Рет қаралды 3,579
Wimbo wa Shukrani ulivyoimbwa na Wahitimu, katika Misa takatifu ya Mahafali ya Wanafunzi wa masomo ya Falsafa katika Seminari kuu ya Mt Anthony wa Padua Ntungamo Jimboni Bukoba.
Misa iliadhimishwa na Askofu Method Kilaini Msimamizi wa Kitume wa imbo hilo. Jumla ya wahitimu 60 wamehitimu masomo ya Falsafa Seminarini hapo.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja