesFikiriIbrahimu Ай бұрын
TALATA YAKO NI NZURI SANA KUENDELEA Kujenga.. Uaminifu wangu ■>>kusaidia watu wengine Ni Nzuri sana sana NZURI SANA HII IMENIJENGA SANA LEO KUJENGA HESHIMA YANGU PEKEE
@ExcitedFlamingos-ur4el
@ExcitedFlamingos-ur4el 2 ай бұрын
Nawapenda sana washauri wa maisha yetu hususani weye mungu akujaalie umri mwingi zaid ili uendelee kutufuza kama hivi
@charlesoputi7101
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
My son I know you are here in 2040. Please remember I was here in 2023 and this video changed my life the way its going to change your's. Be blessed brother joel
@user-yv1po1vk3i
@user-yv1po1vk3i 6 ай бұрын
Nakupata vizuri sanaa joel asante kwa mafundisho yako
@nusrashaaban7407
@nusrashaaban7407 11 ай бұрын
Ninatamani sana kujenga heshima ya kugusa maisha ya watu wengine kwa kuwasaidia katika kutatua matatizo yao
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Heshima ya tabia ya kuaminika na watu ndipo nilipo pia na heshima ya mafanikio ya kufanya biashara lakini natamani heshima ya biashara niiongeze zaidi kwa kusimamia vizuri biashara.mungu akubariki sana kaka joeli Kwa elimu nzuri.
@furahasweya7433
@furahasweya7433 6 ай бұрын
Ukosawa. Natamani heshima ya kuishinayo
@AnordBazili
@AnordBazili Жыл бұрын
Mungu abariki kaz ya mikono yako hakika wewe n mkombozi wetu🙏
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Ahsante kwa baraka 🙏🏼
@Lucasnathaniel-ug8cn
@Lucasnathaniel-ug8cn 2 ай бұрын
Ahsante Kwa elimu nzuri
@mohamedhaitham5844
@mohamedhaitham5844 7 ай бұрын
Heshima inaletwa na mamb yafuatayo 1.Matokeo au mafanikio 2.Tabia/character/value/misimamo 3.Aina ya watu unaoambatana nao!! 4.Cheo/nafasi (heshima inayotokana na kiti ulichokalia ukiachia na heshima inaondoka) 5.kugusa maisha ya watu/kusaidia/kuboresha maish ya watu
@frolencialupilya6209
@frolencialupilya6209 6 ай бұрын
Learning is on going process, I'm still here learning, thank you brother.❤
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 2 ай бұрын
Kaka mi nakupenda sana
@edgarmtekele6710
@edgarmtekele6710 7 ай бұрын
Heshim ya kuwasaidia watu
@ramadhanalmashamza3458
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Heshima ninayotamani kuijenga ni heshima ya kugusa maisha ya watu asante sana kaka Joel ubarikiwe sana
@user-mt8du5mf5v
@user-mt8du5mf5v 4 ай бұрын
Heshima ya kubaki nayo
@SaruniSimanga-dq2cu
@SaruniSimanga-dq2cu 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@furahasweya7433
@furahasweya7433 6 ай бұрын
Hakika Mungu huwatumia wanadamu kufikisha ujumbe wake. Joel umekuwa kiungo kikubwa kati ya Mungu na wanadamu. Binafsi ninajifunza mengi kutoka ktk mafundisho yako na kila siku ya Mungu ninapata vitu vipya na kuijua dunia na watu wake. Natamani kupata vitabu vyako ili kujifunza zaidi ninavipataje? Kwa sasa nipo dar maeneno ya msasani beach.
@fadhilidisanula840
@fadhilidisanula840 Жыл бұрын
Heshima ya pili (2) na ya mwisho ni nzuri zaidi
@melkenbeekpetronille9655
@melkenbeekpetronille9655 Жыл бұрын
Ndungu miminaona kilakitu nineematu ni mingutu naonakilakitu kinawakati wake
@rizikikweka5018
@rizikikweka5018 6 ай бұрын
Kuna HESHIMA itaokanayo na UTAALAMU "Professional)-
@MeshackKondowe-re5us
@MeshackKondowe-re5us 9 ай бұрын
Nilinayo ni heshima ya kugusa maisha ya watu lkn natafuta heshima ya kimafanikio zaidi
@abdullahpongwa1537
@abdullahpongwa1537 11 ай бұрын
Nakusikiliza miaka mingi sana kwa sababu Masomo yako huwa yananipa faraja sana Mungu akubaliki sana....
@joelnanauka
@joelnanauka 11 ай бұрын
Ameen Ameeen
@eneliusmutegekindibalema8262
@eneliusmutegekindibalema8262 Жыл бұрын
Kazi nayoifanya itanijengea Heshima Kaka Joel🙏🧎
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Safi snaaaa
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 ай бұрын
Joel Mimi rafiki yangu Ni wewe! Niliangaika Sana kutafuta marafiki wanaoeshimika na wanaolieshimu Kama Mimi niligundua wapo tofauti na nikaamua niachane nao, nikajiambia nitabaki na Joel wa youtwib,ubarikiwe Sana natamani nikupigie simu nipokelewe na wewe nifurahi,
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 10 ай бұрын
Tutafutane kaka.
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 11 ай бұрын
Heshima yangu inatokana na vitu navyo vifanya hasa kwa upande wa biashara na pia kushauri watu
@tulimoyomodestcollection9510
@tulimoyomodestcollection9510 10 ай бұрын
Heshima kubwa kuliko zote ni kumcha Mungu
@beldinaabuya3532
@beldinaabuya3532 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwani wewe unagusa maisha ya watu wengi kwa nuru yako.
@user-kb1xk5cs2z
@user-kb1xk5cs2z 9 ай бұрын
Nayapenda sana mafundisho yako hakika huwa najifunza vitu vingi sana Kila niingiapo mtandaoni Kila somo ambalo nakutananalo natamani nijifunze vyote kwa pamoja MUNGU akubariki sana na kukutunza akupe maisha marefu baba
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Mimi Nina kupa heshima yako Kwa mafundisho Nina yo pokea Kila mara kutoka kwako Barikiwa sana Nina fanikiwa Nina imarika kimwili na kiroho.
@BenjaminRajabu-xk7mc
@BenjaminRajabu-xk7mc 14 күн бұрын
Kaka mm nimejifunza mambo mengi sana kupitia kwako
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 Жыл бұрын
Mfano mzuri kwa makonda saiv hakuna anaemheshimu baada ya kutolewa 😂
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Tunakuheshimu kwa sababu unatugusa sana
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana
@JasmineAlly
@JasmineAlly Жыл бұрын
Heshima ambayo naigundua kua jamii inanipa japo Mimi nilikua sijaingundua kwahiyo nitaitenda Ili iendelee kuwepo.kwahiyo nikitambua hivo nitakua nimeongeza asilimia za heshima yangu. E.nyama
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 10 ай бұрын
Duh nusu nidondoke nikihofia heshima yangu imebebwa maana nimeisikiliza video nikiwa ofisin
@kelvinmwakatobe2174
@kelvinmwakatobe2174 11 ай бұрын
Heshima ya biashara.. ndio njozi yangu pamoja na ya kusaidiwa wahitaji
@emilyjoshua8093
@emilyjoshua8093 Жыл бұрын
Kama vile Uhuru Kenyatta sai haeshimiwi mpaka anapokonywa walinzi juu c president tena
@YoshuaNdaje-lc9hg
@YoshuaNdaje-lc9hg 11 ай бұрын
Tunakushukulu kwa mafundisho yako Yana tufanya tuwe wenye kujiami
@elijahap7871
@elijahap7871 Жыл бұрын
Kiukweli mwaka huu Mwl. joelNanauka unafanya kazi sana💯🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 11 ай бұрын
Nashukuru sana sana
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 10 ай бұрын
​@@joelnanaukawewe mkurugenzi tutafutane ndugu. Niko Kenya Nairobi
@rahimaamour2756
@rahimaamour2756 10 ай бұрын
Kaka kiukwe unanibalisha kutoka hatua moja kwenda hatua nyengine mungu akubariki akupe afya na uzima pia
@evancepillar3753
@evancepillar3753 Жыл бұрын
Napenda sana Huduma yako Mtumishi, unagusa maisha ya watu wengi sana... andaa SEMINA TANGA TUNAHITAJI SANA HUDUMA YAKO BOSS
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 11 ай бұрын
Kupata heshima ni jambo zuri lakn mara nyingine kuna watu wanapata Hashima za kijinga kutokana na ujinga wao mfano utaskia mtu anamsifia muimbaji au anamuheshim muimbaji wakati huyu muimbaji ni muharibifu wa jamii Muhim kujijengea heshima katika mambo mema na sio kwa anasa za dunia Nazania nimefahamika
@saumuyahaya8959
@saumuyahaya8959 11 ай бұрын
Asante kwa kunielimisha
@Monamona-lt6zi
@Monamona-lt6zi 11 ай бұрын
Heshima ya kuambatana na watu! Ni kweli kabisa niliwahi kuahamia mahali nikakaa na wamama wenye watoto nikawa nawaona ni bora kumbe ni watu wasio kua na heshima mtaani hapo ninapokua nao kumbe watu wanatusema sana…..nilikuja kufunguka badae sanaa lakini tayari na mimi nilikua nmebebeshwa sifa zao mbaya! Niliumia sanaaa😢 na mpaka leo ni miaka zaid ya mitano sijawahi hata kusogeleana nao nikajifunza na imeniathiri mnoo nmekuwa mtu wa kukaa mwenyewe tuu na kujifungia…mda mwingi
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 ай бұрын
Naomba niwe rafiki yako ata Mimi niliwai kuwa karibu na watu Fulani nikidhan Ni watu WENYE eshima,niligundua Ni watu wa ovyo,
@user-je5ju4xj9i
@user-je5ju4xj9i 11 ай бұрын
M heshima nilinayo ni ya tabia 😊
@michaeljm730
@michaeljm730 Жыл бұрын
Tunajifunza sana 🙏 kupitia wewe
@MOTecnology
@MOTecnology Жыл бұрын
Uko sahihi kaka
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mrejesho
@194summer
@194summer Жыл бұрын
Heshima yangu ni kiongozi ninae gusa maisha ya watu
@enoshmukama4783
@enoshmukama4783 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana natafuta heshima ya kugusa maisha ya watu
@johnbanda6601
@johnbanda6601 11 ай бұрын
Nashukuru kaka
@sistermtambo938
@sistermtambo938 Жыл бұрын
Honestly sina maneno mengi but Mungu akubariki sanaaa unanigusa sanaaa najiona kabisa nabadilikaa
@Musaibrahimu
@Musaibrahimu Жыл бұрын
MWALIMU Uko Vinzuri Sana MASOMO YAKO NAYAPENDA Sana maana Umenitoa MBALI Sana. "Video vyako vimenisaidia Sana IBRAHIMU KUTOKA ARUSHA
@alitoufik5477
@alitoufik5477 11 ай бұрын
The Genius nakuelewa sana mkuu
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Жыл бұрын
Heshima ya 'KITI' inahadaa sana!
@philmonnem7294
@philmonnem7294 11 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Kaka @Joel Mungu akubariki zaidi
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Brother kiukwel mi napenda kupiga picha na wewe ili nijijengee heshima mpaka niondoke duniani nakupenda sana brother sitaki kuppoteza heshima yangu✍️✍️✍️ 💯👍❤️❤️🇹🇿🙏.
@MichaelChanya
@MichaelChanya Жыл бұрын
Thanks again for your lesson
@julianalaly2095
@julianalaly2095 Жыл бұрын
Amina
@ggvv9970
@ggvv9970 Жыл бұрын
Asante.....Yakuwakusa watu
@herbertkanuni8629
@herbertkanuni8629 11 ай бұрын
Good lesson!!! God bless you
@user-oq6iu4uh6w
@user-oq6iu4uh6w Жыл бұрын
Amen
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Awesome Ahsante sana 💓
@kijamalimi7507
@kijamalimi7507 Жыл бұрын
God bless you
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Barikiwa Sana Joel
@eliasmugume254
@eliasmugume254 Жыл бұрын
Asante Sana Mwalimu kwaushauri Mkubwa
@CleophasMwanga
@CleophasMwanga 11 ай бұрын
Thanks
@AbdulkadirHaji-dd4uu
@AbdulkadirHaji-dd4uu Жыл бұрын
Heshima ya tatu. Ya kuambatana na watu hata mm siku niliopiga picha na ww tokea june17 siku ya seminar Zanzibar nimeiweka profile na nimezidi kuheshimika kweli unayoongea yote ni perfect. Ahsante sana Mungu akubariki.
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 Жыл бұрын
Abdul from zanzbr tutaftane ndugu yangu
@Monamona-lt6zi
@Monamona-lt6zi 11 ай бұрын
Heshima ya kuambatana na watu! Ni kweli kabisa niliwahi kuahamia mahali nikakaa na wamama wenye watoto nikawa nawaona ni bora kumbe ni watu wasio kua na heshima mtaani hapo ninapokua nao kumbe watu wanatusema sana…..nilikuja kufunguka badae sanaa lakini tayari na mimi nilikua nmebebeshwa sifa zao mbaya! Niliumia sanaaa😢 na mpaka leo ni miaka zaid ya mitano sijawahi hata kusogeleana nao nikajifunza na imeniathiri mnoo nmekuwa mtu wa kukaa mwenyewe tuu na kujifungia ndani….mda mwingi
@user-op2nm9op4d
@user-op2nm9op4d 11 ай бұрын
Nashukur bro
@user-ql5ut4yb7l
@user-ql5ut4yb7l Жыл бұрын
👏👏🙏🙏
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@user-wu3qk3lh3d
@user-wu3qk3lh3d 11 ай бұрын
Jee nawezaje kujenga heshima??
@dafrosasaturuminmarandu1095
@dafrosasaturuminmarandu1095 Жыл бұрын
Noted.
@tegemeawilliammsewa1950
@tegemeawilliammsewa1950 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@shubiblessus3535
@shubiblessus3535 11 ай бұрын
Hongerae sana mtaalam! Hakika unaitumia vizuri talanta yako kuinua na kujenga jamii mpya. Mungu atulinde
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 Жыл бұрын
See u at the top.
@greysonclastus2805
@greysonclastus2805 11 ай бұрын
Hadi sasa nimefundisha bure watu 5 , wawili tayari wamejiajili . Ni kweli ninapoishi naheshimika kwa moyo huo wa kufundisha bure TAILORING.
@ChukiJoseph-xb9lz
@ChukiJoseph-xb9lz 7 ай бұрын
Heshima ya kufundisha
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 Жыл бұрын
See u at the top
@Binflory_
@Binflory_ Жыл бұрын
@sircomplextz
@sircomplextz Жыл бұрын
ubarikiwe kaka Joel
@sircomplextz
@sircomplextz Жыл бұрын
ubarikiwe kaka Joel
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 100 М.
KUJENGA JINA KWENYE KILE UNACHOKIFANYA - JOEL NANAUKA
7:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 35 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 64 М.
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 55 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 53 М.
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 69 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН